Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mume wa Isha Mashauzi Afanyiwa Ukatili wa Kutisha Afrika Kusini.....Akatwakatwa sehemu za siri, ajeruhiwa vibaya mgongoni, tumboni na kwenye jicho

$
0
0
MFANYABIASHARA aliyefahamika kwa jina la Jumanne Tevez, mkazi wa Dar es Salaam, amefanyiwa unyama baada ya kudaiwa kukatwa uume wake na wenzake.   Habari za uhakika kutoka chanzo chetu cha habari zilisema kuwa Tevez, amelazwa katika hospitali moja nchini Afrika Kusini akipatiwa matibabu. Chanzo chetu hicho ambacho kipo karibu na familia ya mfanyabiashara huyo, kilieleza kuwa taratibu

Sakata la Machinga kupigwa: Waziri Mkuu aahidi kumshughulikia Katibu Tarafa wa Kariakoo -Dar

$
0
0
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameagiza watendaji katika Manispaa na Jiji waliohusika kunyang’anya mali za wafanyabiashara mbalimbali kwa kisingizio cha kusafisha jiji na kugawana badala ya kupeleka kunakoruhusiwa kuchukuliwa hatua huku akiahidi kumshughulikia Katibu Tarafa wa Kariakoo, jijini Dar es Salaam.   Aidha, amewataka wakuu wa mikoa na wilaya kukaa na wafanyabiashara na kuangalia njia

" Natamani Kwenye Amri za Mungu Iongezwe ya 11 Isemayo 'USIWE CCM'.."....Hii ni kauli ya Lema Bungeni

$
0
0
  LEO Wabunge wameendelea kuchangia taarifa za Kamati za Hesabu za Serikali PAC na LAAC zinazoonesha ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma. Hapa  chini nimekuwekea  michango  ya  baadhi  ya  Wabunge.   Lema: Haiwezekani kila siku tukija humu tunazungumzia wizi tu, inatakiwa tuzungumzie mipango ya maendeleo ya wananchi sio kila siku wizi wizi wizi unaosababishwa na CCM.   Lema: Kama

Wafuasi 29 wa CUF Waachiwa kwa dhamana

$
0
0
Hatimaye wafuasi 29 kati ya 30 wa chama cha wananchi (CUF) akiwemo Naibu Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Uchaguzi na Bunge Shaweji Mketo na Naibu Mkurugenzi wa mawasiliano Abdul Kambaya wamepatiwa dhamana.   Licha ya wafuasi hao kupatiwa dhamana, mmoja ya watuhumiwa hao ambaye ni mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Sandali Bw Abdina Ali Abdina amelazimika kutolewa nje ya chumba cha

Rais Mugabe Ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika [AU]

$
0
0
Rais mkongwe wa Zimbabwe Robert Mugabe, ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa Muungano wa Afrika AU akichukua nafasi ya Mohamed Ould Abdel Aziz wa Mauritania.    Mugabe mwenye umri wa miaka 90 ameteuliwa kwa kauli moja na Wajumbe katika mkutano wa AU unaoendelea kwa sasa mjini Addis Ababa-Ethiopia.   Imeelezwa kuwa uteuzi wa Mugabe kuongoza muungano huo mkubwa ulio na wanachama zaidi ya

Baba AJIUA Baada ya kuona picha za Uchi za Binti yake

$
0
0
Wazazi wamekua na nafasi kubwa sana katika malezi ya watoto wao hata wakati  wanapokuwa watu wazima lakini baba huyu kutokana na upendo kwa mwanaye aliamua kujiua baada ya kuona picha za mtoto wake alizopiga akiwa mtupu katika jarida la Playboy nchini Romania.    Loredana Chivu aliamua kuweka picha hizo akiwa amepiga katika staili tofauti katika mitandao mbalimbali ya kijamii ambapo

Shilole aomba radhi kwa kumdunda Nuh Mziwanda .......Nuh naye kasema yupo tayari kupigwa mpaka AKOME!!!

$
0
0
Baada ya Shilole  kumchapa vibao mchumba wake Nuh Mziwanda, Shilole amelazimika kuomba radhi. Shilole amewaomba radhi mashabiki wake kwenye mtandao wa Instagram kwa kupost picha akiwa na mpenzi wake huyo na kuandika:   “Huyu hapa mjanja wangu mimi, daah nimekamatika hapa, na naamini ni mwanaume sahihi kwangu maana hawezagi kurusha hata ngumi japo namchokozaga mie mjeuri tu, mnao

Mh.Mbatia: Jeshi la polisi lifanyiwe marekebisho ya kimfumo ili kuboresha utendaji wake

$
0
0
Serikali imeshauriwa jeshi la polisi lifanyiwe marekebisho ya kimfumo ili kuboresha utendaji wake ambao kwa sasa unalalamikiwa kwa sehemu kubwa na wananchi kwa kukiuka haki za binadamu.   Akizungumza jana mjini Dodoma katika kuhitimisha hoja kuhusu kukamatwa kwa kiongozi wa wa chama cha CUF, Prof Ibrahim Lipumba na wanachama wake,Mbatia alisema kuwa kitendo hicho kilikiuka haki za

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Anusurika Kufa

$
0
0
Msafara wa mkuu wa mkoa wa Morogoro Dr. Rajab Rudenge umepata ajali katka eneo la Msavu barabara ya Morogoro Iringa majira ya saa tisa alasiri. Katika ajali hiyo Meya wa Manispaa ya Morogoro Amily Nondo na mwaandishi wa habari wa ITV wamejeruhiwa vibaya na wanaendelea na matibabu katika hosptali ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro. Wengine walio jeruhiwa katika ajali hii ni pamoja na Dereva

Wabunge Wachoshwa Kujadili Wizi na Ufisadi Unaofanywa na Watendaji wa Serikali

$
0
0
Wabunge wameelezea kuchoshwa na wizi, matumizi mabaya ya fedha na mikataba mibovu iliyobainishwa katika taarifa za baadhi ya kamati zilizowasilishwa bungeni, na kushauri maazimio yapitishwe ili wahusika wa ufisadi huo wabanwe. Katika kuchangia taarifa za Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) pamoja na Kamati ya Bajeti zilizowasilishwa bungeni, 

Takukuru, AG Kuchunguza Mauzo ya UDA

$
0
0
Ofisi ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imepeleka suala la mchakato wa uuzaji wa hisa za Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam katika Shirika la Usafiri Dar es Salaam(UDA) kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) ili kuangalia mchakato mzima na mkanganyiko katika uuzwaji wa hisa hizo. Pia wamemtaka mwanasheria mkuu wa serikali kuupitia mchakato 

Watendaji wa Hazina Wafutiwa Ukurugenzi Mashirika ya Umma

$
0
0
Serikali imezuia watendaji wote wa Msajili wa Hazina, kuingia katika bodi yoyote ya mashirika ya umma kuepuka mgongano wa maslahi. Waziri wa Fedha, Saada Mkuya (pichani) alisema bungeni, kwamba wameshaanza kuondoa watendaji hao katika bodi mbalimbali, ili kuhakikisha wafanyakazi wa Msajili wa Hazina, ambaye ndiye mwenye hisa katika mashirika yote ya umma, wanakuwa wasimamizi badala ya

Muuza Genge Achezea Kichapo kizito baada ya kunaswa na Mke wa Mtu

$
0
0
Muuza genge mmoja kwenye Soko la Mji Mpya mjini Morogoro ambaye jina halikupatikana mara moja, amejikuta akichezea kichapo kwa madai ya kunaswa na mke wa mtu kisha kutembezwa mtupu mtaani. Fumanizi hilo lililojaza umati wa jinsi na rika zote wakiwemo watoto lilijiri katikati ya wiki hii, maeneo ya Mji Mpya ndani ya chumba na kitanda cha wanandoa hao.    Kwa  mujibu wa majirani,

Chenge Ageuka Mbogo Bungeni baada ya kuitwa FISADI.......Amtaka Halima Mdee Atoe Ushahidi Kuthibitisha Kauli yake

$
0
0
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) ametakiwa kuwasilisha ushahidi kuthibitisha kauli yake ya kumtuhumu Mbunge Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (CCM), kwa ufisadi.   Chenge alilazimika kuomba utaratibu wa kiti juzi, baada ya Mbunge huyo wa Kawe kumtaja mara mbili wakati akichangia mjadala wa taarifa za kudumu za Bunge zilizowasilishwa juzi.   Mara ya kwanza, Mdee alimhusisha Chenge na

CUF Wamtaka Waziri Chikawe Afute Kesi......Wasema wanaandaa Maandamano Makubwa nchini Nzima

$
0
0
Jumuiya ya Vijana ya CUF (JUVICUF) imemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe kufuta kesi zote zilizofungliwa kutokana na tukio lililotokea mapema wiki hii la viongozi wa chama hicho na wafuasi kupigwa na kukamatwa na polisi.   Jumuiya hiyo, pia imesema kuwa itaandaa maandamano nchi nzima kulaani vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu vinavyofanywa na askari wa Jeshi la

Kimbunga Chaleta Maafa Bukoba.....Wawili wafariki, 31 Walazwa na 380 hawana Makazi

$
0
0
Watu wawili wamefariki dunia baada ya kimbunga kupiga katika Kisiwa cha Goziba na kusababisha baadhi ya mitumbwi kupinduka katika Ziwa Victoria.   Kimbunga hicho kilitokea juzi saa tano asubuhi wakati wakazi mbalimbali wakiwa katika shughuli zao.   Mkuu wa Wilaya ya Muleba, Rembris Kipuyo alisema jana kuwa, majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kagera.   Alisema

Godbless Lema Amshambulia Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Paul Chagonja......Asema Anamhujumu IGP Mangu

$
0
0
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), jana alimshambulia kwa maneno makali Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Paul Chagonja, kuwa anaweza kuwa anashirikiana na majambazi wanaovamia vituo vya polisi na kupora silaha.   Lema alitoa maneno hayo makali ya kumshambulia Chagonja bungeni jana, wakati akichangia taarifa za Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali Kuu

Muhongo akabidhi rasmi ofisi kwa Simbachawene

$
0
0
Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo leo amekabidhi Ofisi kwa Waziri mpya wa wizara hiyo George Simbachawene. Katika makabidhiano hayo, Prof Muhongo ameonya juu ya matumizi mabaya ya Ofisi yanayoambatana na rushwa ili kuwasaidia watanzania masikini wanaoitegemea sekta hiyo kwa maendeleo ya uchumi wao.   Muhongo amemuasa Simbachawene juu ya umakini na

Watu 24 watiwa mbaroni kwa mauaji ya askari Geita

$
0
0
ASKARI mmoja wa wanyama pori na msaidizi wake wameuawa kwa kupigwa mawe, mapanga, marungu na nondo na wananchi katika kijiji cha Namonge Wilayani Bukombe Mkoani Geita wakituhumiwa kuwa majambazi na tayari watu 24 wanashikiliwa akiwemo Afisa mtendaji wa kijijij hicho.   Tukio hilo limetokea jana jioni baada ya wananchi hao kuhamasishana wakakusanyika na kuivunja ofisi ya Serikali ya

Raia 96 wa Burundi wakamatwa kwa ujangili Katavi

$
0
0
Jeshi la polisi nchini limefanikiwa kuwakamata watu 96 wengi wao wakiwa ni raia wa nchi jirani ya burundi, wanaotuhumiwa kujihusisha na ujangili kwenye hifadhi ya taifa ya Katavi ikiwa ni pamoja na mapori mbalimbali ya akiba (Game Reserve) mkoani Katavi, na kukutwa na silaha nne pamoja na risasi 118 na Radio Call kwa ajili ya mawasiliano.   Kaimu kamanda wa polisi wa mkoa wa Katavi
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images