Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Kila Mtanzania Kupatiwa Kitambulisho cha Uraia

0
0
Serikali imeahidi kumpatia kila Mtanzania kitambulisho cha uraia mwaka huu. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima alisema hayo mjini Dar es Salaam wakati alipokuwa akifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).   Alisema Serikali ya Rais Jakaya Kikwete itaendelea kusaidia NIDA ili kufikia malengo ya serikali ya Awamu ya Nne ya

Shilole Atia Aibu Msiba wa Komba

0
0
Mwanamuziki  wa miondoko ya mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amepondwa vibaya katika msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Mhe. Kapt. John Komba, baada ya kuvaa kigauni kilichombana na kumuonyesha maungo yake ya mwili mbele ya viongozi mbalimbali wa Serikali akiwepo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete.   Mwanamuziki wa miondoko ya mduara, Zuwena

Ofisa wa IKULU Ahojiwa na Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma......Adai Hajui Sababu za Rugemalila Kumpatia Mamilioni

0
0
Mnikulu Shaban Gurumo amekiri mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, kwamba alipokea Sh milioni 80.8 kutoka kwa James Rugemalira na kuzitumia kwa matumizi yake binafsi, ingawa amekanusha kuomba fedha hizo. Gurumo alitoa utetezi huo Dar es Salaam jana mbele ya baraza baada ya kusomewa mashitaka ya kutumia cheo chake cha uongozi wa umma vibaya na kujipatia fedha hizo, jambo ambalo

Bibi Asimulia Mvua Ilivyoua Wajukuu Zake Wanne na Wengine 38 Kahama

0
0
Maafa makubwa yameikumba Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga baada ya watu 42 kufa papo hapo na wengine 82 kujeruhiwa, kutokana na mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali,  iliyonyesha katika Kijiji cha Mwakata Kata ya Isaka. Kamanda wa  Polisi Mkoa wa Shinyanga, Justus Kamugisha alisema jana kuwa tukio hilo halijawahi kutokea mkoani humo.   Baadhi ya majeruhi, akiwemo Paulina

Chris Brown’s baby mama, Nia Gonzalez’ n@de pics go viral online.......( Ni Picha CHAFU ya Mpenzi wa Chris Brown)

0
0
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Chris Brown’s baby mama – According to MTO, Chris has a baby with a woman who has dated quite a number of rappers. Ouch! Thought he was different. Her name is Nia Gonzalez and she’s in her 30s.   She has a lot of n@de model photos and has appeared in a few music videos. She’s reportedly been around the

Balozi wa Marekani Ashambuliwa Kwa Kisu Korea Kusini

0
0
Muonekano wa Balozi wa Marekani nchini Korea Kusini, Mark Lippert baada ya kuchomwa kisu Mark Lippert (katikati) akiwa anajifuta damu. Kim Ki-jong akiwa amekamatwa na polisi baada ya kumchoma kisu balozi wa Marekani. Mark Lippert akisaidiwa kunyanyuka baada ya kuchomwa kisu.  **** BALOZI wa Marekani nchini Korea Kusini, Mark Lippert ameshambuliwa kwa kisu usoni na katika

Mahakama Yamtaka Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabishara Nchini Awaambie Wafanyabiashara Wasifunge Maduka, Vinginevyo Dhamana yake Itafutwa

0
0
Hakimu mkazi wa mahakama ya Mkoa wa Dodoma Rebecca Mbilu amemtaka mwenyekiti wa jumuiya ya wafanyabishara nchini, Johnson Minja kuwaambia wafanya biashara nchini waache kufunga maduka yao wakati wa kesi yake kwani ni sharti mojawapo la dhamana yake. Mwenyekiti wa Shirikisho la vyama vya Wafanyabiashara Nchini, Bw. Jonson Minja (mwenye koti) akisomewa mashtaka yake katika

Waishio Mabondeni Shinyanga watakiwa kuhama.

0
0
Kutokana na Mvua zilizosababisha maafa Mkoani Shinyanga na kusababisha watu 42 Kufariki na 91 kujeruhiwa Mkuu wa mkoa huo amewataka wananchi waishio maeneo ya mabondeni kuhama ili kuepuka madhara kujitokeza kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Akitoa Tahadhari hiyo kwa wakazi wa Mkoa huo Ally Nassoro Rufunga amesema kuwa kwa mujibu wa mamlaka ya hali ya hewa walishatoa taarifa

Ishu ya Utata wa Taarifa ya Msichana wa Kazi Kubakwa na Baba Mwenye nyumba

0
0
Baba mwenye nyumba anashutumiwa kumbaka msichana wake wa kazi baada ya kumlaghai.   Ishu hiyo imetokea Chang’ombe DAR ambapo majirani walitishia kuandamana kwa kuwa baba huyo anashutumiwa lakini hakuna hatua yoyote ya kisheria iliyochukuliwa.   Majirani wamesema kuwa binti huyo aliwafuata akiwa analia na kulalamika kuwa tumbo linamuuma kutokana na baba huyo kumlaghai na kisha kumbaka,

Ndoa ya Babu wa Miaka 107 na Bibi wa miaka 95 Yazua Gumzo Mtandaoni

0
0
Tumezoea kuona vijana au watu wa makamo kufunga ndoa lakini ilikuwa ajabu kwa vikongwe hawa kuchukua uamuzi huo wakiwa na umri mkubwa.   Vikongwe hao Dikam mwenye umri wa miaka 107 na Ka’a Nafung mwenye miaka 95 Nigeria wameamua kufunga ndoa huku wakiwashangaza watu kwa uamuzi wao huo kutokanana umri wao.   Imeelezwa kuwa ndoa hiyo ilifungwa kutokana na kila mmoja mwenza wake kufariki

Wachungaji wa Leo Majanga Matupu.......Pastor Impregnates 20 Members of His Congregation and Claims the Holy Spirit Told Him to Do it

0
0
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Ebere Amaraizu, DSP, a spokesman for the Enugu State Police Command told NaiJ that general overseer of Vineyard Ministry of the Holy Trinity, Pastor Timothy Ngwu, was arrested for abusing his female members.   "The pastor claims to be obeying prophetic/spiritual injunction to do the will of God, which is to

Rais Kikwete Akutana na Viongozi wa Chama cha Albino Tanzania Ili Kusikiliza Kilio Chao

0
0
Kikao cha Rais na watu wenye ulemavu wa ngozi Albinism almanusura kivunjike baada ya walemavu hao kuhamishia mgogoro wao wa uongozi ikulu na kusababisha vurugu iliyopelekea watolewe nje ya jengo la ikulu na baadae kuanza kupigana wenyewe kwa wenyewe.   Mapema asubuhi walemavu hao walifika eneo la mapokezi ikulu ambapo waliokuwa wameorodheshwa kwa ajili ya kuonana na rais waliakikiwa

Imagine This Lady is a Teacher, What if you were a Student?

0
0
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Imagine this lady is a teacher, What if you were a student? Will you understand  the lesson 100% ...   Teachers of now days..Eishh (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

Zari Flaunts The 24 Carat Ring Diamond Platnumz Got Her (Photo)

0
0
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Zari must be the luckiest woman on earth. She has that one man who treats her like the queen she is. And now that she is expecting Diamonds first child, all she needs to do is make a wish and it happens. Though she has been trying to keep her life off the lime light, she couldn’t help but floss her latest

Vigogo Wa Escrow Wasitisha Kamati ya Maadili ya Uongozi wa Umma Kusubiri Uamuzi wa Mahakama Kuu

0
0
Baraza  la Maadili ya Uongozi wa Umma, limesitisha kusikiliza mashauri mawili likiwemo la Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), Philip Saliboko hadi pale Mahakama Kuu itakapotoa uamuzi juu ya uhalali wa mashauri hayo, kusikilizwa na baraza hilo.   Shauri lingine lililositishwa kusikilizwa na baraza hilo ni la aliyekuwa Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria Wizara

Waziri Mkuu Awatembelea Waathirika Wa Maafa ya Mvua Shinyanga.......Awafariji na Kuwaahidi Misaada

0
0
WAKATI Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwasili mjini Shinyanga kwa ajili ya kujionea maafa yaliyosababishwa na mvua kubwa ya mawe katika kijiji cha Mwakata kata ya Isaka wilaya ya Kahama, idadi ya watu waliokufa imeongezeka na kufikia 42 na idadi ya majeruhi ni 98.   Pinda baada ya kuzuru eneo la tukio, aliwaahidi waathirika wa tukio hilo kuwa Serikali itawasaidia kwa kadiri

Asomewa Mashitaka Akiwa Chumba Cha Mahabusu

0
0
Mfanyabiashara Abubakar Kasenje (28) amesomewa mashitaka ya mauaji kwenye chumba cha mahabusu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa sababu alikuwa anashindwa kutembea kwa madai ya kuumwa kiharusi.   Kasenje alifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashitaka yake mahabusu akiwa amekaa chini huku miguu yake ikionekana kutetemeka.   Alisomewa mashitaka lakini hakuruhusiwa

Walimu Wahusishwa na UBAKAJI Kwa Wanafunzi

0
0
KESI za kulawiti watoto mashuleni imeelezwa kuwa wanaofanya ukatili huo wa kijinsia kwa watoto hao baadhi yao ni walimu wanaowafundisha na kwamba kutokana na walimu hao kuhitajika shuleni hapo baadhi ya uongozi wa shule umekuwa ukishindwa kuwachukulia hatua ikiwa ni pamoja na kushindwa kuripoti katika dawati hilo.   Mkaguzi Msaidizi wa Polisi ambaye pia ni Mkuu wa Dawati la Jinsia

Kauli ya Rais Kikwete Baada ya Kukutana na Chama cha Albino Jana Ikulu

0
0
Serikali kwa kushirikiana na Chama cha Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi (Albino) Tanzania (TAS), wamekubaliana kuunda kamati ya pamoja, itakayojumuisha pia viongozi wa waganga wa jadi na wadau wote wakuu katika mapambano dhidi ya mauaji ya Albino. Kamati hiyo ya pamoja itaweka mikakati ya kuwabaini wale wote wanaohusika, kuanzia wakala, waganga na hatimaye wale wanaonufaika na viungo vya

Kesi ya kuteka mwanafunzi yaahirishwa

0
0
Kesi ya kumteka mwanafunzi wa darasa la pili, inayomkabili Mkulima Juma Hamis (41) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirishwa hadi Machi 18 mwaka huu itakapoendelea kusikilizwa.   Kesi hiyo ilitajwa jana mbele ya Hakimu Mkazi Waliarwande Lema kwa ajili ya mashahidi wanne wa upande wa Jamhuri kuendelea kutoa ushahidi wake lakini haukufika mahakamani.   Ilidaiwa Aprili 12,
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images