Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Padri FEKI Akamatwa Baada ya Kusalisha Misa Huko Morogoro

$
0
0
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, linamshikilia mkazi wa Manispaa hiyo, Josephat Asenga (47), mwenye taaluma ya uhasibu, kwa tuhuma za kujifanya Padri. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, alisema kuwa, Asenga alikamatwa juzi saa 10:30 jioni, katika maeneo ya Modeco, Kata ya Mazimbu katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Maria.   Kwa mujibu wa Kamanda Paulo, mtuhumiwa

Jeshi la Polisi Mkoani Geita Lawakamata Waganga wa Kienyeji 32 Wanaopiga Ramli Chonganishi.

$
0
0
Jeshi la polisi mkoa wa Geita limewakamata waganga wa kienyeji  32 wanaopiga ramli chonganishi katika msako uliofanywa hivi karibuni ili kuhakikisha mauaji ya vikongwe na watu wenye ulemavu wa ngozi yanakomeshwa kabisa.   Akizunguza na waandishi wa habari baada ya kufanya msako na kuwakamata waganga hao kamanda wa polisi mkoa wa Geita Sacp Joseph Konyo amesema wakati sasa umefika wa

Picha za Uchi za Mume Wa Mtu Akiwa na Mchepuko Wake Zavuja na Kusambaa Mtandaoni

$
0
0
Kaloli  Dawa ambaye ni mume wa mtu, amedaiwa kujipiga picha za utupu akiwa na mchepuko wake uliofahamika kwa jina moja la Irene kisha kusambaa mitandaoni.   Picha za wawili hao wenyeji wa Wilaya ya Lamadi, mkoani Simiyu zimedaiwa kuvuja mara baada ya rafiki wa Irene kuziiba kwenye ‘laptop’ ya Kaloli na kuzisambaza mtandaoni. Imedaiwa kuwa rafiki wa Irene ambaye jina lake

Rais Kikwete Arejea Nyumbani Baada ya Ziara Ya Siku Moja Nchini Rwanda

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Mheshimiwa Paul Kagame amesema kuwa hatua ya Mwenyekiti wa Nchi Wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuhudhuria Mkutano wa Tisa wa Nchi Zilizoungana Kutekeleza Miradi ya Miundombinu Ukanda wa Kaskazini za Northern Corridor Projects ni hatua muhimu katika kufungua utekelezaji wa miradi ya miundomninu katika kanda nyingine za

CCM Ya Mwalimu Nyerere Yaanza Kurejea......Matajiri Kutupiwa Virago

$
0
0
Kazi anayofanya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana katika ziara zake mikoani, sasa ni dhahiri ameanza kurejesha chama hicho katika misingi ya asili yake ya Ujamaa, iliyoasisiwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere. Hilo limejidhihirisha katika kauli na hotuba zake kwa wanachama na wananchi, kwenda kinyume na taswira iliyoanza kujijengea mizizi, kuwa chama

Mkuu wa Jeshi la Polisi wa Zamani (IGP Said Mwema) Apata PHD

$
0
0
Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP mstaafu Said Mwema, amepewa Shahada ya Uzamivu (PHD) ya heshima iliyotolewa na Chuo Kikuu cha Omega Global cha Afrika ya Kusini. Mwema amepewa heshima hiyo, baada ya chuo hicho kutambua juhudi ya kazi nzuri na uadilifu aliouonesha katika kipindi chake cha utumishi kwa Taifa.   Akizungumza katika dhifa hiyo Dar es Salaam jana, Jaji Mkuu wa

Umelipata Hili Tukio La Mwizi Kupitiwa na Usingizi Akiwa Ndani ya Nyumba ya Watu Akijiandaa Kuiba?

$
0
0
Siku za mwizi ni arobaini na ikifika arobaini za mwizi anaweza kujikuta kwenye kitanzi kwa njia ambayo hata mwenyewe haamini…    Hii story inatokea Newport, South Wales, jamaa mmoja amepandishwa kizimbani kwa kosa la kuingia kwenye nyumba moja kwa lengo la kufanya uhalifu japo hakufanikiwa kukamilisha lengo lililomuingiza kwenye nyumba hiyo.    Matthew Waters alikutwa kwenye chumba

Mtuhumiwa wa Ugaidi nchini Marekani akiri asingekamatwa angemuua Obama

$
0
0
Mtu mmoja anayetuhumiwa kutaka kushambulia mji mkuu wa Marekani Washington DC, aliomba kituo cha televisheni kimoja kumtembelea mahabusu na alipohojiwa na mwandishi wa habari kama asingekamatwa alisema angehakikisha risasi inaingia kichwani kwa Obama. Mwandishi wa kituo cha televisheni (WXIX-TV) alidai kuwa mtuhumiwa huyo, Christopher Lee Cornell alipiga simu kutoka jela ya  Kentucky

Gharama za Kuunganisha Umeme ni Sh.177,000/= Tu

$
0
0
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Richard Ndassa amewaambia wakazi wa kata ya  Ibihwa iliyopo Bahi mkoani  Dodoma kuwa  gharama  za kuunganishiwa   huduma  ya  umeme zimeshuka hadi Sh 177,000. Aidha amewataka kama ikatokea wakatozwa zaidi ya kiwango hicho, na watumishi wasio waaminifu basi wana haki ya kuwafikisha mbele ya  vyombo  vya kisheria.   Ndassa

Hizi Ndo Sifa Za Padri Feki Aliyekamatwa Morogoro

$
0
0
Siri ya mafanikio ya Padri feki, Josephat Asenga, aliyekamatwa mkoani Morogoro, katika kuongoza Misa ya Kanisa Katoliki kwa kufuata taratibu zote maalumu bila kutiliwa shaka, imebainika. Asenga aliyetumia vitambulisho feki, alipojitambulisha kwa uongozi wa Kanisa Katoliki, Parokia ya Mtakatifu Maria Madeko mkoani Morogoro, alipopewa fursa ya kuongoza Misa, alitekeleza wajibu huo wa kipadri

Waathirika wa Mafuriko Shinyanga Wafunga Barabara Wakishinikiza Serikali Iwapatie Chakula.

$
0
0
Baadhi ya waathirika wa mafuliko katika kijiji cha mwakata wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga jana walilazimika kuifunga barabara ya Isaka- Kahama na kuathiri kwa muda mawasiliano katika nchi ya Rwanda,Burundi na Uganda.... Wananchi  hao walifanya  vurugu  hizo  ili  kuishinikiza serikali kuwagawia chakula,magodoro,branketi, mahema na shuka baada ya kunyeshewa na mvua usiku wakati vifaa vya

Picha: Mkutano wa CHADEMA Uwanja wa Town School Tabora

$
0
0
Huu ni Mkutano wa CHADEMA uliofanyika kwenye uwanja wa Town School Tabora

Makubwa!!!! Kondom Zatumika Kama Fasheni za Nywele

$
0
0
Kila kukicha kumekuwa na mambo mapya katika jamii inayotuzunguka na kutokana na utandawazi umetufanya tuone na kujua kila kinachoendelea katika ulimwenguni huu wa sayansi na teknolojia.   Kwa sasa kumekuwa na mitindo mbalimbali ya fashion kama kwenye nguo, makeup, viatu na kubwa zaidi kuhusu hii style mpya hapa mjini ya kila mtu kuweka dread kwa namna yake, sasa mama moja wa makamo

Sabby Angel Decides to Flaunt her Assets for Tanzanian MEN ( +Photos)

$
0
0
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Sabby Angel  Decides to Flaunt her Assets for Tanzanian  MEN (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

These Photos Of Diamond Platnumz Grabbing His Girlfriends B*uttocks Will Make You Feel Like Crying

$
0
0
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); The 34 years old and mother of three has been having such a great time with Diamond, at least based on what she posts on Instagram every day. They say age ‘don’t matter’ when it comes to love; Diamond who is only 25 seems to have swept Zari off her feet this time.   Diamond and Zari Hassan were recently

Msichana Apagawa na Wimbo Mpya wa Ali Kiba #Chekecha Cheketua ......Hii ni Video Akikata Maono Kupita Kiasi

$
0
0
Wimbo mpya wa Ali Kiba Chekecha ni Shida..Embu Angalia Hii Video Hapa Chini Jinsi Huyo Demu anavyozungusha Hicho Kiuno.

Video: Hausigeli Akimlazimisha Mtoto Amnyonye Sehemu Zake Za Siri ( Viral video of A house help forcing a baby to lick her private parts )

$
0
0
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); We put this video here as a way of standing up for the rights of children and remind ourselves of the great task we have in safeguarding those rights.   We condemn such gross violations of children’s rights and dignity.  Additionaly, to also remind parents out there to thoroughly vet those people they

Rais Kikwete Asema Anajivunia Hatua Ambayo Serikali Imepiga Katika Kuwawezesha Wanawake........Ataka Wanawake Wajitokeze Kugombea Urais

$
0
0
WAKATI joto la kisiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu likiendelea kupanda, Rais Jakaya amewataka wanawake nchini kujiamini na kutohofia kuwania Urais, akisema wanaweza na hawakuwahi kumwangusha.   Amesema katika utawala wake wa awamu ya nne, anajivunia kuwawezesha wanawake wengi kushika nyadhifa mbalimbali za uongozi wa juu zikiwemo

Wema Sepetu Atembelea Studio za Radio5 Jijini Arusha

$
0
0
Wema Sepetu akiwa ndani ya studio za Radio 5 jana mara baada ya kufanya ziara fupi mjengoni hapo akielezea pia kuhusu show yake ya black and white party iliyofanyika usiku wa tarehe 7/3/2015 jijini Arusha.   Kushoto ni mtangazaji mahiri wa kituo hicho Wilfredy akiwa anafanya kipindi na mwanadada huyo, Wanaoonekana pichani ni team Wema.(Habari Picha na Pamela Mlollel wa jamiiblog)

Albino Mwingine Akatwa Kiganja Huko Sumbawanga......Mama Yake Ajeruhiwa Vibaya

$
0
0
LICHA ya Serikali, jamii na jumuiya ya kimataifa kukemea ukatili dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), bado kuna wanaoendelea kung’ang’ania mila potofu za kuamini kwamba bila ya ushirikina unaohusishwa na matumizi ya viungo vya albino, hawawezi kufanikiwa kimaisha, iwe katika kisiasa au kibiashara.   Hayo yanathibitishwa na kuendelea kuripotiwa kwa matukio ya ukatili dhidi ya
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images