MWILI wa mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Matui iliyoko Wilaya ya Kiteto, Mkoa wa Manyara, aliyedaiwa kufariki baada ya kuchapwa viboko na walimu wake, Emmanuel Mbigima (15), umefikishwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma.
Wakati mwili huo unafikishwa hospitalini hapo jana asubuhi, ulikuwa umewekwa kwenye gari la Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto ukisindikizwa
Mwili wa mwanafunzi Kiteto Aliyefariki Kwa Kuchapwa Viboko na Walimu wafikishwa Dodoma
↧
↧
Jack Dustan: Waume za Watu Watatuua
Staa aliyepata umaarufu kupitia Shindano la Maisha Plus, Jacqueline
Dustan amefunguka kuwa mastaa wamepachikwa nembo ya kuwa ni vinara wa
kubeba waume za watu jambo ambalo linawapa sifa mbaya.
Akizungumzia mwenendo wa mastaa wengi kuhusishwa na skendo ya kutembea na waume za watu, Jack alisema:
“Yaani sisi mastaa tumepachikwa nembo ya kupora waume za watu. Imefika
wakati hata
↧
Tatizo la Kushindwa Kuzaa: Wema Sepetu Akubali Waganga 26 Kumtibu
Kufuatia tatizo la kushindwa kupata ujauzito
alilonalo msanii maarufu Bongo, Wema Sepetu, hivi karibuni waganga
wapatao 26 kutoka sehemu mbalimbali nchini walijitokeza na kuomba
kuunganishwa na staa huyo ili wamtibu.
Waganga hao wa tiba asilia pamoja na madaktari kutoka hospitali
mbalimbali kwa nyakati tofauti walipigia simu na kueleza
kuwa, wanashangaa kuona Wema anakosa amani
↧
Askofu Pengo: Nasumbuliwa na uti wa mgongo, Watanzania Chagueni Rais Masikini
Hatimaye Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama
Polycarp Kardinali Pengo amewatoa hofu Watanzania kuhusu afya yake kwa
kueleza kuwa anaendelea vizuri baada ya kufanyiwa uchunguzi wa matatizo
yake ya uti wa mgongo.
Kardinali Pengo pia amegusia nafasi ya urais katika Uchaguzi Mkuu ujao
kwa kuwataka watanzania kumchagua rais fukara kuliko anayetafuta nafasi
hiyo
↧
CHADEMA Nusura Wampe Kichapo Andrew Chenge.......Aokolewa Kwa Risasi. CHADEMA Wanamshutumu Kupiga Muziki Karibu na Ofisi Zao
MBUNGE wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge juzi aliokolewa kwa risasi
katika vurugu za kundi la wananchi, waliomvamia karibu na ofisi za
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Simiyu na
kusababisha taharuki katika ofisi za chama hicho.
Mmoja wa watu waliokuwa kwenye gari la mbunge huyo wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM), aliyekuwa na msafara wake kutekeleza shughuli za ubunge
↧
↧
Januari Makamba: Nikiukosa Urais Mwaka Huu Itakuwa Ni Vigumu Sana Kuupata Tena
Mbunge wa Bumbuli (CCM) na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi
na Teknolojia, January Makamba amesema haweki utani katika suala la
kugombea urais na akikosa kiti hicho kipindi hiki itakuwa vigumu
kukipata miaka ijayo.
Makamba ameliambia gazeti la Mwananchi, hivi karibuni , kuwa kauli zinazotolewa na watu, ikiwemo ile ya yeye
kutumiwa kutangaza nia ili baadaye aje kumuunga mkono
↧
CCM Wamjibu Dr. Slaa Kuhusu NEC......Wakanusha Kukisaidia Chama Kipya Cha ACT-Wazalendo
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amekanusha madai yaliyotolewa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa, kwamba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kuandikisha Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika ngome za CCM na kueleza kuwa huo ni upotoshaji mkubwa kwani Tanzania nzima ni ngome ya chama hicho.
Mbali
↧
Afande Sele: Nikichaguliwa Kuwa Mbunge Nitakataa Posho na Mishahara Mikubwa
Mwana hip hop na Bongo Fleva nchini, Afande Sele, ameweka wazi kwamba
hata kama atakuwa mwakilishi wa wananchi katika bunge la mwakani,
hataweza kuacha kufanya muziki kwa kuwa ndiyo njia ya kumuingizia
kipato.
Alisema licha ya kuwa bungeni, atakuwa akitegemea zaidi fedha
zinazotokana na muziki wake badala ya kufikiria mishahara minono na
posho zinazopatikana bungeni.
“Kazi
↧
Udampo wa Bidhaa za nje Anguko la Shilingi ya Tanzania
Shilingi ya Tanzania itaendelea kuporomoka kila mara endapo nchi itaendelea kutegemea bidhaa toka nje kwa kiwango kikubwa kuliko inavyozalisha ndani.
Akizungumza na MPEKUZI Profesa Prosper Ngowi toka Chuo Kikuu cha Mzumbe alisema watanzania wasitegemee miujiza wa kukua kwa uchumi wa nchi yao endapo nchi itaendelea kuwa dampo la bidhaa toka nje ya nchi.
Alisema Tatizo kubwa la
↧
↧
IPTL Kujenga Zahanati Kawe
KAMPUNI ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), ambayo ni kampuni tanzu ya Pan Africa Power Solutions (T) Limited (PAP), inatarajia kujenga zahanati katika Kata ya Kawe ili kupunguza tatizo la upatikanaji wa huduma za afya kwa wakazi wanaozunguka kampuni hiyo.
Kauli hiyo imetolewa jana na Katibu na Mshauri Mkuu wa Sheria wa makampuni hiyo, Joseph Makandege, wakati
↧
CCM Yaanza 'Kusaka' Wasaliti wa Chama Hicho
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Philip Mangula amemaliza
ziara yake katika majimbo ya Mkoa wa Dar es Salaam, na kuagiza kila
mwanachama awe mlinzi wa mwenzake, amchunguze ili kuepuka wasaliti.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mangula alisema kuna
wanachama wamekuwa wakikisaliti chama hicho tangu mwaka 2010 na wengine
bado wapo, ambao wamekuwa wakisababisha CCM
↧
Serikali Yaanza Tathmini Kero za Muungano
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais( Muungano) Samia Hassan Suluhu amesema kero mbalimbali za Muungano zilizoibuliwa zimeanza kufanyiwa tathmini na Serikali.
Suluhu alisema hayo jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa wakati alipokuwa akizindua onesho la miaka 51 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Alisema moja ya hatua zilizoanza kuchukuliwa na Serikali juu
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya Tarehe 25 April 2015
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya Tarehe 25 April 2015
↧
↧
ACT-Tanzania Yabadili Jina
Chama kipya cha ACT-Wazalendo kinachoongozwa na Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (pichani juu), kimebadili jina lake la awali la ACT-Tanzania.
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini imekubali maombi ya chama hicho huku ikiwataka kurudisha cheti cha usajili wa awali na kupewa cheti kingine.
Awali ACTL-Wazalendo ilipata usajili kwa jina la ACT-Tanzania na
↧
Muuguzi amchapa mjamzito viboko......Ni wakati wa uchungu wa kujifungua, Mtoto afia tumboni.
Muuguzi mmoja wa zahanati ya Muungano, Chamwino, mkoani Dodoma, amekumbwa na kashfa nzito baada ya kudaiwa kumchapa viboko mama mjamzito, wakati akiwa katika hali ya uchungu wa kujifungua na kusababisha mtoto aliyetaka kujifungua kufariki akiwa tumboni.
Aidha, mama huyo ambaye kwa sasa amelazwa katika chumba cha uangalizi maalumu (ICU) katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, hali
↧
Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa yako ili uweze kwenda Raundi mbili na kuendelea??....Bofya hapa ukutane na JIKO
Neema
Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa
mbalimbali za asili.
Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa
tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha kabisa tatizo
la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.
Dawa hii iitwayo
JIKO ni ya asili kabisa (PURE HERBAL) na inaponyesha na
kumaliza kabisa tatizo la nguvu za kiume
↧
Zaidi ya Watu 900 Wadaiwa Kupoteza Maisha kwa Tetemeko la Ardhi Nchini Nepal
TETEMEKO
la ardhi limetokea nchini Nepal jana na na kupoteza
maisha ya watu ya 900 na kuangusha Mnara wa Karne ya 19 Mjini,
Kathmandu pamoja na kusababisha maporomoko ya theluji kutoka katika
milima.
Taarifa
zinadai kuna uharibifu katika maeneo ya nje ya kitovu cha tetemeko hilo
lenye ukubwa wa kipimo cha richter cha 7.9 maili 50 kutoka Pokhara mji
wa pili kwa ukubwa nchini
↧
↧
Picha za Feeman Mbowe Alipounguruma Mkoani Simiyu
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe,
akizungumza na halaiki ya vijana wa chama hicho muda mfupi baada ya
kuifunga kambi ya mafunzo ya vijana hao iliyofanyika Kijiji cha
Lagangabilili Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu juzi.
Mamia
ya wananchi wa Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, wakimshangilia
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
↧
Kusimamishwa Kwa Shindano la Miss Tanzania Kwa Misimu Miwili Kuko Palepale- BASATA
Katika
siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa kwenye vyombo vya habari na
mitandao mbalimbali ya kijamii kwamba shindano la urembo nchini maarufu
kwa jina la Miss Tanzania limefunguliwa na Baraza la Sanaa la Taifa
(BASATA) na kwamba Kampuni ya Lino International Agency LTD ambayo ni
waendeshaji wa shindano hilo imewataka mawakala wake kuanza maandalizi
ya shindano hilo.
Taarifa
↧
Watanzania 26 Waliokuwa Afrika Kusini Warejea Nyumbani.......20 Wengine Kuhakikiwa na Kurejeshwa
Kundi
la Watanzania 25 limerejea nyumbani kutoka Afrika Kusini jana tarehe 26
Aprili, 2015 kufuatia mashambulizi ya wazawa dhidi ya wageni. Kundi
hilo la kwanza kurejea nyumbani liliwasili katika Uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere saa 11 alfajiri na Ndege ya Fast
Jet.
Watanzania
hao walikuwa wanaishi katika kambi za dharura za Isipingo na Phoenix
zilizopo jijini
↧
More Pages to Explore .....