Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Profesa Lipumba Azidiwa ghafla akiwa Mahakamani, akimbizwa Hospitali.....Kesi yake Itasomwa tena tarehe 26 February

0
0
Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Prof.Ibrahimu Lipumba hali yake kiafya sinzuri baada ya kubadilika gafla wakati akiwa katika mahakama kuu ya Kisutu Jijini Dar es Salaam na hivyo kukimbizwa katika Hospitali ya UN kinondoni DSM. Lipumba alifikshwa mahakamani  hapo na kusomewa mashitaka ya kuongoza maandamano haramu.Profesa huyo  akiwa na wafuasi wake wameachiwa kwa dhamana na kesi yao

Utata wa video ya Mchungaji iliyozagaa mitandaoni akiwa UCHI Afrika Kusini

0
0
Mchungaji maarufu Afrika Kusini Sthembiso Zondo ambae huwa anatoa mahubiri yake kwa njia ya Redio nchini humo, ratiba ya kurushwa kwa mahubiri yake imesimamishwa kurushwa hewani  baada ya kuvuja video inayomuonyesha akizungumza kwenye simu huku akiwa hajavaa nguo yoyote. Shirika la utangazaji la Afrika Kusini (SABC) limetoa amri ya kusimamishwa kwa Kipindi cha mchungaji huyo hadi

Polisi Wamkamata Wema Sepetu Akidaiwa Kupiga Muziki kwa Sauti Usiku

0
0
Katika  hali ya kushangaza, polisi walijikuta wakipata shughuli pevu kumkamata staa asiyeishiwa matukio Bongo, Wema Sepetu ambaye alidaiwa kupiga muziki kwa sauti kubwa usiku kucha pasipo kuwa na kibali. Tukio hilo lilitokea Jumanne iliyopita, nyumbani kwa mwigizaji huyo, Kijitonyama jijini Dar kulikokuwa na bethidei ya rafiki yake aliyejulikana kwa jina moja la Neema.   Awali

Nyumba zaidi ya 50 zaezuliwa kwa mvua Tunduru

0
0
Zaidi ya nyumba 51 katika kijiji cha Sisi kwa Sisi tarafa ya Mlingotini wilayani Tunduru mkoani Ruvuma zimeezuliwa kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Ruvuma. Mvua hizo zimekuwa zikiambatana na upepo mkali pamoja na radi.   Akizungumza kwa njia ya simu mkuu wa wilaya ya Tunduru Chande Nalicho amesema tukio hilo la mvua kubwa kunyesha huku ikiambatana

Ndoa ya Wolper Yabuma......Wazazi wa Manaiki Sanga Wamkataa

0
0
Msanii wa filamu hapa Bongo, Manaiki Sanga,amesema kuwa yuko katika wakati mgumu sana kwa sababu wazazi wake wamemtolee nje ishu ya kwenda kumposa staa wa kike Bongo, Jacqueline Wolper. Akizungumza kwa masikitiko, Manaiki alisema kuwa hivi karibuni alifunga safari na kwenda kijijini kwao Mbeya kwa ajili ya kuwaeleza wazazi wake nia yake ya kumuoa Wolper lakini imekuwa tofauti kwani

Wahudumu wa Mochwari huko Simiyu Wagoma Kuzika Maiti Iliyoharibika

0
0
Wahudumu wanaofanya kazi katika chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, wamegoma kuzika miili ya watu iliyoharibika na isiyotambuliwa kwa madai kuwa hawajalipwa mishahara yao kwa kipindi cha miezi sita.   Tarifa ya kugoma kwa wahudumu hao imekuja baada ya kuwapo kwa maiti ambazo hadi sasa zimeshindikana kuzikwa.   Wakizungumza na waandishi

Masheikh: Maaskofu msiingilie mchakato wa mahakama ya kadhi

0
0
TAASISI ya Masheikh na Wanazuoni wa Kiislamu Tanzania, imepinga tamko la maaskofu kuhusu kuzuia kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi na kusema hatua hiyo ni sawa na kuingilia uhuru wa Bunge.   Kutokana na hali hiyo, wametaka maaskofu hao kupitia Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF), kuwaacha wabunge ili waweze kujadili muswada huo kwa uhuru bila kuwapo shinikizo katika suala hilo.  

Nimefanikiwa kuipata Hotuba ya Lipumba Aliyotakiwa kuisoma wakati wa Maandamano.......Inasema wanawake walibakwa na watu kuuawa na Polisi

0
0
Siku ya leo siyo siku ya furaha hata kidogo na wala si siku ya kujifaharisha, ni siku ya kihistoria kwa chama chetu, ni siku ya kukumbukwa sana.   Miaka kumi na nne iliyopita tarehe kama ya leo tarehe 27 Januari, 2001 na tarehe kama ya jana tarehe 26 Januari 2001, Wanachama wenzetu waliojitoa muhanga, leo hii hawapo wamekwenda mbele ya haki katika siku kama hii, mama zetu na dada zetu

Nimekuwekea Video ya dakika 10 ya Kipigo kizito Alichopewa Lipumba pamoja na Wanachama wengine wa CUF

0
0
Hii  ni  Video  ya  kichapo  kizito  toka  kwa  polisi  walichopewa  wanachama  wa  CUF  wakati  wa maandamano  yalioyoongozwa  na  Mwenyekiti  wa  chama  hicho, Profesa  Ibrahim  Lipumba.

Sister wa Kanisa Katoliki Ajifungua Mtoto wa Kiume

0
0
Utata umeibuka  baada ya sister wa Kanisa Katoliki huko Italy aliyekuwa akilalamikia maumivu ya tumbo na kukimbizwa Hospitali na kujifungua mtoto wa kiume licha ya kuishi katika Jumuiya hiyo ya wanawake watupu.    Sister huyo  mwenye umri wa miaka 31 yupo kwenye kikundi cha masista cha Santa Chiara Italy, asili yake ni Amerika ya Kusini, alilalamikia maumivu makali  ya tumbo baadaye

Queen Darleen Achochea Bifu la Diamond na AliKiba

0
0
Mwanamuziki ambae ni dada na Diamond Platnum Queen Darleen amezidi kuchochea chuki na bifu kwa mashabiki wa Ali Kiba na Diamond Platnum baada ya kupost maneno ambayo mashabiki hao wanaona ni kama anazidi kuchochea bifu iliyopo kwa mashabiki wa wanamuziki hao ambao kwa sasa wamekuwa na ushindani mkubwa kimuziki. Mwishoni mwa wiki iliyopita kulikuwa na show kubwa ya muziki ambayo ilifanyika

Bunge Limejadili Sakata la Profesa Lipumba Kupigwa wakati wa Maandamano......Hapa nimekuwekea Michango yao waliyoitoa

0
0
Leo Bunge Limejadili  hoja ya dharura ya Mh.Mbatia juu ya kupigwa kwa Mh.Lipumba wakati wa mkutano wake na wananchi wakati wa kumbukumbu ya mauaji ya wenzao waliokuwa wamefariki Pemba 2001.    Hoja hiyo imejadiliwa kwa mujibu wa kifungu cha 47  ambapo  msemaji  wa  kwanza  alikuwa  ni  Waziri  wa  Mambo  ya  ndani  ya  nchi ambaye  alisimama  kutoa  msimamo  wa  serikali.   Waziri wa

"Kuna Tatizo gani Lipumba Kupigwa?.....Nawapongeza sana Polisi kwa Kumpiga"---Hii ni kauli ya Lusinde Bungeni

0
0
Kulikuwa  na  mvutano  mkali  sana  bungeni  wakati  wabunge  wakijadili  hoja  ya  Lipumba  kupigwa. Hapo  chini  nimekuwekea  michango  ya  Lusinde  na  Sadifa  waliyoitoa  Bungeni:   Lusinde: Kwani kupigwa Lipumba ndiyo tatizo, wamepigwa viongozi wangapi hapa, Lipumba siyo wa kwanza kupigwa   Lusinde: Nawapongeza Polisi safari hii kapigwa muhusika mwenyewe, ndiyo nzuri hiyo, siyo

Polisi: Tulizuia Maandamano ya CUF Kuhofia Bunduki Zilizoibiwa Ikwiriri

0
0
Jeshi La Polisi limetoa sababu za kwanini lilizuia maandano ya wafuasi na viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) kwamba ni kutokana na kuibwa kwa bunduki saba katika kituo cha Polisi Ikwiriri wilayani Rufiji, mkoani Pwani ambazo pengine zingeweza kutumika katika mkusanyiko wa watu.

"Zoezi la Kupigia kura Katiba inayopendekezwa Liko Pale pale"....Hii ni kauli ya Waziri Mkuu Leo Bungeni

0
0
Serikali imewahikikishia watanzania kuwa zoezi la uandikishwaji wa wapiga kura katika daftari la kudumu kwa mfumo wa kieletronik BVR litafanyika kwa ufanisi na ndani ya wakati uliopangwa.   Akijibu swali la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh. Freeman Mbowe kuhusu uhakika wa zoezi hilo, Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda amesema tume ya uchaguzi imeihakikishia serikali kuwa

Msimamo wa Serikali: CUF inatafuta Umaarufu wa Kisiasa, Walikaidi Amri na ndo maana Wakapigwa

0
0
Akifafanua Bungeni kuhusu CUF kupigwa na Polisi, Waziri wa Mambo ya Ndani Mathias Chikawe amesema Chama cha CUF kilitimiza masharti yote lakini polisi ina haki ya kuzuia endapo itajiridhisha kuwa kuna uvunjifu wa amani.   Chikawe amesema CUF wakiongozwa na kiongozi wao walikaidi amri ya polisi, na ndiyo maana walipigwa.   Pia ameongeza kuwa CUF inatafuta umaarufu wa kisiasa na huruma

CUF yaapa kuendelea na maandamano kila mwaka

0
0
Chama cha Wananchi (CUF) kimesema, hakitarudi nyuma na kitaendelea kufanya maandamano na mikutano ya hadhara kila Januari 26 na 27 kila mwaka kuazimisha mauaji ya wanachama wake yaliyotokea Zanzibar mwaka 2001.    Katika maadhimisho yaliyofanyika mwaka huu, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba na wanachama 32 wa chama hicho walipigwa kisha kushikiriwa na Jeshi la Polisi kwa

Baby Madaha: Naota nafanya mapenzi kila siku

0
0
Msanii wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ametoa kali ya mwaka baada ya kueleza sababu za kutodumu na wanaume kimapenzi kwamba ni kutokana na kuota anafanya mapenzi kila siku.    Awali rafiki wa Madaha aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema kuwa, mara kwa mara msanii huyo amekuwa akilalamika kuwa kila siku anaota akifanya mapenzi hali inayomfanya asiwe na hamu ya kuwa na

Wizi wa Kupindukia....Kamati ya Zitto Kabwe Yafichua namna Mabilioni ya Fedha yanavyoibiwa Serikali

0
0
TAARIFA ya mwaka ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), ya hesabu zilizokaguliwa za Serikali Kuu na mashirika ya umma kwa mwaka wa fedha ulioishia Juni 30, 2013, imebua wizi wa kutisha wa fedha za umma uliofanywa na taasisi hizo.   Hayo yalibainika jana wakati Mwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe, alipokuwa akiwasilisha ripoti ya kamati hiyo, ambapo alisema katika ripoti

Mshindi wa Pili wa Mtoko wa Mbugani katika shindano la “Tutoke na Serengeti” Apatikana

0
0
Mshindi wa pili wa shindano la “Tutoke na Serengeti” Bw.Deogratias Peter Mbogole (kushoto) akiwa na rafiki yake Goodluck Shirima(kulia) ndani ya hifadhi ya taifa ya Serengeti kukamilisha mtoko wao wa siku mbili ndani ya hifadhi hiyo...Hapa ni Tarangire river view waliposimama kujionea kundi kubwa la tembo wakivuka barabara. Deo aliibuka mshindi mara baada ya kushiriki kwenye shindano
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images