Serikali imesema ajira za walimu wapya zitaanza rasmi Mei Mosi, mwaka
huu huku ikiweka wazi kuwa walimu hao wasitegemee kupangiwa katika
maeneo ya majiji, manispaa na miji.
Walimu hao wametakiwa kutotegemea kupangiwa katika maeneo hayo
kutokana na idadi ya walimu waliopo ni kubwa na inakidhi mahitaji, huku
maeneo yaliyopewa kipaumbele ni vijijini na halmashauri ambazo zina
mahitaji
Ajira Mpya za Walimu Ni Tarehe 1 Mwezi wa 5.....Majina 31,000 Yatatangazwa Hadharani April 24
↧
↧
Radi Yaua Mwalimu na Wanafunzi 6 Kigoma
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya mkoa wa Kigoma,Maweni akiongeza na Waandishi wa habari juu ya tukio la radi lililotokea hivi punde na kuuwa watu 8
Na Editha Karlo Karlo wa blog ya jamii,Kigoma.
WATU wanane wakiwemo wanafunzi sita na mwalimu wa shule ya msingi kibirizi mmoja pamoja na mtu wa kawaida mkazi wa eneo la Bangwe mjini hapa wamekufa baada ya kupigwa na radi huku wanafunzi
↧
Kamanda Mpinga: Madereva Waliosababisha Ajali Kwa Uzembe Kufutiwa Leseni Zao
Kamanda wa Polisi wa kikosi cha usalama Barabarani Mohammed Mpinga,akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano na Kamanda wa Polisi wa kikosi cha usalama barabarani Mohammed Mpinga jijini Dar leo.(Picha na Emmanuel Massaka).
Na Chalila Kibuda.
KIKOSI cha Usalama Barabarani
↧
Lipumba: Siku Ya Uchaguzi Mkuu Itatangazwa Na NEC Na Si Vinginevyo
Mwenyekiti wa taifa wa Chama cha Wananchi (CUF),Profesa Ibrahim Lipumba akizungumza na baraza la uongozi wa chama hicho (hawapo pichani) iliyofanyika Makao Makuu ya Chama hicho jijini Dar es Salaam, wapili kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Shariff Hamad, kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Zanzibar,Nassor Ahmed na kushoto ni makamu Mwenyekiti wa chama cha Wananchi (CUF) Taifa,Duni
↧
Habari zilizopo Katika Magazeti ya Leo
↧
↧
Zitto Kabwe: Sitaki kulumbana na CHADEMA
Kiongozi wa chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hawezi
kulumbana na viongozi wa chama chake cha zamani cha Chadema kwa kuwa
anachofanya sasa ni kutafuta wanachama wa chama chake kipya.
Zitto alisema hayo juzi mjini Morogoro wakati wa
mkutano wa ziara ya uzinduzi wa chama hicho uliofanyika katika kiwanja
cha ndege mjini hapa.
Akihutubia huku akishangiliwa na wananchi,
↧
Utata Wa Nay Wa Mitego na Siwema Umekwisha Baada ya Majibu ya DNA Kutoka
Baada ya utata mzito kutawala kwenye vyombo vya habari
juu ya uhalali wa mtoto wa Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa
Mitego’ kwa mzazi mwenzake Siwema Edson, hatimaye kipimo cha vinasaba
(DNA) kimetoka na kumaliza ubishi kwamba mtoto huyo aitwaye Curtis ni
damu halisi ya msanii huyo.
Hivi karibuni, Nay na Siwema ambao walikuwa wapenzi kisha kumwagana,
waligombana na kila mmoja
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamis ya April 16,2015
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamis ya April 16,2015
↧
'Magaidi' 10 Wakamatwa Msikitini Wakiwa na Milipuko, Sare za jeshi na Bendera ya Al Shabaab
Watu 10 wanashikiliwa na polisi mkoani Morogoro baada ya kukamatwa
msikitini wakiwa na milipuko 30, sare za jeshi na bendera nyeusi
inayodaiwa kutumiwa na kundi la wapiganaji wa Al Shabaab wa nchini
Somalia.
Katika tukio hilo, mmoja anayesadikiwa kuhusiana na watu hao
waliokamatwa aliuawa na wananchi wenye hasira baada ya kumjeruhi kwa
panga askari polisi aliyekuwa akipambana naye.
↧
↧
Mkwara wa Gwajima kwa Polisi wazaa matunda.....Mahojiano Yasitishwa Kusubiri Uamuzi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Hoja za kisheria alizowasilisha Askofu wa Kanisa la Ufufuo na
Uzima, Josephat Gwajima kuhusu kutakiwa kuwasilisha nyaraka 10 za
utajiri na usajili wa kanisa lake polisi zimezaa matunda.
Sasa, agizo la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es
Salaam la kumtaka Askofu Gwajima kuwasilisha nyaraka hizo leo
limesitishwa kusubiri utatuzi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
au Ofisi ya
↧
SUMATRA yatangaza nauli mpya za Mabasi Ya Mikoani.......Nauli za Daladala Hazitabadilika
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi kavu jana imetangaza
nauli mpya za usafiri ambapo Mabasi ya abiria ya masafa marefu nauli
zake zikipungua huku daladala nauli zikibaki vile vile.
Akitangaza
Viwango hivyo vipya vitakavyoanza kutumika tarehe 30 mwezi huu
Mkurugenzi Mkuu wa SUMATRA Gilliadi Ngewe alisema baada ya mchakato wa
kupanga bei kukamilika, bei za mabasi ya
↧
Bongo Fuse: Bikira wa Kisukuma Afunguka Ugomvi wake na Lemutuz, Umaarufu Wake Mitandaoni na Sheria Mpya ya Mitandao
Seth de Jesus Giovanni Aka Bikira wa Kisukuma kama anavyofahamika
kwenye ukurasa wa Instagram amefunguka mengi kuhusu umaarufu wake
mitandaoni, Ugomvi alionao na Super staa Lemutuz pamoja na
Sheria ya Mitandaoni
Msikilize Hapo Chini Akifunguka:
↧
Wema: Kumuimba msichana uliyeachana naye ni ushamba
Staa wa filamu za kibongo, Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’, amesema ni
ushamba kwa wasanii wa muziki kuwatungia nyimbo za majungu wasichana
wanaoachana nao kimapenzi.
Wema amesema wasanii wengi wa muziki wamekuwa na tabia ya kishamba ya
kutunga nyimbo zenye maneno ya kuudhi, wakiwalenga waliokuwa wapenzi
wao.
“Ni ushamba wa mapenzi, haiwezekani mlikuwa mnafurahia wote mapenzi
↧
↧
Zitto Kabwe: ACT-Wazalendo ipo tayari kushirikiana na UKAWA Kunufaisha Wananchi na Si Kugawana Uongozi
CHAMA cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo), kimesema
kuwa kipo tayari kushirikiana na vyama vingine vya siasa kwa lengo la
kuleta mapinduzi ya kiuchumi na kubomoa mfumo unaowanyonya wananchi.
Kutokana na hali hiyo, kimewahakikishia Watanzania kuwa ujio wa chama
hicho ni wa kuleta mageuzi ya kweli kwa taifa badala ya porojo kama
vyama vingine vinavyofanya.
↧
Kajala Masanja Aibiwa Nguo ya Ndani Kiuchawi......Aikuta Nje Ikiwa Imelowa Damu
Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ amepatwa na dhahama ya
aina yake baada ya kuibiwa nguo yake ya ndani kimazingara kisha kuikuta
nje ikiwa imeloa damu.
Kwa mujibu wa Gpl , mara nyingi Kajala ana kawaida ya kufua na kuzianika nguo
hizo ndani lakini katika mazingira ya kutatanisha moja ilipotea na kila
alipofanya jitihada za kuitafuta, hakuiona.
Baada ya nguo hiyo
↧
Mbowe: Serikali Isithubutu Kuahirisha Uchaguzi Mkuu
Chama
cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA, kimeitahadharisha serikali juu
ya mpango wowote wa kutaka kuongeza muda kwa serikali yaawamu ya nne
kuwepo madarakani, kwa kisingizio cha kutokamilika kwa uboreshaji wa
daftari la kudumu la wapiga kura ambao unafanyika kwa mfumo wa BVR.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mafunzo kwa viongozi wa chama hicho
wanaounda timu za kampeni za
↧
Amanda Awa Mbogo Baada ya Kuambiwa Anatumia ARV
Staa mwenye ‘figa’ matata, Tamrina Posh ‘Amanda’ hivi karibuni
aligeuka mbogo kwa shabiki wake aliyefahamika kwa jina la Joel baada ya
kuambiwa eti ni mmoja wa wasanii wanaotumia vidonge vya ARV vya kuongeza
siku za kuishi kwa waathirika wa Ukimwi.
Ishu ilianzia kwenye mtandao wa Facebook ambapo Joel aliona picha ya
Amanda akipima ugonjwa ambao haukujulikana ndipo kijana huyo
↧
↧
Uhalifu Nchini: IGP Mangu Akutana na Viongozi wa Dini ya Kiislam......Waazimia Mambo Mazito Kuwakabili Wahalifu Wanaojificha Misikitini
MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu na viongozi wa dini ya Kiislamu nchini, wameungana kukemea vitendo vya uhalifu nchini.
Wamezitaka familia kutoa malezi bora kwa watoto wao ili kuondokana na wimbi la watu wanaojiingiza katika vitendo hivyo.
Rai hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na IGP Mangu na viongozi mbalimbali wa dini ya Kiislamu katika mwendelezo wa mafunzo ya
↧
Kura ya maoni ifanyike baada ya uchaguzi
Wakazi wa wilaya ya Muheza wameishauri Tume ya Taifa ya Uchaguzi
kuahirisha zoezi la kuipigia kura Katiba Inayopendekezwa na badala yake
isubiri hadi uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge ufanyike.
Wakizungumza katika mkutano wa hadhara ulioitishwa na kituo cha sheria
na haki za binadamu kwa kushirikiana na tume ya taifa ya uchaguzi wakazi
hao wamesema mapendekezo mengi waliyowasilisha
↧
Lungi: Nilikuwa Kikojozi Mpaka Nafika Form Two..!
Staa wa filamu Bongo, Lungi Maulanga hivi karibuni ametoa ushuhuda
wake kwamba alikuwa akisumbuliwa na tatizo la kujisaidia kitandani mpaka
alipofika kidato cha pili lakini alipona katika mazingira ya
kushangaza.
Akizu-ngumza na mwandishi wetu Lungi alifunguka: “Nikiri tu kwamba nilikuwa
kikojozi mpaka nafikia form two, nilikuwa naona aibu sana lakini
aliyenisaida ni bibi mmoja
↧
More Pages to Explore .....