Ni mambo ya kushangaza sana ambayo
yamenaswa na Gazeti la Uwazi katika Kisiwa cha Mafia Mkoa wa Pwani
ambapo mwanamke mmoja aitwaye Mwasiti Ally wa Kijiji cha Kanga,
amewafungia wanaye watatu kwa miaka kumi ndani ya chumba kimoja kwa
madai kuwa ni wagonjwa wa akili.
Uwazi lilipata habari hizi kupitia kwa watu waishio Mafia na
kuamua kufunga safari hadi kisiwani humo kufuatilia tukio
Mama Awafungia Ndani Watoto Wake Watatu Kwa Miaka 10
↧
↧
Sakata la Dr. Slaa Kutaka kuuawa: Mke Wake Ahojiwa Polisi Kwa Masaa Matatu.
Mke wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, Josephine Mushumbusi, jana alitoa ushahidi katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam, kuhusiana na tuhuma zinazomkabili Khalid Kagenzi, za kutaka kumdhuru mumewe.
Kutokana na hatua hiyo ya Mushumbusi, Dk. Slaa alisema tayari wamefunga ushahidi kwa upande wake. Mushumbusi ambaye aliongozana na
↧
Gwajima Afunguka......Asema Aliagiza Bastola yake ili Ajihami Baada ya Taarifa Kuzagaa Mitandaoni kuwa Amefariki Dunia
Hii ni Picha iliyosambazwa katika mitandao ya kijamii ikidai kuwa Gwajima kafariki dunia na yuko Mochwari.Taarifa hizi zilimpa hofu Gwajima na kumfanya Aagize Bastola yake kwa ajili ya kujihami.
**********
Utata umeibuka kuhusu bastola waliyodaiwa kukamatwa nayo wafuasi
wa Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima baada
ya kiongozi huyo
↧
Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa yako ili uweze kwenda Raundi mbili na kuendelea??....Bofya hapa ukutane na JIKO
Neema
Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa
mbalimbali za asili.
Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa
tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha kabisa tatizo
la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.
Dawa hii iitwayo
JIKO ni ya asili kabisa (PURE HERBAL) na inaponyesha na
kumaliza kabisa tatizo la nguvu za kiume
↧
Maaskofu na Wachungaji Watoa Tamko Zito Kuhusiana na Kudhoofu Kwa Afya Ya Gwajima Mikononi mwa Polisi.....Wapanga Kuonana na IGP Mangu. Tamko Liko Hapa.
Sisi maaskofu na wachungaji kutoka makanisa mbalimbali tumeshtushwa na kusikitishwa kwa taarifa ya ugonjwa wa Askofu na mtumishi mwenzetu Josephat Gwajima ambaye tarehe 27/03/2015 alifika kituo cha polisi cha kati kuitikia wito wa polisi uliomtaka kwenda kujibu shutuma za kutumia lugha ya matusi kwa kardinali Pengo.
Tumepata fursa ya kutafakari na kujadili kwa kina hali iliyompata
↧
↧
Je, Unataka Kupunguza Kitambi? Una Maziwa Yaliyolala na Unataka Yasimame? Una Chunusi Usoni? Unatatizo la nguvu za Kiume? BOFYA Hapa Ukutane na Dr Kessy
Pendeza na Dr Kessy Products . Ni dawa za Asili zisizo na Kemikali wala madhara yoyote kwa Binadamu,
zimetengenezwa kwa kutumia mimea na matunda mbali mbali kukupa matokeo
ya Haraka
1.Tengeneza shep, mahips au makalio
Dawa ya kupaka 50,000
Vidonge 80,000.
2.Punguza maziwa na kuyasimamisha- 40,000/=
3.Punguza mwili pamoja na kilo- 60,000/=
4.Ongeza nguvu za
↧
Je,ni Sahihi Mkuu wa Wilaya, Paul Makonda Kutaka Kumhoji Gwajima Wakati Polisi Walishamhoji ???...Haya Ni Maoni Ya Malisa Na Mtatiro Kuhusiana na Sakata Hili
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ambaye alikuwa amemwandikia
Gwajima barua akimwita ofisi kwake, jana mchana alimtembelea hospitalini
hapo kwa ajili ya kumjulia hali kiongozi huyo lakini akasisitiza kuwa
nia yake bado ipo palepale.
“Nilimtaka leo aripoti ofisini kwangu lakini kwa bahati mbaya anaugua na
amelazwa. Nitakwenda kumuona ili nijue hali yake ikoje,” alisema
Makonda
↧
Wafanyabiashara wa Daladala Songea Wagoma Kufanya Kazi Zao Kwa Madai ya Kuunga Mkono Mgomo wa Wafanyabiashara Unaoendelea.
Mgomo wa wafanya biashara umeendelea kuchukua sura mpya baada ya wafanya biashara wa daladala mjini Songea kugoma kufanya kazi toka asubuhi kwa madai ya kuunga mkono mgomo wa wafanya biashara unaoendelea katika mikoa mabalimbali nchini ili kushinikiza serikali kumuachilia kiongozi wao Bwana Joseph Minja pamoja na kutatua madai yao ya matumizi ya mashine za EFDS pamoja na ongezeko la kodi kwa
↧
Nigeria Yafanya Mageuzi...Mgombea wa Upinzani Aibuka Mshindi wa Kiti Cha Urais
Mgombea wa upinzani nchini Nigeria Muhammadu Buhari ameibuka mshindi wa kiti cha urais dhidi ya Rais Goodluck Jonathan katika uchaguzi uliofanyika Jumapili nchini humo.
Kwa mujibu wa Reuters, Buhari wa chama cha upinzani cha APC amepata kura million 15.4 dhidi ya kura million 13.3 alizopata Jonathan.
Chama cha Rais Jonathan All Progressives Congress (APC) kimesema kuwa Jonathan
↧
↧
Baada ya mahojiano, Gwajima Aachiwa kwa Dhamana
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima (pichani) leo ameachiwa kwa dhamana baada ya kutolewa hospitali ya TMJ alikokuwa amelazwa baada ya kupoteza fahamu na kisha kupelekwa kituo cha Polisi oysterbay kwa ajili ya mahojiano.
Akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kuhojiwa na Jeshi la Polisi na kupewa dhamana, Gwajima amesema hawezi
↧
Amfumania na Kumpasua Tumbo Mgoni Wake
POLISI mkoani Katavi inamshikilia mkazi wa kitongoji cha Ntumba, kijiji cha Mnyengele wilayani Mpanda, Deogratius Pastory (30) kwa kumjeruhi vibaya mkewe kwa kumkata mkono wake wa kushoto na kupasua tumbo la mpenzi wa mkewe kwa panga.
Mtu huyo aliwatendea unyama huo baada ya kuwafumania mkewe aitwae Tabu Nestory (20) na mpenzi wake wa kiume aitwaye Masaga Elias (28 wakifanya mapenzi
↧
IGP Mangu Afanya Mabadiliko Kwa Baadhi ya Makamanda wa Polisi wa Mikoa.
Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Mangu amefanya mabadiliko kwa baadhi ya makamanda wa polisi wa mikoa.
Miongoni mwa makamanda wa mikoa waliofanyiwa mabadiliko ni pamoja na aliyekuwa kamanda wa Mkoa wa Simiyu, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Charles Mkumbo anakwenda kuwa kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza na nafasi yake kuchukuliwa na aliyekuwa afisa mnadhimu mkoa wa Manyara Kamishna
↧
Wabunge wataka serikali kuwajibika mgomo wa wafanyabiashara
Wabunge wameitaka Serikali kuharakisha mazungumzo yake kuhusu tatizo lililopo la mgomo wa wafanyabiashara nchi nzima, ili suala hilo lipatiwe ufumbuzi mapema.
Hayo yalibainishwa bungeni hapo na Naibu Spika Job Ndugai, wakati wakati akijibu miongozo mbalimbali iliyoombwa na wabunge kuhusu suala hilo ambao wengi wao walitaka mijadala ya Bunge hilo iahirishwe ili suala hilo lijadiliwe kama
↧
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya Tarehe 1 March 2015
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya Tarehe 1 March 2015
↧
Wazazi 19 Wahukumiwa Kwa Kushindwa Kupeleka Watoto wao Shule
Wazazi 19 wa wanafunzi walioshindwa kuripoti kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo wa 2014/2015 wamehukumiwa kifungo cha nje cha miezi mitatu kila mmoja kutokana na kosa la kushindwa kuwapeleka watoto wao shuleni.
Wazazi waliohukumiwa kifungo hiki ni wale wa kata za Mpindimbi na Lukuledi zilizopo katika Halmashauri ya wilaya ya Masasi, Mtwara .
Aidha, wametakiwa kuripoti kwenye
↧
Majambazi Yakiwa Na PANGA Yaua Polisi Wawili na Kupora Bunduki........Jeshi la Polisi Latangaza Msako Mkali
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na
Polisi Mkoa wa Pwani linaendesha oparesheni kali ya aina yake ya
kuwasaka majambazi waliowavamia, kuwaua askari wawili na kumjeruhi mmoja
na kisha kupora bunduki aina ya SMG.
Tukio hilo limetokea tarehe 30/03/2015 majira ya saa mbili usiku huko
barabara ya Kilwa Kata ya Vikindu Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani.
↧
Maaskofu Wamjibu Rais Kikwete.....Watoa Tamko Zito Kuhusu Mahakama ya Kadhi......Wasisitiza Kuwa Wakristo Wote Wapige Kura ya HAPANA Katiba Inayopendekezwa
Siku tano baada ya Rais Jakaya Kikwete kusema kuwa tamko la Jukwaa la Wakristo (TCF) kuwataka waumini wao kupigia kura ya ‘hapana’ Katiba Inayopendekezwa lilikuwa la hasira, viongozi hao wamejitokeza tena na kusisitiza kwamba msimamo wao huo utabaki kama ulivyo.
Katika tamko pamoja walilolitoa jana baada ya kukutana juzi mjini Dodoma, viongozi hao wamemtahadharisha Rais Kikwete kuwa
↧
↧
Muswada wa Mahakama ya Kadhi Waondolewa.....Hautawasilishwa Bungeni LEO.
Muswada wa Mahakama ya Kadhi umeondolewa bungeni na sasa hautajadiliwa katika Mkutano wa 19 wa Bunge unaohitimishwa leo mjini Dodoma.
Huu ni muswada wa tatu kuondolewa Bungeni baada ya ile miwili ya sekta ya habari ambayo ni muswada wa Sheria ya kupata Taarifa wa mwaka 2015 na ule wa sheria ya huduma wa Vyombo vya Habari iliyoondelewa mwishoni mwa wiki iliyopita.
Muswada huo ulipangwa
↧
Gwajima Jana Aligeuka MFALME Baada ya Kuachiwa Kwa Dhamana Isiyo Na Masharti......Wafuasi Wake 15 Nao Waachiwa, Mwandishi Atiwa Mbaroni
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya TMJ, Dar es Salaam akiwa chini ya ulinzi wa polisi, ameachiwa huru kwa dhamana katika kituo cha Polisi cha Oysterbay baada ya kufikishwa kituoni hapo kwa kutumia baiskeli ya wagonjwa (wheelchair) kuhojiwa kwa mara ya pili.
Askofu Gwajima, alipandishwa kwenye baiskeli hiyo, baada ya
↧
Breaking News: Vurugu Zaibuka Bungeni.......Wapinzani Wamtuhumu Spika Kuilinda Serikali, Bunge Laahirishwa hadi Mchana. Video Ya Tukio Hilo Iko Hapa.
Kikao cha Bunge kimevunjika muda mfupi uliopita baada ya kutokea vurugu za maneno kufuatia wapinzani kutaka Waziri Mkuu atoe taarifa juu ya mwenendo wa kura ya maoni ya katiba mpya april 30,2015.
Kutokana na vurugu hizo za dakika kama 10 hivi Spika Anna Makinda amesitisha gafla shughuli za bunge hadi mchana.
Hali likuwa hivi:
Mnyika: Nimesimama kupata idhini kwa mujibu wa kanuni ili
↧
More Pages to Explore .....