Mvua kubwa iliyonyesha kwa siku mbili mfululizo tangu juzi
imesababisha vifo vya watu watano huku mamia wakikosa makazi baada ya
nyumba zao kubomolewa.
Mvua hiyo iliyofikia kipimo cha milimita 132.5 kwa
mujibu wa vipimo vilivyofanywa katika kituo cha Shule ya Msingi ya
Maktaba, ilisababisha barabara kujaa maji na nyingine kuharibika na
madaraja kadhaa kukatika.
Mkurugenzi Mkuu
Mafuriko Yaua Watu Jijini Dar, Nyumba Kibao Zafunikwa......Katapila latumika Kuokoa Watu
↧
↧
Urais CCM: Hofu ya UASI Yatanda, Kambi Ya Mgombea Yadaiwa Kutenga Mamilioni
MAKUNDI ya wagombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), yanadaiwa kuanza mchakato wa kuhakikisha mgombea wanayemuunga mkono, ndiye anayeteuliwa na chama hicho kupeperusha bendera ya chama katika Uchaguzi Mkuu.
Chanzo chetu cha habari kinasema kuwa, kundi la mgombea anayetajwa kutaka kuwania nafasi hiyo, limeanza kutumia kiasi kikubwa cha fedha na kuzigawa kwa baadhi ya Wajumbe wa
↧
Marais EAC kuamua hatima ya Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi.
WAKUU wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanatarajia
kukutana Dar es Saalam Mei 13 mwaka huu, katika mkutano wa dharura
utakaoamua hatima ya Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi.
Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa jana, ilieleza kuwa hatua hiyo imechukuliwa wiki chache baada
ya amani kuchafuka nchini Burundi kutokana na chama
↧
Wananchi Sengerema Wampa BARAKA Ngeleja Kugombea Urais.......Wasema Jina Lake Likikatwa Arudi Agombee Ubunge
WAKAZI wa Vijiji vya Nyabila na Sigu, Jimbo la Sengerema, mkoani Mwanza, wamemuomba Mbunge wao, Bw. William Ngeleja kuwania nafasi ya urais kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu ujao.
Wamesema kama jina lake litakwama kupitishwa ndani ya chama, watamchagua kwa mara nyingine ili aendelee kuwa mbunge wao kwa kipindi cha miaka mitano kutokana na utendaji wake mzuri wa kazi.
Wakazi hao
↧
Jipatie Nyimbo Zote Kali Toka RUBEGA.....Wasiliana na Wasanii Wakubwa ( Diamond, Ali Kiba, Jide na Wengine ) Live Hapa hapa RUBEGA
Hii ni habari njema kabisa kwa wapenzi wa muziki wa Kiswahili. Rubega wameamua kuja na njia mbadala ambayo itakuwezesha kusikiliza wimbo wowote wa kiswahili uutakao kama Bolingo,Bongo Hiphop,Genge,Injili,Jazz,Zilipendwa na Zouk .
Nyimbo zote hizi utazisikiliza BURE kabisa, chakufanya ni kufungua akaunti na kujisali. Kujisajili ni BURE.
Ili
↧
↧
Kada wa CCM Aliyerusha Risasi Hewani katika Ofisi za Chadema Ahukumiwa Kwenda Jela Miez 6 Au Kulipa Faini sh.2000
Kada wa CCM Ahmed Ismail
aliyerusha risasi hewani katika ofisi za Chadema wilayani Bariadi
amehukumiwa kwenda jela miezi sita au kulipa faini Sh2,000 baada ya
kukutwa na hatia.
Ismail alikuwa akikabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya silaha.
Mwendesha Mashtaka, Yamiko Mlekano
alidai mahakamani hapo kuwa Aprili 22, mwaka huu, saa 10 jioni
mshtakiwa huyo alikwenda kwenye mkutano wa
↧
Mashaidi 15 Kutoa Ushahidi Kesi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania, Johnson Minja.
Serikali imeandaa zaidi ya mashahidi 15
kwa ajili ya kutoa ushahidi kwenye kesi ya uchochezi inayomkabili
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania, Johnson Minja.
Minja alifikishwa katika Mahakama ya
Wilaya ya Dodoma jana na kusomewa maelezo ya awali ya kesi inayomkabili.
Alikana mashtaka yote mawili ya uchochezi mbele ya Hakimu Rhoda Ngimilanga.
Mwendesha
↧
Sheria ya Makosa ya Mitandao IMESHASAINIWA Na Rais Kikwete.....Hapa Nimeweka Taarifa ya Wizara ya Mawasiliano Kuhusu Sheria Hii
TAARIFA YA MHE. PROF. MAKAME MBARAWA (MB), WAZIRI WA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUHUSU SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO YA MWAKA 2015 KWA WAANDISHI WA HABARI TAREHE 8 MEI, 2015____________________________
Ndugu Wananchi,
Ndugu Waandishi wa Habari,
Kukua kwa kasi kwa matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kumeleta mafanikio mengi katika nyanja mbalimbali za maisha ya
↧
Sakata la Escrow: IKULU Yasema Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati na Madini Ndugu Eliakim C. Maswi Hana HATIA
MATOKEO YA UCHUNGUZI WA AWALI KUMHUSU NDUGU ELIAKIM C. MASWI, KATIBU MKUU, WIZARA YA NISHATI NA MADINI
_________________________________________________
1.0 Utangulizi
1.1 Katika mkutano wake wa 16 na 17, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na mambo mengine, lilijadili Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali iliyotokana na Taarifa ya Ukaguzi wa
↧
↧
SAKATA LA OPARESHENI TOKOMEZA: Ikulu Yasema Mawaziri WOTE Waliofukuzwa Kwa Kashfa Hiyo Hawana HATIA
TAARIFA YA KUKAMILIKA KWA KAZI YA TUME YA UCHUNGUZI WA MALALAMIKO YALIYOTOKANA NA UTEKELEZAJI WA OPERESHENI TOKOMEZA
___________________________________________
1.0 Utangulizi:
1.1 Tarehe 01/05/2014, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete aliunda Tume ya Uchunguzi kuhusu malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa Operesheni Tokomeza. Aliteua
↧
Miili ya Wanajeshi wa JWTZ Waliofariki Congo Yaagwa Rasmi Congo tayari Kurudishwa Nyumbani kwa Ajili ya Mazishi.
Jeshi
la umoja wa mataifa linalolianda amani kaskazini mashariki mwa nchi ya
kongo DRC wameanza harakati za kusafirisha miili ya askari wawili wa
kitanzania kuja kuzikwa nyumbani baada ya kuuwawa katika shambulio la
kigaidi huko beni.
Askari wa Jeshi la Tanzania wakiaga miili ya askari waliofariki huko DRC.
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi Ya Tarehe 9 May 2015
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi Ya Tarehe 9 May 2015
↧
Mgawanyo Wa Majimbo UKAWA: CHADEMA Yaachiwa Jimbo Moja Zanzibar
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umeridhia Chama cha Wananchi (CUF) kusimamisha wagombea wake wa nafasi ya ubunge katika majimbo yote ya uchaguzi visiwani Zanzibar, isipokuwa katika Jimbo la Kikwajuni.
Akizungumza na waandishi wa habari jana Makao Makuu ya CUF, Mkurugenzi wa Oganaizesheni na Uchaguzi wa CUF, Omar Ali Sheikh, alisema Ukawa wamekubaliana katika Jimbo la Kikwajuni
↧
↧
Bilioni 8 Kutumika Kupanga Upya Jiji la Mwanza
SERIKALI inakusudia kutumia Sh bilioni nane katika mpango wake wa kulipanga upya Jiji la Mwanza kwa kuainisha sehemu za makazi, viwanda, biashara na huduma za kijamii.
Kauli hiyo ilitolewa mjini hapa jana na Mkurugenzi Msaidizi wa Mpango Mkakati wa Kuyapanga Majiji kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mahenge Amulike, wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau na viongozi wa
↧
Aunty Lulu: Makalio Yangu Yananitesa, Wanaume Wananisumbua Sana!!
Mwigizaji Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa kioja
cha aina yake baada ya kuibuka na kusema kuwa makalio yake yanamtesa
akidai anasumbuliwa sana na wanaume wanaovutiwa nayo faragha.
Aunty Lulu amelieleza gazeti la Risasi Jumamosi kuwa wanaume wengi
wamekuwa wakimiminika kutaka mapenzi kinyume na maumbile baada ya kusambaziana kuwa mwigizaji huyo
analitumia umbo lake ndivyo sivyo.
↧
Hatima ya Lowassa, Membe sasa Mei 20
Filimbi ya kuanzisha mbio za urais kwa tiketi ya CCM itapulizwa
Mei 23 baada ya kumalizika kwa kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho
tawala, huku makada sita walio ‘kifungoni’ wakitarajia kujua hatima yao
kwenye mbio hizo Mei 20.
CCM imekuwa kimya kuhusu mchakato wake wa
uchaguzi, unaohusisha ratiba ya chama hicho, kupitishwa kwa Ilani ya
Uchaguzi na taratibu nyingine za
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya Tarehe 10 May 2015
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya Tarehe 10 May 2015
↧
↧
Urais CCM waiweka pabaya Kamati Kuu.....Yadaiwa Inafanya Upendeleo Kwa Baadhi ya Wagombea
Mbio za urais ndani ya CCM sasa zimefikia pabaya baada ya
kuibuka hofu ya kuwapo kwa mpango wa kuivuruga Kamati Kuu kabla ya
haijakutana kuchuja majina ya makada watakaotakiwa kupigiwa kura na
Halmashuri Kuu ili kumpata mgombea atakayepeperusha bendera ya chama
hicho kwenye Uchaguzi Mkuu.
Hadi sasa CCM haijatangaza ratiba yake kwa ajili
ya kuongoza wanachama wanaotaka kuwania
↧
Mganga akutwa akiroga mahakamani
MGANGA mmoja wa kienyeji amekamatwa akifanya ushirikina katika
Mahakama ya wilaya ya Bunda mkoani Mara kwa kutumia tunguli ili
kuwezesha kushinda kesi.
Mganga huyo ni moja kati ya waganga sita, ambao walikamatwa kwa kosa
la kupiga ramli chonganishi na kufunguliwa kesi katika mahakama hiyo ya
wilaya.
Mtuhumiwa huyo pamoja na wenzake hao, walikamatwa Machi 11 mwaka huu
saa 6:00
↧
Pinda: Tumedhamiria kuitokomeza malaria
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amesema Serikali imedhamiria kumaliza tatizo la ugonjwa wa malaria kwa kuamua kujenga kiwanda cha kisasa cha kutengeneza dawa za kuua viluwiluwi wa mbu wanaosababisha ugonjwa huo.
Kiwanda hicho cha viua wadudu vya kuua viluwiluwi wa mbu wanaoeneza ungonjwa wa malaria, kimejengwa eneo la Tamco wilayani Kibaha, Mkoa wa Pwani.
Akizungumza baada ya kukagua
↧
More Pages to Explore .....