Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Aunt Ezekiel Anena Maneno Mazito Kuhusiana na Bifu la Wema Sepetu na Kajala

0
0
Staa anayefanya vizuri kwenye tasnia ya filamu Bongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa anatamani aone mastaa wawili ambao wana bifu kali, Wema Sepetu na Kajala Masanja wanamaliza tofauti zao kwani maisha ni mafupi.   Akizungumza na mwandishi, Aunt alisema kati ya mabifu ambayo angependa yaishe ni la Wema na Kajala kwani wapo wasanii wamefariki dunia wakiwa na bifu huku wale waliobaki

Agness Masogange Ashtushwa na Ushindi Wa Makalio Yake.

0
0
Modo maarufu Bongo, Agness Gerad ‘Masogange’ ameshtushwa na ushindi wa makalio yake baada ya kutojua kama ametajwa kuwa ni mwanamke mwenye makalio mazuri Afrika Mashariki. Masogange alishinda nafasi hiyo kupitia utafiti uliofanywa na mtandao wa Media Take Out ambapo kwa kutumia vigezo vyao, walimwanika Masogange kuwa ndiye mwanamke pekee mwenye makalio bomba wakidai amejengeka

Mwingereza Anayedaiwa Kumuua Mkewe Arejeshwa Kwao

0
0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeamuru raia kutoka nchini Marekani, Sammy Almahri aliyekuwa anakabiliwa na mashitaka ya kumuua mke wake, ametakiwa kupelekwa nchini Uingereza na kushitakiwa katika sehemu ambayo alifanya mauaji hayo. Hakimu Mkazi, Waliarwande Lema alitoa amri hiyo baada ya kukubali ombi la upande wa Jamhuri lililowasilishwa baada ya kufuta mashitaka dhidi ya mshitakiwa

Tanzania Yazidi Kupiga Hatua.......Ujenzi Wa Maabara Ya Ebola Kukamilika Mwezi Huu

0
0
Tanzania inazidi kupiga hatua katika sekta ya afya, na sasa inatarajia kuachana na usafirishaji wa sampuli za magonjwa ya uambukizi mkali yenye virusi visababishavyo damu kutoka mwilini, ikiwemo ebola na dengue. Hali hiyo inatokana na kuanza ujenzi wa maabara ya magonjwa hayo, unaotarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi huu.   Maabara ya kwanza ya magonjwa hayo, inajengwa katika

Benki Ya Walimu Kuanza Kuuza Hisa March 23

0
0
Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kinakusudia kuanzisha benki yake kwa kishindo, hivyo kuwataka walimu na wananchi kujitokeza kununua hisa za benki ya walimu. Uuzaji wa hisa hizo unatarajiwa kufanyika kuanzia Machi 23 hadi Mei 4 mwaka huu baada ya taratibu za ufunguzi wa benki hiyo kufikia hatua za mwisho. Akizungumza Rais CWT, Gratian Mukoba (pichani) alisema maombi ya kuuzwa kwa hisa

Majanga Tena UDSM......Moto Wateketeza Bweni la Wanawake

0
0
Moto mkubwa uliozuka na kuteketeza sehemu ya bweni la wanawake katika Hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) zilizopo Mabibo jijini Dar es Salaam, uliibua taharuki kwa wanachuo na wananchi waishio jirani na eneo hilo. Katika tukio hilo, mbali ya moto kuunguza mali za wanafunzi, wawili kati ya wanafunzi wa kike walikimbizwa hospitali baada ya kuumia katika purukushani za kujiokoa

Amchinja Mpwa Wake, Naye Auawa Kwa Kuchomwa

0
0
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, wakazi wa Mtaa za Nsalaga jijini Mbeya, asubuhi wameshuhudia matukio ya mauaji ya watu wawili ndugu, moja likiwa ni mtu aliyemchinja na kumtenganisha kichwa na kiwiliwili mtoto wa dada yake, kabla naye kuuawa kwa kupigwa mawe na kisha mwili wake kuchomwa moto. Yonah Mwamwele (38), ndiye aliyekuwa wa kwanza kumuua mtoto Johnson Mwamwele (5) mtoto wa dada

Makundi ya Watu Mbalimbali Yaendelea Kumiminika Nyumbani Kwa Lowassa Yakimtaka Achukue Fomu ya Kuwania Urais

0
0
MAKUNDI ya watu wa kada mbalimbali yamezidi kutua nyumbani kwa Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa (CCM), yakimtaka achukue fomu ya kuwania urais kupitia CCM muda utakapofika.   Lowassa ambaye pia ni Waziri Mkuu wa zamani, kwa wiki kadhaa sasa amekuwa akipokea wageni wa makundi mbalimbali nyumbani kwake wakimtaka awanie nafasi hiyo ya uongozi wa juu wa nchi.   Kutokana na joto hilo la

Kimenuka:Mchungaji Mtikila Afungua Kesi Mahakamani Kupinga Mahakama ya Kdhi

0
0
MCHUNGAJI Christopher Mtikila, jana amefungua kesi ya kikatiba namba 14 ya mwaka 2015 katika Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga muswada wa mabadiliko ya sheria kwa ajili ya kuitambua rasmi Mahakama ya Kadhi.   Muswada huo umepangwa kuwasilishwa, kujadiliwa na kupitishwa katika kikao cha Bunge litakaloanza vikao vyake Jumanne wiki hii mjini Dodoma. Katika mashtaka yake, Mchungaji Mtikila

Daktari: Shilole ni Mgonjwa

0
0
Daktari mmoja bingwa wa saikolojia, Erick Mutchumbh, amesema tabia zinazofanywa na nyota wa muziki, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ zinaashiria kuwa ni mgonjwa aliyeathirika kisaikolojia na matatizo ya unyanyaswaji wakati wa utoto wake. Mutchumbh alitoa maelezo hayo baada ya kuombwa kuzungumzia tabia za Shilole za kugombana mara kwa mara na mpenzi wake, Nuh Mziwanda, kama zinaweza kuwa ni

Mwanafunzi Atekwa Jijini Dar......Abakwa na Kisha Kuuawa

0
0
Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Mabibo, Dar, Irene Said (15) ametekwa, amebakwa na kuuawa kikatili kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili huku ikidaiwa kuwa kijana mmoja asiyejulikana alifika nyumbani kwao, Kigogo Luhanga na kutaka kiroba na mtu mmoja waongozane akabebe ndizi. Akizungumzia tukio hilo la kusikitisha sana, mama mdogo wa

Snura Ang'ang'ania Kuishi Baa

0
0
Katika kile kinachoonekana kama king’ang’anizi, staa wa muziki wa Mduara, Snura Mushi ameibuka na kusema hawezi kuhama nyumba anayoishi hivi sasa, ambayo upande mmoja ni baa kwa vile anaishi kwa malengo na si kufuata watu wanavyosema. “Kila kukicha nasikia maneno yakizagaa kuwa ninakaa baa hilo litasemwa sana wala sina mpango wa kuhama, nina malengo yangu makubwa, nikihama hapa

Kinana: UKAWA Utabadilika na Kuwa UKIWA Ifikapo Oktoba

0
0
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ameubeza muungano wa vyama vya upinzani, maarufu kama Ukawa na kusema muungano huo utabadilika jina ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu na kuitwa Ukiwa, baada ya Chama Cha Mapinduzi kutangazwa kuwa mshindi katika nafasi ya Urais.   Kinana alisema mabadiliko hayo ya jina, yanatokana na kelele nyingi pamoja na mikakati mingi wanayoizungumza ya kuchukua

Wema Sepetu Azua Timbwili......Ni baada ya Kulazimisha Kuonana na Ali Kiba Saa Saba Usiku Ili Kumuumiza Diamond

0
0
Boss Lady wa Kampuni ya Endless Fame, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amesababisha timbwili la aina yake hivi karibuni, akidaiwa kuwa kwenye harakati za kutaka kukaa karibu na staa wa Bongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Chekecha Cheketua, Ali Saleh ‘Kiba’. Tukio hilo la aina yake lilitokea hivi karibuni kwenye Ukumbi wa Triple A, jijini Arusha ambapo mrembo huyo wa Tanzania mwaka 2006

Bondia Francis Cheka Aachiwa......Apewa Kifungo Cha Nje Ya Gereza

0
0
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Tanzania Francis Cheka aliyefungwa jela miaka mitatu kwa kosa la kushambulia na kudhuru mwili jana alibadilishiwa kifungo kutoka kifungo cha jela na kuwa kifungo cha nje. Bondia huyo alifungwa jela Februari 3 mwaka huu na hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya mkoa wa Morogoro Said Msuya kwa kosa la kumshambulia aliyekuwa meneja wa bar yake aitwaye

Hapa Kuna Zile Picha Za Watu 700 Wakiandamana Kwenda Nyumbani Kwa Edward Lowassa Kumtaka Achukue Fomu Ya Urais

0
0
Makundi mbalimbali ya kijamii ya mikoa ya Kaskazini, inayojumuisha mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Arusha na Manyara wakiwa wanaandamana kwa pamoja kuelekea kwa mbunge wa jimbo la monduli    Katibu wa Chama cha Wasioona Mkoa wa Kilimanjaro (TLB), Protas Soka Akisoma risala kwa niaba ya makundi hayo mbele ya mbunge wa jimbo la monduli   Viongozi mbalimbali wa makundi ya

Magazeti ya Leo Jumatano ya Tarehe 18 March 2015

0
0
Magazeti  ya  Leo  Jumatano  ya  Tarehe 18  March  2015

Mwanafunzi UDSM aliyejirusha ghorofani asimulia

0
0
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Cecilia Mosha (26) aliyejirusha kutoka ghorofa ya tatu hadi chini kutokana na hofu ya moto uliotokea katika Hosteli ya Mabibo, amevunjika mfupa wa bega.   Mwanafunzi huyo alijirusha kupitia dirishani juzi katika harakati za kujiokoa na moto baada ya jengo la wasichana, Block A kushika moto huku wanafunzi wakiwa vyumbani wakiendelea na

Viongozi Watatu wa CHADEMA Wanaotuhumiwa Kumteka na Kumtesa Mlinzi wa Dr. Slaa Wapata Dhamana.

0
0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imewaachia kwa dhamana viongozi  watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akiwamo Diwani wa Kata ya Ubungo, Boniface Jacob (32) wanaokabiliwa na mashtaka mawili ya kuteka na kujeruhi. Mbali na Jacob, washitakiwa wengine ni Mkuu wa Walinzi, Hemed Sabula (48) na Ofisa Utawala wa chama hicho, Benson Mramba (30). Wote

Muswada Wa Mahakama ya Kadhi Watinga Bungeni "KINYEMELA"......Tundu Lissu Aishangaa Serikali Kutumia UBABE Kufanikisha Jambo hilo.

0
0
Utata umegubika uanzishwaji wa Mahakama ya Kadhi baada ya Serikali kutaka kuwasilisha ‘kinyemela’ muswada wa uanzishwaji wa Mahakama hiyo, kwenye Mkutano huu wa 19 wa Bunge unaondelea  mjini Dodoma bila kuupitisha kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala kama utaratibu unavyotaka. Pamoja na utata huo, kwa mujibu wa ratiba ya Bunge iliyotolewa jana, muswada huo
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images