Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Wana CCM Serengeti watua kwa Edward Lowassa.....Wamtaka Achukue Fomu ya Kugombea Urais

$
0
0
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, wamemwomba Waziri Mkuu wa zamani ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa (CCM), kuchukua fomu ya kuwania urais muda utakapofika kwani wanaamini ni kiongozi anayefaa kuwania nafasi hiyo kupitia chama hicho.   Wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM wa wilaya hiyo, Vicent Nyamasagi, viongozi hao walitoa kauli hiyo

Vifurushi vipya vya mitandao: TCRA yatoa tamko na maagizo kwa makampuni ya simu

$
0
0
Mamlaka ya mawasiliano nchini, TCRA imetoa tamko kuhusiana na malalamiko kutoka kwa watumiaji wa huduma za simu nchini kufuatia kubadilika kwa vifurushi vya mawasiliano.   Malalamiko hayo yalikuja baada ya baadhi ya mitandao ya simu kupunguza ukubwa wa data anazopata mtumiaji wa simu anapojiunga na vifurushi vya muda wa maongezi, sms na data kwa pamoja.   Baadhi ya mitandao

Picha CHAFU za Msanii Maarufu Uganda Zavuja Mtandaoni Akiwa kama Alivyozaliwa

$
0
0
Picha  chafu  za  Msanii  maarufu  wa  kike  nchini  Uganda  zimevuja  na  kusambaa  kwa  kasi  mtandaoni..... Picha  hizo  Ambazo  zilianza  kusambaa  jana  zinamuonyesha  msanii  huyo  akiwa  kitandani  na  njemba  moja  huku  akiwa  mtupu  kama  alivyozaliwa..... Picha  nyingine  zinamuanika  akiwa  mtu  na  wasichana  wenzie  kitandani.....

Vurugu Ilula Mkoani Iringa, Mwananchi afariki, Kituo cha Polisi chachomwa moto!

$
0
0
Wananchi wenye hasira mjini Ilula, mkoani Iringa,  wamevamia kituo cha polisi na kuvunja milango kisha kuwafungulia mahabusu waliokuwemo ndani, wakachoma moto baadhi ya magari yaliyokuwepo kituoni hapo pamoja na mafaili.   Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo, tukio hilo limetokea leo  kufuatia mwanamke ambaye hakufahamika jina lake wakati anakimbia alichotwa mtama na Polisi na

Rais Kikwete apokea vitabu Mil 2.5 vya Sayansi

$
0
0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania amesema serikali itaendelea kuboresha sekta ya elimu hapa nchini kwa lengo la kuhakikisha vijana wanaosoma katika shule za sekondari wanapata elimu bora mara kabla ya kuhitimu.   Rais Kikwete aliyasema hayo jana jijini Dar es salaam mara baada ya kupokea vitabu milioni 2 na laki 5 vya masomo ya Sayansi na Hisabati kutoka serikakali ya Marekani

Waethiopia 13 wakamatwa wakisafirishwa Morogoro

$
0
0
Jeshi la polisi mkoa wa Morogoro  limewakamata  wahamiaji haramu 13  kutoka nchini  Ethiopia wakiwa kwenye gari ndogo aina Prado  katika kijiji cha Lusanga  Turiani  wilayani Mvomero wakijiandaa kwenda Afrika kusini kupitia mkoani Mbeya . Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro ACP leonard Paul  akizungumzia  tukio hilo amesema waethiopia hao walitokea nchini Kenya na kupita Handeni na

Waziri Mkuu Aagiza Watendaji Waliokaa Kwenye Halmashauri Kwa Zaidi ya Miaka 10 Wahamishwe

$
0
0
Watendaji wa Halmashauri waliokaa kwenye vituo vya kazi kwa zaidi ya miaka 10, wataanza kuhamishwa wakati wowote kuanzia sasa kuleta ufanisi katika utendaji na kukomesha  kufanya kazi kwa mazoea. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (pichani) ameagiza ofisi za mikoa ziainishe majina ya watendaji husika, utaratibu wa kuwahamisha ufanyike kunusuru utendaji wa kazi kwenye maeneo walikokaa muda mrefu.

Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar Yaichefua CCM

$
0
0
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema hakitaunda tena Serikali ya Umoja wa Kitaifa baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, kutokana na  baadhi ya washiriki wake kuvuruga utaratibu na misingi ya kuanzishwa kwa serikali hiyo. Kauli hiyo imetolewa na Katibu wa Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi Zanzibar, Waride Bakari Jabu  wakati

Warioba Ashutumu Ubinafsi wa Vyama vya Siasa Katika Mchakato wa Kura ya Maoni

$
0
0
Waziri Mkuu mstaafu na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Warioba amevitaka  vyama vya siasa kuzingatia matakwa ya wananchi katika suala zima la Kura ya Maoni  ya Katiba Inayopendekezwa na badala ya kuwagawa. Aidha, Warioba amesema anaamini baadhi ya vipengele vilivyokataliwa katika Rasimu ya Katiba, ipo siku  vitafanyiwa kazi kuondoa migongano huku akisisitiza,

Wanajeshi 6 wa JTK Waliotaka Kuandamana Wafikishwa Mahakamani Chini ya Ulinzi Mkali

$
0
0
Wahitimu sita wa mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya kufanya mkusanyiko usio halali. Washitakiwa hao ni Mwenyekiti wa Umoja wa wahitimu hao George Mgoba, Makamu Mwenyekiti Parali Kiwango, Katibu Linus Steven na wahitimu wengine Emmanuel Mwasyembe, Ridhiwani Ngowi na Jacob

Bunduki ya kivita na risasi 524 zakamatwa Kibondo

$
0
0
Kamanda wa polisi mkoa wa Kigoma ACP Jafari Mohamed amesema, risasi 524  na bunduki moja  ya kivita aina ya SMG zimekamatwa katika eneo la kijiji cha Nduta baada ya polisi katika kizuizi cha Nduta kufanya ukaguzi ndani ya basi.   Wakati kazi hiyo ikiendelea  mtu anayesadikiwa kumiliki begi lililokuwa na risasi na bunduki alitoroka, ambapo amesema vizuizi vya barabarani vilivyowekwa

Wastara Azimia Kisa Penzi la Bond

$
0
0
Diva wa filamu nchini, Wastara Juma ambaye kwa sasa anaripotiwa kuwa katika mapenzi na mwigizaji mwenzake, Bond Bin Suleiman anadaiwa kupoteza fahamu mara tu baada ya kupewa taarifa kuwa mpenziwe huyo amepata mtoto wa nne kwa mwanamke mwingine. Kwa mujibu wa chanzo makini, Wastara alipenyezewa ubuyu na mpenzi wa zamani wa Bond, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ na kuambiwa kwamba

Picha: Joti Awakuna Wengi Kwa Mtoko Huu

$
0
0
Picha ya mwigizaji mkongwe wa vichekesho “KOMEDI” Lucas Mhuvile ‘Joti’  imewakuna watu wengi  na kufanya kuwa ni moja kati ya picha zinazo” TREND” mtandaoni toka jana.   Japo kuwa Joti akiwa kama ‘Bi kiboga’ ametokelezea kiofisi zaidi, watu wengi wamejituka wakiangusha komenti nyingi wakielezea kuvunjika kwa mbavu zao kwa kicheko huku wengine wakisema mnuno wake ndio balaa na wengine

Shilole na Mchumba Wake Nuh Mziwanda Wachafua Hali ya Hewa Mtandaoni baada ya Kutupia Picha za Uchi

$
0
0
Mwigizaji na mwanamziki,  Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ambae ni mama wa watoto wawili wa kike , akiwa na mchumba wake Nuh wamechafua hali ya hewa baada ya kutupia picha yaowakiwa uchi.   Nuh Mziwanda ndio alioibandika picha hiyo kwenye ukursa wake kwenye mtandao wa instagram na baada ya kuona watu wengi wanamshabulia aliamua kuibandua.    Wapo walioona kuwa kitendo  alichokifanya

Migodi ya Dhahabu Nchini Kuanza Kulipa Ushuru

$
0
0
Wizara ya Nishati na Madini inapenda kutangazia umma kuwa mgodi wa dhahabu wa Geita unaomilikiwa na kampuni ya AngloGold Ashanti; na migodi ya Bulyanhulu, Buzwagi na North Mara inayomilikiwa na kampuni ya Acacia Mining, imeanza kulipa ushuru wa huduma kwa kiwango cha asilimia 0.3 (0.3%) ya mapato ghafi kwa Halmashauri husika.    Halmashauri zitakazonufaika na malipo hayo ni: Mji wa Geita;

Rais Kikwete Aweka Shada la Maua Katika Makaburi ya Marais Lusaka Zambia

$
0
0
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Zambia Michael Sata aliyefariki mwaka jana katika eneo la maziko ya viongozi wa kitaifa jijini Lusaka Zambia jana.   Rais Kikwete alitumia  wasaa huo pia kuweka shada la maua katika marais wa Zambia waliofariki Marehemu Frederick Chiluba na Levy Mwanawasa. Picha na

Vodacom na Tigo waungana kutoa huduma bora za kifedha

$
0
0
Huduma za kutuma na kupokea fedha na kufanya mihamala mbalimbali ya malipo zinazotolewa na makampuni ya Vodacom Tanzania kupitia huduma yake ya M-Pesa na Tigo kupitia huduma yake ya Tigopesa zitazidi kuimarika kutokana na makampuni hayo kuingia makubaliano ya kutoa huduma hizo kwa ushirikiano. Ushirikiano huo utawawezesha wateja wa makampuni hayo kutuma na kupokea fedha na kufanya

Ile picha ya askari wa Tanzania kupigana mabusu iliteka Dunia.....Hapa iko Picha mpya toka Uingereza

$
0
0
Unakumbuka ile Stori ya askari Asuma Mpaji na Veronica Nazaremo kufukuzwa kazi Mkoani Kagera baada ya picha zao kusambaa mitandaoni wakionekana kupigana mabusu? safari hii nakuletea tena stori inayofanana na hiyo ambayo imetokea Nchini Uingereza.    Polisi wa nchi hiyo ya Uingereza waliamua kumshtaki mwenzao baada ya kufanya kitendo cha kudhalilisha jeshi la nchi la nchi hiyo kwa

Matonya: Tundaman aliniibia hela zangu benki

$
0
0
Matonya na Tundaman wameingia kwenye vita vya maneno. Ugomvi huo umeanza baada ya Tundaman kudai kuwa alimtungia wimbo Matonya kwenye album yake ya Vailet. Akiongea kwenye 255 ya XXL kupitia Clouds FM jana, Matonya alikanusha taarifa hiyo na kwamba Tundaman hana uwezo wa kumtungia wimbo kwakuwa uimbaji wao upo tofauti kabisa.   “Nilikuwa naenda na Tunda sehemu zote ninazoenda,

Shilole adai atamzalia Nuh Mziwanda watoto wawili

$
0
0
Shilole amedai kuwa mpango wake ni kumzalia mchumba wake Nuh Mziwanda watoto wawili. Muimbaji huyo mwenye watoto wawili wa kike alisema hayo wakati akiongea kwenye kipindi cha The Mboni Show.   “Nitamzalia watoto wawili, nina wawili,” alisema Shilole aliyeongezana na mchumba wake huyo kwenye kipindi hicho kinachorushwa TBC1.   Shilole alisema kuwa kadri siku zivyonaenda anazidi
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>