Mgomo wa wafanyakazi wa mabasi yanayotoa huduma
jijini Dar es Salaam, leo asubuhi umesababisha mtafaruku mkubwa kwa
wakazi wa jiji hili ambapo wengi wao walionekana wakitembea kwa miguu
kuelekea kazini na katika shughuli zao mbalimbali.
Mgomo huo ambao unaenda sambamba na usafiri wa mabasi ya abiria nchi
nzima, unafuatia ule uliotokea Aprili 11 mwaka huu, ambapo wenye mabasi
na
Mgomo Wa Daladala Waleta Shida Jijini Dar
↧
↧
Aliyekuwa Mpenzi wa Nay wa Mitego Siwema Atupia Picha za Mitego Mtandaoni..Aonyesha Kiuno chake Akijiandaa Kwenda Party
Aliyekuwa Mpenzi wa Nay wa Mitego Siwema Ametupia Picha za Mitego
Mtandaoni akionyesha Kiuno chake wakati akijiandaa Kwenda Party ya Instagram
Mwanza...
Alitupia picha hizi na Kuandika;" Instagram party loading ...." na nyingine akaandika " Still loading.....70%...#saturday mode# still on bed."
Instagram party loading ......🙈🙈🙈
A photo posted by siwema edison (@wemalicious)
↧
CHADEMA Waelezea HOFU Yao Kuhusu Kuahirishwa kwa Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu
Licha ya Rais Jakaya Kikwete kusema hana mpango wa kuongeza muda
na kuwa Uchaguzi Mkuu utafanyika Oktoba, Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema) kimezidi kuonyesha wasiwasi wake kikieleza kuwa
hakuna dalili za uchaguzi huo mwaka huu.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alikieleza
kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho kuwa uchaguzi huo unaweza
kuahirishwa kama ilivyotokea kwenye
↧
Picha Za Instagram Party Ya Wema Sepetu Iliyofanyika Jijini Mwanza
Picha Za Instagram Party Ya Wema Sepetu Iliyofanyika Jijini Mwanza
↧
Mgomo wa Madereva Waendelea Kuleta Balaa
Askari
wa Jeshi la Polisi wakiwa katika eneo la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar
es salaam asubuhi ya leo kusimamia usalama kufuatia mgomo wa madereva
wa mabasi ulioanza leo kwa mara nyingine kushinikiza kutekelezewa
matakwa yao
Mabasi
yanayofanya safari zake kati ya Dar es salaam na mikoa ya kusini yakiwa
yameegeshwa kwenye kituo cha Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es
↧
↧
Waziri Mkuu Aunda Kamati Kushughulikia Usafiri
Waziri Mkuu, Mizengo Peter Pinda ameunda kamati maalumu ya kudumu ya
kusimamia Usafiri wa barabarani nchini ili kutatua changamoto
zinazoikabali sekta ya Usafiri.
Katika kamati hiyo mwenyekiti
wake atakuwa katibu mkuu wa wizara ya chukuzi, Katibu akiwa kamishna wa
polisi barabarani na Mkurugenzi wa SUMATRA huku wajumbe wakiwa ni pamoja
na katibu mkuu wizara ya kazi ya na ajira, katibu
↧
Balozi Liberata Mulamula Ateuliwa Kuwa Katibu Mkuu Wa Wizara Ya Mambo Ya Nje Na Ushirikiano wa Kimataifa
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Balozi Liberata Rutageruka
Mulamula kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa. Kwa sasa Balozi Mulamula ni Balozi wa Tanzania nchini
Marekani na Mexico.
Rais Kikwete pia amemteua Balozi Hassan
Simba Yahya kuwa naibu Katibu Mkuu katika Wizara
↧
Taarifa Ya Wizara Ya Mambo Ya Ndani Kuhusu Raia Wa Burundi Walioingia Nchini Kuomba Hifadhi
Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi inapenda kutoa taarifa kuwa hadi jana tarehe 03 Mei, 2015 raia wa Burundi
waliongia nchini kuomba hifadhi walikuwa 1,852.
Raia hawa wa Burundi waliingia nchini kupitia vijiji mbalimbali vya mkoa
wa Kigoma. Vijiji hivyo ni pamoja na kijiji cha Kigaye, Sekeoya na
Kakonko. Vingine ni Kosovo, Kagunga na
Kibuye, huku wengine wakiwa wamepitia katika Kituo cha
↧
Shuka yamuua mwendesha pikipiki Kiteto
MKAZI wa Kijiji cha Ndeleta kilichopo wilayani Kiteto, Mkoa wa Manyara, Saria Kidali (47), amefariki dunia baada ya kunyongwa na shuka alilokuwa amejifunika wakati akiendesha pikipiki.
Tukio hilo la aina yake lilitokea jana asubuhi wakati Kidali alipokuwa akitoka shambani kwake Nadosoiti.
Kabla ya kifo hicho, shuka ya mwendesha pikipiki huyo ilinasa kwenye tairi ya nyuma na shuka
↧
↧
Mitihani Kidato cha sita Yaanza
Wanafunzi wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari ya Coaster High School wakijisomea jana kabla ya kuingia katika chumba cha mtihani ambapo mtihani wa kitaifa ulianza jana nchi nzima.
MTIHANI wa kidato cha Sita uliyoanza jana kote umeendelea licha ya mgomo wa madereva uliofanyika nchini nzima na kusababisha tatizo la usafiri.
MPEKUZI ilifanikiwa kuzunguka katika baadhi ya shule
↧
Sophia Simba: Rais Kikwete Bado HAJASAINI Muswada wa Sheria ya Mtandao, lakini Atausaini Muda si Mrefu
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba (kulia), akikata utepe kuzindua rasmi Taasisi ya maendeleo ya jamii ya Sitti Tanzania Foundation iliyofanyika Dar es Salaam juzi (kushoto) ni Mwenyekiti wa Taasisi hiyo, Sitti Mtemvu.
Na Mwandishi Wetu, Mpekuzi-Dar es Salaam
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba, amesema kuwa kutokana na hali ya nchi kwa
↧
Upepezi Kesi ya Gwajima Mbioni Kukamilika
UPELELEZI wa kesi inayomkabili Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Mchungaji Josephat Gwajima na wenzake watatu unadaiwa uko mbioni kukamilika.
Taarifa hiyo iliwasilishwa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Shadrack Kimaro mbele ya Hakimu Mkazi Frank Moshi wakati kesi hiyo ilipotajwa.
Wakili huyo alidai kesi hizo zililetwa mahakamani hapo
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Tarehe 5 May 2015
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Tarehe 5 May 2015
↧
↧
Mateso...!......Mateso...! Mgomo wa Madereva Wakwamisha Maelfu ya Abiria
MGOMO wa mabasi ulioibuka jana, umeitikisa nchi kiasi cha kusimamisha
shughuli nyingi na kusababisha adha kwa wadau katika sekta nzima ya
usafirishaji.
Mbali ya abiria waliokuwa wasafiri ndani na nje ya nchi kutoka Kituo
Kikuu cha Mabasi Ubungo na kwingineko nchini, wanafunzi wa Kidato cha
Sita walioanza mitihani yao jana, baadhi yao waliathirika kwa kushindwa
kufika kwa wakati
↧
Mtoto wa Miaka 8 Auawa na Mbwa
Aisha Ally mwenye umri wa miaka 8 (pichani), mkazi wa Mtaa wa NSSF,
Mbezi Beach jijini Dar es Salaam ambaye pia alikuwa mwanafunzi wa darasa
la tatu wa Shule ya Msingi ya St. Joseph, Dar, amefariki dunia baada
ya kung’atwa na mbwa anayedaiwa kuwa na kichaa.
Tukio hilo lilijiri hivi karibuni nyumbani kwao Mbezi wakati mtoto
huyo alipotumwa na mama yake mkubwa kwenda dukani kununua
↧
Mgomo wa Madereva: Milio ya Risasi na Mabomu Yarindima Stendi Kuu ya Mabasi Ubungo Dar
Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi leo asubuhi katika kituo cha mabasi ubungo jijini Dar es Salaam baada ya madereva ambao wanaendesha mgomo kuanza kuwarushia mawe baadhi ya viongozi waliofika kwa ajili ya mazungumzo na madereva hao akiwemo mkuu wa wilaya ya Kinondoni Bw. Paul Makonda na mkuu wa kikosi cha usalama Barabarani, DCP Mohamed Mpinga.
Akiongea na mtandao
↧
Madereva Arusha Wasalimu Amri, Wasitisha mgomo
Abiria waliokuwa wamekwama mkoani Arusha kutokana na mgomo wa
mabasi wameendelea na safari zao baada ya jeshi la polisi
kudhibiti vikundi vya watu waliokuwa wanatishia kuwashambulia
madereva waliokuwa tayari kuendele
Kamanda
wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Arusha Harson
Mwakyoma amesema wamejipanga kikamilifu kukabiliana na
↧
↧
Mgomo Wa Madereva: Mbowe Apokelewa Kwa Shangwe Na Madereva Waliogoma Ubungo, Dar
Kiongozi wa kambi ya Upinzani bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman
Mbowe amewasili kituo cha mabasi Ubungo na kupokelewa kwa shangwe na
Madereva walioko kwenye mgomo
Mgomo huo leo umeingia siku ya pili na hali bado haieleweki kuwa lini
mwisho wa ukomo wa mgomo huu kutokana na ukimya wa mamlaka husika.
Katika kituo kikuu cha mabasi ubungo wapo abiria
wakiwa na
↧
Mgomo Wa Madereva Wamalizika.....Mabasi Yaanza Kuondoka Ubungo Kuelekea Mikoani
Mgomo Wa Madereva Umemalizika Mchana huu baada ya majadiliano ya muda mrefu na mkuu wa wilaya ya Kinondoni.
Akisoma makubaliano hayo mbele ya wenzake, kiongozi wa madereva amesema kuwa madai yao yatatatuliwa ndani ya siku 7 kupitia timu ya madereva iliyoundwa kushughulikia madai hayo.
Mabasi ya mikoani kutoka Ubungo sasa yameanza safari baada ya mgomo wa
↧
Picha 8 za Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe Alivyoungana na DC wa Kinondoni Paul Makonda Kutatua Mgomo wa Mabasi leo Ubungo Dar es salaam
Mwenyekiti
wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mh Freeman Mbowe aliwasili
leo katika stend ya mabas ubungo kuzungumza na madereva ambao walikuwa
wakiendelea na mgomo na kuitaka serikali iwasikilize shida zao.
Mbowe
ambaye aliwasili majira ya saa nne kasoroo asubuhi alijikuta katika
wakati mgumu baada ya wananchi kumshangilia kwa nguvu huku wengine
wakifuta barabara ili gari
↧
More Pages to Explore .....