Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Tarehe 30 March 2015
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Tarehe 30 March 2015
↧
↧
Wananchi Toka Mara Waandamana Kwenda Monduli Kwa Lowassa.......Wamkosa na Kuacha Ujumbe Mzito Kwa CCM
WANANCHI wa wilaya ya Serengeti mkoani Mara wamekitaka Chama Cha
Mapiduzi (CCM) kutokuzuia demokrasia ya wanachama kushawishi wagombea
wa Urais wanaoona kuwa wanafaa kuwatetea kiti hicho.Wakizungumza
juzi baada ya kufika nyumbani kwake kwa lengo la
kumshawishi Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa
kugombea nafasi ya Urais, wananchi hao walisema kuwa ni vyema
↧
Watu 15 Wakamatwa Katika Jaribio la Kutaka Kumtorosha Mchungaji Gwajima.....Walikuwa na Bastola, Risasi 17 na Vitabu Vya Hundi
JESHI la Polisi linawashikilia na kuwahoji watu 15 kwa tuhuma za kutaka kumtorosha kutoka Hospitali ya TMJ Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo jijini, Dar es Salaam, Joseph Gwajima aliyelazwa hapo tangu usiku wa kuamkia juzi.
Gwajima amelazwa ikielezwa hali yake ilibadilika wakati akihojiwa na makachero wa Polisi waliokuwa wanamhoji baada ya kujisalimisha baada ya kutakiwa
↧
Vurugu na Matusi Zatawala Kwenye Semina ya Wabunge Kuhusu Sakata la Mahakama ya Kadhi......Wabunge Wegi Wapinga Kuanzishwa Kwa Mahakama hiyo
Mambo magumu yameibuka katika suala la kujadili uanzishwaji wa Mahakama ya Kadhi, baada ya kutokea malumbano makali na vurugu huku idadi kubwa ya wabunge wakiitaka serikali kuuondoa Muswada wa Mahakama ya Kadhi usiwasilishwe bungeni.
Wabunge wengi walisema kufanya hivyo kunaweza kusababisha mpasuko na kuvunjika kwa amani nchini.
Aidha, wamesema suala la Mahakama ya Kadhi linataka
↧
Hemed PHD Afunguka Kuhusu Kutumia Poda za Kike, Ndoa yake Kubuma na Kwanini Anapendwa Sana na Wadada
Udaku TV imefanya mahojiano ya kina na msanii wa Filamu Nchini, Hemed PHD ambaye pamoja na mambo mengine ameeleza sababu za kutumia poda na lipshine za kike, Ndoa yake kubuma na kwa nini mademu wanapenda kumshobokera.
Msikilize hapo chini Akifunguka.
↧
↧
Wema Sepetu Na Idriss Wa Big Brother Wazua Gumzo
Staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na
Mshindi wa Big Brother Africa 2015, Idris Suleiman wamezua gumzo hivyo
mwanadada huyo kufunguka na kuweka mambo hadharani.
Wikiendi iliyopita, picha zao wakifanya shopping kwenye supermarket
moja iliyopo Makumbusho jijini Dar zilizua mtafaruku kwa mashabiki wao
ndipo staa huyo wa kike akafunguka.
“Shopping
↧
Askari aliyekutwa na noti bandia afukuzwa kazi
JESHI la Magereza nchini, limemfukuza kazi askari wake wa Gereza la
Bariadi, mkoani Shinyanga kwa kosa la kupatikana na fedha za bandia
kinyume cha sheria.
Taarifa iliyotolewa jana na Mkaguzi wa Magereza, Lucas Mboje na
kusainiwa na Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, John Minja, ilimtaja
askari huyo kuwa ni Namba B. 6499 Wdr. Edmund Masaga.
Alisema askari huyo amefukuzwa kazi
↧
Hotuba ya Zitto Kabwe Wakati wa Uzinduzi wa Chama Chake Kipya Cha ACT wazalendo
Watanzania wenzangu, wageni waalikwa
Nawashukuru kwa kuwa pamoja nasi siku hii ya kihistoria.
Karibu Miaka 54 iliyopita tulipopata uhuru, Muasisi na Baba wa Taifa
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa kijana mwenye umri wa miaka 39,
mwenye matumaini makubwa na taifa jipya na alikuwa na ndoto!
Ndoto yake
ilikuwa imejikita katika kuhakikisha taifa letu litakuwa taifa lisilo
↧
Sheria Kali Yaandaliwa Kuwabana Wahalifu wa Mitandao......Ukinaswa Unasambaza Picha za UCHI, Taarifa za Uongo na Matusi Kifungo chake ni Miaka 10 Jela
WAHALIFU wa mtandao pamoja na wasambazaji wa picha za utupu na ngono, wasambazaji wa taarifa za uwongo, za kibaguzi na matusi na watu wengine ambao wanafanya udanganyifu unaohusiana na kompyuta wametungiwa sheria kali ambayo itawafanya kwenda jela hadi miaka 10 au kulipa faini isiyopungua Sh milioni 50.
Miongoni mwa miswada ya sheria utakaowasilishwa bungeni na Serikali wiki hii mjini
↧
↧
Rais Mugabe ' Amlilia ' Nyerere......Aimwagia Sifa Tanzania
Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amefungua mkutano wa tatu wa pamoja baina ya viongozi vijana wa Afrika na China, akitumia muda mwingi wa hotuba yake ‘kumlilia’ Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.
Mbali ya Nyerere, Rais Mugabe pia alitumia mkutano huo kuwakumbuka waasisi wa mataifa mbalimbali ya Afrika, huku akiimwagia sifa Tanzania kwa mchango mkubwa
↧
Rais Kikwete Awasili Marekani Kwa Mwaliko wa Umoja Wa Mataifa
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
Jumapili, Machi 29, 2015 amewasili jijini New York, Marekani kwa mwaliko
wa Umoja wa Mataifa.
Miongoni
mwa mambo mengine, Rais Kikwete amefunguia rasmi jengo la ghorofa sita
la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa, na
Jumatatu Machi 30, 2015 amealikwa kuhutubia Baraza la Umoja
↧
Watu Watano Wajeruhiwa Vibaya baada ya Kuangukiwa na Kifusi Cha Ukuta wa Jengo la Ghorofa 7 Jijini Mwanza
Watu watano katika Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza wamenusurika kifo
baada ya kuangukiwa na kifusi wakati wakiwa kwenye maandalizi ya kujenga
jengo lililotegemewa kuwa na ghorofa saba, eneo la Nyerere Road, jana
majira ya saa sita mchana.
Akizungumza na waandishi wa habari eneo la tukio, Mkuu wa Wilaya ya
Nyamagana, Baraka Kunisaga alisema kuwa amesikitishwa na tukio hilo
ambapo
↧
Kaka Yake Gwajima Amtaka Amuombe Radhi Pengo
Kaka wa Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima aitwaye
Methusela Gwajima amemtaka mdogo wake kwenda kumuomba radhi Askofu Mkuu
wa Jimbo Katoliki Dar es Salaam Mhadhama Polycarp Kadinali Pengo kwa
kutoa lugha ya kumkashifu.
Akizungumza na wanahabari leo Jijini Dar es Salaam, Methusela alisema
ameamua kutokufumbia macho kitendo cha ndugu yake kumkashifu Pengo na
kwamba
↧
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Tarehe 31 March 2015
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Tarehe 31 March 2015
↧
Ufafanuzi wa Tukio la Kula Njama na Kujaribu Kumtorosha Askofu Josephat Gwajima Akiwa Hospitali.....
Tarehe 30/03/2015 waandishi wa habari walifika kituo Kikuu cha Polisi wakitaka kujua uhalali wa silaha iliyokamatwa tarehe 29/03/2015. Silaha hiyo ni Bastola aina ya BERRETA yenye namba CAT5802 ikiwa na risasi tatu. Pia zilikamatwa risasi 17 za Short Gun.Ufafanuzu ni kama ifuatavyo:Uchunguzi wa kina na wa kitaalam sasa umethibitisha kwamba silaha hiyo inamilikiwa kihalali na Askofu Josephat
↧
Rais Kikwete Asubiriwa Kutia Saini Ili Watu Kumi Wanyongwe
Utekelezaji wa adhabu ya kifo kwa watu 10 waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa, kutokana na kuhusika katika mauaji ya watu wenye ulemavu (albino), unasubiri saini ya Rais Jakaya Kikwete.
Hayo yalibainishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima, wakati akijibu swali la nyongeza la mbunge wa Lindi Mjini, Salum Barwany (CUF).
Katika swali lake, Barwany, alitaka
↧
Kesi ya Mchungaji Mtikilia Kupinga Mahakama ya Kadhi Imeanza Kuunguruma Mahakamani......Mtikila Anapinga Mahakama hiyo Kujadiliwa Bungeni,Serikali kutoa Majibu Leo Kortini
Mwenyekiti wa Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, ameiomba Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, kutoa amri kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kusitisha kujadili suala lolote linalohusu kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi.
Mtikila aliwasilisha maombi yake jana mbele ya jopo la majaji watatu likiongozwa na Mwenyekiti, Jaji Richard Mziray, anayesaidiana
↧
↧
Profesa Lipumba na Dr. Slaa Wamjulia Hali Gwajima......Walitupia Lawama Jeshi la Polisi.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, jana alimtembea Askofu Gwajima hospitalini hapo kumjulia hali.
Lipumba amekuwa kiongozi wa pili wa kisiasa kufika hospitalini hapo kumjulia hali Gwajima, baada ya Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa aliyefika kwa mara ya kwanza Jumamosi na kurudi tena jana.
Profesa Lipumba ambaye hivi karibuni pia aliishiwa nguvu
↧
Mbunge Shyrose Bhanji Afunguka Ugonjwa Unaomsumbua
Mbunge katika bunge la Afrika Mashariki,Shyrose Bhanji amefunguka
ugonjwa unaomsumbua kwa muda mrefu uliomfanya alazwe katika hospitali ya
Agha Khan,jijini Dar.
Akizungumza
na Clouds Fm, Shyrose alisema kuwa amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa
Pumu(asthma) kwa muda mrefu tangu akiwa mdogo lakini safari hii ugonjwa
ulizidi sana hali iliomfanya kulazwa hospitali kwa siku kadhaa.
"
↧
Msanii Keisha Anusurika Kufa
Msanii wa Bongo Fleva,Khadija Shabani’Keisha’ amenusurika kufo baada ya kupata ajali maeneo ya Maktaba,Posta jijini Dar.
Akizungumza
na mtandao huu,Keisha alisema kuwa alikuwa akitoka chuoni CBE na kwamba alikuwa
akimfuata mumewe alipofika maeneo hayo ndipo lilipotokea gari na
kumuovateki na kuligonga gari lake.
Aidha alisema kuwa alisikia maumivu
na alipokwenda hospitali
↧
More Pages to Explore .....