Mamlaka ya Udhibiti Usafirishaji wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), imewanoa wamiliki wa mabasi ya masafa marefu kuhusu usimamizi na udhibiti wa sekta ya usafiri wa barabara ili wazaidie kupunguza na kutokomeza kabisa ajali baada ya kuwapatia semina maalumu.
Semina hiyo maalumu ya siku mbili iliyoanza juzi mjini Morogoro imewashirikisha viongozi wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (
SUMATRA Yawapa Somo Wamiliki wa Mabasi ya Masafa Marefu
↧
↧
Waafrika Waadhimisha Mwaka Mpya wa Kichina
Waafrika wanaoishi na kusoma jijini hapa, wameshiriki na wenyeji katika sherehe za mwaka mpya wa China (Spring Festival) unaoadhimishwa kwa wiki moja kuanzia Februari 19 mwaka huu.
Walisherehekea mwishoni mwa wiki badala ya wakati husika kutokana na juma hilo kuwa na shughuli nyingi za China na pia watu wengi wakiwemo wenyeji husafiri nje ya miji kama Beijing kwa likizo muhimu ambayo wengi
↧
Baba Afikishwa Mahakamani kwa Tuhuma za Kumlawiti Mtoto wake wa Kumzaa
MKAZI wa mtaa wa Migongo kata ya Migongo Halmashauri ya Mji wa Masasi mkoani Mtwara, Hajili Mpili (52) amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya ya Masasi kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka tisa.
Mtuhumiwa alifikishwa mahakamani hapo mwishoni mwa wiki na kusomewa shitaka na mwendesha mashtaka Suleimani Omari mbele ya hakimu Halfani Ulaya.
Mbele
↧
Viongozi wa Dini Waaswa kutotumia MAKANISA Yao kunadi Wagombea
VIONGOZI wa madhehebu mbalimbali ya dini nchini wametakiwa kuacha tabia ya kuwakumbatia na kuwanadi baadhi ya wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi mbele ya waumini wao kwa kutumia nyumba za ibada.
Rai hiyo ilitolewa jana mjini Songea na Mwenyekiti mpya wa Serikali ya Mtaa wa Making’inda, Hashim Asham alipokuwa akizungumza na wanawake wa mtaa huo wakati wa uzinduzi wa Chama cha Akiba
↧
Sheria Mpya ya Vibali vya Ajira YAJA
Wizara ya Kazi na Ajira iko katika mchakato wa kuandaa Sheria mpya ya utoaji wa vibali vya ajira kwa wageni ili kudhibiti kuajiriwa kwa wageni ili kufanya kazi ambazo Watanzania wenyewe wanaweza kuzifanya.
Alisema mchakato huo uko karibu kukamilika na utapelekwa bungeni kutokana na ratiba na kueleza kuwa itasaidia kudhibiti wafanyakazi wageni wanaoingia nchini bila utaratibu maalum na
↧
↧
Tuzo nyingine aliyoshinda Diamond Platnumz kutoka Uganda.
Tuzo nyingine kutoka Uganda imekabidhiwa kwa Diamond Platnumz, ni
tuzo za Hiphop Music za nchini Uganda.
Kwenye kipengele hiki Diamond
alikuwa anawani tuzo hii na wasanii kutoka Kenya, Uganda, na Rwanda. Bebe Cool ndio ameshinda tuzo nyingi zaidi, ameshinda sita.
Kipengele kilikuwa hivi
Tayali – Urban ft Iyanya
Sitya Loss – Eddy Kenzo
Ndagushima – Ommy Dimpoz
Number One –
↧
Mbasha: Simtambui mtoto wa Flora
Baada ya
mchungaji maarufu nchini, Gwajima kukanusha kuwa si baba wa mtoto wa
Flora Mbasha, mume wa muimbaji huyo wa muziki wa injili, Emmanuel naye
amesema hatambui chochote kuhusu kuzaliwa kwa mtoto huyo.
Mbasha ambaye pia ni muimbaji wa muziki huo amesema ana mtoto mmoja
mwenye umri wa miaka kumi na kwamba taarifa za kuwa Flora amejifungua
anazisikia kama watu wengine.
“Nina
↧
Lady Jaydee ajibu Kwanini hafanyi collabo na wasanii wa kike, na kama ana mpango wa kupatana na Radio/wasanii aliogombana nao
Lady Jaydee ametoa nafasi kwa mashabiki na followers wake wa
Instagram kumuuliza maswali na kuahidi kuyajibu. Miongoni mwa maswali
mengi aliyoulizwa ni pamaoja na kwanini hafanyi collabo na wasanii wa
kike, na kuhusu Ugomvi / Tofauti na watu (wasanii) /Radio na mpango wa
kupatana nao.
“Duuuh maswali yako mengi sana karibia 300 Ila ki ukweli yote
yanafanana So, what i will do I will
↧
"CCM ijiandae kuunda Serikali ya mseto".....Kuna uwezekano Mkubwa Wabunge wengi wakatoka Upinzani lakini Siyo Rais
Wapo wastaafu wengi wa Serikali ambao wanafuatilia kwa karibu
nyenendo za siasa nchini, mmoja wapo ni Kanali Mstaafu Edmund Mjengwa
(68) ambaye amekitahadharisha chama cha CCM kwamba kijiandae kwa
Serikali ya mseto.
“Na endapo Rais atatoka CCM na
wabunge wengi ndani ya Bunge wakawa ni wa upinzani, basi lazima Rais
huyo akubali kufanya kazi na upinzani.
“Itabidi akubali
kuunda
↧
↧
Ajali ya Moto iliyoua watu Sita wa Familia Moja Kipunguni - Dar yaibua Mapya
Waombolezaji kwenye msiba uliotokana na ajali ya moto
ulioteketeza watu sita wa familia moja, wamelaumu Kikosi cha Zimamoto
cha Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa kushindwa kufika kwa wakati
eneo la tukio.
Juzi familia ya watu sita ya Mzee David Mpira na
mkewe Celina, iliteketea kwa moto ikijumuisha Lucas Mpira, Samwel
Yegela, Pauline Emmanuel na Celina Emmanuel. Chanzo cha
↧
Waziri Mkuu azindua Mpango wa Kitaifa wa Kukuza Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) ili kukabiliana na Changamoto za Elimu Nchini
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amezindua Mpango wa Kitaifa wa Kukuza Stadi za
Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) unaolenga kukuza viwango vya uelewa
kwa watoto wa darasa la kwanza na la pili kwa nchi nzima.
Mpango
huo wa miaka mitatu ulioanza kutekelezwa 2014/2015 hadi 2016/2017
umelengwa kuwahusisha watoto wenye umri wa miaka mitano hadi 13 walio
kwenye mfumo rasmi wa elimu na usio
↧
Wastara Awacharukia Wanao Mtukana Mumewe Mitandaoni...
Msanii mkongwe katika gemu
la filamu Bongo, Wastara Juma ameapa kumshtaki mtu atakayemkamata
kutokana na baadhi ya mashabiki kuwa na tabia ya kumtukana matusi ya
nguoni mtandaoni huku wakimhusisha na marehemu mumewe, Sajuki.
Akizungumza na gazeti la Ijumaa, Wastara alisema anajisikia vibaya baadhi
ya mashabiki wanavyomtukana kwenye mitandao ya kijamii jambo ambalo siyo
zuri kwani
↧
Picha za Uchi za Nay wa Mitego zamtesa Mchumba wake
Picha za ngono zilizozagaa katika mitandao
ya kijamii za Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’,
zikimuonesha akifanya ufuska na mrembo chumbani zimemliza mchumba’ke,
Siwema ambaye ameamua kumsusia mtoto wao mchanga.
Habari kutoka chanzo cha kuaminika zilisema kwamba, baada ya
kusambaa kwa picha hizo kuliibuka tafrani nyumbani kwa wapenzi hao,
Kimara jijini Dar
↧
↧
Wasaka Urais Vijana: Utafiti Wamng'arisha Mwigulu Nchemba akifuatiwa na Zitto Kabwe
Shirika la Utafiti wa Maendeleo ya Elimu (TEDRO), limesema katika utafiti walioufanya kuhusu ushiriki wa vijana katika siasa na matarajio kuelekea uchaguzi mkuu 2015, umeonesha kwamba endapo mgombea urais kijana atapendekezwa atakubalika kwa asilimia 82.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa shirika hilo, Jacob Kateri alisema katika wananchi hao
↧
Wabunge 150 Wambeba Lowassa mbio za Urais......Wakutana Dodoma, wamshawishi achukue Fomu huku wakisema Lowassa ni Chaguo la Mungu
Mbio za kuusaka urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimezidi kupamba moto baada ya kundi la wabunge wapatao 150 kujitokeza hadharani na kueleza kumuunga mkono mmoja wa wanaotajwa kuwa wagombea, Edward Lowassa, wakimtaka kujitosa kwenye kinyang’anyiro hicho.
Hali hiyo ilijitokeza wakati wa Mkutano wa Bunge wa 18 ukihitimishwa mwishoni mwa wiki na kubakia miwili tu Bunge la 10 kufikia
↧
Mwanafunzi Aliyebakwa na Polisi Adaiwa Kutoroshwa ili Kufisha Ushahidi
MWANAFUNZI wa kidato cha pili mwenye umri wa miaka 15 anayedaiwa kubakwa na askari wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga, usiku wa kuamkia Januari 6 mwaka huu, ametoweka katika mazingira ya kutatanisha.
Tukio la kubakwa mwanafunzi huyo (jina tunalo), aliyekuwa aingie kidato cha pili Sekondari ya Sakwe, iliyopo Bariadi, mkoani Simiyu, lilitokea eneo la Ndembezi, Manispaa ya Shinyanga.
↧
Sakata la Mugabe Kuanguka: Maafisa Usalama wa Taifa 27 Wafukuzwa kazi kwa kushindwa kuwajibika wakati Rais huyo akianguka.
Hii bado ni habari ambayo imeendelea kukaa kwenye headlines....Siku chache zimepita tangu Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe aanguke kwenye ngazi akiwa anashuka baada ya kuhutubia wananchi na wanachama wake.
Story ziliendelea mitandaoni kuijadili
ishu hiyo, watu wa graphics nao wakatengeneza picha mbalimbali za
kuchekesha kitu ambacho kiliwakwaza viongozi wa chama cha ZANU-PF.
Leo
↧
↧
"Mimba My Foot"... Mashabiki wa Zari (Mpenzi wa Diamond ) Wamvaa Wema Sepetu baada ya kukejeli Mimba Yake
Wema Sepetu anahisi ujauzito wa Zari The Boss Lady ni geresha tu, hakuna lolote!
Hii ni kwa mujibu wa picha inayoonekana kuwa iliwekwa kwenye ukurasa
wa Instagram wa Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006 na ex wa Diamond
Platnumz.
Picha hiyo haipo tena lakini Zari alifanikiwa kuipata na kuiweka
kwenye ukurasa wake wa pili (zarithebosslady_) kuelezea alivyosikitishwa na kauli ya Wema
↧
Daftari la Wapiga Kura Kuanza Kuboreshwa Wiki Ijayo.....Watanzania washauriwa kujitokeza kwa Wingi ili Wajiandikishe
SASA ni rasmi kwamba kazi ya kuliboresha Daftari la Kudumu la Wapigakura nchini kote, itaanza Jumatatu ijayo Februari 16 na kumalizika Aprili 29 mwaka huu.
Uandikishaji huo utaanzia katika mikoa ya Lindi, Ruvuma, Mtwara na Njombe na baadaye utahamia katika mikoa mingine.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema ratiba ya upigaji wa kura ya maoni ambayo ni Aprili 30 iko pale pale,
↧
Video Yatumika Kutoa Ushahidi katika Kesi ya Sheikh Ponda
UPANDE wa Mashikata kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Ponda Issa Ponda umewasilisha ushahidi muhimu wa mkanda wa video unaodaiwa kuonesha uhalisia wa tukio zima la kesi yake inayomkabili ya kutoa maneno ya uchochezi.
Mkanda huo wa video uliletwa mahakamani hapo mbele ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro, Mary Moyo na kuoneshwa na shahidi wa tano wa
↧
More Pages to Explore .....