Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

HUU NI UJUMBE WA RAY C AKIWASHUKURU MASHABIKI WAKE KWA KUMUOMBEA MPAKA AMEPATA AHUENI TENA

$
0
0
Mwanadada Ray C leo hii kupitia ukurasa wake wa instagram ameachia ujumbe huu kwaajili ya mashabiki zake na kuwashukuru kwa support yao.<!-- adsense -->

MTOTO WA MIEZI MINNE ATUPWA AKIWA HAI MAENEO YA BAMAGA

$
0
0
Huyu ndiye malaika wa Mungu aliyetelekezwa maeneo ya bamaga nje ya chuo cha ustawi wa jamii karibu na TBC hapa akiwa amebebwa na mmoja wa mfanyakazi wa ITV baada ya wasamaria wema kumleta ITV... Anayeonekana kwa nyuma ni mmoja wa vijana waliomuokota mtoto huyo  Baadhi ya wafanyakazi wa ITV wakimshangaa mtoto aliyetupwa. mchomeblog <!-- adsense -->

YALIYOJIRI KATIKA MKUTANO WA GEORGE BUSH NA WAKE WA MARAIS

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Mke wake Mama Salma Kikwete wakizungumza na Rais Mstaafu wa Marekani Mheshimiwa George Bush wakati wa kikao cha wake wa Marais wa Afrika kinachofanyika katika hoteli ya Serena hapa Dar es Salaam.  Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Rais Mstaafu wa Marekani Mheshimiwa George Bush muda mfupi kabla ya kuhudhuria ufunguzi wa mkutano wa wake wa Marais wa

OBAMA AWAOMBA RADHI WANANCHI WALIOKOSA KUMWONA BARABARANI...

$
0
0
  Kana kwamba alisikia kilio cha wakazi wa Dar es Salaam waliokuwa na shauku ya kumwona lakini ikashindikana, Rais Barack Obama wa Marekani amewaomba radhi kwa hali hiyo. Akizungumza juzi wakati wa dhifa iliyoandaliwa kwa ajili yake na ujumbe wake na Rais Jakaya Kikwete katika Ikulu ya Dar es Salaam, Obama alisema akirudi nchini siku zijazo, atapita mitaani akiwa katika gari

"NAWACHUKIA SANA WASANII WA BONGO MOVIE MAANA NI WEZI WA WAUME ZA WATU"...AMANDA

$
0
0
   MSANII wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amesema anawachukia sana wasanii wa kike wa Bongo Movie kutokana na tabia zao za kuchukuliana mabwana. Amanda alisema wasanii wengi wa filamu wana tabia za kuibiana mabwana kitendo ambacho kinamkera na kusababisha kuwachukia kwani wanavyofanya siyo heshima na inawaharibia sifa kwa jamii pamoja na kuichafua tasnia yao kwa jumla.   “

"NIMETEMBEA KWA WAGANGA WA KIENYEJI NA KUGUNDUA KUWA MTU ALIYENIROGA NI MSANII MWENZANGU"...STEVE NYERERE

$
0
0
  Makubwa  yameibuka baada ya msanii  Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, kufungua kinywa na kusema kuwa ugonjwa wake si bure bali amepigwa kipapai. Akizungumza na mwandishi  wetu,Steve alisema kuwa kufuatia kusumbuliwa na ugonjwa wa ajabu kwa kipindi kirefu sasa na madaktari kushindwa kuelewa kila walipompima, staa huyo anaamini kuwa amerogwa na msanii mwenzake.  “Nimetembea kwa wataalamu wa

TUKIO LA KUBAKWA KWA MSANII MAARUFU WA BONGO MOVIE....

$
0
0
  Kuna habari  mbaya  ambazo  zilianza  kusambaa  mtandaoni  jana.Habari  hizo  zinazomhusu  msanii  maarufu  wa  bongo  movie  ambaye  anadaiwa  kubakwa  (Mtungo ) na  wanaume  kadhaa. Habari  hizo  zinadai  kuwa, Msanii huyo  wa  kike  mwenye  jina  kubwa  hapa nchini    alikutwa  na  balaa  hilo  baada  ya  kuwachanganya  kimapenzi  washikaji  wawili  ambao  ni  kama  marafiki  na  hivyo 

"KAMA BABA YAKO ANGEKUWA NI SHOGA, WEWE BARACK OBAMA USINGEZALIWA"...HII NI KAULI YA WANANCHI WA KENYA

$
0
0
Akiwa  nchini  Senegal,Rais  Obama  alinukuliwa  na  vyombo  vya  habari  akiyasisitiza  mataifa  ya  afrika  kuhusu  kutambua  uwepo  wa  MASHOGA  na  kwamba  haki  zao  za  msingi  ni  lazima  ziheshimiwe... Kauli  hiyo  imewachefua  wengi  hasa  viongozi  wa dini  nchini  Kenya . Jana, kiongozi  wa  kiislamu  alimuuliza  obama  swali  gumu  sana  kwamba  "Atajisikiaje  endapo  atabaini 

MAMA WA MIAKA 52 AKAMATWA KWENYE CHUMBA CHA MTIHANI AKIMFANYIA MTIHANI BINTI YAKE

$
0
0
Mwanamke mmoja mfaransa (52) amejikuta mikononi mwa polisi wa jiji la Paris katikati ya mwezi june, baada ya kukamatwa kwenye chumba cha mtihani akimfanyia mtihani wa Kiingereza mwanae mwenye umri wa miaka 19, huku akijiweka kisichana zaidi wasimshutukie. Ripoti kutoka nchini humo zinasema mwanamke huyo aliyejulikana kwa jina la Caroline D aliingia kwenye chumba cha mtihani akiwa

"SUGU AMESAFISHWA KWA KUMTUKANA WAZIRI MKUU. FIKIRIA TUSI HILO LINGETOKA KWA MLALA HOI "...MBWANA

$
0
0
KILA mtu anajua kuwa sheria na haki ni vitu viwili tofauti. Usilazimishe kupata haki, kwasababu sheria imeonyesha juu ya madai yako. Kufanya hivyo ni kujipotezea muda wako unaoweza kuutumia katika kazi nyingine za maendeleo yako. Pamoja na  yote hayo, lakini wakati mwingine si sahihi kujificha kwenye mhimili wa kisheria kwa kufanya mambo ambayo ni tofauti katika jamii. Kila mmoja

MACHANGUDOA WAULAANI UJIO WA OBAMA....WANADAI HAUKUWA NA PESA IKILINGANISHWA NA ULE WA BUSH

$
0
0
Katika hali ilisiyokuwa ya kawaida,  machangudoa wameulalamikia ujio wa Rais Barack Obama kwa kile kinachodaiwa  kuwa  haukuwa na faida yoyote kwa kukosa dili za pesa. " Tumesikitishwa sana na ujio wa Obama kwani tulikuwa tumejipanga kupiga hela ndefu sana . "Bahati mbaya watu  wake tuliokuwa tunategemea kuwanasa walikuwa busy na wale  wa  mikoani  walizuiwa" Walisema akina dada

"GEREZANI KUMENIFANYA NIMJUE MUNGU VIZURI SANA"....HII NI INTERVIEW YA LULU MICHAEL

$
0
0
<!-- adsense --> Kwa mara ya kwanza muigizaji wa filamu, Elizabeth Michael aka Lulu jana alifanya interview ya kwanza tangu atoke gerezani January mwaka huu.  Lulu aliye na muonekano wa ‘udada’ zaidi alihojiwa jana kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV kinachoendeshwa na Zamaradi Mketema.  Katia interview hiyo, Lulu aliongea masuala mengi kuhusu maisha yake ya sasa, mipango yake

MAHAKAMA YAWAACHIA HURU VIONGOZI WA CHADEMA BAADA YA MWIGULU NCHEMBA KUSHINDWA KUTHIBITISHA AINA YA TUSI ALILOTUKANWA

$
0
0
Mwita  Waitara Mahakama ya Hakimu Mkazi Mjini Singida  jana imetupilia mbali kesi iliyokuwa inawakabali viongozi wawili wa CHADEMA Ndugu Mwita Waitara ambaye ni afisa sera na utafiti makao makuu na mshauri wa chama hicho Dk Kitila Mkumbo.    Katika hukumu yake aliyeiyosoma mbele ya wakili wa washtakiwa hao Tundu Lissu, hakimu wa Mahakama hiyo Masham alisema kuwa washatakiwa hawana kesi

AJALI ZAENDELEA KUTUMALIZA WATANZANIA.....TUNAOMBA RADHI KWA PICHA

$
0
0
 Ajali hii ilitokea jana jioni  tarehe 02/07/2013, baada ya gari dogo lililokuwa linatokea maeneo ya Ubungo kwenda uelekeo wa Buguruni kumgonga mwenda kwa miguu aliyekuwa anavuka barabara katika maeneo Gereji (garage)... Damu ilimtoka kwa wingi sana mara baada ya ajali katika maeneo ya kichwani, na hapo ilipotokea ajali kuna kivuko cha waendeo kwa miguu Darubini Leo <!--

MFANYABIASHARA AWAGONGA NA GARI WATU 6.....KISA NI WIVU WA MAPENZI

$
0
0
  Watu sita wamejeruhiwa vibaya ikiwemo kuvunjika baadhi ya sehemu mbalimbali za mwili huku mmoja wao akiwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi katika hospitali ya taifa ya Muhimbili baada mfanyabiashara kuwagonga kwa gari huko Bahari beach. <!-- adsense -->

JESHI LA MISRI LAMUONDOA MADARAKANI RAISI MOHAMMED MORSI

$
0
0
   jeshi nchini Misri limemuondoa madarakani Rais aliyechaguliwa kwa njia ya kidemokrasia nchini humo Mohamed Morsi na imemteuwa kiongozi wa muda wa nchi baada ya maandamano makubwa yanayoipinga serikali.Akihutubia kwa njia ya televisheni jumatano jioni, mkuu wa jeshi, Abdul Fatah Khalil Al-Sisi alisema katiba ya Misri imesitishwa kwa muda na mkuu wa mahakama ya katiba ameteuliwa kuwa

SHILOLE ATINGA DUKANI HUKO MAREKANI AKIWA NA TAULO TU...

$
0
0
  MSANII wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ametoa kali ya mwaka baada ya kunaswa akiingia ‘supermarket’ akiwa ametinga taulo. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika mji wa Maryland nchini Marekani ambapo staa huyo amekwenda kwa ajili ya kufanya shoo kisha kupigwa picha hiyo na rafiki yake ambaye aliiweka mtandaoni ikimuonesha akiwa amefunga taulo kwenye matiti. 

WANASHERIA WA ETHIOPIA WAAPA KUMSHITAKI BETTY KWA KUFANYA NGONO NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER

$
0
0
Wakati  baadhi ya  watanzania  wakifurahia  madudu  ya  washiriki  wetu  ndani  ya  jumba  la  Big Brother, wenzetu  wa  Ethiopia  wameanza  kuchukua  hatua  stahiki  dhidi  ya  mshiriki  wao  aliyekubali  kufanya  mapenzi  hadharani.... Kundi  la  wanashiria  toka Adds  Ababa  limetangaza  kuwa  kwa  sasa  lipo  katika  hatua  za  mwisho  za  kukamilisha  mashitaka  dhidi  ya  mshiriki  wa 

UWOYA AJICHORA MAKANYAGIO YA MWANAE MGOGONI

$
0
0
Staa  wa muvi za Bongo, Irene Pancras Uwoya ameonesha upendo wake kwa mwanaye Krrish Ndikumana kwa kujichora ‘tatuu’ mgongoni yenye nyayo (makanyagio) ya mtoto huyo na kuzisindikiza na jina lake kwa juu. Baada ya mchoro huo kukamilika, Uwoya aliitumbukiza kwenye mtandao wake wa kijamiii wa Facebook na kutazamwa na watu kibao ambao waliipenda. Hata hivyo, baadhi ya watu waliozungumza

KWA MARA YA KWANZA RUNINGA NCHINI UINGEREZA ITARUSHA ADHANA YA ASUBUHI

$
0
0
Ukiwa unakaribia mwezi mtukufu wa Ramadhani, kwa mara ya kwanza kabisa chaneli ya 4 ya televisheni ya nchini Uingereza itakuwa ikirusha hewani moja kwa moja adhana ya sala ya asubuhi.Justine Bower mkurugenzi wa masuala ya umma wa chaneli ya 4 ya televisheni ya nchi hiyo amesema kuwa, kanali hiyo itakuwa ikirusha moja kwa moja adhana ya asubuhi kwa ajili ya wananchi wa Uingereza.  Ameongeza
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images