SARAFU mpya ya shilingi 500 inadaiwa kuhujumiwa na baadhi ya watu ambao
huinunua kwa Sh 2,500 na baadaye kuiyeyusha kwa ajili ya kutengenezea
mikufu ya fedha (silver).
Taarifa ambazo tumezipata kutoka vyanzo mbalimbali zinaeleza
tangu sarafu hizo zilipotolewa kwa mara ya kwanza Oktoba mwaka jana,
baadhi ya watu wamekuwa wakizikusanya na kuzifanya kuadimika mtaani.
Imeelezwa kuwa
Sarafu ya Sh 500 YAHUJUMIWA....... Yanunuliwa kwa Sh. 2500 hadi 5000 ili Kutengeneza Mikufu, Benki Kuu Ya Tanzania (BoT) Yatoa Tamko
↧
↧
Vurugu Burundi: Mitandao ya Kijamii Ikiwemo Facebook,Twitter,Whatsapp Yafungwa
MAMLAKA nchini Burundi zimekata mawasiliano ya mitandao ya kijamii
kupitia simu za mkononi, ambayo yamekuwa yakitumika kupanga maandamano
ya kumpinga Rais Pierre Nkurunziza.
Mamia ya waandamanaji wako barabarani kwenye mji mkuu wa Burundi,
Bujumbura kwa siku ya nne jana wakipinga uamuzi wa Nkurunziza kuwania
urais kwa muhula wa tatu.
Mawasiliano hayo ni kupitia mitandao ikiwamo
↧
IRAQ: Wapiganaji 91 wa Kundi la Dola la Kiislamu (IS) Wauawa
WAPIGANAJI 91 wa kundi la Dola la Kiislamu (IS) wameuawa na jeshi la Iraq lililokuwa likisaidiana na wapiganaji wa kujitolea katika sehemu mbalimbali huko nchini Iraq.
Wapiganaji hao waliuawa katika matukio mawili tofauti wakati vikosi vya jeshi la Iraq vilipokuwa vikipambana na wapiganaji hao.
Vyombo vya habari nchini Iraq vimetangaza kuwa Wizara ya Ulinzi ya Iraq imetoa taarifa kuwa
↧
Taasisi Ya Kiislam Yatishia Kuandamana Nchi Nzima......Yaipa Serikali Siku 15 Kufungua Madrasa na Kuwaachia Huru Masheikh Waliokamatwa
Jumuiya na Taasisi za Kiisalam nchini, imetoa tamko na kuipa serikali siku 15 kabla ya kufanya maandamano nchi nzima kuelekea Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakidai kufunguliwa kwa madrasa zilizofungiwa kwa kuhusishwa na kutoa mafunzo ya ugaidi.
Masharti mengine ni kuachiliwa huru au kwa dhamana masheikh na maimamu waliokamatwa wakituhumiwa kutoa mafunzo na mazoezi ya kigaidi.
Maeneo
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya Tarehe 1 May 2015
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya Tarehe 1 May 2015
↧
↧
UKAWA: Uchaguzi Mkuu Oktoba 2015 LAZIMA,Rais Kikwete Asiongezewe Muda.....Kura Ya Maoni Baadae
Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi
(UKAWA) vimetoa msimamo wao juu ya njama za kuahirisha Uchaguzi Mkuu
unaotakiwa kufanyika Mwezi Oktoba mwaka huu.
Ukawa imesisistiza kwamba kuahirisha kwa Uchaguzi Mkuu huo ni sawa na
kumuongezea Rais Jakaya Kikwete na Chama chake cha CCM muda wa
kuendelea kuitawala Tanzania.
Ukawa imesema jaribio lolote la kuahirisha Uchaguzi Mkuu
↧
Mzee Moyo: Nilitumwa Kumshawishi Seif Akubali Matokeo 2010.......Pamoja Na Kuifanya Kazi Hiyo, Tuzo Waliyonipa CCM ni Kunivua Uanachama
Mwanasiasa mkongwe aliyevuliwa uanachama wa CCM, Hassan Nassor
Moyo (80) amesema yeye ndiye aliyefanya kazi kubwa, usiku kucha,
kumshawishi Maalim Seif Sharrif Hamad, aliyekuwa mgombea urais wa
Zanzibar kwa tiketi ya CUF, akubaliane na matokeo ya Uchaguzi Mkuu mwaka
2010 kabla ya hata kutangazwa.
Akizungumza katika mahojiano maalumu na mwandishi
wa habari hizi nyumbani kwake Tanga
↧
KAMPENI: Jerry Silaa Ampa Magufuli Mbinu za Kushinda Urais
Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa amemtaka Waziri wa
Ujenzi, Dk John Magufuli kuangalia uwezekano wa kuongeza fedha za Mfuko
wa Barabara katika mkoa wa Dar es Salaam ili kujihakikishia kura ikiwa
atagombea Urais kama anavyotajwa.
Silaa alitoa kauli hiyo juzi wakati wa hafla ya
kuweka jiwe la msingi la upanuzi wa barabara ya Uhuru iliyopo katika
Manispaa ya Ilala. Alisema mkoa
↧
Diamond: Nimemvalisha Pete ya Uchumba Zari,Kuingia Katika Ndoa Mwaka Huu
Diamond na mpenzi wake Zari katika Exclusive One on One Interview ya Power Breakfast ya Clouds FM na 360 ya Clouds TV.
***
STAA wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz'
amefunguka kuwa tayari amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Zarinah
Hassan 'Zari' na anatarajia kupata mtoto wa kike mwaka huu.
Diamond
ameyaongea hayo hivi punde katika Exclusive One on One
↧
↧
Serikali yaipa Taboa wiki mbili, mgomo wasitishwa rasmi
Serikali imewapa Wamiliki wa Mabasi (Taboa) wiki mbili za
kutafakari namna gani watapata hasara, iwapo watatumia nauli mpya
zilizopendekezwa na Mamlaka ya Udhibiti na Usimamizi wa Usafiri wa
Nchikavu na Majini (Sumatra).
Hatua hiyo imekuja baada ya wamiliki hao juzi
kutangaza kuwa wangeanza mgomo wa siku saba kuishinikiza Serikali
ibatilishe matumizi ya nauli mpya ilizozipitishwa
↧
Selcom Yapigwa Marufuku Kuuza Umeme wa LUKU
Serikali imefuta mkataba wake na kampuni ya Selcom iliyokuwa
inauza umeme wa Luku kwa kile kilichodaiwa kuwa ni ubabaishaji katika
kutoa huduma hiyo.
Pia kampuni hiyo, ambayo imekuwa ikinunua umeme wa
jumla kutoka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) imesitishiwa mkataba
huo kutokana na kukiuka sheria na taratibu za ulipaji wa kodi.
Hata hivyo, mkurugenzi mtendaji wa Selcom,
↧
Mbowe Apata Mpinzani wa Ubunge Hai
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chama Kikuu cha Ushirika mkoani
Kilimanjaro (KNCU) Maynard Swai, ametangaza kuwania ubunge katika Jimbo
la Hai kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kwa tangazo hilo, Swai sasa atakuwa na kibarua
kizito cha kukabili upinzani kutoka kwa mbunge wa sasa wa jimbo hilo,
Freeman Mbowe (Chadema) ambaye tayari ametangaza nia ya kutetea nafasi
yake katika
↧
Rais Kikwete Kuaga Wafanyakazi Leo Jijini Mwanza Kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi)
Rais Jakaya Kikwete, leo, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye
kilele cha maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi),
huku Mkoa wa Mwanza ukiahidi kumuenzi na kukumbuka mchango wake katika
utumishi wake wa miaka 10 katika uongozi wake.
Rais Kikwete anatarajia kustaafu mwaka huu baada
ya kuwatumikia Watanzania, kwa miaka 10, na sherehe za leo zitakuwa za
mwisho kwake
↧
↧
Breaking News: Marekebisho Yamekamilika.......Ajira za Walimu WAPYA 2015 Zimetoka Upya. Majina Yako hapa.
A: Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya
Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inatangaza ajira ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu na mafundi sanifu maabara katika mamlaka ya Serikali za Mitaa kama ifuatavyo:-
i. walimu wa cheti (Daraja IIIA) kwa ajili ya shule za msingi 11,366;
ii. walimu wa stashahada 4,151 na shahada 12,490 kwa ajili ya shule za sekondari
iii.
↧
Moja ya mabango ya leo katika sherehe za Mei Mosi-Mwanza
Rais katika hotuba yake, Rais Kikwete amesema ujumbe wote wa mabango
yote umemfikia, "hata wa mashemeji zangu, ukioa Mwalimu..." akatamka
mambo kadhaa ambayo Serikali imeyapanga na yanaendelea kukamilika, kisha
akasema, "Shemeji zangu baada ya kufanya hayo, nina uhaki ninawaacha
pazuri."
↧
Mgawanyo wa Majimbo Ndani ya UKAWA: CHADEMA Yapewa 50%, CUF 35%.......Vita ya Maneno Yaibuka, CUF Watuhumiwa Kuwa na Undugu na CCM
WAKATI ugawaji wa majimbo 211 ukikamilika kwa vyama vinavyounda Umoja ya Katiba ya Wananchi (Ukawa), imebainika kwamba Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeibuka na asilimia 50 katika majimbo hayo.
Chama kilichofuata ni Chama Cha Wananchi (CUF) ambacho kinadaiwa kupata asilimia 35-40, NCCR-Mageuzi asilimia 10 huku NRD kinachoongozwa na Emmanuel Makaidi kuachiwa asilimia 1-2.
↧
Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA Nzima ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi Iko HAPA
RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.
Kauli hiyo aliitoa jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa
↧
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya Tarehe 2 May 2015
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya Tarehe 2 May 2015
↧
Kigogo Mpya Wa Jack Wolper Anaswa
Achilia mbali akina pedeshee Mangi, Dallas na Gee Modal, kigogo mpya
wa staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe safari hii
amenaswa laivu wakijiachia kwa raha zao.
Kwa mujibu wa chanzo, kigogo huyo ni mtu mwenye
fedha zake aitwaye Jimmy Mgaya ambaye ni Mbongo mfanyabiashara aishie
nchini Afrika Kusini ‘Sauz’.
Chanzo hicho kilishusha data kuwa jamaa huyo ndiye
↧
Rais Kikwete Aahidi Kuwaongezea Mishahara Wafanyakazi.....Awashangaa UKAWA, Asema kwa Nini Wamepagawa??? Asema Hakusudii Kuongeza Muda wa Kukaa Ikulu
RAIS Jakaya Kikwete ameahidi kuongeza mishahara ya wafanyakazi
kuanzia Julai mwaka huu, ili walau kima cha chini kikaribie Sh 315,000
ambazo Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) limekuwa likiipigia
kelele kwa muda mrefu.
Kikwete alisema hayo alipokuwa akihutubia wananchi waliohudhuria
sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani, zilizofanyika kitaifa kwenye
viwanja vya CCM Kirumba
↧
More Pages to Explore .....