Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Rais Kikwete Awajibu Walimu Waliomhoji Kwa Bango Anawaachaje.....Aahidi Kuwalipa Madai Yao Kabla Ya Kung'atuka

$
0
0
RAIS Jakaya Kikwete amewajibu walimu kuwa katika kipindi cha miaka 10 ya uongozi wake amefanya kazi ya uboreshaji maslahi yao na kuahidi kumaliza madai yao yote kabla hajang’atuka madarakani Oktoba mwaka huu.   Kikwete alisema hayo alipokuwa akiwajibu walimu ambao waliandika bango kwenye maandamano ya sherehe ya Siku ya Wafanyakazi Duniani na kupita mbele yake na kusomeka kuwa ‘Shemeji

Bodi ya Mikopo Ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Yaanza Kupokea Maombi ya Mikopo Kutoka Kwa Wanafunzi Kwa Mwaka Wa Masomo 2015/2016

$
0
0
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) jana (Ijumaa, Mei 1, 2015) imetoa mwongozo kwa wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo na ruzuku kwa ajili ya mwaka wa masomo 2015/2016 unaotarajiwa kuanza miezi michache ijayo. Kwa mujibu wa mwongozo huo, ambao unapatikana katika tovuti ya Bodi (www.heslb.go.tz), waombaji wote wamepewa takribani miezi miwili kuwasilisha maombi

Tanzania Yachafuka Tena: Meli Yenye Usajili wa Tanzania Yakutwa na Tani 3 za Cocaine Uingereza

$
0
0
Kwa mara nyingine, Jina la nchi limeendelea kuchafuka baada ya Meli ya MV Hamal iliyosajiliwa Tanzania kukamatwa barani Ulaya ikiwa imebeba shehena ya dawa za kulevya aina ya cocaine yenye uzito wa tani tatu.    Kama dawa hizo haramu zingeuzwa mitaani nchini Uingereza, zingekuwa na thamani ya Sh1.5 trilioni, kiasi ambacho nchi wafadhili zinatarajiwa kuichangia Tanzania kwenye bajeti

Tazama Picha Mbali Mbali za Sherehe ya Zari White Party iliyofanyika Usiku wa Jana

$
0
0
Tazama Picha Mbali Mbali za Sherehe ya Zari White Party iliyofanyika Usiku wa Jana

Madereva bodaboda hatarini kupungukiwa nguvu za kiume

$
0
0
WAFANYABIASHARA wadogo na waendesha bodaboda wanaofanya biashara zao kwenye njia kubwa za kusafirishia umeme wapo hatarini kupungukiwa nguvu za kiume.   Kutokana na kuwepo wengi kwenye njia hizo kubwa za kusafirishia umeme, wametahadharishwa kutoendelea kufanya biashara kwenye maeneo hayo.   Hayo yalibainishwa jana na Ofisa Mahusiano Msaidizi huduma kwa wateja wa Tanesco Mwanza,

Taarifa Muhimu Kutoka CHADEMA

$
0
0
Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari kuwa kuwa Kamati Kuu ya Chama, chini ya Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, itakutana Mei 3-4, katika kikao chake cha kawaida kwa mujibu wa Katiba ya Chama.   Katika kikao hicho cha siku mbili kitakachofanyika jijini Dar es Salaam, pamoja na masuala mengine ya kitaifa kuhusu hali ya kisiasa nchini kwa ujumla na mengine mahsusi yanayohusu uendeshaji

Vurugu Burundi: Wakimbizi 800 Waingia Nchini

$
0
0
WAKIMBIZI 800 kutoka nchini Burundi wameingia nchini kupitia mkoani Kigoma huku wengine 87 wakirejeshwa nchini mwao baada ya kuingia nchini kwa kupitia wilayani Ngara mkoani Kagera.   Msemaji wa Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi, Isack Nantanga alisema wakimbizi hao wameingia nchini kwa makundi madogo madogo na watahifadhiwa kwa muda katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu.  

UGAIDI Watikisa Tena Morogoro......Watu Watano Wajeruhiwa Kwa Bomu, Vijana Wawili Wanaswa Na Kutoroka Kimafia

$
0
0
WATU watano akiwemo dereva wa gari linalotumiwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kilombero, David Ligazio ,Novatus Ngope (47), wamejeruhiwa vibaya na shambulio la kitu kinachodhaniwa ni bomu la kutupwa na mkono kutoka kwa watu wawili wasiofahamika walipokuwa kwenye sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani juzi.   Bomu hilo liliwajeruhi watu hao walipokuwa kwenye maadhimisho hayo

Floyd Mayweather Amchapa Manny Pacquiao

$
0
0
BONDIA wa Marekani, Floyd Mayweather amemchapa mpinzani wake raia wa Ufilipino, Manny Pacquiao kwa pointi katika mpambano wao wa karne uliopigwa Ukumbi wa MGM Grand jijini Las Vegas leo asubuhi.

Waziri wa Nishati na Madini Mh.George Simbachawene Awasimamisha Kazi Wahandisi Watatu TANESCO.

$
0
0
Waziri wa nishati na madini Mh.George Simbachawene ameagiza kusimamishwa kazi mara moja kwa wahandisi watatu wa shirika la umeme nchini TANESCO kutoka maeneo matatu jijini Dar es salaam baada ya wahandisi hao kushindwa kuwajibika ipasavyo ikiwa ni pamoja na  kutochukua hatua wanapopewa taarifa za kero za wananchi  kwenye maeneo wanayosimamia  Wahandisi hao ni wa Temeke, Tazara na Tabata

Mrema Ataka Rais Kikwete Aongeze Muda Wa Kuwa Rais ili Akamilishe Mchakato wa Katiba Inayopendekezwa

$
0
0
Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Augustino Mrema amesema hakuna ubaya Rais Jakaya Kikwete akiachwa kuongoza nchi kwa muda ili akamilishe mchakato wa Katiba Inayopendekezwa pamoja na Daftari la Kudumu la Wapigakura.    Hivi karibuni viongozi wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), walidai kuwa Serikali na Tume ya Uchaguzi (NEC) inachelewesha uboreshaji wa

Uchambuzi wa Zitto Kabwe: Yaliyojificha Kuporomoka Kwa Shilingi Dhidi ya Dola ya Marekani

$
0
0
Na Zitto Kabwe,Mpekuzi. Katika ukurasa wangu wa facebook mnamo tarehe 25 Aprili 2015 niliandika kuhusu sababu za shilingi kuporomoka thamani na majawabu ya namna ya kurejesha thamani halisi ya sarafu yetu.   Nilieleza “Shilingi kuporomoka dhidi ya dola na kuvuka Dola 1 sawa na Sh2,000 kunasababishwa na sababu kadhaa:-   (1) Woga wa uchaguzi na hivyo Dola nyingi kutoingia nchini (FDI)

Wana CCM, Chadema nusura Wachapane Makonde.

$
0
0
WAJUMBE wa Baraza la Mji Mdogo wa Tunduma wilayani Momba, Mkoa wa Mbeya, juzi nusura wachapane makonde baada ya kushindwa kuelewana walipokuwa kwenye kikao chao.   Tukio hilo lilidumu kwa dakika zipatazo kumi likiwahusisha wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).   Kabla ya tukio hilo, awali Ofisa Mipango wa Mji huo, Mutta

MGOGORO: Kanisa la Moravian Wakataa Jimbo jipya.

$
0
0
KANISA la Moravian Jimbo la Mashariki limeitaka Serikali iangalie upya uamuzi wake wa kuruhusu mgawanyiko wa kanisa hilo kwa kuruhusu usajili wa Jimbo lingine ili kuepusha uvunjifu wa amani.   Kauli hiyo ilitolewa jana na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Jimbo la Mashariki,Dkt Clement Fumbo ambapo alisema endapo serikali itaruhusu hilo basi iruhusu na upande wao kusajili na kuendesha masuala

January Makamba: "Nikishindwa Urais CCM Nitarudi Jimboni Kugombea Ubunge."....Wazee Wampa Baraka za Mwisho

$
0
0
NAIBU Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, amesema kuwa akishindwa katika mchakato wa kura za maoni za kusaka urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), atarudi jimboni kuendelea kuwatumikia wapiga kura wake.   Kutokana na hali hiyo January ambaye ni Mbunge wa Bumbuli, amewataka wananchi wake kuwapuuza watu wanaopita na kudai kuwa wanataka ubunge kwa kuwa yeye

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Tarehe 4 May 2015

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumatatu  ya  Tarehe  4  May  2015

Mahojiano na Prof. Muhongo Kuhusu Tanzania Ijayo na Maana Halisi ya Uchumi wa Gesi Asilia.

$
0
0
Na  Gordon Kalulunga NINI maana ya uchumi wa gesi asilia? Hilo ndilo swali nililoanza kumuuliza aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini aliyejiuzulu, Prof. Sospeter Muhongo. Prof. Muhongo; Maana na lengo kuu na muhimu la kuingia ndani ya Uchumi wa Gesi Asilia (Gas Economy) ni kuitumia raslimali yetu ya Gesi Asilia kwa ajili ya kukuza uchumi kwa kasi kubwa na kwa kiwango kikubwa tukielekea

Taarifa Muhimu Toka Tursker Lager Kuhusu Kampeni Yao Ya 'Fanya Kweli'

$
0
0
Tusker Lager kupitia kampeni yake ya “Fanya kweli” wiki hii inawaletea wateja wake shindano la wiki lilopewa jina la “Fanya kweli Kiwanjani”. Shindano hilo litahusisha baa mbalimbali za mitaani tunapoishi ndani ya jiji la Dar Es Salaam. Kampeni hii ya “Fanya Kweli” imekua na lengo la kuhamasisha watanzania kujitengenezea maisha mazuri ya baadaye kupitia juhudi zao binafsi pamoja na msaada

Ubunge Wa Godbless Lema NJIA PANDA.....Vijana wa CHADEMA Waanza Kampeni Za Kumng'oa

$
0
0
SIKU chache kabla ya kuanza kampeni za Uchaguzi Mkuu wa  Rais, wabunge na madiwani, hali si shwari kwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Bw. Goodbless Lema (CHADEMA), kutokana na baadhi ya makada, wanachama wa chama hicho, kufanya kampeni za kutaka kumng'oa mbunge huyo. Kampeni hizo zinadaiwa kufanywa na makada hao kimyakimya wakitumia mwamvuli wa chama kuhakikisha Bw. Lema anaanguka katika

Patcho Mwamba: Hamna star wa Kike Mwenye Nyota Kama ya Wema Sepetu, ila dhambi Yake ni.......

$
0
0
Mwanamuziki wa band ya Fm Academia Patcho Mwamba ambae pia ni muigizaji wa filamu, amejibu swali aliloulizwa kwenye mahojiano maalumu na Bestizzo "Je unahisi Wema halitendei haki jina lake au kuna sehemu anakosea?" ''Kwanza tuseme ukweli wa Mungu hamna star wa kike ana nyota kama ya Wema Sepetu, ni star ni star ni star ni star sana upande wa wanawake wote ndani ya bongo ila dhambi
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images