Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Rais Kikwete Akabidhiwa Rasmi Uenyekiti wa Jumuiya ya Africa Mashariki

$
0
0
Marais watano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki, Yoweri Museveni wa Uganda, Paul Kagame wa Rwanda, Pierre Nkurunzinza wa Burundi, Jakaya Kikwete wa Tanzania na mwenyeji wa mkutano Uhuru Kenyatta wa Kenya. Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wao Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya pamoja na Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Rais Paul Kagame wa Rwanda na Rais Pierre Nkurunzinza

Penzi la Wema Sepetu na Ommy Dimpoz, Kumbe Dimpoz ni Boya tu Nyuma ya Pazia kuna Kigogo

$
0
0
Habari ya mjini ni kwamba, lile penzi linalonadiwa la Mbongo-Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ na mwigizaji Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ limejaa magumashi, ikidaiwa kuwa jamaa huyo kawekwa kama boya tu, nyuma yake kuna kigogo mzito serikalini ndiye anayekula vinono. Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika, Dimpoz ameagizwa na kigogo huyo awe mpenzi kivuli wa Wema ili kuzuga watu

Mez B Kuzikwa Jumatatu Makaburi Ya Wahanga Dodoma

$
0
0
Aliyekuwa  memba wa kundi la Chamber Squad, Moses Bushagama ‘Mez B’ ambaye amefariki jana mjini Dodoma anatarajiwa kuzikwa Jumatatu katika makaburi ya Wahanga yaliopo Maili Mbili mjini Hapo.   Mtandao huu uliongea na mama wa marehemu, Marry Mkandawile ambaye alisema kuwa kwa sasa msiba upo maeneo ya Kisasa mjini Dodoma.

Kiongozi Wa Vijana wa JKT Waliopanga Kuandamana Atekwa na Kuokotwa Akiwa Mahututi..... Walitaka awaambie aliyemtuma kati ya Lowassa na Ukawa

$
0
0
KIONGOZI wa vijana waliopata mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), waliokuwa wakiishinikiza Serikali kuwapatia ajira, George Mgoba, amelazwa katika Hospitali ya Amana, jijini Dar es Salaam, baada ya kutekwa nyara na kisha kuteswa na watu wasiojulikana.   Mgoba ni miongoni mwa vijana waliowawakilisha wenzao zaidi ya 300 kukutana na viongozi wa juu wa Serikali hivi karibuni, akiwemo

Bangi kavu ya kilo 50 yawatupa jela miaka 15

$
0
0
Mahakama ya wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa imewahukumu raia watatu kutoka Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kwenda jela miaka 15 au kulipa faini ya Sh milioni tatu kwa wote baada ya kutiwa hatiani kwa kukutwa na gunia mbili za bangi kavu yenye uzito wa kilo 50.   Washtakiwa hao Kasangu Paul (40), Mkambala Mwabu (39) na Kiwele Msaka (32) wote kutoka katika Mji wa Moba nchini DRC

Sakata la Magari 11 Yaliyotekwa na Majambazi Juzi: Vifaa vya abiria vyazagaa Mtaani

$
0
0
BAADHI ya vifaa vya abiria vilivyoporwa katika tukio la utekaji wa magari 11 uliofanywa na majambazi waliokuwa na silaha za jadi mkoani Manyara mwanzoni mwa wiki hii, vimekutwa vikizagaa katika maeneo yalikofanyika uporaji huo.   Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa polisi mkoani Manyara, Christopher Fuime alisema vitu vilivyopatikana ni pamoja na laini za simu 14 na simu zinazouzwa kwa bei

Moto Wateketeza Maduka Tanga....Gari la Zima Moto Lanusurika Kushambuliwa

$
0
0
Maduka ya wafanyabiashara mbalimbali yaliyopo mtaa wa India jijini Tanga yameteketea kwa moto kwa kile kinachodaiwa kuwa imetokana na hitilafu ya umeme. Moto huo uliokuwa ukifukuta ndani katika maeneo hayo ya biashara ulisababisha baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo kutaka kulishambulia gari la zima moto la halmshauri ya jiji la Tanga kufuatia kufika katika eneo la tukio lakini

Mwanamke Amkata Mpwa Wake Sehemu za Siri Huko Ruvuma

$
0
0
Mtu mmoja wa Kijiji cha Majimaji Ruvuma, Patrick Vitus amekatwa sehemu zake za siri  na kuachwa zikining’inia.    Ofisa Mtendaji Wa Kijiji hicho Hussein Mkali amesema Partick alikatwa sehemu zake za siri na mpwa wake Zainabu Saidi baada ya kumkatalia kwenda kumfuata mume wake anayeitwa Musa Said ambaye alikuwa kwa mke mdogo.   Baada ya kufanya tukio hilo Ofisi ya Kijiji ilimkamata

Jibu la Amber Baada ya Kanye West kusema alibidi aoge mara 30 ili kuwa na Kim Kardashian baada ya kuwa na Amber Rose.

$
0
0
Kwenye mahojiano na kipindi cha ‘BreakFast Club’ Kanye West alimkejeli mpenzi wake wa zamani Amber Rose kwa kusema alibidi aoge mara 30 baada ya kuwa naye ili Kim kardashian awe naye.   Kanye West alisema “Kim k angekubali kuwa na mimi kabla ya Amber basi nisinge kuwa na Amber Kabisa, ni ngumu kwa mwanamke kuwa na mwanaume aliyewahi kuwa na mahusiano na Amber, nilibidi nioge mara 30 ili

Serikali Yasikitishwa na Uamuzi wa Vijana wa Jeshi la JKT Kutaka Kujiunga na Majeshi ya Nchi Jirani Endapo Hawatapewa Ajira

$
0
0
SERIKALI imesema madai ya baadhi ya vijana waliohitimu katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kuruhusiwa kujiunga na vikundi vya majeshi ya nchi jirani yanayopigana ni kukosa uzalendo na uaminifu kwa taifa.   Pia, kukiuka kiapo chao cha uaminifu kwa nchi yao na hakioneshi kwamba vijana hao wana nia njema na taifa hili huku ikiweka wazi kuwa itavichukulia hatua vyombo vya habari vilivyotumika

Kim Kardashian Ajianika Mtupu Kama Alivyozaliwa

$
0
0
Msaanii  wa  Kike  Kim Kardashian   ambaye  ni  mke  wa  mwanamuziki  Kanye  West  na  mama  wa  mtoto  mmoja  hivi  karibuni  alikubali  kupigwa  picha  za  utupu  kama  alivyozaliwa  kwa  ajili  ya  kurasa  za  mbele  za  gazeti  la  Love  Magazine..... Kuona Picha  zote  na  maelezo  ya  kina......Bofya  hiyo  picha  ya  chini  ambayo  Nimeififisha  kulinda  maadili  yetu. Au 

Askari wa JKT Wakusanyika Muhimbili Kumjulia Hali Mwenyekiti wao Aliyetekwa

$
0
0
Vijana mbalimbali ambao walipata mafunzo kutoka Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), leo wamekutana katika eneo la Msimbazi Center jijini Dar es Salaam, kisha kuelekea katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya kumjulia hali mwenyekiti wao George Mgoba ambaye alitekwa na watu wasiojulikana. Mwenyekiti wa JKT, George Mgoba akiwa wodini. Askari wakiimarisha usalama eneo la

Kiungo wa timu ya Simba SC Christopher Alex Masawe Afariki Dunia

$
0
0
Aliyekuwa kiungo wa timu ya Simba SC Christopher Alex Masawe amefariki dunia leo saa 3 Asubuhi katika hospitali ya Milembe mkoani Dodoma baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa mama yake mzazi aliyekuwa akimuuguza, maziko yatafanyika keshokutwa siku ya Jumanne. Christopher Alex atakumbukwa kwa kufunga penati ya mwisho katika mchezo wa Simba dhidi ya Zamalek na kuifanya Simba ifuzu

Mwakalebela: Haitakuwa Ajabu Kuuacha Ukuu wa Wilaya

$
0
0
MKUU wa Wilaya mteule wa Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe, Frederick Mwakalebela amesema iwapo ushawishi na dhamira vitamtuma kuwania tena ubunge Iringa Mjini, halitakuwa jambo la ajabu kufanya hivyo, licha ya madaraka aliyopewa.   Ingawa amesema, sasa macho yake anayaelekeza katika kutekeleza majukumu mapya aliyopewa na Rais Jakaya Kikwete katika Wilaya ya Wanging’ombe, historia

Waziri Magufuli ‘amlilia’ mtoto albino aliyeuawa......Atoa Mchango Wa Sh. Milioni Moja Kwa Mama Mzazi Wa mtoto huyo

$
0
0
WAZIRI wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato, Dk John Pombe Magufuli amelaani vikali tukio la kikatili la kutekwa na kuuawa kwa mtoto Yohana Bahati pamoja na kujeruhiwa vibaya kwa mama mzazi wa marehemu na watu wasiofahamika.   Akizungumza kwa masikitiko makubwa jijini Dar es Salaam, Dk Magufuli amewataka Watanzania kuishi kwa amani na upendo na kuacha dhana ya kutajirika kutokana na

Jela Maisha kwa Kumbaka Mtoto wa Miaka Mitano na Kumwambukiza UKIMWI

$
0
0
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora imemhukumu kifungo cha maisha Kashindje Shija (50), baada ya kupatikana na kosa la kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka mitano.   Akisoma hukumu hiyo mwishoni mwa wiki, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Nzega Joseph Ngomero, alisema kuwa, kutokana na ushahidi uliotolewa mahakamani hapo, amelazimika kutoa hukumu hiyo ili iwe fundisho kwa

Mbatia Aikosoa Sera Mpya ya Elimu na Mafunzo ya Ifundi......Asema huo ni mpango wa Serikali Kuwalaghai Wananchi kuelekea Uchaguzi Mkuu

$
0
0
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Taifa, James Mbatia (kulia), akionesha kitabu cha Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 wakati akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akitoa tamko la chama hicho juu sera hiyo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa chama hicho, Mosene Nyambabe na kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Zanzibar, Musa Kombo Musa.  Hapa mkutano na

JB: Rais Kikwete Tutakufa Maskini

$
0
0
Mwigizaji nguli na muongozaji wa filamu za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’, amesema kuwa pamoja na kuendelea kulia juu ya kuibiwa kazi zao, anamkumbusha Rais Jakaya Kikwete kutimiza ahadi yake aliyowahi kusema kwenye msiba wa nguli wa filamu, Steven Kanumba kuwa atawashungulikia wale wote wanaoiba kazi za wasanii na kutoa kopi.   JB alitoa ombi  kwa uchungu ambapo alifunguka kuwa pamoja na

Johari Atubu Kumpora Ray kwa Mainda

$
0
0
Mrembo na mwigizaji  wa filamu, Blandina Chagula ‘Johari’ amekiri kwamba wakati anaingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na nyota wa fani hiyo, Vincent Kigosi ‘Ray’ alijua yupo na nguli wa filamu, Ruth Suka ‘Mainda’.   Johari alikili hayo Katika mahojiano mafupi na Gazeti moja la udaku siku ya Jumanne ya wiki iliyopita  jijin Dar, mahojiona yalikuwa hivi.   Mwandishi: “Kwanza napenda

Aunt Ezekiel Aporomosha Matusi Mazito

$
0
0
Mrembo na mwigizaji wa filamu za kibongo, Aunt ezekiel amejikuta akitoa maneno makali baada ya mashabiki wake kumshabulia kwa maneno baada ya kuweka mtandaoni picha ikimuonyesha amevalia kinguo ambacho kwa maoni ya mashabiki hao hakistahili kuvaliwa na mwanamke mjamzito na kibaya zaidi alionekana mkononi ameshika chupa ambapo wengi waliiona kama niyakilevi.   Aunty Ezekiel alibandika
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images