Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

MWANAUME ALIYEKUWA AKIJIFANYA NI " JOKATE MWEGELO" HUKO FACEBOOK AKAMATWA NA POLISI

$
0
0
 Hapa ni wakati Jokate alipoamua kukaa na Mpeka kistaarabu kuongea nae kabla ya hatua za kisheria  Message  alizotumia watu kwenye facebook na msg za simu za mkononi.   Aliyefanikisha huyu jamaa kukamatwa ni mrembo mmoja model Blessing ambae alishiriki Miss Morogoro 2013 ambapo namkariri akisema: “Wiki mbili zilizopita nilipata msg kwamba Kidoti hair na Mzinga Planet wanahitaji

BOMOA BOMOA YA POMBE MAGUFULI YAANZA.....JENGO LA BUSINESS PARK ( GREEN ACRES ) LABOMOLEWA

$
0
0
 Baada Waziri wa Ujenzi, Pombe Magufuli kutoa maagizo kwa wenye majengo yaliyo pembezoni mwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi, kubomoa wenyewe majengo yao ili kupisha upanuzi wa barabara hiyo, kuonekana yakisua sua, hatimaye leo ameanza rasmi kazi ya kubomoa kwa Greda katika majengo ya wale walioonekana kukaidi agizo hilo.  Katika kutekeleza agizo hilo zoezi hilo limeanzia kwenye

FBI WAINGIA ARUSHA KUCHUNGUZA BOMU LA SOWETO

$
0
0
  Askari wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI), tayari wapo Arusha kushirikiana na polisi ili kuchunguza tukio la mlipuko wa bomu la kutupa kwa mkono kwenye mkutano wa kampeni za Chadema. Katika tukio hilo lililotokea Juni 15, mwaka huu Viwanja vya Soweto, eneo la Kaloleni, Arusha, watu wanne walipoteza maisha huku zaidi ya 60 wakijeruhiwa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Lebaratus

"WIMBO WA MAJANGA UMENIPA DILI LA KUREKODI MOVIE AFRIKA KUSINI "– SNURA.

$
0
0
 MWIGIZAJI wa kike na mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi amedai kuwa muziki ulimpa dili ya kwenda kurekodi filamu Afrika ya Kusini... Anasema kuwa dili hilo  amelipata kutokana na  kufanya vizuri katika muziki hasa nyimbo yake ya Majanga. “Filamu kwa sasa inachangamoto sana .Hilo lilinifanya nirudi katika muziki huku nikichagua filamu za kuigiza na kujikita katika muziki

SH. 500/- SASA ITAKUWA SARAFU BADALA YA NOTI ILI KUIFANYA ISICHAKAE HARAKA

$
0
0
KUTOKANA na kuchakaa haraka kwa noti ya shilingi 500 na kiwango chake kudumu kwenye mzunguko kwa miezi sita tu, Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imesema inatarajia kubadili noti hiyo na kuwa ya sarafu.Akizungumza na gazeti la Tanzania Daima juzi  kwenye viwanja vya maonesho ya kimataifa ya biashara, jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Fedha, Abdul Dollah, alisema mabadiliko hayo

WAZIRI MAGUFULI ATAMANI KUWA RAIS WA TANZANIA......ANADAI KWAMBA YUPO TAYARI KUGOMBEA MWAKA 2015 ENDAPO ATAKIDHI MASHARTI

$
0
0
 Katika hali inayoonyesha kuwa Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, anautamani urais, amesema anaweza kutangaza nia hiyo kama atakidhi masharti yatakayowekwa kwenye Katiba mpya. Alisema iwapo Katiba ijayo itakuja na sifa ambazo atakidhi vigezo kuna uwezekano mkubwa wa kuwania nafasi hiyo na kwamba iwapo atapungukiwa sifa zinazohitajika kwa mujibu wa Katiba hataingia kwenye kinyang’anyiro

"MWANAUME ASIYE NA PESA HAPASWI KUWA NA WIVU KWA MPENZI WAKE"....JINI KABULA

$
0
0
 MSANII wa filamu za Bongo, Miriam Jolwa ‘Kabula’ ameonesha kukerwa na wanaume ambao hawana hela   lakini wamekuwa wakijifanya wanajua kupenda sana huku wakiwa na wivu kupitiliza. Akiongea na  mwandishi wetu , Kabula alisema anajua kupenda ni suala la msingi lakini anawashangaa wale wanaokuwa na wivu wa kupindukia na wakati mwingine kutoa vipigo kwa wapenzi wao wakati wao ni wanaume 

PICHA CHAFU ZA MISS UNIZIK ZASAMBAA MITANDAONI....

$
0
0
<!-- adsense --> Vituko  vya  mapenzi  ya  Tz kumbe  hata  nchi  za  nje  vipo..!! Huyu  ni  denti  wa  chuo  kikuu  cha  UNIZIK  kilichoko Nigeria  ambaye  pia  ni miss  UNIZIK 2013/2014.... Mrembo  huyu  amekutana  na  balaa  hili  baada  ya  mpenzi  wake  kuzisambaza  picha  zake  za  utupu.... Taarifa  toka  chuoni  hapo  zinadai  kuwa,  wapenzi  hao  walizunguana  siku  kadhaa  

PICHA ZA LAANA ZA KUNDI LA BAIKOKO - TANGA

$
0
0
Hizi  ni  baadhi  ya  picha  za  kundi  la  wacheza  uchi / nusu  uchi  maarufu  kwa  jina  la  Baikoko  lenye  maskani  yake Tanga....         <!-- adsense -->

LOWASSA AVIONYA VYOMBO VYA DOLA...!

$
0
0
WAZIRI Mkuu mstaafu, Edward Lowassa amevitaka vyombo vya dola na wafanyabiashara wakubwa nchini, kujenga mahusiano bora kati yao na wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga) ili kuondoa tabaka la matajiri na masikini linaloweza kuathiri uchumi wa taifa. Lowassa aliyasema hayo jana wakati akizungumza na machinga wa eneo la Makoroboi jijini Mwanza, ambao pamoja na mambo mengine

MCHUNGAJI " MASANJA MKANDAMIZAJI" APATA NAFASI YA KUHUBIRI NENO LA MUNGU NCHINI MAREKANI

$
0
0
Mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgaya (Masanja Mkandamizaji) ambaye yuko nchini Marekani kwa ziara maalum, atahudumu kwa waumini wa jiji la Washington DC na vitongoji vyake siku ya kesho (Jumapili 07/07/2013)    Bwana  Mgaya ambaye pia hufahamika kama Mchungaji Mtarajiwa  na ambaye amekuwa akifanya huduma ya uhubiri nchini Tanzania, atahubiri katika ibada ya jumapili katika kanisa la THE WAY

NELSON MANDELA YUKO KATIKA HALI YA "USINGIZI WA KUDUMU"....NYARAKA ZAFICHUKA

$
0
0
Nelson Mandela ameendelea kuwekwa hai kwa msaada wa mashine za kumsaidia kupumua na  'anakaribia kifo,' nyaraka za mahakama zimefichua. Afya ya rais huyo wa zamani ni 'yenye hatari kubwa,' kwa mujibu wa nyaraka zilizowasilishwa mahakamani kwenye kesi ambayo imepelekea mabaki ya miili ya watoto wake watatu kuzikwa upya Alhamisi kwenye makaburi yao ya awali.   Nyaraka za mahakama za Juni

WAZAZI WAUA MTOTO WAKIGOMBANIA CD YA MSANII "DIAMOND"

$
0
0
Vilio  na  simanzi  vilitanda Jumatano iliyopita Mwananyamala Kisiwani, jijini Dar kufuatia mtoto wa mwaka mmoja, Rahim Rajab kufariki dunia kwa kuangukiwa na watu watatu, akiwemo baba yake mzazi, Rajab Said.. Tukio la watu hao kumwangukia mtoto huyo lilitokea Jumatatu iliyopita na lilisababishwa na ugomvi mkubwa wa CD yenye nyimbo za mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘

WAKAZI AMJIBU TID BAADA YA KUMPONDA NA KUDAI ATAIMBA WIMBO GANI BIG BROTHER??

$
0
0
Rapper Webiro Wassira aka Wakazi amefunguka  kuwa kitendo cha TID kumdiss kuwa haoni wimbo atakoutumbuiza kesho kwenye eviction show ya Big Brother Africa The Chase kinaonesha kuwa staa huyo wa ‘Kiuno’ hajui anachokiongea. Jana kupitia Twitter, TID aliandika: Wakazi ataimba wimbo gani, anaenda kuonyesha kofia zake za marekani#mzeekasema#radarworththisshit #watuwabaya#msiwemaf**a.

VIDEO MPYA YA BOB JUNIOR "KIMBIJI" ALIYOWAHI TOA VIPANDE AKISULUBIWA KARIAKOO

$
0
0
Hii ni video mpya ya Bob Junior Sharobaro president inayokwenda kwa jina la Kimbiji.  Bob Junior aliwahi kutoa baadhi ya picha zikionyesha upigaji picha wa video hiyo, hatimaye video imetoka na baadhi ya maeneo yaliyotumika kushoot video hii ni Kariakoo sokoni na maeneo mengine. <!-- adsense -->

MWANACHUO WA MWAKA WA KWANZA ALAANI KITENDO CHA KUPIGWA "EXILE" NA MADENTI WENZIE

$
0
0
Vitendo  vya  wanafunzi  kupigana  exile( kumpisha room ili angonoke na mpenzi wake)   vimekuwa  vikishika  kasi  ya  ajabu  katika  hosteli  za  wanafunzi  wa  vyuo  vikuu  mbalimbali ambao  kwao  limekuwa  ni  jambo  la  kawaida...!! Hali  imekuwa  ni tofauti  kidogo  kwa  mwanafunzi  wa  chuo kimoja  hapa  nchini  ambaye  yuko  mwaka  wa  kwanza na anategemea kuingia mwaka wa pili.

BASI LA SUMMRY LAUA WATU 9 NA KUJERUHI 53

$
0
0
Basi la kampuni ya Sumry limetumbukia mtoni na kuua watu tisa na kujeruhi wengine hamsini na tatu. Ajali hiyo imetokea katika kijiji cha Sitalike wilaya ya Mlele mkoani Katavi Tukio hilo la kusikitisha lilitokea saa sita usiku kuamkia Julai 5, 2013 basi hilo lilipokuwa likitokea mjini Sumbawanga kuelekea Mpanda mkoani Katavi likiwa na abiri waliokuwa wametoka Mbeya.  

MASANJA MKANDAMIZAJI AFICHUA UBAGUZI WA BANK YA CRDB KATIKA UTOAJI WA AJIRA

$
0
0
Katika  upekuzi  wangu  , niliamua  kumtembelea  masanja  mkandamizaji  kuona  alichokandamiza  jioni  hii... Hii  ni  post  yake  facebook  iliyofichua  UBAGUZI  wa  bank  ya  CRDB  katika  utoaji  wa  ajira  kwa  wasomi  wetu  hapa  nchini... ------------------------------------------------------------------------ Internship opportunities with CRDB Bank PLC. These opportunities cover

JANUARY MAKAMBA AWATAKA WANANCHI WAWALAU WABUNGE WAO KUHUSU KODI YA 1000 KWA KILA LAINI.....ADAI WIZARA YAKE ILIPINGA VIKALI

$
0
0
Haya  ni  majibu ya  Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. January Makamba akijibu maswali katika mtandao wa Twitter kuhusu kodi mpya ya TZS 1000 kwa mwezi kwa kila line ya simu.   Amesema kwamba Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia iliipinga kodi hiyo.  Amesema kwamba Hazina (Wizara ya Fedha) walikubaliana na maoni ya Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na

UMAARUFU WA WASANII WENGI WA KIKE UNATOKANA NA SKENDO ZA PICHA CHAFU

$
0
0
NCHI za wenzetu staa kupiga picha za utupu si kitu kigeni lakini Tanzania sheria na maadili ya Mtanzania hayaruhusu kufanya hivyo. Pamoja  na sheria  kutoruhusu, wasanii  wetu  hasa  wa  kike  wamekuwa  wakihaha  usiku  na  mchana  kuusaka  umaarufu  wa  kujulikana  kwa  jamii  kwa  njia  za  panya,.... Wengi  wao  wamepoteza  sifa  za  uwajibikaji  na  badala  yake  wamejikita  katika 
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images