KIKAO cha viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi
(Ukawa), kimeshindwa kuendelea baada ya baadhi ya wajumbe kushindwa
kuafikiana kuhusu hoja iliyowasilishwa na Chama cha NCCR-Mageuzi, ya
kutaka kujitoa kwenye umoja huo, imefahamika.
Viongozi hao walikutana jijini Dar es Salaam jana katika Ofisi Kuu ya
Chama cha Wananchi (CUF), ambapo pamoja na mambo mengine walikuwa
UKAWA Washindwa Kuafikiana.......NCCR Mageuzi Yawasilisha Hoja Ya Kujitoa, CUF Watoa Masharti Mazito
↧
↧
Mahakama Kuu Kenya Yakubali Ombi La Vyama Vya Mashoga Kusajiliwa
Katika hatua ya kushitua, Mahakama Kuu nchini Kenya imesalimu amri
mbele ya mashinikizo ya watetezi wa vitendo vichafu vya ulawiti,
usagaji, ushoga na kusema kuwa sasa watu wanaojihusisha na vitendo hivyo
vya uasherati wanaweza kusajili mashirika ya kile kinachodaiwa ni
kutetea haki zao za kibinadamu.
Majaji watatu wa mahakama hiyo wameiamuru Bodi ya Kusimamia Mashirika
yasiyo ya
↧
Rais Kikwete Akutana na Rais Mstaafu wa Marekani Bill Clinton jijini Dar es Salaam
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akimkaribisha Rais Mstaafu wa Marekani Mhe Bill Clinton Ikulu
jijini Dar es salaam jana April 29, 2015.
Rais
Jakaya Kikwete akifanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe Bill
Clinton (kushoto) Ikulu jijini Dar. Rais huyo wa 42 wa Marekani yuko
nchini kukagua miradi ya maendeleo na afya inayofadhiriwa na taasisi za
Clinto Development Initiative (CDI)
↧
Rais Kikwete Azindua Meli Mbili Za KIVITA Kwa Kishindo Jijini Dar
RAIS Jakaya Kikwete, jana amezindua na kuzitunukia Kamisheni meli mbili za kivita za Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Kamandi ya Wanamaji ambazo zitatumika kufanya doria na kulinda mipaka ya majini katika Bahari ya Hindi.
Meli hizo zimepewa majina ya P77 Mwitongo na P78 Msoga zenye urefu wa mita 60 na zina uwezo wa kufanya doria katika kina kirefu cha maji.
Rais Kikwete alisema,
↧
Baby Madaha: Natamani Zitto Kabwe Anioe, Pia Natamani Kujiunga na Freemason
NYOTA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha amesema kuwa
anatamani kuolewa na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto
Zuber Kabwe, akisema ni mwanaume mwenye sifa zote za kuwa mume kwa
mwanamke anayejiamini.
Akizungumza katika mahojiano maalum na gazeti la Risasi wiki iliyopita
jijini Dar es Salaam, Baby Madaha ambaye alizungumzia masuala mbalimbali
ya sanaa na
↧
↧
Godbless Lema Amshambulia Zitto Kabwe......Amtuhumu Kuikosesha CHADEMA Ushindi Mwaka 2010
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimewatoa hofu wanachama wake mkoani Shinyanga kikidai propaganda zinazoenezwa na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Bw. Zitto Kabwe, anayedai chama hicho kimepoteza mwelekeo si za kweli bali ni uongo.
Mbunge wa Arusha Mjini ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa, Bw. Godbless Lema, aliyasema hayo hivi karibuni mkoani
↧
Majambazi Matatu (3) Yauawa na Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma
JESHI
la Polisi Mkoani Kigoma limefanikiwa kuuwa majambazi watatu baada ya
kurushiana risasi na kukamata silaha mbalimbali za kivita.
Akizungumzia
tukio hilo ofisini kwake Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kigoma,Kamishna
Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Frednand Mtui alisema kuwa majira
ya saa nane usiku katika eneo la mto kahabwe mpakani mwa Wilaya ya
Kakonko na Kibondo, askari
↧
Dr. Shein Azindua Mbio Za Mwenge Mkoani Ruvuma Leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed
Shein (kushoto)akimkabidhi Kiongozi wa Wakimbiza Mwenge Kitaifa Juma
Khatibu Chum (kulia) Mwenge wa uhuru leo mjini Songea baada ya uzinduzi
wa mbio hizo Kitaifa mkoani Ruvuma.
Mkuu
wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu(kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya
Songea Profesa Norman Sigalla King(kulia) Mwenge
↧
Magufuli Amwagiza Mtendaji Mkuu TANROARD Kukabidhi Barabara ya 'DART'
WAZIRI wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli amemwagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Eng. Patrick Mfugale, kukabidhi barabara ya magari yaendayo kasi kwa Wakala wa Mabasi Yaendayo kasi(DART) ili zianze kutumika wakati sehemu zilizobaki zikiendelea kukamilika.
Hayo ameyazungumza Waziri wa Ujenzi Dkt. Magufuli katika hafla uzinduzi wa barabara ya Uhuru ya Manispaa ya
↧
↧
Msanii Ommy Dimpoz Aringishia Sehemu Zake za SIRI
Star wa bongo flava Ommy Dimpoz leo asubuhi kupitia ukurasa wake wa
mtandao wa kijamii wa Instagram alichapisha picha inayoonyesha uume wake
ukiwa umetuna ndani ya suruali.
Ommy amepiga story na Gossip Cop Soudy
Brown ndani ya XXL ya Clouds fm, mskize hapo chini
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya Tarehe 30 April 2015
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya Tarehe 30 April 2015
↧
Yanga kuibeba Simba CAF?
BAADA ya watani zao wa jadi Yanga kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu vita ya kuwania kushiriki michuano ya kimataifa sasa mwakani imesalia kwa vigogo wengine wa soka nchini Simba SC na Azam FC.
Yanga SC kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu imekata tiketi ya kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika, huku wakiziachia kivumbi Simba na Azam ambazo mechi zao za mwisho katika Ligi Kuu ndizo
↧
Tambwe Apania Kuvunja Rekodi ya ‘Hat-trick’
STRAIKA wa kimataifa wa Yanga, Mrundi Amisi Tambwe amesema kuwa bado anahitaji kupiga ‘hat- trick’ moja ili aweze kuvunja rekodi yake aliyoiweka Simba msimu uliopita.
Tambwe aliyeibuka mfungaji bora katika ligi iliyopita baada ya kufunga mabao 19 akiwa na kikosi cha Simba, ameweza kupiga ‘hat trick’ mbili msimu huu akiwa na Yanga na kufikisha mabao 14.
Katika mchezo wao wa juzi dhidi
↧
↧
WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamuduni na Michezo, Dk. Fennela Mukangara Kuikabidhi Yanga kombe
WAZIRI wa Habari, Vijana Utamuduni na Michezo, Dk. Fennela Mukangara anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za kukabidhi Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu Bara klabu ya Yanga, Mei 6 mwaka huu katika mchezo kati ya Azam FC dhidi ya timu hiyo.
Yanga imetwaa ubingwa huo Jumatatu hii ikiwa ni mara ya 25 tangu ilipoanza kushiriki ligi hiyo, baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya
↧
TFF Yatembeza Adhabu kali Ligi Kuu
MWAMUZI wa mechi kati ya Azam FC na Kagera Sugar, Stephen Makuka na msaidizi wake namba mbili Said Mnonga wameondolewa kwenye orodha za waamuzi wa Ligi Kuu na kufungiwa kwa muda wa mwaka mmoja baada ya kushindwa kumudu mchezo huo.
Meneja wa Kagera Sugar, Mohamed Hussein anapelekwa kwenye Kamati ya Nidhamu ya TFF kwa kutoa lugha ya matusi kwa waamuzi na kutaka kumpiga mwamuzi msaidizi
↧
Mwanafunzi auawa baada ya kukutwa na barua ya mapenzi
MWANAFUNZI wa Kidato cha Pili, Jofrey Robert Mwakatenya (15)
anatuhumiwa kuuawa kikatili na baba yake mzazi, Robert Mwakatenya (35)
baada ya kumkuta akiwa na barua ya mapenzi, inayodaiwa aliandikiwa na
rafiki wake wa kike.
Mzazi huyo ambaye ni mfanyabiashara na mkazi wa eneo la Majengo ‘D’
Manispaa ya Sumbawanga, anadaiwa kumwadhibu mwanafunzi huyo, ambaye ni
mtoto wake wa kwanza
↧
Msajili Avionya Vyama Vya Siasa....Avitaka Viache Siasa Za CHUKI ili Kuepusha Machafuko Ya Kisiasa
MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amevionya
vyama vya siasa na wanasiasa wasikamiane na kukomoana kwa sababu,
kufanya hivyo hakujengi demokrasia wala kuisaidia nchi.
Badala yake, amevielekeza viimarishe uelewano na kusaidiana, ili
kujenga Tanzania yenye amani na utulivu, hasa katika kipindi hiki cha
kuelekea katika uchaguzi mkuu.
Akizungumza Dar es Salaam
↧
↧
Mbunge Bahi , Omary Badweli, Ashinda Kesi ya Kuomba RUSHWA
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwachia huru Mbunge wa Jimbo la Bahi mkoani Dodoma, Omary Badweli, aliyekuwa akikabiliwa na mashtaka mawili ya kuomba na kupokea rushwa kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Wilaya ya Mkuranga.
Akisoma hukumu hiyo Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Hellen Riwa, alisema mahakama imemwachia huru mshtakiwa huyo kutokana na upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha shtaka
↧
Diamond, Ali Kiba wachuana Tuzo za Watu
WANAMUZIKI mahiri wa muziki wa Bongo fleva nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond
Platinumz’ na Ali Kiba, ni miongoni mwa wasanii wanaochuana katika Tuzo
ya Msanii Bora wa Kiume katika Tuzo za Watu 2015.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Bongo 5 Media Group,
inayoratibu tuzo hizo, Nancy Sumari, wasanii wengine walio katika
kipengele hicho ni Elias Barnaba, Ommy Dimpoz na Jux.
↧
Kaseja, Mgosi Wagoma Kurudi Simba
WAKATI kukiwa na tetesi za Simba kutaka kuwarudisha kundini wachezaji wake wa zamani Juma Kaseja na Mussa Hassan ‘Mgosi’ ili kuimarisha kikosi chao msimu ujao, wachezaji hao kila mmoja ametoa lake la moyoni.
Wakizungumza na MPEKUZI kwa nyakati tofauti walisema hawajafanya mazungumzo yoyote na Kamati ya Usajili ya Simba ingawa taarifa za wao kutakiwa wanazisikia tu mitaani.
Musa
↧
More Pages to Explore .....