Tume ya uchaguzi nchini Tanzania NEC, imetoa ufafanuzi juu ya suala la
upigaji wa kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa kuchanganywa na
uchaguzi mkuu na kusema kuwa mambo hayo hayatafanyika kwa pamoja.
Mwenyekiti
wa Tume hiyo Jaji Mstaafu Damian Lubuva amesema kuwa mpaka sasa tume
haijaamua ni lini kura ya maoni itafanyika ila kwa sasa wanachofanya ni
kuendelea na uandikishaji wa
Kura ya maoni na Uchaguzi Mkuu HAVITAFANYIKA Pamoja--NEC
↧
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya Tarehe 26 April 2015
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya Tarehe 26 April 2015
↧
Ray C: Nimenenepa lakini kiuno bila mfupa kiko pale pale!
Rehema Chalamila aka Ray C amewatoa hofu mashabiki wa muziki wake,
kuwa unene wake haujakiathiri kiuno chake bila mfupa bali kimemwongezea
uwezo wa kukatika kuliko zamani!
Ray C ambaye alitamba na nyimbo kama ‘Sikuhitaji’ na ‘Umeniacha’,
ameiambia Global TV kuwa anahisi uwezo wake wa kukatika umeongezeka
zadii kutokana na unene.
“Sina tofauti na Ray C wa zamani,” alisema. Ray C
↧
Professor Jay asema siasa haiwezi kumtenganisha na muziki, aizungumzia project mpya ya muziki ‘The Icon’
Rapper mkongwe Joseph Haule aka Professor Jay amesema siasa haiwezi
kumtenganisha na muziki, na pia amejipanga kuja na project mpya ya
muziki iitwayo ‘The Icon’.
Professor ameiambia Mpekuzi kuwa, hata kama akipata nafasi ya ubunge atahakikisha mashabiki wake wanapata muziki kama kawaida.
“Nitaendelea kuwatumikia mashabiki wa muziki wangu kama kawaida,
najua sasa hivi nadeni kubwa
↧
Filikunjombe Atishia Kumchapa Viboko Diwani
Mbunge wa jimbo la Ludewa mkoani Njombe, Mh. Deo Filikunjombe
amesikitishwa na kitendo cha diwani wa kata ya Luilo wilayani humo, Bw.
Mathew Kongo kwa kitendo cha kuwashinikiza wananchi wasishiriki shughuli
za maendeleo.
Akizungumza
na wananchi wa kijiji cha Lifua na Luilo katika kata ya Luilo wilayani
Ludewa, Mh. Filikunjombe amesema baadhi ya viongozi wanakichafua Chama
Cha
↧
↧
CCM Inatengeneza Wapinzani Wake Yenyewe
Hawra Shamte – Mwandishi wa Makala hii
Hayati Mwalimu Julius Nyerere aliwahi kusema: “Hakuna vyama vya
upinzani vyenye uwezo wa kuing’oa CCM madarakani, upinzani wa kweli
utatoka CCM, wenyewe kwa wenyewe watatofautiana kisha wataanzisha chama
chao.”
Ipo siku utabiri huo utatimia, utatimia kwa namna gani, mimi
sifahamu. Wapo waliojaribu kutoka CCM na kuanzisha vyama vyao au
↧
Mvua yasababisha vifo vya watu wawili Tanga
Watoto wawili wamekufa huku wengine wawili wakijeruhiwa vibaya baada ya
ukuta wa nyumba waliyokuwa wamelala kuwaangukia na kuwafunika kitandani
kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha mkoani Tanga.
Wakizungumza na Mpekuzi katika eneo la tukio lililopo barabara ya 18
jijijni Tanga viongozi wa serikali na wale wa wananchi wa eneo hilo
wamesema limetokea jana majira ya saa 11 Alfajiri
↧
Leo TANZANIA inaadhimisha Sherehe za Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Rais Jakaya Kikwete ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
na Usalama, leo anawaongoza watanzania katika kuadhimisha miaka 51 ya
kuzaliwa kwa Tanzania baada ya kuunganisha nchi mbili huru za Tanganyika
na Zanzibar.
Katika
muungano huu ambao leo hii tunausherehekea nikwamba Mwalimu Nyerere
alikuwa Rais wa kwanza na Kiongozi wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
(SMZ),
↧
Mtoto wa Miaka 13 Akutwa Akiwa UCHI Akiwanga
Mtoto mwenye umri wa miaka 13 amekamatwa
usiku akiwa uchi kwa madai kuwa alikuwa akiwanga katika duka moja
lililopo kijiji cha mpunguti Mkoa wa Mbeya.
Mashuhuda wa tukio hilo walidai kuwa
mtoto huyo ni mzoefu kwa kuwa wafanyabiashara wamekuwa wakipotelewa na
fedha katika amzingira ya utata ambapo walitega mtego ili kubaini
upotevu huo na kumbaini akiingia kwenye duka moja ambalo
↧
↧
CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi
Mnamo tarehe 24/4/2015 huko maeneo ya Sogea Tunduma Wilaya ya Momba
Mkoa wa Mbeya, METHEUS ANGANILE MWAFONGO, Mndali, 37yrs, Mkuu wa Ulinzi
CDM Wilaya Momba, pamoja SALEHE TABLEI@SICHALWE, 22yrs, mkazi wa Majengo
Tunduma walikamatwa kutokana na taarifa za kiintelijensia.
Watu hawa walikamatwa wakiwa na
buti pair 2 za kijeshi, kofia pair 2 za kijeshi, kamba kurukia ya
mazoezi,
↧
Picha: Sherehe za Miaka 51 Ya Muungano Zafana Jijini Dar es Salaam Leo
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,
akipunga mkono kuwasalimia wananchi wakati alipokuwa akiwasili kwenye
Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam, leo kuhudhuria Sherehe za
Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kushoto
ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
↧
Vurugu Burundi: Polisi wapambana na Waandamanaji Wanaompinga Rais Nkurunzinza kugombea Urais tena.......Katiba ya Nchi hiyo hairuhusu mihula mitatu
WAPINZANI wa Serikali nchini Burundi, wameitisha maandamano makubwa leo ya kupinga hatua ya Chama Tawala cha CNDD-FDD kumtangaza Rais Pierre Nkurunziza, wa nchi hiyo kuwania mhula wa tatu katika uchaguzi ujao (Katiba ya Nchi hiyo hairuhusu mihula mitatu).
Mkuu wa Chama cha FNL kilichipigwa marufuku nchini humo, Agathon Rwasa, amepinga vikali uamuzi huo na kusema kwamba unaenda kinyume na
↧
Serikali Yaombwa Kutenga Fedha za Kutosha
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora(THBUB),wameiomba Serikali kutenga fedha za kutosha kwa taasisi zote za Serikali zinazohusika na suala la kukomesha ukatili dhidi albino.
Lengo kutekeleza programu za kuelimisha umma, kuharakisha upelelezi na uendeshaji wa kesi za watu wanaodaiwa kufanya ukatili huo.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Tume
↧
↧
Minyoo, kichocho vyatesa Kilimanjaro
SERIKALI mkoani Kilimanjaro imesema magonjwa ya minyooo na kichocho ni tishio kwa afya ambapo mwaka jana pekee wagonjwa 57,014 waliofika katika vituo vya afya mkoani humo waligundulika kuugua magonjwa hayo.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama, aliyasema hayo wakati akifungua warsha ya uhamasishaji juu ya magonjwa yasiyopewa kipaumbele (NTD) kwa wakurugenzi na wenyeviti wa
↧
Mkuu wa Wilaya Ilala Alilia Madawati.
HALMASHAURI ya Manispaa ya Ilala imeendesha harambee ya uchangiaji wa madawati kwa shule zake za msingi 113.
Akizungumza katika hafla ya uchangiaji wa madawati hayo iliyopewa jina la ‘Usiku wa Mswahili’ Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi alisema Halmashauri hiyo inakabiliwa na uhaba wa madawati yapatayo12,000.
“Halmashauri yetu ina wanafunzi takriban 150,800 ambapo wanafunzi
↧
Sherehe za Muungano Zakwamisha Kikao cha Madereva
KIKAO cha umoja wa vyama vya Madereva nchini kilichoahirishwa kupisha sherehe za Muungano sasa umepangwa kufanyika aprili 29 mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Katibu Mkuu wa umoja huo, Rashidi Salehe alisema wameamua kusitisha kikao hicho cha madereva nchi nzima ili kuwapa mrejesho wa majibu ambao wanadai hawakuridhishwa nao kutoka kwa Naibu Waziri wa
↧
Habari Zilizopo Katika agazeti ya Leo Jumatatu ya Tarehe 27 April 2015
Habari Zilizopo Katika agazeti ya Leo Jumatatu ya Tarehe 27 April 2015
↧
↧
Sherehe za Miaka 51 ya Muungano: Vikosi Vya Ulinzi Vyafanyiwa Maboresho...... Mtu Mmoja Akamatwa na Wanajeshi Kwa Kujifanya Usalama wa Taifa
Na Mwandishi wetu,Mpekuzi.
Baada ya Rais Kikwete kuingia alipokelewa na Mkuu ya Jeshi la Wananchi(JTWZ),Generali Davis Mwamunyange ambaye alimpeleka kukagua vikosi vya ulinzi na usalama.
Jeshi hilo limeonekana kufanya maboresho katika gwaride la mwaka huu ambapo waliandaa gadi 20 huku gadi 13 zikiwa nje ya uwanja na gadi 7 zikiwa ndani.
Gadi 13 zilizokuwa nje ya uwanja zilivalia
↧
Makala Ya Sheria: Sheria Inaruhusu Kujikinga Hadi Kuua
NA BASHIR YAKUB-
Kifungu cha 18 cha Sheria ya Kanuni za adhabu sura ya 16 kimeeleza hatua ya mtu kujikinga mwenyewe, kumkinga mwenzake , mali yake mwenyewe na mali ya mwenzake.
Kujikinga( defence) maana yake ni kujilinda au kujitetea inapokwa imekutokea dharula ya kuvamiwa na mtu au watu waovu.
Uovu ni uovu si lazima awe mwizi .
↧
MARKSON BEAUTY PRODUCTS Inakuletea Dawa za Kurefusha Nywele, Kukuza Makalio, Kupunguza Tumbo, Kung'arisha Ngozi na Zingine Nyingi
Je, unapenda kuwa mrembo na mwenye mvuto kwa haraka? MARKSON BEAUTY
PRODUCTS inakuletea bidhaa zenye ubora na matokeo ya haraka zisizo na
kemikali wala madhara kwa mtumiaji.
Tuna uzoefu wa miaka 15 na bidhaa
zetu zote zimethibitishwa.
TUNAZO BIDHAA ZA:-
1. Kurefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @80,000/=.
2. Kutengeneza shepu (hips na makalio) @
↧
More Pages to Explore .....