Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Lowassa: Nawapongeza Katibu Mkuu wa CCM , Ndugu Kinana na Nape Kwa Kazi Kubwa Wanayoifanya ya Kuimarisha Chama

$
0
0
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa kwa furaha na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa wakati wa mapokezi  yaliyofanyika Makuyuni, tayari kuanza ziara mkoani Arusha jana ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, pamoja na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia

Hatima Ya Chenge Na Wenzake Mikononi Mwa Rais

$
0
0
Hatima ya tuhuma za Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge na wenzake kuhusu fedha walizopata kutoka iliyokuwa akaunti ya Tegeta Escrow, iliyokuwa Benki Kuu (BoT), itapelekwa kwa Rais Jakaya Kikwete. Ofisa Sheria Mkuu wa Sekretarieti ya Maadili, Filotheus Manula, ameliambia mwandishi kuwa, baada ya Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kukusanya tuhuma pamoja na utetezi

Diamond si yupo na Zari au? Sidhani kama amemind mimi kufanya kazi na Wema – Ommy Dimpoz

$
0
0
Kwa imani ya watu wengi Ommy Dimpoz ana kesi ya kujibu kwa Diamond Platnumz baada ya kumtumia Wema Sepetu kwenye video ya wimbo wake mpya Wanjera. Hata hivyo Ommy amesema haoni kama kuna tatizo lolote kati yake na swahiba wake huyo licha ya Diamond kutoandika chochote kuhusiana na wimbo huo kama ambavyo amekuwa akifanya kwa wasanii wengine.   Ommy amekiambia kipindi cha XXL cha

Aliyejifanya Katibu wa Ikulu ya Rais Kikwete Atiwa Mbaroni Jijini Dar

$
0
0
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linamshikilia mkazi wa Mbagala Rangi Tatu, Haroub Mtopa (44) kwa kujifanya mtumishi wa umma kupitia cheo cha Katibu wa Rais, Jakaya Kikwete, Prosper Mbena. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, alisema mtuhumiwa huyo alikamatwa juzi jioni.   Kova alisema Mtopa

Mafuriko Shinyanga: Rais Kikwete Ashangazwa na Utendaji Kazi Mbovu wa Kamati ya Maafa

$
0
0
Utendaji kazi wa kusuasua unaotekelezwa na kamati ya maafa ya mkoa wa Shinyanga umemshangaza Rais Kikwete kwa kushindwa kuwahudumia waathirika kwa wakati hali iliyosababisha migogoro na marumbano ya kisiasa bila sababu za msingi wakati serikali inawajibu wa kuwahudumia wananchi wake wanapopatwa maafa.   Hali hiyo imetokea katika kijiji cha Mwakata wilayani Kahama mkoani Shinyanga

Mtoto Albino Anusurika Kuuawa na 'Wawindaji' wa Albino Alipokuwa Mpirani Akicheza

$
0
0
Picha  Ya  Maktaba. Mtoto wa umri wa miaka sita, mwenye ulemavu wa ngozi (albino), anayeishi Kijiji cha Ndoleleji, amekoswakoswa na watu waliokuwa wakimvizia akiwa katika michezo, baada ya watoto wenzake kuchukua uamuzi wa kumlinda. Taarifa zilizomfikia mwandishi, zilieleza kuwa ‘wawindaji’ hao waliokuwa na gari lililokuwa na vioo vya giza, walionekana wakimfuatilia mtoto huyo Jumamosi ya

Msiba Mkubwa Waikumba UDSM: Wanafunzi Watano Wafariki Kwa Mpigo Ajalini

$
0
0
Wanafunzi watano wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ni miongoni mwa watu 50 waliokufa katika ajali ya basi la Majinja, lililogongana na lori katika eneo la Changarawe Mafinga mkoani Iringa. Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Rwekaza Mukandala alisema waliopoteza maisha ni wanafunzi watatu  wa mwaka wa tatu na wawili wa mwaka wa pili, wote kutoka kitivo cha Sayansi ya Jamii (BA

Dr. Slaa na Makada 3 wa CHADEMA Kupelekwa Kortini na Polisi Kwa Tuhuma za Kumpiga Kagenzi ambaye Alikuwa Mlinzi Wake

$
0
0
JESHI la Polsi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lipo katika hatua ya mwisho katika kukamilisha ushahidi ili kumfikikisha mahakamani Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dokta Wilbrod Slaa pamoja na makada wa chama hicho. Akizungumza na waandishi wa Habari jana mchana Jijini Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi Kanda maalum Dar es Salaam Suleiman Kova alitaja sababu ya

Magazeti ya Leo Jumamosi ya Tarehe 14 March 2015

$
0
0
Magazeti  ya  Leo  Jumamosi  ya  Tarehe  14  March  2015

Wema Sepetu: Mume wa Zari Anataka Kunioa

$
0
0
Supastaa wa Bongo, Wema Sepetu ‘madam’ ameanika siri zilizojificha nyuma ya pazia kati yake na aliyekuwa mume wa mwanamuziki nyota wa Uganda, Zarina Hassan ‘Zari’, Ivan Semwanga, kuwa anataka kumuoa. Katika mazungumzo yake exclusive na mwanahabari wetu juzi jijini Dar, Wema alianza kwa kuweka bayana kwamba, mawasiliano yake na Ivan yalianzia nchini Afrika Kusini wakati alipokwenda

Penny Adaiwa Kunywa Sumu Baada Ya Kupigwa Chini Na Mpenz Wake

$
0
0
Mtangazaji maarufu Bongo na aliyekuwa mpenzi wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amedaiwa kunywa sumu kufuatia kunyang’anywa bwana na shosti yake aliyefahamika kwa jina la Diana. Kwa mujibu wa chanzo, Penny na Diana walikuwa marafiki lakini wakatofautiana baada ya Diana kumteka akili mwanaume wa rafiki yake huyo na kumkoleza mapenzi hadi kufikia hatua ya kumtangazia

Kinana Ammwagia Sifa Edward Lowassa......Adai ni Kiongozi Makini na Shupavu

$
0
0
Jana ilikuwa siku ya hisia tofauti kwa watu wawili wanaotajwa kwenye kinyang’anyiro cha urais, Edward Lowassa na Lazaro Nyalandu baada ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kumsifu mmojawao na kumponda mwingine.   Akiwa Kondoa, Kinana alitumia muda mwingi kujibu kilio cha wananchi wanaosumbuliwa na askari wa wanyamapori kwa kumponda Waziri Nyalandu kuwa anazurura bila

Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusu Katiba inayopendekezwa na Mahakama ya Kadhi......Tamko Linawataka Wakristo Kupiga Kura ya HAPANA Katiba Inayopendekezwa

$
0
0
Sisi Maaskofu wa Jukwaa la Wakristo Tanzania linaloundwa na Taasisi za Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) na Baraza la Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT) tuliokutana leo tarehe 10.03.2015, tumepata nafasi ya kujadili kwa kina kuhusu hali ya usalama wa nchi ilivyo sasa na mustakabali wake, Katiba inayopendekezwa na uanzishaji wa Mahakama ya

Machinga Wamtaka Lowassa Achukue fomu ya Urais.......Wamkabidhi Milioni 1, Ngao na Mkuki Atakavyotumia Katika Safari Yake ya Matumaini

$
0
0
Wawakilishi wa Shirika la Umoja wa wamachinga Tanzania SHIUMA,pamoja na viongozi wa UVCCM kata za jiji la Mwanza wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa nyumbani kwake Ngarash Monduli mwishoni mwa wiki mara baada ya kumkabidhi mchango wa shilingi milioni moja ili achukue fomu kuwania urais kupitia CCM.Pia walimkabidhi Ngao

Wakimbizi Waliopewa Uraia Wa Tanzania Waruhusiwa Kugombea Ubunge Au Udiwani

$
0
0
Wakimbizi 115,138 wanaoishi katika  makazi ya Mishamo na Katumba  mkoani Katavi, waliopewa uraia wa Tanzania, wana haki  zote  kama Watanzania wa kuzaliwa ya kuwapigia  kura madiwani , wabunge  na rais ,  katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Makazi ya Katumba wilayani Mlele, Athman Igwe  katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Rukwa (RCC).  

Mahakama Kuu Yatupa Ombi Dhidi ya Kampuni ya VIP

$
0
0
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali ombi la kuitaka kampuni ya uwekezaji ya VIP Engineering and Marketing, kutoa majibu ya ziada kwa maswali ya awali katika kesi ya Sh bilioni 787 inayohusu kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL). Jaji Salvatory Bongole alitoa uamuzi huo dhidi ya ombi lililowasilishwa na  kundi la mabenki linaloundwa na

Waziri Aokoa Maisha Ya Mjamzito Aliyesota Porini Kwa Saa Sita

$
0
0
Mbunge wa Rufiji ambaye pia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid, juzi alichangia kuyaokoa maisha ya Amina Bakari (20), mjamzito aliyesota porini kwa saa sita akisubiri usafiri wa kumfikisha hospitali ya wilaya iliyopo Utete kwenda kujifungua. Kabla ya msaada wa mbunge huyo aliyekuwa katika ziara jimboni kwake, Amina alikodi pikipiki imwahishe hospitali, lakini baada ya

Apambana na Mamba Kwa Zaidi Ya Nusu Saa Mkoani Rukwa

$
0
0
Mwenyekiti wa Kamati ya Shule ya Msingi Udasi mwambao mwa Ziwa Tanganyika, kata ya Kabwe wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Ismail Ndomboya (42) amenusurika kuuawa na mamba kwa kupambana kijasiri na mnyama huyo kwa  zaidi ya nusu saa. Hata hivyo, licha ya  kuokoa  maisha yake  mnyama huyo katika mapambano hayo  alimng’ata   na kumnyofoa  mkono wake wa kushoto na  kutokomea  nao  ziwani.  

Hatimaye Zitto Kabwe Alitema Jimbo Lake la Kigoma Kaskazini......Ajipanga Kwa Majukumu Mazito

$
0
0
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amewaaga rasmi wananchi wa jimbo hilo huku akiwataka wananchi hao kutosononeka kwa uamuzi wake wa kutoendelea kugombea ubunge wa jimbo hilo, bali wamwombee na kumuunga mkono katika kila uamuzi atakaouchukua. Zitto aliwaaga wananchi hao kupitia mkutano wa hadhara mjini Kigoma uliorushwa moja kwa moja na Kituo cha Radio cha Clouds, ambapo alisema,

Moto Waunguza Bweni la Mababo Hosteli Jijini Dar

$
0
0
Moto mkali umeunguza bweni la Block B la hosteli ya Mabibo jijini Dar es Salaam muda huu. Chanzo cha moto huo na bado hakijafahamika.  
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images