Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano Tarehe 6 May 2015

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumatano  Tarehe  6  May  2015

Mgombea Urais Chadema Kupatikana Agosti

$
0
0
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinatarajia kumpata mgombea wake wa urais Agosti 4, mwaka huu.   Kupatikana kwa mgombea huyo kutatokana na uamuzi wa mkutano mkuu wa taifa, ambacho ndio chombo cha juu cha uamuzi.   Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, wakati akitangaza kwa waandishi wa habari uamuzi wa kikao cha Kamati Kuu

Nafasi Za Masomo na Fursa Za Ajira

$
0
0
Wewe   ni  kijana  wa  kitanzania ? Unapenda  kufanya  kazi  kama    MTAALAMU  WA  CHAKULA  NA  LISHE ? Kama  jibu  ni  ndio, basi  hii  ni  habari  njema  sana  kwako. Chuo  cha  NEEMA  HERBALIST  COLLEGE,  kinatangaza  nafasi  za  kujiunga  na  kozi ya   CHAKULA  NA  LISHE  katika  ngazi  ya  cheti  cha  msingi     yaani   BASIC   CERTIFICATE  IN  FOODS  AND  NUTRITION. Kozi  hii 

Pamoja Na Kumaliza Mgomo, Makonda Jana Alinusurika Kupigwa Mawe Na Madereva Ubungo

$
0
0
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda na maofisa wa Jeshi la Polisi jana walijikuta katika wakati mgumu baada ya kunusurika kupigwa mawe na vijana waliokuwa wamejazana katika Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo jijini Dar es Salaam.   Makonda na maofisa hao, walifika eneo hilo kwa nia ya kuwaomba madereva wa mabasi yaendayo mikoani kusitisha mgomo waliouanza juzi.   Maofisa wa

Wanajeshi Wawili wa Tanzania Wauawa Katika Shambulio la Kushtukiza, 13 Wajeruhiwa.......Wanne Hawajulikani Walipo

$
0
0
Askari wawili wa Tanzania waliokuwa kwenye kikosi cha usalama cha MONUSCO  huko Congo, wameuawa hapo jana baada kushambuliwa na watu wenye silaha huko Kivu ya Mashariki. Katika  shambulizi  hilo, wanajeshi 13  wamejeruhiwa  na  waasi  hao  huku  wanajeshi  wanne  wakiwa  hawajulikani  walipo. Msemaji  wa MONUSCO, Felix Basse  amevieleza  vyombo  vya  habari  kuwa  shambulizi  hilo

Mafuta Mwenge wa Uhuru Yaibua Hoja Kamati ya Bunge

$
0
0
SEKRETARIETI ya Mkoa wa Shinyanga imetumia   Sh milioni tatu  kununua mafuta ya magari wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru mkoani humo, bila kuwapo nyaraka zinazoonyesha matumizi hayo.   Hayo yalibainika jana katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na viongozi wa Mkoa wa Shinyanga wakiongozwa na Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga, Rubanzibwa Prejectus.  

Makonda Atangaza Kamati Kusaidia Madereva.

$
0
0
Serikali imetimiza masharti ya madereva kwa kuunda kamati ya kushughulikia kero na matatizo ya madereva ambayo inatarajia kuanza kazi yake Ijumaa.Akizungumza Dar es Salaam jana,Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda alisema kamati hiyo itakuwa ya kudumu ambayo itakuwa ikishughulikia kero na matatizo ya barabarani nchini. Kamati hiyo itaongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara Uchukuzi,

Wema Sepetu, Aunt Ezekiel Watibuana Kisa Zari wa Diamond

$
0
0
Gazeti la Risasi la leo limeripoti kuwa Mataa wa bongo movies ambao ni  mashosti wa kufa na kuzikana, Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel Grayson wanadaiwa kugombana baada ya Aunt ‘kuposti’ kwenye ukurasa wake wa Instagram tangazo lililohusiana na pati ya mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ iliyofanyika Mlimani City jijini Dar

Ray na Davina Nusura Wazichape Ukumbuni......Chanzo cha Varangati Hilo ni Ray Kushika Makalio ya Davina

$
0
0
Mastaa wa Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Halima Yahaya ‘Davina’ nusura wazichape kavukavu katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar baada ya Ray kudaiwa kumshika mwenzake huyo sehemu nyeti.   Kwa mujibu wa chanzo ambacho kilikuwa shuhuda wa tukio hilo, Davina alikuwa amekaa na wasanii wengine pamoja na Mlezi wa Bongo Movies, mama Loraa wakipata vinywaji ndipo Ray alipofika na

Zitto Kabwe Afunguka Kuwa Alipofukuzwa CHADEMA Alitamani Kujiunga NCCR-Mageuzi......Kazungumzia Pia Anakotoa Pesa za Kufanya Mikutano

$
0
0
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amefunguka na kusema kuwa alipofukuzwa Uanachama katika chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) alitamani kujiunga na Chama Cha NCCR-Mageuzi kwani ndicho chama ambacho kilikuwa  kinaendana na itikadi yake anayoifuata na kuiamini ambayo ni itikadi ya Ujamaa.   Zitto Kabwe alifunguka haya jana alipokuwa akichat Live kupitia ukurasa wa

MAPYA: Waajiri Waanza Kuwafukuza Madereva Waliogoma......CHAKUA, UWAMATA,CHAMAMATA Watoa Matamko

$
0
0
BAADHI ya madereva waliogoma katika mgomo wa juzi uliodumu kwa siku mbili wameanza kufukuzwa kazi na wamiliki wa mabasi hayo.   Mhasibu Mkuu wa Umoja wa Madereva Tanzania(UWAMATA) Issa Regan aliwataka matajiri kuwarudisha kazini dereva huyo na kama hawatawarudisha watawaambia madereva wote wa kampuni hiyo kugoma.   Regan aliongeza kuwa makosa sio ya madereva hao kwa kuwa walitii umoja

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Nchini, Johnson Minja Kufikishwa Mahakamani LEO

$
0
0
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Johnson Minja mwenye shati la Drafti akiongoza na baadhi ya wanachama wa jumuia hiyo. Mahakama ya hakimu mkazi ya wilaya ya Dodoma leo inatarajia kuanza kusikilizwa kwa maelezo ya awali ya kesi ya uchochezi inayomkabili mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara nchini, Johnson Minja. Mahakama ilishindwa kusikiliza maelezo hayo ambayo

Godbless Lema Atamba Kushinda tena Ubunge bila Kampeni.

$
0
0
Mbunge wa Arusha mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema amesema kuwa atashinda tena ubunge kwa tiketi ya chama hicho, hata asipopiga kampeni.   Aidha amesema ni vyema wananchi wa Jiji la Arusha na maeneo mbalimbali nchini wakajitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura, ili waweze kupiga kura na kuchagua wagombea wanaotaka

Profesa Lipumba Aieleza Mahakama ya Kisutu kuwa Polisi WALIMPIGA, Akana Kufanya Maandamano

$
0
0
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuwa, hawakufanya maandamano wala kupata barua ya zuio badala yake alipigwa na polisi. Prof. Lipumba aliyasema hayo mahakamani hapo jana wakati yeye na washtakiwa wengine waliposomewa maelezo ya awali, mbele ya Hakimu Mkazi, Cyprian Mkeha. Mawakili wa Serikali,

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi Ya Tarehe 7 May 2015

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Alhamisi  Ya  Tarehe  7 May 2015

Lulu Michael Akana Kuwa Na JINI MAUTI

$
0
0
MSANII nyota wa filamu, Elizabeth Michael `Lulu’ amekanusha uvumi kuwa matatizo yanayowatokea wanaume aliowahi kuwa nao yanatokana na yeye kuwa na Jini Mauti anayesababisha hali hiyo kutokea, Amani linakujuza. Akizungumza na Gpl juu ya madai ya wadau mbalimbali kuhusiana na matukio mengi yanayomtokea, muigizaji huyo wa filamu ya Foolish Age, alisema maisha yake ya siku hizi ni ya

Mrema Avuliwa Uanachama TLP

$
0
0
KAMATI ya Ukweli na Maridhiano ya Chama cha Tanzania Labour (TLP), imetangaza kumvua uanachama Mwenyekiti wa chama hicho, Agustino Mrema.   Akizungumza jana, jijini Dar es Salaam na vyombo vya habari, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Joram Kinanda alisema kuwa kamati hiyo imefikia uamuzi huo baada ya kupitia kwa kina malalamiko yaliyokuwa yakimuhusu Mrema, ambaye pia ni Mbunge wa Vunjo.

PICHA: Mvua Yaliharibu Jiji La Dar es Salaam...Polisi Watoa Tahadhari

$
0
0
Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam, limetoa tahadhari kwa watumiaji wa barabara kutoka maofisini mapema kufuatia baadhi ya barabara kujaa maji.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya Tarehe 8 May 2015

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Ijumaa  ya  Tarehe 8 May 2015

Andiko la Wema Kuhusu Sheria ya Makosa ya Mtandao ....Anasema Yupo Tayari ATUKANWE Kuliko Kukubali Serikali Iwafunge Midomo Watanzania

$
0
0
Naomba mimi kama Wema Sepetu, nitoe tamko langu rasmi kuhusu hii Sheria mpya iliyopitishwa bungeni. Naongelea Sheria ya cybercrime au cyberbulling.    Ukweli ni Kwamba watanzania tunatumia vibaya mitandao ya kijamii. Matusi yamekuwa ni mengi na sometimes hawavumiliki. Kwa kweli kunahitahija Kuwa na laws in place za kupunguza unyanyasaji kupititia mitandao ya kijamii. That said, yes
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images