Raia 12 wa Iran na Pakistan wanaokabiliwa na kesi ya kukutwa na kuingiza nchini dawa za kulevya aina ya heroin kilo 200.5, zenye thamani ya sh. bilioni 9.02, wamelalamikia kucheleweshwa kwa kesi yao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam.
Washtakiwa hao ni Kapteni Ayoub Mohamed, Buksh Mohamed, Fahiz Dauda, Khalid Ally, Abdul Somad, Saeed Sahury, Bashir Afraz, Morad Gwaram
Wapakistan 12 Wanaokabiliwa na Kesi ya Kusafirisha Dawa za Kulevya Wameomba Wapigwe Risasi Baada ya Kesi yao Kuzungushwa Kisutu
↧
↧
Walimu Watatu Wamchapa Mwanafunzi wa Kidato cha Pili viboko Hadi Kufariki kwa Kufeli Mtihani wa Kiswahili huko KITETO
Picha ya Maktaba
Mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Matui
wilayani Kiteto, amefariki dunia darasani baada ya kudaiwa kuchapwa viboko
na walimu watatu wa shule hiyo, kwa kile kilichodaiwa kufeli mtihani wa
Kiswahili.
Polisi wilayani na mkoani Manyara, wanamshikilia mwalimu mmoja baada ya wenzake kukimbia baada ya tukio.
Akizungumza jana, Mkuu wa Wilaya ya
↧
Hapa Nina Tamko La Jeshi La Polisi Pamoja Na Video Ya Tukio Zima La Majambazi Yaliyonaswa Jana Jijini Dar Baada ya Kumpora Mzungu
Watuhumiwa wanne wamekamatwa jijini Dar es Salaam katika makutano ya
barabara ya Bibi Titi na Ohio karibu na Hotel ya Serena baada ya kumpora
raia wa kigeni wakiwa na gari dogo rangi ya kijivu yenye nambari za
usajili T787 DBU Toyota Cienta.
Hivi karibuni kumeibuka wimbi la wahalifu kuwapora pesa na vitu vya
thamani kama mikufu, bangili, hereni pia pete na vitu mbalimbali vya
thamani
↧
Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa yako ili uweze kwenda Raundi mbili na kuendelea??....Bofya hapa ukutane na JIKO
Neema
Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa
mbalimbali za asili.
Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa
tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha kabisa tatizo
la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.
Dawa hii iitwayo
JIKO ni ya asili kabisa (PURE HERBAL) na inaponyesha na
kumaliza kabisa tatizo la nguvu za kiume
↧
Mapambano Bado Yanaendelea......Jana CHADEMA na ACT-Wazalendo Nusura Wakutane Uso Kwa Uso Nyumbani Kwa Baba wa Taifa. Vurugu Za Mnyika Ziligonga Mwamba Kwa Mara Nyingine
Mtoto
wa Hayati baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Andrew Nyere, akiteta jambo na
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na kuvaa kofia ya
Chama cha ACT-Wazalendo wakati viongozi wa chama hicho walipofanya ziara
kijijini Mwitongo Wilayani Butiama.
************
Viongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo na Chama cha Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA), jana nusura wakutane uso kwa uso
↧
↧
Mambo Yameiva: Mmiliki wa Gombe high School, Dkt Yared Fubusa Atangaza Nia Ya Kugombea Ubunge Jimbo La ZITTO KABWE Kwa Tiketi ya CHADEMA
Mwanzilishi
na Mkurugenzi wa Gombe school of Environment and Society (GOSESO) na
mmiliki wa Gombe high school, Dkt Yared Fubusa ambaye pia ni kada wa
chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ametangaza nia ya kugomba
ubunge jimbo la Kigoma kaskazini kupitia chama hicho.
Akiongea
na mtandao huu, Dkt Fubusa amesema kuwa ameamua kutangaza nia ya
kugombea ubunge na kipaumbele cha
↧
Breaking News: Watu 10 Wafariki Dunia Baada ya Basi la kampuni ya Unique Kugongana na Gari la Coca Cola
Habari zilizotufikia zinaarifu kuwa basi la
Unique lenye namba za usajili T148 BKK likitokea jijini Mwanza kwenda
Tabora limegongana uso kwa uso na lori la kampuni la Cocacola katika kijiji cha
Ibingo kata ya Samuye Shinyanga.
Watu 10 wamefariki na 50 wamejeruhiwa.Majeruhi wamekimbizwa katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga.
Picha na habari ya kina itakuijia baadae.
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya Tarehe 23 April 2015
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya Tarehe 23 April 2015
↧
Serikali Yaainisha Asasi za Dini na Kiraia Zitakazofutwa........Yakanusha Mpango wa Kufuta Asasi Zinazojihusisha na Siasa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema kuwa vyama ambavyo vitafutwa ni vile tu ambavyo haviwasilishi taarifa za kila mwaka za ukaguzi wa hesabu na ada ya kila mwaka kama sheria inavyoelezea.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Dar es Salaam jana na kusainiwa na Msemaji wa Wizara hiyo Isaac Ntanga, alieleza kuwa ni vyema ikaeleweka kuwa zoezi linaloendelea kwa sasa halihusiani na
↧
↧
Watumishi Mafisadi Kitanzini....Serikali Yaibuka na Mwongozo Mpya , Tume ya Maadili Yapewa Meno Makali
Serikali
imeendelea na mikakati ya kuwadhibiti viongozi wa umma wanaokiuka
maadili na kushiriki kwenye vitendo vya wizi na ufisadi, ambapo sasa
imeunda mwongozo mpya utakaotumika kuwabana.
Mwongozo huo
ambao unatajwa kuwa suluhisho na mwarobaini wa watumishi wezi na
wanaokwenda kinyume, pia utaipa meno zaidi ya kiutendaji, Sekretari ya
Maadili ya Viongozi wa Umma, tofauti na ilivyo
↧
Busu la Kajala Lilinifanya Nilale Usingizi Mnono- Senga
Mchekeshaji maarufu Bongo, Joseph Senga ‘Senga’ amefunguka kuwa
busu alilompiga staa wa kike wa filamu, Kajala Masanja lilimfanya alale
usingizi mnono sana ukizingatia kuwa hajawahi kubusu shavu laini kiasi
hicho kwasababu warembo wengi wanazingua.
Akizungumza na Centre Spread, Senga alisema alipata fursa hiyo
ya kumpiga busu wakati wakiigiza filamu matata ya Pishu iliyoandaliwa
na
↧
Majambazi Yavamia Kanisani na Kuiba Chombo Kinachotumika Kuhifadhia Ekaristi Takatifu......Kwa Mujibu wa Sheria Za Roma, Ukristo Ndo Basi Tena Eneo Hilo
Watu watano
wamevamia na kuvunja madirisha ya Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph,
Parokia ya Malolo na kuiba chombo kinachotumika kuhifadhia ekaristi
takatifu (TABERNACULO).
Imeelezwa kuwa majambazi hayo yalidhani chombo hicho kimetengenezwa kwa dhahabu.
Tukio hilo lilitokea juzi, saa 8:30 usiku, baada ya majambazi hayo kuvunja madirisha ya kanisa hilo.
Kanisa hilo ni
↧
Vyama Vingi vya Siasa Vinatamaa ya Madaraka na Vyeo - Zitto Kabwe
Kiongozi Mkuu wa Chama cha Alliance for Change and Transparency ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema kuwa vyama vingi vya siasa nchini,vinasumbuliwa na uroho wa madaraka pamoja na vyeo.
Aliongeza kuwa vyama hivyo katika mikutano yake vimekuwa vikiacha kueleza matatizo yanayowakabiliwananchi badala yake ni kutukana mwanzo mwisho.
Zitto alitoa kauli hiyo juzi wakati akizungumza na wakazi
↧
↧
Mkuu wa Jeshi La Polisi Nchini (IGP), Ernest Mangu Apiga Marufuku Vyama Vya Siasa Kuwa na Vikundi Vya Ulinzi
INSPEKTA
Generali wa Polisi (IGP), Ernest Mangu amepiga marufuku vikundi vya
ulinzi vya vyama vya siasa ambavyo vina muonekano na muundo wa vyombo
vya usalama, kwani ni kinyume cha katiba na sheria ya nchi.
Vilevile, amevitaka vyama hivyo kuhakikisha vinafuata muongozo
uliotolewa na Ofisi ya Msajili wa vyama hivyo na kama vikienda kinyume
jeshi litapambana navyo.
Mangu alitoa tamko
↧
Mwanafunzi afariki kwa kupigwa na radi
Mwandishi wetu.
MWANAFUNZI wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Kyela, iliyoko Mkoa wa Mbeya, Kharid Omary (13), amefariki dunia baada ya kupigwa na radi.
Pamoja kifo hicho, watoto wengine wawili walipoteza fahamu kutokana na radi hiyo.
Tukio hilo lilitokea juzi saa 12 jioni katika Kitongoji cha Bondeni, wakati mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali ilipokuwa ikinyesha.
↧
Viziwi Hawapati Haki ya Kuwasiliana
CHAMA cha Viziwi kimeiomba Serikali na taasisi zake kuandaa mikakati mahususi na mipango bora endelevu ya kuendeleza Lugha ya Alama(LAT) na kuondoa vikwazo vya mawasiliano kwa viziwi.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Hendry Monzale, alisema ni vyema serikali ikachukua hatua za haraka kuwaandaa wataalamu wa lugha ya alama
↧
Janga la mabadiliko ya nchi lanukia.
Mwandishi wetu.
HALI ya mazingira nchini imeendelea kuwa mbaya ambapo zaidi ya hekari 400,000 za misitu hupotea kila mwaka huku matukio ya uchomaji moto ovyo yakiongezeka hadi kufikia 1,123,000 kwa kipindi cha mwaka 2000-2011.
Hayo yalibainishwa jana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Mhandisi Dk. Bilinith Mahenge, wakati wa uzinduzi wa ripoti ya pili ya hali
↧
↧
Madereva waendelea kuigomea Serikali.
Mwandishi wetu.
UMOJA wa Madereva Tanzania umegomea tamko la Serikali kwa madai kuwa hoja zao za msingi hazijajibiwa kama vile walivyoagiza.
Aprili tisa madereva hao walifanya mgomo wa nchi nzima kwa masaa saba wakiishinikiza serikali kutatua madai yao ya miaka mingi ambayo hayajapatiwa majibu.
Akizungumza na MPEKUZI Katibu Mkuu wa Umoja huo, Rashid Salehe, alisema wanalipinga
↧
Mkuu wa shule alilia bweni kupunguza mimba
Mwandishi wetu
SHULE ya Sekondari ya Zimanimoto iliyopo Kata ya Ruvuma Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, inakabiliwa na chanagamoto ya ukosefu wa bweni la wasichana, jambo ambalo linachangia wanafunzi wa kupata mimba.
Hayo yalielezwa na mkuu wa shule hiyo, Kandidus Kowero, mbele ya meneja wa Benki ya Posta tawi la Songea ,Joseph Shirima, ambaye alienda kutoa zawadi kwa wanafunzi
↧
Wanafunzi wasomea kwenye mti Dodoma
Dodoma;
WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Chang’ombe B, iliyopo katika Manispaa ya Dodoma, wanalazimika kusomea chini ya mti kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa.
Taarifa hiyo ilitolewa mjini Dodoma juzi na Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Jacob Kalonga, alipokuwa akitoa taarifa kwa Ofisa Elimu, Mkoa wa Dodoma, Juma Kaponda, aliyekuwa ametembelea shuleni hapo
Kalenga alimwambia ofisa elimu
↧