Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

UMATI WA WATU WALIOJITOKEZA KATIKA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI


LOWASSA APONGEZWA NA BAKWATA KWA KUVISHWA JOHO MAALUMU.....MILIONI 590 ZACHANGISHWA KATIKA HARAMBEE

$
0
0
Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, akipongezwa na kiongozi wa Sunni al Jamaa Afrika Mashariki, Shariff Hussein al Badawi kwa kumvika joho la kilemba  baada ya kufanikisha harambee kwa ajili ya Kituo cha Redio Ikra kinachomilikiwa na Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata) Mkoa wa Mwanza.  Anayeshuhudia ni Sheikh wa Mkoa wa Mwanza, Sheikh Salum Hassan Fereji.  Katika harambee hiyo zaidi

MWANAFUNZI WA CHUO CHA VETA MKOANI DODOMA AJILIPUA KWA PETROL.....KISA NI WIVU WA MAPENZI

$
0
0
MWANAFUNZI wa Chuo cha Ufundi (VETA), mkoani Dodoma, Taliki Juma (22), amefariki dunia baada ya kujilipua kwa mafuta ya petroli. Mbali na mwanafunzi huyo kufariki, watu wengine wanane waliokuwa karibu na moto huo nao walijeruhiwa vibaya. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma na kusainiwa na Kamanda wa Polisi wa mkoa, David Misime, tukio hilo lilitokea

VIDEO YA RAPPER WA TANZANIA ( WAKAZI ) AKIKAMUA NDANI YA BIG BROTHER JANA

WANAWAKE WAWILI WAMEKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA AFRIKA KUSINI WAKITOKEA TANZANI

$
0
0
Ripoti kutoka Afrika Kusini zinasema wanawake wawili wamekamatwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa OR Tambo nchini Afrika Kusini wakitokea Tanzania, wakiwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya Rand million 42.6 kiasi ambacho ni kikubwa zaidi kuwahi kukamatwa katika mpaka wowote wa nchi hiyo.   Kwa mujibu wa taarifa iliyoripotiwa na shirika la habari la Africa Kusini SABC siku ya

ANGALIZO:MAFUTA YA UBUYU YANA TINDIKALI INAYOSABABISHA SARATANI

$
0
0
Baada ya kuonya wananchi wanaotumia dawa za tiba mbadala ambazo hazijathibitishwa, Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), sasa inawataka wananchi kuacha kutumia mafuta ya ubuyu kwa kunywa kama dawa. Akizungumza juzi katika Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, msemaji wa TFDA, Gaudensia Simwanza, alisema Mamlaka hiyo ilipima na kubaini mafuta hayo yana

UGONJWA WA KIPINDUPINDU WALITIKISA JIJI LA MBEYA...MIKUSANYIKO YAPIGWA MARUFUKU

$
0
0
  UGONJWA wa kipindupindu, umeingia katika wilaya ya Kyela na kuua watu wawili na 39 wakiwa wamelazwa.Taarifa zinasema ugonjwa huo umeibuka wilayani humo wiki iliyopita ukisadikika kuanzia katika Kijiji cha Ngonga na kisha kusambaa hadi Kilwa.Kutokana na hofu ya kupata maambukizi kwa wananchi wengine, serikali imepiga marufuku mikusanyiko ikiwemo ya harusi, kipaimara, ngoma, michezo na

"PREZZO ANAYAJUA MAPENZI.....HATA AKINIUTHI SITAHESABU MAKOSA YAKE"....DIVA WA CLOUDS FM

$
0
0
Muda mfupi uliopita mtangazaji wa ‘Ala za Roho’ ya Clouds FM Diva Loveness Love ambaye sasa anatumia “divathebawse” katika akaunti yake ya Instagram, ameweka picha mpya akiwa na Rapcellency Jackson makini aka Prezzo kutoka Kenya waliyopiga jana (July 7). Picha hiyo ambayo inawaonesha wawili hao wakiwa “0 distance” ilikuwa na caption inayosomeka hivi, “Nothing Than Happiness… Prez is

UWOYA AAMBULIA MATUSI BAADA YA KUMFANANISHA DIAMOND NA MICHAEL JACKSON

$
0
0
Mwigizaji  wa filamu za Kibongo, Irene Pancras Uwoya, amelowa mvua ya matusi baada ya kumfananisha mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na aliyekuwa mwanamuziki mkubwa duniani, marehemu Michael Jackson. Wikiendi iliyopita, Uwoya aliandika kwenye ukurasa wake katika mtandao wa Instagram kuwa msanii huyo anayefanya vizuri katika Bongo Fleva ndiye staa atakayemrithi mkali huyo wa Pop,

VIDEO: JENGO LA WIZARA YA UCHUKUZI LIMENUSURIKA KUUNGUA MOTO

$
0
0
Shughuli za serikali zimelazimika kusimama kwa zaidi ya saa moja kutokana na wafanyakazi wa wizara ya uchukuzi kukimbia nje ya ofisi zao baada ya jengo lililoungana na wizara hiyo kupata hitilafu ya umeme iliyosababisha kutaka kuanza kuungua moto.<!-- adsense -->

SABABU TANO ZILIZOWAFANYA CHADEMA WAGOME KUSHIRIKI "KONGAMANO LA AMANI" LINALOANZA KESHO

$
0
0
Ndugu waandishi wa habari,Tumewaiteni hapa mchana huu kwa dharula, kutokana na kujitokeza kwa jambo moja muhimu sana katika mustakabali wa chama chetu na taifa kwa ujumla. Jambo lenyewe ni hili:Kwa muda wa siku mbili, kuanzia kesho– tarehe 9 Julai 2013 hadi 10 Julai – kutakuwa na “KONGAMANO LA AMANI” lililoitishwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania – Tanzania Center For Democracy (TCD).

HUDUMA YA TRENI LA JIJI KESHO HAIPO....KICHWA KIMOJA NI KIBOVU

$
0
0
Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitika kuwataarifu wananchi na wakazi wa jiji kwa jumla kuwa huduma ya treni ya jiji haitokuwepo kwa muda wa siku 2 kuanzia leo Julai 8, 2013 kutokana na hitilafu kubwa katika  kichwa kimojawapo cha treni hiyo.Uamuzi huo unatokana na sababu za kiufundi unaosimamia uendeshaji wa huduma hiyo jijini. Kwa utaratibu huduma hii huendeshwa kwa

MBUNGE WA DODOMA MJINI AWATEMBELEA WAHANGA WAMLIPUKO WA PETROL KATIKA HOSPITAL YA MKOA WA DODOMA

$
0
0
Mbunge wa Dodoma mjini  Mh Dr David Mallole, alipoenda kuwatembelea wahanga wa mlipuko wa Petrol katika hospital ya mkoa wa Dodoma,General Hospital na kutoa pole kwa wagonjwa waliopatwa na janga hilo kwa kuwapatia pole pamoja na msaada wa pesa ya dawa kwa kila mmoja Mtoto huyu ni mwanafunzi wa kidato cha tatu Shabani p. Shaban .Alikutana na janga hili baada ya kwenda kwa

GIZA LATANDA KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO....MSIMU WA MASOMO UMEANZA HUKU "SELECTION" ZIKIWA BADO

$
0
0
Matokeo mabaya ya kidato cha nne ya mwaka 2012, yameendelea kuitikisa sekta ya elimu nchini baada ya shule kufunguliwa jana bila kutangazwa kwa waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano mwaka huu. Kwa kawaida, wanafunzi wanaochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya ualimu, hutangazwa mapema ili kutoa fursa kwa wanafunzi na shule husika kufanya

BONDIA AUAWA KWA KUCHOMWA KISU......ALIKUWA AKIAMULIA UGOMVI KABLA YA KISANGA KUMGEUKIA

$
0
0
BONDIA  maarufu Ramadhani Idd ‘Mashudu’ ameuawa kwa kuchomwa visu mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Tukio hilo lililowaacha midomo wazi wakazi wa Mabibo Loyola, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam lilitokea saa sita usiku Julai 4, mwaka huu. Imedaiwa kuwa, marehemu aliwakuta Jack Mchaki na mtu mwingine wakigombana, alipowaamulia wakamgeuzia kibao na kumchoma visu. Waandishi

UGOMVI WA NDOA WASABABISHA MWANAMKE AVAMIWE NA KUKATWA MIKONO YAKE

$
0
0
Mwanamke mmoja Sumayi Girandi mkazi wa kijiji cha Kunzugu wilayani Bunda amepoteza vidole vitatu vya mkono wa kulia na kiganja cha mkono wa kushoto kukatwa baada kushambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana kisa kikidaiwa kuwa kutaka kunyang’anywa mali zake. Uhodari wa mama huyo wa kutafuta mafanikio ya familia yake hasa baada ya kutengana na mume wake umeishia hapo baada ya watu

VIDEO YA SHILOLE NA MASANJA WALIVYOPAGAWISHA NDANI YA WASHINTON DC

BLANDINA AWATAKA WASANII WAACHE KUOLEWA KWA KUKURUPUKA

$
0
0
MWIGIZAJI wa kike Witness Lunyungu ‘Brandina’ aliyetamba sana na filamu ya The Game na kuwa  maarufu amewaasa wasanii wenzake wa filamu kutokimbilia kuolewa na wanaume wasiowapenda sana kwani ni rahisi kupoteza vipaji vyao sambamba na ajira ya uigizaji... Blandina  anadai  kwamba hata  yeye  alikumbwa na kadhia hiyo baada ya kuolewa na mumewe ambaye alimpiga marufuku kabisa kuigiza 

WEMA SEPETU ANASAKWA NA POLISI BAADA YA KUMTUKANA MENEJA WA HOTELI WAKATI POMBE IKIWA UTOSINI

$
0
0
DIVA wa filamu za Bongo ambaye pia ni Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu anasakwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kawe, Dar es Salaam kwa tuhuma za kufanya fujo hotelini, kumtukana matusi ya nguoni na kumpiga makofi meneja wa hoteli hiyo, Godluck Kuyumbu. Songombingo hilo lilijiri saa tano usiku wa Jumatano iliyopita kwenye hoteli hiyo  iliyopo Kawe Beach, jijini Dar. Akizungumza na

NANDO NA FEZA KESSY WAENDELEA KUPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA NDANI YA BIG BROTHER......HAKUNA ALIYEINGIA KIKAANGONI

$
0
0
  Wiki hii Watanzania na mashabiki wa shindano la Big Brother Africa hawana haja ya kuwa wasiwasi ya kuwaokoa washiriki wao kwakuwa Nando na Feza Kessy wako safe.  Kilichobaki ni kuvuta tu viti virefu na kuendelea na bata huku tukiwaangalia wengine wakihaha kuokoa washiriki wao. Hata hivyo Evictions ya wiki hii inatarajiwa kuwa ya aina yake tangu show ianze hasa kwakuwa waliotajwa
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images