Taasisi ya RafikiElimu FOUNDATION kupitia Mradi wa Elimu Ya Ujasiriamali Mijini & Vijijini, inatangaza nafasi za MAFUNZO YA UJASIRIAMALI. Mafunzo yatakayo tolewa ni pamoja na :
1. Jinsi ya kutengeneza mashine za kutotolea vifaranga wa kuku.
2. Uanzishaji na undeshaji wa taasisi zisizo kuwa za kiserikali.
3. Jinsi ya kutengeneza aina sita za
Tangazo la Mafunzo ya Ujasiliamali Ambayo Yatatolewa Bure Kabisa...... Zaidi ya Mambo 40 Yatafundishwa, Changamkia Fursa hii
↧
↧
UNYAMA: Mtuhumiwa Aua Polisi Kwa Panga Dodoma
Polisi mkoani Dodoma wanamsaka mkazi wa Chang’ombe Juu, Tisi Malya kwa kumuua askari polisi kwa kumcharanga mapanga wakati akijaribu kumuokoa mtoto wa miezi minane aliyekuwa anataka kuuawa na mtu huyo.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, David Misime amemtaja askari aliyeuawa majira ya saa 5:00 asubuhi kuwa ni Joseph Swai.
Akisimulia mkasa huo kwa waandishi wa habari, Kamanda
↧
Hii ni taarifa ya idadi ya watu ambao hufariki kila siku kwa Saratani Tanzania
Wataalamu wa afya wamethibitisha kuwa
saratani ni janga la kitaifa huku takwimu zaidi ya vifo vitokanavyo na
ugonjwa huo zikionyesha Watanzania wengi hupoteza maisha kila siku.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Ocean Road Dk. Diwani Msemo
wakati wa maazimisho ya siku ya saratani duniani alisema wengi
wanaopata ugonjwa huo hufa kwa sababu wanakosa tiba, uhaba wa dawa na
vifaatiba na pia
↧
Video inayoonyesha Rais Mugabe akianguka kwenye ngazi
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe tumesikia mara nyingi akiwa na migogoro na mataifa ya Ulaya, Marekani ishu kubwa ni kitendo cha Mugabe kuonekana akiendelea kung’ang’ania madaraka kwa kipindi kirefu.
Video, picha na story kubwa mitandaoni
kwa sasa ni ishu ya Rais huyo kuanguka wakati akishuka ngazi baada ya
kuhutubia wanachama wake Harare, baada ya kumaliza kuhutubia
alisalimiana na
↧
Benki ya I&M Yazindua Huduma ya kwanza ya mfumo wa kielekroniki ya masaa 24 katika jengo la Viva Tower, Posta-Dar
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya I&M, Anurag Doreha (kushoto) akiongea na wadau wa benki hiyo hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa tawi na mfumo mpya wa kielektroniki uliovumbuliwa na Smart Banking Solutions Ltd ambapo mteja anaweza kuweka na kutoa pesa sambamba na kupata huduma nyingine za kibenki kama kubadilisha fedha za kigeni kwa kutumia mashine za kielektroniki masaa 24 ya siku.Hafla hiyo
↧
↧
Serikali Yaapa Kunusuru Manyanyaso ya Machinga Nchini
SERIKALI imeingilia kati manyanyaso wanayopata wafanyabiashara ndogo na mamalishe nchini, kwa kuamua kuunda kikosi cha kiofisi, kitakachohusisha wajasiriamali hao kwa lengo la kukubaliana juu ya maeneo na muda mwafaka wa kuendesha shughuli zao.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda aliliambia Bunge jana kwamba Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imewasilisha
↧
Wizara ya Elimu yazidi kuzibana shule binafsi
WIZARA ya Elimu na Ufundi imesema itazifutia usajili shule zote za serikali au binafsi, zitakazobainika kukaidi agizo la wizara hiyo lililotolewa wiki iliyopita la kuacha kuweka viwango maalumu na tofauti za ufaulu kutoka kidato kimoja kwenda kingine.
Naibu Waziri wa wizara hiyo, Anne Kilango alisema wizara hiyo inaendelea na uchunguzi na kufungia shule zote hata kama zinamilikiwa na
↧
Mzizi wa fitna kwa madiwani wa CHADEMA Waliofukuzwa Jijini Mwanza Kukatwa
JOPO la wanasheria lililoundwa kutoa tafsiri ya sheria katika sakata la kufukuzwa kwa madiwani watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Halmashauri ya Ilemela, mkoani Mwanza, limekamilisha kazi yake.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, alisema jana bungeni kwamba juzi alisaini barua kwenda Tamisemi akitoa uamuzi wa mwisho juu ya suala hilo.
Pinda alisema hayo wakati
↧
Walimu wanaokaimu Utendaji kata kukiona
OFISI ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imeagiza kupewa majina ya walimu watakaobainika kukaimu nafasi za maofisa utendaji kata ifanyie kazi suala hilo.
Naibu Waziri, Aggrey Mwanri aliliambia Bunge jana kwamba hakuna mwalimu anayeruhusiwa kutoka kwenye kazi yake ya kufundisha na kwenda kukaimu ofisi hiyo.
Badala yake, alisema wanaotumiwa kwa ajili ya
↧
↧
Kamati ya Bunge Yataka walimu Wote Nchini Wasajiliwe
KAMATI ya Bunge ya Huduma za Jamii imetaka walimu nchini kusajiliwa ikiwa ni pamoja na wanaofanya kazi katika shule binafsi ili kuwatambua na kuweka kiwango cha msingi cha kutoa huduma kote nchini.
Kamati hiyo ilisema kazi hiyo ifanywe na Tume ya Utumishi wa Walimu inayotarajia kuanza katika mwaka wa fedha 2015/16. Aidha, kamati hiyo imesema ili kukabiliana na changamoto ya Serikali
↧
Mtuhumiwa Aliyeua Polisi kwa Panga naye Auawa na Wananchi.....Polisi Yawapongeza wananchi kwa Uamuzi huo
Mtuhumiwa Tissi Mallya ambaye alitoroka baada ya kumuua askari Polisi G.7168 Koplo Joseph Swai, ameuawa usiku wa kuamkia jana na wananchi alipokuwa amejificha akiwa na panga lenye damu, lililotumika kwenye mauaji hayo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime alisema hayo jana katika mkutano wake na waandishi wa habari, alisema mauaji hayo yalitokea juzi asubuhi katika eneo la
↧
Shindalo la Tutoke na Serengeti limebakiza wiki tatu .....Kazi kwako mdau, bado hujachelewa
Dar es Salaam, Tanzania: 04th Februari, 2015. Kampuni ya pili kwa ukubwa katika utengenezaji wa pombe hapa nchini imeeleza kwamba kampeni yake inayoendelea ya “Tutoke na Serengeti” inaelekea ukingoni.
Kwa kigezo hicho, kampuni hiyo imejipanga kumaliza kampeni hiyo kwa kishindo na njia ya kipekee kwa kuhakikisha kwamba washindi wengi zaidi wanapata nafasi ya kujishindia zawadi mbalimbali
↧
Wabunge "WAPANGA FOLENI" Kuzungumza na Lowassa Bungeni
Sina uhakika kama Mbunge wa Monduli,Edward Lowassa anaweza kupata nafasi ya kupumzika awapo bungeni...
Ni nadra na mara nyingi haiwezi kutokea kumuona Lowassa akiwa peke yake akipumzika bila ya kuwa na wabunge wengine katika kiti cha pembeni kushoto kwake...
Mara anapoingia ndani ya ukumbi wa bunge,wabunge wengi humfuata kwa zamu na hata
↧
↧
Muswada wa Mahakama ya Kadhi Waondolewa Bungeni
Muswada wa Sheria ya kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi Tanzania Bara hautajadiliwa katika mkutano wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma baada ya serikali kuuondoa kwa maandalizi zaidi.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, alisema jana usiku kuwa wameamua kuuondoa muswada huo ili kupata fursa ya kutoa elimu zaidi kwa viongozi wa dini na kuufanyia marekebisho baadhi ya maeneo.
Alisema
↧
Mrema Ageuka Mbogo Bungeni kwa wanaodai ana UKIMWI......Asema yeye ni mzima na lazima mwaka huu Agombee tena Ubunge
Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP) ametoa shutuma zake bungeni Dodoma akimtuhumu mbunge James Mbatia kuwa amekuwa akimpakazia mambo mabaya kwa wapiga kura wa jimbo lake kuwa ana UKIMWI.
Mrema amesema kuwa mbunge huyo amekuwa akipita jimboni kwake na kusema kuwa wasimchague mbunge huyo kwa kuwa ana UKIMWI na hana maisha marefu hapa duniani.
Ametoa kauli hiyo bungeni Dodoma na
↧
Ray C Ajitolea Kumsaidia Daz Baba Kuacha Madawa ya Kulevya
Staa wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ameapa
kumsaidia mwanamuziki mwenzake David Jacob ‘Daz Baba’ anayedaiwa
kujihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya.
Chanzo cha
kuaminika kimeeleza kuwa, Ray C amekuwa akiumizwa na hali aliyonayo Daz
Baba na amefanya kila awezavyo hadi kuongea naye ili aanze kutumia dozi
ya Methadone ambayo wengi huipata katika Hospitali ya
↧
Hussein Machozi Anaswa na Mchepuko wa Kizungu
Baada ya mwanamuziki Hussein Machozi kudaiwa kumtelekeza mkewe
aliyemuoa nchini Kenya, hivi karibuni picha yake imenaswa akiwa kimahaba
na mchepuko wa Kizungu.
Picha hiyo inamuonesha Hussein akiwa kifua wazi huku mwanamke huyo
akimchezea kifua sambamba na kumng’atang’ata shingoni .
↧
↧
Aunt Ezekiel: Mimba yangu Sio ya Waziri Nyalandu
Mkali wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amevunja ukimya na
kupinga vikali tetesi za ujauzito wake kuhusishwa na mmoja wa mawaziri
wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibainisha kuwa jambo hilo linautesa moyo
wake.
Akizungumza na Risasi jijini Dar, Aunt alifunguka
kwamba, mbali na kumzushia juu ya ujauzito huo, kuwa mara ya kwanza watu
asiowajua walieneza uvumi kuwa alikwenda
↧
Bunge lapokea taarifa kuhusu migogoro ya Ardhi.....Kamati teule yapendekeza Raia wa Kigeni Waporwe Ardhi kisha Watimuliwe Nchini
Bunge limetakiwa kutoa azimio la kusitisha zoezi la utoaji wa vibali kwa
raia wa kigeni kuishi, kufuga na kumiliki ardhi pamoja na kufuta vibali
vyote vilivyopo na kuwataka raia wa kigeni wenye vibali hivyo kuondoka
nchini mara moja.
Akiwasilisha
Bungeni taarifa ya kamati teule iliyoundwa kuchunguza na kuchambua sera
mbalimbali zinazohusu masuala ya ardhi, kilimo, mifugo, maji na
↧
Kafulila Akwama Kufufua Sakata la ESCROW Bungeni.......Asema Bunge Limewanyima Watanzania Haki Yao ya Msingi
Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) ameshindwa kuwasilisha hoja binafsi, kuitaka Serikali iwasilishe bungeni ripoti ya Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), kuhusu uchunguzi wa tuhuma za rushwa katika sakata la iliyokuwa Akaunti ya Tegeta Escrow.
Lengo la hoja hiyo kwa mujibu wa madai ya Kafulila, ilikuwa kuwezesha Bunge, kufanya uamuzi mwingine wa alichoita
↧
More Pages to Explore .....