Mbunifu wa mavazi wa kimataifa, Sheria Ngowi ameendelea kuipeperusha
bendera ya Tanzania kupitia kipaji chake cha ubunifu wa mavazi baada ya
kumvalisha Rais mpya wa Zambia, Edgar Lungu katika sherehe za kuapishwa
kwake jana asubuhi katika viwanja vya National Heroes, mjini
Lusaka-Zambia.
Rais Lungu 58, aling’arisha sherehe hizo baada ya kuvaa suti rasmi
(Presidential suit) rangi ya
Mbunifu wa Mavazi toka Tanzania, Sheria Ngowi Amvalisha Rais Mpya wa Zambia
↧
↧
SBL Yakabidhi Limo Bajaji kwa Washindi wake
Afisa mauzo wa kampuni ya bia ya Serengeti, Aman Kimaro( Kulia) akimkabidhi funguo ya Limo Bajaji Mshindi wa shindano la ‘Tutoke na Serengeti’ Godfrey Longino Mpiruka ( kushoto) na katikati ni mwakilishi toka kampuni ya BPESA, Balbo Kayombo katika hafla iliyofanyika Tabata Garden jijini Dar es Salaam. Kwa upande mwingine Bw. Mfaume Hassan Mbwile mkazi wa Mbagala nae pia alikabidhiwa zawadi
↧
Tawi Jipya la Uchumi Supermarket Lafunguliwa Mbezi Kawe
Mkurugenzi Mkuu wa Uchumi SuperMarket (Afrika mashariki), Jonathan Ciano (kulia) akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik katika ufunguzi wa Tawi jipya la Uchumi lililoko Mbezi Kawe karibu na ukumbi wa Rainbow-Mbezi chini jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Said Meck Sadick akiongea na wasambazaji na Wafanyakazi wa Uchumi Supermarket wakati wa
↧
Ni kweli umaarufu wa Wema Sepetu umeshuka baada ya kuachana na Diamond?
Miaka kadhaa
iliyopita, Diamond Platnumz alikuwa kijana mwenye ndoto kama underground
wengine wa muziki walivyo na hasira ya kutoka.
Kutoka kwenye familia ya kawaida (kama zilivyo familia nyingi za
Kitanzania), Diamond alikuwa akihaha huku na kule kutafuta fedha ya
kuingia studio.
Fast forward – kwa kuungaunga hivyo hivyo alifanikiwa kurekodi wimbo uliokuja kubadilisha maisha
↧
Diamond Azomewa Tena Leaders na Kurushiwa chupa za Maji zenye Mkojo ndani yake
Msanii anayetesa katika mziki wa kizazi kipya hapa nchini, Nassib Abdul 'Diamond Platnumz' usiku wa jumamosi iliyopita alijikuta katika wakati mgumu baada ya kuzomewa na mashabiki kwenye viwanja vya Leaders Jijini Dar es Salaam.
Mbali ya kuzomewa, Diamond pia alirushiwa chupa za maji ambazo zilileta kadhia, lakini Diamond alionekana akiwahimiza
↧
↧
Picha za Mwenyekiti wa Kitongoji aliyechinjwa na kupikwa ndani ya Sufuria
Mwenyekiti wa Kitongoji cha Songambele,
Kata ya Ilela Tarafa Inyonga Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi, Richard
Madirisha (31), ameuawa kikatili kwa kuchinjwa shingo na kutenganishwa
na kiwiliwili na kisha kunyofolewa viungo vya mikono na miguu na sehemu
za siri na kichwa chake na viungo hivyo kupikwa ndani ya safuria kama
mboga.
Kwa mujibu wa
↧
Kesi ya shekhe Ponda yaanza kusikilizwa chini ya Ulinzi mkali
Kesi inayomkabili kiongozi wa jumuiya na taasisi ya kiislamu nchini
Sheikh Ponda Issa Ponda imeanza kusikilizwa katika mahakama ya hakimu
mkazi mkoa wa Morogoro huku jeshi la polisi likilazimika kuwadhibiti
wafuasi wa shekhe Ponda nje ya uzio wa mahakama.
Shahidi wa kwanza katika kesi hiyo ni aliyekuwa mkuu wa polisi
wilaya ya Morogoro (OCD) Sadick Tindwa ambaye kwa sasa ni OCD wilaya
↧
NCCR-Mageuzi wataka Rugemalira, Tibaijuka, Chenge wafikishwe mahakamani
Chama cha NCCR-Magezi kimesema, vigogo wote waliohusika kutoa na
kupokea mgawo wa fedha kutoka akaunti ya Tegeta Escrow wafikishwe
mahakamani akiwamo Mkurugenzi wa VIP Engineering Ltd, James Rugemalira .
Kashfa hiyo imesababisha Rais Jakaya Kikwete
kufanya mabadiliko madogo ya baraza lake la Mawaziri kutokana na
mawaziri wawili kujiuzulu.
Mawaziri waliotajwa kwenye sakata hilo
↧
Tamko la UKAWA Laungwa mkono na Tume ya Warioba
Wajumbe wa iliyokuwa Tume ya mabadiliko ya Katiba nchini Tanzania
imeunga mkono tamko la umoja wa katiba ya wananchi UKAWA kwa
kususia kushiriki katika mchakato wa upigaji wa kura ya maoni kuhusu
kupitisha katiba mpya inayopendekezwa.
Wakizungumza
katika mdahalo ambao umeitishwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere na
kushirikisha baadhi ya wananchi wa mkoa wa Mara
↧
↧
Mganga wa jadi afungwa Jela Miaka 7
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, imemhukumu mganga wa kienyeji, Yahaya Michael (34) kifungo cha miaka saba jela baada ya kupatikana na hatia ya wizi wa gari kwa njia ya udanganyifu.
Akisoma hukumu hiyo jana, Hakimu Mkazi Mwandamizi, Hassan Juma alisema kwamba kutokana na mshitakiwa kutoroka chini ya dhamana, atatumikia kifungo hicho mara baada ya kukamatwa.
Alisema kwa kuwa mshitakiwa
↧
Mume na Mke wafariki Dunia kwa kula Uyoga........Wengine wanne wako hoi kitandani
WATU wawili wa familia moja wamefariki dunia katika Kijiji cha Masyalele, Wilaya ya Nanyumbu Mkoa wa Mtwara baada ya kula uyoga unaosadikiwa kuwa sumu. Pia wengine wanne walazwa akiwamo mtoto wa miaka mitatu katika kituo cha afya cha Mangaka.
Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki baada ya mume na mke kufikishwa katika kituo hicho cha afya Januari 24 mwaka huu ambapo walilazwa lakini
↧
Wanaume Wadaiwa Kuwa Chanzo cha Mmomonyoko wa Maadili
TATIZO la kuporomoka kwa maadili ndani ya jamii ni kutokana na wanaume wengi kushindwa kutimiza wajibu wao ndani ya familia na jamii.
Kauli hiyo ilitolewa juzi na Dk Chris Mauki, Mshauri wa Saikolojia na Mahusiano, ambaye pia ni Mhadhiri wa somo la Saikolojia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, wakati wa semina ya kinababa iliyofanyika katika Ukumbi wa Makane uliopo Mkuranga, Mkoa wa Pwani.
↧
Walioua polisi wasakwa usiku na mchana
JESHI la polisi mkoani Pwani linaendelea na msako mkali kutafuta watu walioua askari wawili wa jeshi hilo na kuiba silaha katika kituo cha polisi Ikwiriri wilayani Rufiji.
Pia, jeshi hilo limekanusha uvumi wa kuwa siku ya tukio hilo, kulikuwa na askari wengine waliokimbia kwa lengo la kujihami.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Ulrich Matei alisema hadi sasa hakuna mtu aliyekamatwa na
↧
↧
"Katiba Inayopendekezwa ipo kisheria,hakuna anayeweza kuipinga wala kuipotosha".....Serikali
Serikali imesema katiba pendekezwa iko kisheria na hakuna mtu yeyote
anayeweza kuipinga wala kuipotosha, bali kauli ya mwisho ni ya serikali.
Kauli
hiyo imetolewa na waziri wa habari utamaduni na michezo Dkt Fenela
Mukangara wakati akifungua mkutano wa wahariri wa vyombo vya habari na
mafisa habari kutoka mikoa yote nchini unaofanyika mkoani Mtwara.
Amesema yapo maneno ya
↧
Wanaorudisha wanafunzi kwa kukosa michango kukiona
HALIMASHAURI ya mji wa Kahama mkoani Shinyanga imewaonya walimu wa shule
za msingi wanaopuuza agizo la serikali la kuzuia kuwarudisha nyumbani
wanafuzi ambao wazazi wao wanashindwa kuwalipia michango mbalimbali
ambayo imezuiwa na serikali
Kauli
hiyo imetolewa na afisa elimu wa shule za msingi katika halmashauri ya
mji wa Kahama Bw. Aruko Lukolela baada ya kuwepo malalamiko ya
↧
Aliyejifanya ni TRAFIKI Afungwa Miaka 6 Jela
Aliyejifanya Askari Polisi wa Usalama Barabarani, James Hassan (54) amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na sare za Polisi na kujifanya mtumishi wa jeshi hilo.
Aidha, adhabu hiyo ilitokana na makosa mawili ambapo mshitakiwa huyo atatakiwa kutumikia kifungo cha miaka mitatu mitatu kwa kila kosa.
Akisoma hukumu hiyo jana, Hakimu Mkazi
↧
Kigogo wa Benki Kuu ( BoT) Kizimbani kwa Jaribio la Kuua Polisi
Mshauri wa masuala ya ulinzi katika Benki Kuu (BoT), Shaban Ndosi (39) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kujaribu kumuua ofisa wa Polisi.
Ndosi alifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashitaka mbele ya Hakimu Mkazi Waliarwande Lema.
Wakili wa Serikali, Janeth Kitali alidai kuwa Oktoba 21, 2014 katika eneo daraja la
↧
↧
Watoto wanne wa familia moja wafariki kwa sumu
Watoto wanne wa familia moja wakazi wa kijiji cha kibambila wilayani Kakonko mkoani Kigoma wamefariki dunia na mmoja amelazwa katika kituo cha afya Kakonko baada ya kula chakula kinachosadikiwa kuwa na sumu.
Mganga mkuu wa wilaya ya Kakonko Dkt. Fadhil Seleman amewataja watoto hao waliofikishwa kituo cha afya Kakonko kuwa ni Neema Joseph, Jonas Joseph, Majaliwa Joseph, Yusuph Joseph
↧
Mwanamke Awaua watoto wake wawili na Kuwazika ndani ya Nyumba Yake
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia mama mkazi wa kata ya Chemchem Manispaa ya Tabora, Zuhura Masudi (pichani) mwenye umri wa miaka 25, kwa kosa la kuwanyonga watoto wake wawili hadi kufa.
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Tabora, Juma Bwire alithibitisha kutokea kwa mauaji hayo na kusema tukio hilo lilitokea Januari 25 mwaka huu majira ya saa moja jioni maeneo ya Chechem Manispaa
↧
Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene aahidi Neema sekta ya umeme.....Awatoa hofu wanaotilia shaka Utendaji wake
Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene na Naibu wake, Charles Mwijage waliripoti katika ofisi zao mpya na kuahidi kuwatumikia wananchi kwa uadilifu na kuhakikisha wanasambaza umeme vijijini kwa kasi.
Aidha, wamesema vipaumbele vyao katika kutumikia wananchi ni umeme, mafuta, madini na gesi.
Simbachawene alisema uongozi wake utahakikisha umeme unasambazwa vijijini kwa kasi
↧
More Pages to Explore .....