Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Chama cha Kutetea Abiria Tanzania (CHAKUA) Kimemtaka Waziri Sitta Aibane SUMTRA Ipunguze Nauli

$
0
0
CHAMA cha Kutetea Abiria Tanzania (CHAKUA) kimewaomba Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sita kuingilia kati na kuagiza Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), isikilize kilio cha wananchi kuhusu kupunguzwa kwa nauli.   Hayo yalisemwa jana na mwenyekiti wa chama hicho, Hassan Mchanjama wakati akizungumza na waandishi wa habari jiji Dar es Salaam.   Alisema wamefikia

Mchumi wa Wizara ya Ardhi Afikishwa Mahakamani akituhumiwa Kumshika Matiti Mwanamke bila Ridhaa Yake

$
0
0
MCHUMI wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Brown Kajange (42) amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo kujibu mashitaka mawili, likiwamo la shambulio la aibu kwa kumshika matiti mwanamke bila ridhaa yake.   Karani wa Mahakama hiyo, Blanka Shao alidai mahakamani hapo mbele ya Hakimu Matrona Luanda kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo Februari 16, mwaka huu katika eneo la

Bofya Hapa Ujiunge na Kliniki ya Nguvu za Kiume......Rejesha Heshima yako Chumbani

$
0
0
Wewe   ni  mwanaume  ? Unakabaliwa  na  tatizo  la ukosefu  &  upungufu  wa  nguvu  za  kiume  ? Unaishi  jijini  Dar  Es  salaam? Unahitaji  kupata  tiba  asilia na  ya  uhakika  kwa ajili  ya  tatizo  lako?   Kama jibu   ni   ndio,  basi  hii  ni  habari  njema  sana  kwako.  Neema  Herbalist  &  Nutritional  Foods  Clinic  ni  kituo  cha  ushauri  na  tiba  asilia. Tunayo  furaha 

Bunduki Waliyoporwa Polisi na 'Magaidi wa Tanga' Yapatikana ikiwa na Risasi 20......Ilikuwa Imefichwa ndani ya Mapango ya Amboni

$
0
0
Polisi  mkoani Tanga imesema imefanikiwa kupata bunduki aina ya SMG, ikiwa na risasi 20 ndani ya mapango ya Majimoto katika eneo la Amboni, inayodaiwa ilikuwa ikitumiwa na wahalifu waliorushiana risasi na askari mwishoni mwa wiki.   Aidha, imesema inashikilia watu kadhaa akiwemo aliyesababisha kupatikana kwa bunduki hiyo. Baadhi ya watu wanaendelea kuhojiwa, kupata taarifa kwa lengo la

Majambazi yafunga mtaa jijini Mwanza na kuua mtu mmoja

$
0
0
Matukio ya ujambazi na mauaji ya kutumia silaha, yameanza kuibuka kwa kasi katika maeneo mbalimbali nchini.   Hali hiyo imekuwa ikihojiwa na wananchi na wapenda amani na zaidi ni kuhusu intelijensia ya polisi kushindwa kugundua mipango ya uhalifu.   Wachunguzi wa mambo wanasema kuwa kushamiri kwa matukio hayo kunaleta hofu katika jamii huku jamii yenyewe ikilaumiwa kwa kukaa kimya

Mtoto Albino Aliyetekwa Aokotwa Akiwa Amekufa Mstuni

$
0
0
Mtoto Yohana Bahati mwenye ulemavu wa ngozi aliyepotea tarehe 15 wilayani chato amepatikana amekufa huku akiwa hana baadhi ya viungo vyake vya mwili. Mwili wa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi Yohana Bahati aliyetekwa siku tatu zilizopita, umepatikana ukiwa umekatwa miguu na mikono yote na kiwiliwili chake kufukiwa shambani katika kitongoji cha mapinduzi kijiji cha Rumasa ndani ya

Fundi Saa Apokea Kichapo kizito Akidaiwa Kumlawiti Mtoto jijini Arusha

$
0
0
Mwanaume  mmoja ambaye ni fundi saa maeneo ya Stendi Kuu jijini Arusha jana alipokea kipigo cha mbwa mwizi baada ya kudaiwa kumlawiti mwanafunzi wa kiume wa darasa la tatu wa shule moja jijini humo.

Chid Benz Akiri Mashitaka Yake Matatu Mahakamani......Kesi yake kusikilizwa tena Februari 23

$
0
0
Msanii  wa Muziki wa Kizazi Kipya (Bongo Fleva), Rashidi Makwiro (29), maarufu kama Chid Benz jana amekiri mahakamani mashitaka matatu yanayomkabili ya kukutwa na Dawa za kulevya aina ya Heroin yenye thamani ya Sh. 38,638, bangi ya Sh. 1,720 na vifaa ya kuvutia dawa hizo kijiko na kigae.   Chid Benz alikiri mashitaka hayo baada ya kusomewa upya hati yake ya mashitaka mbele ya Hakimu

Majina ya Wakuu wa Wilaya Wapya walioteuliwa na Rais Kikwete yako hapa.......12 Wamesimamishwa na 64 Wamebadilishiwa Vituo

$
0
0
Paul Makonda, aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya kwa kuwateua Wakuu wapya 27, kuwahamisha vituo vya kazi 64 na wengine 42 amewabakisha kwenye vituo vyao vya kazi vya zamani.    Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa OWM TAMISEMI jana mchana (Jumatano, Februari 18, 2015) Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Picha za Uchi: Mpenzi wa Desire Luzinda akamatwa

$
0
0
Franklin Emoubor, raia wa Nigerian ambaye alikuwa mpenzi wa mwanamuziki nyota wa kike nchini Uganda Desire Luzinda amekamatwa. Waziri wa Maadili wa Uganda Mchungaji Simon Lokodo, amesema kuwa Mnaigeria huyo amekamatwa na kikosi cha polisi cha kimataifa cha Interpol.   Hata hivyo waziri huyo hakueleza iwapo Emoubor anayedaiwa kusambaza mtandaoni picha za utupu za Desire, amekamatwa

Mzee Yusuph kuoa tena mke wa watatu,Wake zake watupiana vijembe mtandaoni

$
0
0
Mwimbaji mahiri wa muziki wa Taarab nchini ambaye pia ni mkurugenzi wa kundi la Jahazi Modern Taarabu,Mzee Yusuph anatarajia kuoa tena mke wa tatu hivi karibuni huku wake zake wawili wakiwa kwenye bifu zito wakitupiana vijembe mtandaoni.   Akipiga stori na Uheard na Soudy Brown alisema kuwa anatarajia kuoa mke huyo ambaye anaishi huko visiwani Pemba,na kwamba mipango ikiwa tayari kila

Kingwendu kugombea ubunge mwaka huu

$
0
0
Mwigizaji mkongwe wa vichekesho hapa Bongo, Rashid Mwinshehe "Kingwendu", amesema anajiandaa Kugombea Ubunge 2015 Kupitia Chama ambacho amedai Kuwa anaona Kinapendwa na Watanzania wengi bila ya Kutaja Jina la Chama hicho wala Jimbo atakalogombea.   Wataalamu wa Masuala ya Kisiasa Nchini, wameitafsiri Kauli hiyo ya Kingwendu Kwa Mitazamo tofauti, huku Wengi Kati yao Wakisema Kuwa Upinzani

Kortini kwa tuhuma za kununua "Malaya wa Buguruni Rozana"

$
0
0
WATU wanne wamefikishwa katika Mahakama ya Jiji kwa tuhuma za kununua machangudoa katika eneo la Buguruni Rozana jijini Dar es Salaam. Watuhumiwa hao waolifikishwa Jumanne ya wiki hii katika mahakama hiyo ni Antidius Severian (25), Yaham Mihamed (24), Ally Hassan (35) na Mohamed Hamis (27).   Wakisomewa mashtaka na wakili wa Serikali, Ramadhan Kalinga mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi

Ustadh aliyelawiti mwanafunzi wake aongezewa miaka 15 jela

$
0
0
Mwalimu wa madrasa ya Kadiria iliyopo Amani mjini Zanzibar, Hamad Bakar Mohammed, anaetumikia kifungo cha miaka 15 jela kwa kosa la kumlawiti  mwanafunzi wake wa kiume, ameongezewa adhabu nyingine ya miaka 15 jela na Mahakama ya Rufaa Tanzania. Hukumu hiyo ilikuja baada mshitakiwa huyo kupinga kifungo cha miaka 15 alichopewa na Mahakama Kuu Zanzibar baada ya upande wa mashtaka kupinga

Muuza Mishikaki Maarufu Temeke Stand Apata Kichapo Baada ya Kukutwa Anauza Mishikaki ya Nyama ya Paka

$
0
0
Muuuza mishikaki maarufu temeke standi ya mabasi aitwaye Said mishikaki amekamatwa  na nyama ya paka jana akiwa anaitengeneza kwa ajili ya Kuchoma Mishikaki..   Wananchi wenye hasira kali walimshushia kipigo cha mbwa kwa hasira za kulishwa nyama ya paka bila kujua.

Balaa la Mchepuko: Mume wa mtu Aumbuka......Baada ya fumanizi Apewa kichapo kizito na kutembezwa Uchi

$
0
0
Mwanaume aliyetambulika kwa jina moja la Joseph amejikuta akiaibika vikali kufuatia kudaiwa kunaswa akiwa na mwanamke mwingine ilhali yeye ni mume wa mwanamke aitwaye Sophia. Kwa mujibu wa mashuhuda, aibu hiyo ilimkuta Joseph, Februari 14, mwaka huu (Siku ya Wapendanao Duniani) kwenye Kitongoji cha Nyihongo wilayani Kahama, Shinyanga wakati wadau mbalimbali walikuwa kila mtu na wake

Lady Jaydee: Sina mtoto wala watoto, Sijawahi toa Kizazi ili Nifanikiwe Kifedha

$
0
0
Lady Jaydee ameendelea kujibu maswali ya mashabiki wake kupitia Instagram, na maswali mengine aliyokutana nayo ni kuhusu kama ana mtoto au ameasili mtoto ambaye huonekana kwenye kipindi chake cha ‘Diary Ya LadyJaydee’ kinachorushwa kupitia EATV. SWALI: Una watoto wangapi? JIBU : Sina mtoto wala watoto    SWALI: Utazaa lini? JIBU : Sijajua mpk sasa nitazaa lini, ila siku yoyote ile

Picha ya Wema Sepetu Aliyojibinua Tako Yazua Balaa, Wengi Wamtaka Aache Maisha ya Maigizo

$
0
0
Nimepitia ukurasa wa Malkia wa Insta nikakutana na Picha hiyo ya Wema Akiwa ameegemea gari aliyopewa kama zawadi na Martin Kadinda siku ya Birthday yake huku akiwa amekibinua cha chini ya mgogo ..   Baadhi ya watu wamemsifia na wengine kujaribu kumshauri.Soma Comments hapo chini kutoka ukurasa huo:   dicksonmgesy Jaman tumpe chachu ya maendeleo sio kumsifia zari hana tako ila ana

Ugaidi Tanga: Wasomali Wawili Watiwa Mbaroni

$
0
0
JESHI la Polisi nchini kwa kushirikiana na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), limewatia mbaroni watuhumiwa wawili wanaodaiwa kuwa na asili ya Somalia katika msako unaoendelea dhidi ya kundi la wahalifu wa silaha mkoani Tanga.   Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Jeshi la Polisi mjini hapa, kimeiambia Mpekuzi kuwa watu hao walikamatwa jana saa 5 asubuhi katika eneo la Kijiji cha

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa jijini Mwanza Ajinyonga

$
0
0
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Shamariwa ‘A’, Kata ya Igoma, Wilaya ya Nyamagana, jijini Mwanza, Julias Makoye (CCM), amekutwa amejinyonga juu ya mti ulio jirani na nyumba yake usiku wa jana.   Makoye aliyetangazwa mshindi wa kiti hicho katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Desemba 14, mwaka jana, ameuongoza mtaa huo kwa awamu ya pili baada ya kuongoza miaka mitano
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images