JOTO la ubunge kwenye jimbo la Arusha Mjini, limezidi kupanda mara
baada ya kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Arusha, Francis Laizer
kutangaza rasmi kuwania ubunge katika jimbo hilo, endapo akipewa ridhaa
na chama chake kugombea.
Laizer amejitokeza kutangaza azma hiyo ikiwa ni siku chache baada ya
makada wengine wa CCM, ambao ni Phillemon Mollel, Victor Njau,Thomas
Munisi,
Laizer ajitokeza kupambana na Lema
↧
↧
Maandamano Burundi yachukua sura mpya
Serikali ya Burundi imewataka waandamanaji katika mji mkuu wa
Burundi Bujumbura kusitisha maandamano yao dhidi ya hatua ya rais wa
taifa hilo Pierre Nkurunziza kuwania muhula wa tatu katika uchaguzi wa
mwezi ujao.
Serikali imewapatia waandamanaji hao saa 48 kuondoa vizuizi
walivyoweka katika barabara za mji huo,lakini hata hivyo
inadaiwa maandamano yataendelea leo siku ya
↧
MWENYEKITI wa UVCCM Taifa,Sadifa Khamis Juma akemea siasa za maji taka
MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Sadifa Khamis Juma, amesema kitendo cha baadhi ya wanachama wanaotaka kugombea urais kuendelea kuchafuana ni dalili mbaya ndani ya chama hicho.
Kauli hiyo aliitoa mjini hapa jana katika ziara yake ya kikazi wilayani Mwanga wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wake wa hadhara.
Alisema kuchafuana kwa baadhi ya
↧
Kenya wamtaka Rais Kikwete kuingilia kati mgogoro Burundi
Wananchi nchini Kenya wamemtaka mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki ambaye ni Rais wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete kuingilia kati
mgogoro wa Burundi uliopelekea wanachi zaidi ya kumi kufariki dunia na wengine
kukimbilia nchini Tanzania.
Wakizungumza katika maandamano hivi karibuni ya kumpinga Rais
Nkurunziza kugombea tena urais raia hao wa Kenya wamemshinikiza Rais
↧
Diwani CUF Mbaroni kwa Tuhuma za Kuomba na Kupokea Rushwa ya Sh 150,000
DIWANI wa Kata ya Ngula wilayani Kwimba, Palu Mashagu (CUF), anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya Sh 150,000.
Taarifa kutoka Kwimba na kuthibitishwa jana na Kamanda wa Takukuru, Faustine Maijo, ilisema Mashagu alikamatwa Mei 6, mwaka huu mchana katika ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Ngula akidaiwa kuomba na kupokea Sh
↧
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Tarehe 11 May 2015
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Tarehe 11 May 2015
↧
Siwema Wa Nay Wa Mitego Atiwa Mbaroni.....Kisa Ni Kumpiga Picha Za Uchi Kigogo Wa Serikali
Mzazi mwenzake staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa
Mitego’, Siwema Edson (27) ametiwa mbaroni na kusota rumande kwa siku
kadhaa akidaiwa kujipatia mali kwa njia ya vitisho kutoka kwa kigogo
mmoja serikalini (jina linahifadhiwa kwa sasa).
Mei 2, mwaka huu, Siwema alilala ‘nyuma ya nondo’ (mahabusu) kwa siku
mbili katika Kituo Kikuu cha Polisi, Wilaya ya Nyamagana jijini hapa
↧
Wanafunzi 'WAPIGWA' Mkutano Ukawa Arusha
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, wanafunzi wa shule za msingi za
Mwangaza na Ngarenaro, juzi walidaiwa kupata kipigo kutoka kwa vijana
waliojiita ‘Makamanda’ wa umoja wa vyama vya siasa vya upinzani
ujulikanao kama Ukawa, baada ya baadhi yao kufika katika mkutano huo
uliofanyika viwanja vya karibu na shule yao.
Baadhi ya viongozi wakuu wa umoja huo, akiwemo mwanasheria wa
Chadema,
↧
Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa yako ili uweze kwenda Raundi mbili na kuendelea??....Bofya hapa ukutane na JIKO
Neema
Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa
mbalimbali za asili.
Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa
tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha kabisa tatizo
la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.
Dawa hii iitwayo
JIKO ni ya asili kabisa (PURE HERBAL) na inaponyesha na
kumaliza kabisa tatizo la nguvu za kiume
↧
↧
CUF Yailamu Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Kuandikisha Watoto na Wafu Kupiga kura Z’bar.....Maalim Seif Sharif Hamad Aitaka CCM Ijiandae Kukabidhi Nchi Kwa CUF
CHAMA cha Wananchi (CUF), kimetoa matokeo ya utafiti wake kuhusu
Daftari la Wapiga Kura Zanzibar ikieleza kuwa watoto wasiotimiza umri wa
miaka 18 na watu waliofariki dunia, majina yao yanaendelea kutumika
katika dafrati hilo huku Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) ikikaa
kimya.
Kutokana na hali hiyo CUF kimesema kinashangazwa na hatua ya Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kuandaa
↧
Lowassa: Huu ni Wakati wetu wa Kukimbia
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amesema ni muhimu kwa Tanzania
kukimbia kwa kasi ili kukabiliana na changamoto za maendeleo ya
kisanyansi duniani.
Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli (CCM), aliyasema hayo jana
alipokuwa akihutubia katika sherehe za Jubilee ya miaka 25 ya uaskofu na
miaka 40 ya upadri ya Askofu Paul Ruzoka wa Jimbo Kuu Katoliki la
Tabora.
Kwa mujibu
↧
Makada 6 Waliofungiwa CCM Waendelea Kubanwa....Bofya Hapa Kuona Alichokisema Nape Kuhusiana na Akina Lowassa, Membe na Wengine
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza ratiba ya vikao vya chama hicho
kuanza mwezi huu ikionyesha mchakato wa kuchukua fomu za kuwania
kugombea urais utafanyika wakati makada wake sita waliofungiwa
wakiendelea kuwa kifungoni.
Akizungumza na gazeti la Mtanzania jana, Katibu wa Halmashauri Kuu,
Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alisema baada ya ratiba ya
uchaguzi kutangazwa ndani ya
↧
Mwigizaji Lulu Michael Aanika Siri ya Kutoka Kimapenzi na Walio Mzidi Umri
Sexy lady kunako sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’
amefunguka kuwa anapenda kuminya ‘ku-date’ na wanaume wanaomzidi
umri kwa sababu wanakuwa na nafasi nyingi katika maisha yake.
Akizungumza runingani juzikati, Lulu alisema anapenda kuwa na wanaume
wanaomzidi kwa sababu wana nafasi tatu katika maisha yake ya kawaida,
wanakuwa kama kaka, baba na mpenzi.
“Siwezi kuwa
↧
↧
Watu 15 Wauawa Kwa Mapanga Geita
WATU 15 wameuawa kwa kukatwa mapanga katika matukio tofauti mkoani Geita kwa imani za ushirikina.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Joseph Konyo alisema matukio hayo ya mauaji yametokea katika miezi mine kuanzia Januari hadi Aprili mwaka huu.
Konyo alisema mauaji hayo yametokana na imani potofu za ushirikina na wahusika wakubwa wa matukio
↧
Mwanafunzi Ahukumiwa Jela Miaka 30 na Viboko 24 Kwa Wizi
MAHAKAMA ya Hakimu Mfawidhi wa Wilaya ya Musoma mkoani Mara imemuhukumu kifungo cha miaka 30 jela na kuchapwa viboko 24, mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Bukanga kwa unyang’anyi wa kutumia silaha.
Joseph Marigeri (21) ambaye alidaiwa kufanya unyang’anyi katika Kata ya Makoko Manispaa ya Musoma,alihukumiwa na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Baraka Maganga.
↧
Muhimbili Yakumbwa na Uhaba wa Damu
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) imekumbwa na uhaba wa damu hali ambayo imeulazimu uongozi wa hospitali hiyo kuomba msaada wa dharura kwa Serikali na watu binafsi.
Uongozi huo pia umewaomba Watanzania, mashirika ya umma, makampuni na watu binafsi kujitokeza kusaidia kuchangia damu kuokoa maisha ya wagonjwa wanaopelekwa katika hospitali hiyo.
Taarifa iliyotolewa jana na Mkuu wa
↧
Watuhumiwa wa UGAIDI Wagoma Kula Gerezani .....Watoa siku Saba Kesi Yao Isikilizwe, Vinginevyo Watafanya Wanavyojua Wao
KIONGOZI wa Uamsho na Jumuiya ya Maimamu Zanzibar, Sheikh Faridi Hadi Ahmed na wenzake 22 wanaokabiliwa na tuhuma za ugaidi wamegoma kula gerezani.
Washtakiwa hao wamegoma kula na wamedai mahakamani kwamba hata waitwe wahaini hawawezi kugeuza madai yao ya kutaka Zanzibar ipate mamlaka yake kamili.
Hayo yalidaiwa jana na washtakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu
↧
↧
Chadema Wazuiwa Kuhudhuria Mikutano ya CCM
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Momba, Mkoa wa Mbeya, kimewapiga marufuku wanachama wake wasihudhurie mikutano ya hadhara ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Wito huo umetolewa juzi na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA), Wilaya ya Momba, Ayubu Sikagonamo, alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara katika Kata ya Sogea.
Sikagonamo alitoa agizo hilo
↧
Tanzania, Uganda Kutatua Migogoro Mipakani
SERIKALI za Tanzania na Uganda zimepiga marufuku watu kujenga nyumba katika mipaka inayozitenganisha nchi hizo ili kuepuka migogoro isiyokuwa ya lazima.
Agizo hilo lilitolewa mwishoni mwa wiki mkoani Kagera na wakuu wa wilaya za Misenyi kutoka Tanzania pamoja na wakuu wa Wilaya za Rakai na Isingiro za nchini Uganda.
Wakuu hao wa wilaya walitoa maagizo hayo baada ya kukutana kwenye
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Tarehe 12 May 2015
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Tarehe 12 May 2015
↧
More Pages to Explore .....