Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

MWENYEKITI WA HALMASHAURI AFARIKI DUNIA BAADA YA KUANGUKA CHOONI

$
0
0
MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Laurent Hoya, amefariki dunia ghafla jana alfajiri baada ya kuanguka chooni. Kifo hicho kimetokea nyumbani kwa marehemu Nkuhungu katika Manispaa ya Dodoma. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi jana, Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Fatma Ally alisema Hoya ambaye alikuwa na tatizo la ugonjwa wa moyo, alianguka chooni jana

MAMA BAGHDAD AMUOMBEA MSAMAHA MWANAE KWA CHID BENZ...AOMBA WAKUTANE PAMOJA NA NA WA MITEGO

$
0
0
Baada ya jana Chidi Benz kuweka wazi kuwa hategemei kumsamehe Baghdad kwa ‘blunder’ aliyoifanya ya kuwashirikisha yeye na Nay wa Mitego bila kuwaambia, mama mzazi wa Baghdad amekuja hadharani na kumuombea msamaha mwanae.Mama huyo ameongea leo kwenye segment ya 255 kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM kuhusu nia yake ya kutaka kumaliza tofauti zilizopo kati ya mwanae na Chidi.Mama

WANASAYANSI WAGUNDUA NJIA ZA KUCHAJI SIMU KWA MKOJO

$
0
0
Wanasayansi wa maabara ya Bristol Robotics Uingereza wamegundua njia ya kutumia mkojo kama chanzo cha kuzalisha umeme wa kuchaji betri za simu, na kudai kuwa wa kwanza kutengeneza “the world’s first microbial fuel cells (MFC) powered mobile phone”.   Watafiti hao walielezea juu ya ugunduzi wao kupitia jarida la ‘Physical Chemistry Chemical Physics’. Dr Ioannis Ieropoulos

MZEE MAGALI WA BONGO MOVIE AKIMBILIA BONGO FLAVA

$
0
0
Mwaka 2013 utakuwa na surprise nyingi sana... So far tumeshapata surprise kibao ikiwemo ile ya jana ya promoter na Mkurugenzi wa Watanashati Entertainment, Ostaz Juma na Musoma kuingia kwenye hip hop na kurekodi wimbo mmoja aliomshirikisha Young Killa.Surprise zinaendelea na sasa inakuja bombshell nyingine. Kwa mujibu wa mtangazaji wa Take One ya Clouds TV, Zamaradi Mketema,

SEHEMU NYETI 12 ZINAZOMPA RAHA MWANAMKE

$
0
0
<!-- adsense --> Tendo la ndoa au ngono ndilo tendo la furaha lililo kuu kwa binadamu. Wakati tendo hilo kwa wanyama lipo kwa ajili ya kuzaa,kwa upande wa binadamu ni zaidi ya kuzaa. Mapenzi au tendo la ndoa ni sanaa hivyo inatakiwa ufundi na ubunifu ili kuweza kufurahia tendo hili.Yafuatayo ni maeneo 12 yenye msisimko na kama mwanaume utayashughulikia ipasavyo bila shaka mtafurahia

SAKATA LA SISTA WA KANISA KATOLIKI ALIYEBAKWA NA KUNDI LA WANAUME WATATU

$
0
0
Sista aliye mafunzoni ametekwa na kubakwa kwa wiki nzima na kundi la wanaume watatu katika kile kinachohisiwa kuwa ni shambulio la kulipiza kisasi, vyombo vya habari nchini India vimeripoti. Sista huyo mwenye miaka 22 alidaiwa kutekwa kwenye stesheni ya treni na binamu zake na kisha kushikiliwa mateka na kubakwa kwa zaidi ya siku kadhaa sababu waliishutumu familia yake kwa kifo cha

MZEE MANDELA ASHEREHEKEA MIAKA 95 LEO HUKU AKIWA MAHUTUTI HOSPITALINI

$
0
0
Afrika Kusini leo wanasherehekea miaka 95 ya kuzaliwa kwa Mzee Nelson Mandela huku rais huyo wa zamani bado yuko mahututi hospitalini. Ilikuwa ikitabiriwa kwamba shujaa huyo wa vita dhidi ya ubaguzi wa rangi kwamba angeruhusiwa kwenda kusherehekea siku yake ya kuzaliwa lakini bado yuko hospitali kutokana na kurejea maambukizi kwenye mapafu. Kituo cha Kumbukumbu ya Nelson Mandela na

RAIS KIKWETE AMTAKA RAIS WA SUDAN AWASAKE WATU WALIOHUSIKA NA MAUAJI YA WANAJESHI WA TANZANIA HARAKA IWEZEKANAVYO

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Rais wa Sudan, Omar Bashir, kuhusu kuuawa na kujeruhiwa kwa askari wa Tanzania, walioko katika ulinzi wa kimataifa wa amani katika jimbo la Darfur. Taarifa ya Ikulu iliyotumwa kwa vyombo vya habari jana, imeeleza kuwa katika mazungumzo hayo, Rais  Kikwete alimtaka Rais Bashir kuchukua hatua za haraka kuwasaka na kuwakamata

WASTARA JUMA AANZA KUSAKA MUME WA KUMUOA BAADA YA KIFO CHA MUMEWE

$
0
0
  STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma amesema hana haraka ya kuolewa kwani anahitaji mume na si mwanaume  wa kupita Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Wastara alisema kwa sasa yupo huru kutoka na mtu yeyote ampendaye kutokana na sheria na dini inavyosema ila kwa sasa shughuli za kuigiza zimembana.  ‘Nahitaji mume na si mwanaume  wa kupita,  awe mvumilivu, mchapakazi pia awe na

"NIPO TAYARI KUPIGANA NA JACK WOLPER ENDAPO ATAENDELEA KULITUMIA JINA LANGU KUJIPATIA UMAARUFU"...BABY MADAHA

$
0
0
Staa  wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph ‘Baby Madaha’ ameomba pambano la ngumi dhidi ya Jacqueline Wolper ili waweze kumaliza ubishi wa bifu lao. Akipiongea na  mwandishi wetu, Baby alisema amechoshwa kusikia tambo za mpinzani wake huyo hivyo kama kweli ni mwanamke, wakutane kwa  ngumi  ili amuoneshe cha mtema kuni.  “Asiniambie mimi natafuta kiki, mimi ni msomi kuliko yeye,

FEZA WA TANZANIA AGONGANISHA MABWANA BAADA YA KUINGIA KUONGA NA NJEMBA IKIWA UCHI BAFUNI

$
0
0
Shemeji yetu Mbotswana, Oneal amechukizwa na kitendo cha Feza Kessy kwenda kuoga na mwanaume mwingine. Jana jioni, Feza ilimlazimu amuombe msamaha mpenzi wake huyo aliyeoneshwa kuumizwa roho na kitendo hicho. “Umefanya tena leo asubuhi. Umeniacha kitandani na kwenda kuoga na mwanaume aliye UCHI. I was so disappointed”, alisema Oneal ambaye hata hivyo hakumtaja mwanaume huyo. “What was

CCM YAPINGA KODI YA LINE ZA SIMU

$
0
0
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimekuja juu na kuitaka Serikali kuangalia njia nyingine mbadala ya kukusanya kodi na kuachana na mpango wa kuanza kuwatoza wananchi tozo ya Sh 1,000 kila mwezi kwa kila laini ya simu ya kiganjani. Hatua hiyo, inatokana na kilio cha wananchi ambao tangu Bunge la Bajeti kwa mwaka 2013/14 kupitisha sheria hiyo, kumekuwa na manung’uniko mengi.Uamuzi huo,

HABARI ILIYOANDIKWA NA GAZETI LA "TANZANIA DAIMA" KUHUSU UDINI WA LIPUMBA YAWACHEFUA CUF

$
0
0
Habari iliyoandikwa na Gazeti la Tanzania Daima ikimhusisha Prof. Lipumba na udini  imewachefua  CUF  na  kuwafanya  watoe  waraka mkali wakiita Serikali kulichukulia hatua gazeti la Tanzania Daima kwa uchochezi wa kidini.. Chama    hicho  kimedai kuwa  Lengo la Gazeti la Tanzania Daima na Mwandishi wake ni kupandisha hasira za Waislam <<HABARI  IKO  HAPA>> ------------------------

DIAMOND "AWAPA MAKAVU" WATU WANAOCHUKIA MAFANIKIO YAKE....

$
0
0
Inaonekana Diamond amechoshwa na haters wanaosubiri aanguke kimuziki na kumcheka... Kupitia mtandao wa Instagram, Diamond ameamua kutupia picha inayomuonyesha akianguka kutoka juu (angani) na kufikia chini kwa kichwa kwenye barabara ya lami.  Picha hiyo ilisindikizwa  na maelezo yanayosema , "Najua hiki ndio mnachokisubiri, kwahiyo endeleeni kusubiri"...# Haters <!-- adsense -->

MASHABIKI WAMPONDA WEMA SEPETU BAADA YA KUYAANIKA MATITI YAKE MTANDAONI

$
0
0
  “Did I miss a spot…? I dunno,” ni maneno ya Wema kwenye picha aliyoiweka leo katika mtandao wa Instagram.  Hata hivyo mashabiki wengi wamemshambulia mrembo huyo kwa kile wanachohisi hakupaswa kuiweka katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.    Haya ni baadhi ya maoni:   nanchesca5 Girl, I’m not trying to fix you,But this is the holy month.Keep it calm.It won’t hurt. princesswawiey R

UCHAWI WAIBUKA TAZARA: NJIWA ATUA NA BARUA YA VITISHO OFISINI

$
0
0
Njiwa akiwa na ujumbe wa barua kama inavyo onekana Njiwa akiwa amedhoofu kwa Baridi akiwa katika choo cha wanaume Hii ni sehemu alipokutwa Njiwa huyo Majengo nje ya Ofisi ya Afisa Mwajiri Baadhi ya wafanyakazi wakielekea eneo la tukio Afisa Mwajiri (Mwenye shati ya bluu) Na baadhi ya wafanyakazi wakishuhudia tukio Mashuhuda wakitoka eneo la tukio Barua iliyoletwa

VODACOM WAZINDUA CHARGER YA SIMU INAYOTUMIA MIONZI YA JUA

$
0
0
Vodacom Tanzania sasa wanauza charger za simu zinazojulikana kama ReadySet Charge ambazo zinatumia njia mbadala ya chanzo cha nishati …  Charger hizo zinazotumia mionzi ya jua zinawafaa wafanyabishara ndogo ndogo kwa matumizi tofauti katika kazi zao … Pichani chini; Mfanyabiashara maeneo ya Ubungo akioneshwa jinsi kifaa hicho kinavyofanya kazi … <!-- adsense -->

SERIKALI YASISITIZA KUWA "KODI YA LINE ZA SIMU" IKO PALE PALE

$
0
0
Waziri wa Fedha, William Mgimwa, amesisitiza uamuzi wa Serikali kuendelea kutoza Sh 1,000 kwa kila mwezi kwa laini ya simu, licha ya kampuni za simu na wanasiasa kupinga. Akizungumza na mwandishi juzi, Mgimwa alikumbusha wanaolalamikia kodi hiyo, kwamba suala la ulipaji kodi kwa taasisi au watu binafsi, ni la kisheria kulingana na mapato yao na hali halisi iliyopo.  Pia alieleza

CHADEMA YAJITOA KUWANIA UMEYA WA ARUSHA

$
0
0
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeamua kuachana na kuwania umeya wa Jiji na badala yake kimemwomba Meya, Gaudence Lyimo (CCM), atende haki. Katibu wa Kanda ya Kaskazini wa chama hicho, Amani  Golugwa alisema jana, kwamba Chadema haina uroho wa madaraka kama baadhi ya watu wanavyofikiri, bali inasimamia vipaumbele vya maendeleo. Hata hivyo, kauli hiyo inapingana na

WEMA SEPETU APANDISHWA KIZIMBANI KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KUMTUKANA MENEJA WA HOTELI

$
0
0
  KUNA kila dalili kwamba mrembo anayetamba kwenye filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu   jela inamwita na anatakiwa kufanya maombi ili kukwepa kifungo maishani mwake. Hali hiyo inafuatia staa huyo kupandishwa kizimbani kwa mara nyingine tena Jumatano iliyopita, pale alipopanda katika Mahakama ya Mwanzo ya Kawe jijini Dar kwa kosa la kumpiga na kumtukana matusi ya nguoni meneja wa
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images