Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

MLINZI WA BAR ACHINJWA KIKATILI NA MAJAMBAZI USIKU WA KUAMKIA LEO

$
0
0
Mlinzi wa baa ya Darajani Stop Over iliyo kando kando ya barabara kuu ya Morogoro Dar es salaam jirani na daraja la Mzambarauni  Bw Mika Athumani amechinjwa na majambazi usiku wa kuamkia leo. Habari zilizopatikana eneo la tukio zilidai kwamba majambazi hayo yalivamia baa hiyo iliyojitenga usiku wa manane na kumvamia mlinzi huyo na kumchinka kama kuku na baadae kuvunja baa hiyo

SERIKALI YAAHIDI KUWACHUKULIA HATUA KALI VIONGOZI WA WIZARA YA ELIMU WALIOSABABISHA UBOVU WA MATOKEO YA FORM FOUR

$
0
0
Mizengo Pinda. Serikali imeahidi kuwajibisha watendaji watakaobainika kwenda kinyume katika uingizaji wa mfumo mpya wa usahihishaji mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2012, ambao matokeo yake yamefutwa. Akijibu swali la papo kwa hapo la Mbunge wa Viti Maalumu, Magdalena Sakaya (CUF), Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alisema kinachosubiriwa sasa, ni maelezo ya kina ya Tume ya Taifa

"NIMEAMUA KUTOA PICHA ZANGU ZA NUSU UCHI ILI NIMUONESHE LOVENESS DIVA KWAMBA MIMI NI

$
0
0
Mrembo wa kenya anayedai  kuporwa  mume  na  loveness  Diva wa clouds  Fm  ameamua  kuachia  picha  zake  za  laana  kwa  lengo  la  kuonesha  ubabe  wake  wa Diva..... Huddah  anamtaka  DIVA  naye  atoe  pix  zake  alafu  jamii  ilinganishe  ni nani  BOSS....!!! ...DIVA  , Boss  anaomba  umjibu  kwa  vitendo...Vinginevyo  anataka  umuachie  mpenzi  wake na  badala  yake  umrudie 

"TAFUTA HELA MBWA WEWE....HATA HELA YA SIGARA HUWA UNAOMBA CLUB"..HAYA NI MATUSI ALOPEWA TID BAADA YA KUMTOSA LADY JAYDEE

$
0
0
TID a.k.a MNYAMA  leo amejikuta  akiambulia  matusi  ya  nguoni  baada  ya kuitosa  show  ya  Lady Jaydee  na  kuandika  chenga  zake  katika  Account yake ya Facebook.... Hizi  ni  comment  za  hao mashabiki  wake  walioamua  kumharibia  siku  yake..... <!-- adsense -->

PICHA ZA NUSU UCHI ZA KUNDI LA "ZE KOMEDI' ZAVUJA'.....HII NI ZAIDI YA AIBU

$
0
0
Picha za aibu  zinazowaonesha wasanii wa kundi la Ze Komedi wakiwa kwenye fukwe moja ya huko Kigamboni zimezua balaa kubwa ......  Happy  kabla  hajavua  nguo....  == Mtandao  huu  umefanikiwa  kuzipata  picha  hizi  kutoka  kwa  msomaji  wetu  mpendwa  ambaye  kwa  uzalendo  wake  ametutumia  kwa  njia  ya  email  huku  akielezea  kwa  kifupi  kuhusu  sakata  hilo  la  aibu.....  

WANAWAKE JIJINI MBEYA WAMVAA MCHUMBA WA DR. SLAA BAADA YA KUMKASHIFU MKE WA RAIS KIKWETE

$
0
0
UMOJA wa wanawake  wa chama cha Mapinduzi Mkoani Mbeya(UWT) umemshukia Bi.Josephine Mushumbusi ambaye ni mchumba Katibu Mkuu wa chama chaDemokrasia na maendeleo CHADEMA kufuatia kauli za udhalilishaji dhidiya Mke wa Rais Mama Salma Kikwete. Hatua hiyo inatokana  na kauli za kiudhalilishaji zilizotolewa mwishoni mwa wiki na mchumba huyo wa Katibu Mkuu wa Chadema kuwa mama Kikwete

HAYA NDO MAJINA YA WANAFUNZI WA CBE NA UDSM WALIONASWA WAKIJIUZA ( MAKAHABA)

$
0
0
Wanafunzi wa kike wa chuo kikuu cha Dar es salaam [UDSM],Chuo cha elimu ya biashara [CBE]na chuo cha mamlaka ya Elimu na ufundi  stadi [VETA],Dar es salaam ,wamefikishwa katika mahakama ya jiji samora wakidaiwa kufanya biashara ya kuuza mili yao.Washitakiwa hao waliokamatwa  katika eneo la kona Baa Ambiance Sinza wilayani kinondoni ambao ni miongoni mwa wanawake 35 wanaodaiwa kufanya

BAADA YA KUWEPO HOFU YA MAANDAMANO, MJI WA MTWARA WATAWALIWA NA UKIMYAA, SHUGHULI ZA SIMAMA, ULINZI KILA KONA

$
0
0
Hakukuwa na hali yeyote ya uvunjifu wa amani Ulinzi umeimarishwa kila kona Hali ya usalama ndani ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani ni tete. Soko Kuu, kituo kuu cha mabasi na maduka yamefungwa tangu asubuhi.    Usafiri wa Pikipiki unapatikana katika baadhi ya maeneo machache ya mji, huku maneo makuu ya biashara yakiwa wazi bila ya pilikapilika za watu kama ilivyo kawaida.  

ELIMU YA SHULE ZA MSINGI ITAKUWA NI MIAKA 10 BADALA YA 7

$
0
0
RASIMU ya Sera ya Elimu na Mafunzo nchini inapendekeza kuunganisha elimu ya msingi na sekondari ya kawaida ya sasa ili kuunda elimu-msingi itakayotolewa kwa kipindi cha miaka 10 kuanzia mwaka 2018, imefahamika.  Rasimu ya kwanza ya Sera hiyo imeshakamilika na sasa wadau mbalimbali wanatoa mapendekezo yao kuiboresha, kabla ya kupelekwa bungeni ili kutungiwa sheria. Aidha,

MTOTO ALIYEPIGWA MAPANGA NA BABA YAKE AFARIKI DUNIA

$
0
0
Mtoto Devotha Gerald (4) aliyepigwa mapanga na baba yake, polisi mstaafu Samson Bwire Amefariki dunia baada ya jitihada za madaktari kuokoa maisha yake kushindikana...   Mtuhumiwa wa tendo hilo ambaye naye alipigwa vibaya na wananchi wenye hasira yuko mikononi mwa jeshi la polisi....   Tendo hili lilitokea mkoani Shinyanga.  Kama haukuona habari hiyo ya kusikitisha, ya

HOFU YATANDA BUNGENI KUTOKANA NA TETESI ZA SHAMBULIO LA KIGAIDI MJINI DODOMA

$
0
0
Hali ya wasiwasi imelikumba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwepo kwa tetesi ya shambulio la kigaidi katika maeneo ya Bunge. Hali hiyo inafuatia ujumbe mfupi wa maneno uliosambazwa, ukitaadharisha kuwa kuna tukio la kigaidi limepangwa kufanywa katika eneo la Bunge. Ujumbe huo uliosambazwa kwenye simu za baadhi ya wabunge ulisomeka

AIBU: MCHUNGAJI NA WANAKWAYA WATWANGANA NGUMI KANISANI

$
0
0
KATIKA hali isiyo ya kawaida, ugomvi mkubwa umetokea kwenye Kanisa la AICT, kati ya baadhi ya wanakwaya wa kanisa hilo linalofahamika kwa jina la “Bupandwa” na mchungaji wao Petro Masule. Tukio hilo la aina yake, limetokea kwenye Kijiji Bupandwa,Kata ya Bupandwa, Wilaya ya Sengerema, mkoani  Mwanza.   Wanakwaya hao walisimamishwa kutoa huduma Kanisani kwa njia ya uimbaji kwa kosa la

YANGA YAICHAPA SIMBA 2-0, VURUGU ZATOKEA UWANJANI REFA APIGWA

$
0
0
Shabiki wa Yanga ambaye jina lake halijapatikana alikatwa kidole baada ya jazba kati ya washabiki wa timu za Yanga na Simba zilizopelekea Mashabiki hao kuchapana makonde leo kabla ya mechi kuanza.Tukio hilo lilitokea katika eneo la Mwembe Yanga. Timu ya Yanga imeonyesha ubingwa kwa kuichapa timu ya Simba mabao 2 kwa 0 huku vituko na vioja vingi vikijili uwanjana ikiwepo  kichapo  kwa

"MIMI SIYO MSAGAJI....NIPO TAYARI KUWATAJA WANAUME NILIOLALA NAO"...HALIMA MDEE

$
0
0
Kupitia season mpya ya Clouds Fm, ndani ya so so fresh na fetty, Mh Halima Mdee jana amefunguka juu ya swali aliloulizwa kuhusu story zilizosambaa kuwa anashiriki mapenzi ya jinsia moja. Hii  ndo  kauli  yake:"Unajua huwezi kuzuia watu kusema, na mimi huwa sihangaiki na watu wanasema nini, lakini ukitaka kumjua Halima unaweza ukamchunguza kirahisi sana, kwa kumuangalia alipotoka,

HUYU NDO MBUGE ALIYEDONDOKA JANA BUNGENI

$
0
0
MBUNGE wa Viti Maalumu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  Mwanamrisho Taratibu Abama  jana asubuhi aliugua  na  kuanguka ghafla katika viwanja vya Bunge na kukimbizwa hospitali....   Tukio hilo lilitokea wakati akienda  kuhudhuria semina ya wabunge kuhusu  Rasimu ya Sera ya Gesi Asilia kabla ya kukosa nguvu   na  kudondoka  na  kisha kusaidiwa na wenzake  kumkimbiza kwenye

MR. NICE AURUDIA TENA "UKICHECHE" ULIOMFANYA AFILISIKE

$
0
0
Hakika  Tabia  ni  ngozi.... Ni vigumu  kuamini, lakini  ukweli  ni  kwamba Mr.Nice  ameirudia  tena  ile  tabia  yake  ya Ukicheche  na  kuwapanga  wanawake  mithiri  ya vyombo  kabatini  iliyomfanya  afulie  na  hatimaye  kuwa  omba omba..... Taarifa  toka  nchini Kenya  ambako kwa  sasa  msanii huyo  yupo huko  ni  kwamba, Mr. Nice   kwa  sasa   alala  baa  akiwa  amezungukwa  na 

MMILIKI WA JAMIIFORUMS NA NDUGU ZAKE WAPATA AJALI MBAYA

$
0
0
Mmoja wa waanzilishi na wamiliki wa Jamii Forums, Maxence Melo, amepata ajali ya gari katika barabara kuu iendayo Mwanza; kilometa chache kutoka Nzega mjini.  Mwanzilishi mwenzie na msemaji wa Jamiiforums, Mike Mushi, amesema Maxence na ndugu yake ambaye naye alikuwepo kwenye ajali hiyo, walikimbizwa katika hospitali ya Rufani ya Bugando kwa matibabu na uchunguzi zaidi.  Bw.

"WANAOCHOCHEA VURUGU ZA KIDINI NI WATU WALIOTUMWA NA MATAIFA YA NJE"..... RAIS KIKWETE

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete amebainisha kuwa vurugu za kidini na kisiasa zinazotokea nchini, zina uhusiano na watu wa nchi za nje. Kikwete alitoa kauli hiyo jana kwenye ibada maalumu ya kuwekwa wakfu kwa Askofu Mkuu wa Sitta wa Kanisa Anglikana Tanzania, Dk Jacob Chimeledya. Rais Kikwete alikuwa mgeni rasmi kwenye ibada hiyo iliyofanyika kwenye Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu. “

MBUNGE WA IRINGA AWAONGOZA WANANCHI KUFANYA VURUGU

$
0
0
Mbunge  wa Iringa mjini Peter Msigwa (CHADEMA) hivi sasa  anaongoza  vurugu za machinga Iringa Mjini eneo la mashine tatu.... Polisi mkoani Iringa wanapambana  nao  kuidhibiti hali hiyo....Chanzo: Wapo Radio <!-- adsense -->

MBUNGE WA IRINGA ( PETER MSIGWA ) ATIWA MBARONI BAADA YA KUONGOZA WANANCHI KUFANYA FUJO

$
0
0
 mbunge  wa  jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akiwasili  eneo la vurugu kabla  ya kuanza kwa  vurugu  hizo  Mbunge Msigwa akiondoka  eneo la mashine  tatu   Machinga  wakisukuma gari ya  mbunge Msigwa   Polisi  wakimfuatilia  mbunge Msigwa kwa  nyuma baada ya  kufika eneo hilo  bila kufanya biashara kama alivyoahidi Polisi  wakianza  kufukuza  wananchi  eneo
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images