Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Baada ya danadana nyingi, Wananchi waamua kumwapisha Mwenyekiti wao wa Mtaa

0
0
Baada ya subira ya wiki mbili ili wenyeviti na wajumbe Mtaa wa Migombani – Segerea, Dar es Salaam waapishwe na mamlaka husika bila mafanikio, wananchi wameamua kuwaapisha viongozi hao kwa kutumia wakili binafsi.   Wakati hali hiyo ikitokea Dar es Salaam, wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro baadhi ya wenyeviti wa vijiji walioshindwa wamekataa kuwaachia ofisi viongozi wapya wakidai kuwa

Mali za Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni Komba zatangazwa kupigwa Mnada baada ya kushindwa kulipa deni lake CRDB

0
0
Mali za Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba zimetangazwa kupigwa mnada kutokana na kushindwa kulipa deni analodaiwa na Benki ya CRDB.   Mali hizo zinahusisha eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 2,214 lililopo Mbezi Tangi Bovu, Dar es Salaam, kiwanja namba 1030 kilichosajiliwa kwa jina la John Damiano Komba na Salome Komba.   Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa kwenye vyombo

Mwanamke hana jeuri ya kumkatalia mpenzi wake kupiga picha za Uchi- Juliana Kanyomozi

0
0
Muimbaji wa Uganda, Juliana Kanyomozi amefunguka kwa urefu kuhusiana na masuala mbalimbali kwenye mahojiano aliyofanyiwa na mtandao wa SatisfashionUG. Miongoni mwa mambo aliyohojiwa ni pamoja na kuvuja kwa picha za utupu za muimbaji mwenzie wa Uganda, Desire Luzinda. “Kwanza kabisa katika kesi nyingi kamwe huwa sio kosa la mwanamke,” anasema Juliana.   “Kama wewe ni mtu mzima na

Amber Rose Atupia Picha zake za Nusu Uchi Mtandaoni

0
0
Mwanamitindo Amber Rose ameamua kutupia picha nyingine zinazoonyesha sehemu ya mwili wake katika mtandao wa Instagram.   Amber ametupia picha hizo  ikiwa ni siku moja tangu aweke picha zeke nyingine zilizokuwa zikionyesha maungo yake akiwa katika vazi la bikini nyeusi.     Amber mwenye miaka 31, mama wa mtoto mmoja, ametupia picha hizo jana zenye unafuu kidogo kuliko za

Picha za UTUPU za Msanii maarufu Kenya, Risper Faith zasambaa

0
0
Picha  chafu  za  mwanadada  maarufu  nchini  Kenya, Risper  Faith  zimevuja  na  kusambaa  kwa  kasi  katika  mitandao  maarufu  ya  Kenya  na  Uganda. Picha  hizo  ambazo  zinadaiwa  kusambazwa  na  mpenzi  wake  baada  ya  kuzinguana, zinamwonyesha  mwanadada  huyo  akiwa  ametunuka  huku  makalio  yake  na  mambo  mengine  adimu  yakiwa  hadhari  na  picha  nyingine  inaanika 

[ VIDEO ] : Diamond na mpenzi wake Zari wakifanya Yao FARAGHA huku wakisifiana walivyoumbika

0
0
Nani alidhania kuwa Diamond ni shabiki wa wimbo wa Mr Blue ‘Pesa’? Apparently staa huyo ni shabiki wa ngoma hiyo iliyomrejesha vyema mfalme wa Mapozi nchini. Katika video ambayo Mama Kijacho Zari Tlale amepost kwenye ukurasa wake wa Instagram  wakiwa  faragha, Diamond anaonekana akifurahia kufuatiliza wimbo huo na kulipachika pia jina la Zari kwenye mstari alioungeza mwenyewe. “Niko busy

Kuwa Staa Raha Sana: Diamond Katumiwa Video ya Nusu Uchi na Mrembo wa Kenya akimtaka Amchukukue yeye bila Malipo

0
0
Unaukumbuka  Wimbo  wa  Diamond Platnumz  alioimba "Ntampata wapi ??""...Unaambiwa  mabinti  kibao  wameanza  kujigonga  kwake  kutokana  na  wimbo  huo. Mrembo na Mwanamitindo anayeitwa Tiara , Mwenye Umri wa Miaka 23  toka  nchini Kenya amemtaka Diamond aende  nchini  Kenya kumchukua  tena  bila  malipo  yoyote....   Tiara amedai yeye ana vigezo vyote anavyovitaka  Diamond Platnumz.

Mazungumzo ya amani Sudani Kusini yafanyika Arusha

0
0
Wakuu  wa  nchi  za  Tanzania,  Kenya na  Uganda  wamekutana  jijini  Arusha  na  viongozi  wa  nchi  za  Sudan  na  Sudani  Kusini zinazokabiliwa  na  mapigano   ikiwa  ni sehemu  ya  jitihada  za  kutafuta  suluhu  ya  mgogoro  huo. Lengo  la  kukutana  kwa viongozi  hao  ni  kushuhudia  utiaji  saini  wa  makubaliano  ya  mazungumzo  yaliyokuwa  yanaendelea  kwa   usimamizi  na 

Hali bado tete kwa wafugaji Morogoro

0
0
Hofu imeendelea kutanda kwa wafungaji mkoani Morogoro kufuatia bodaboda kuendelea kuwavamia na kuwapora wafugaji kila wanapoonekana katika mji wa Morogoro kwa madai ya kulipiza kisasi baada ya mkulima mmoja kuuwawa katika bonde la Mgongola ambapo wafanyabiashara, wafugaji na wanaofanya shughuli za ulinzi wamelazimika kuukimbia mji wa Morogoro na baadhi ya wanafunzi wa vyuo kurudi

Kinana apokelewa kwa mabango jimbo la Uzini

0
0
Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi CCM Abdulrahaman Kinana  amepokewa kwa mabango na wananchi wa kijiji cha Miwani jimbo la uzini wilaya ya kati mkoa wa Kunisi Unguja Zanzibar wakimuomba kuwatatulia kero mbalimbali za kijiji hicho, ikiwemo maji,barabara na huduma za afya, sanjali na kuingilia kati mgogoro wa kutoelewana baina ya mbunge na mwakilishi wa jimbo hilo la uzini.   Kufuatia

Kampuni ya Simu ya TTCL Yafilisika

0
0
KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imetangazwa kufilisika, kutokana na kutokuwa na mtaji baada ya mwekezaji, Kampuni ya simu za mkononi ya Bharti Airtel, kushindwa kuwekeza kwa miaka 14.   Kutokana na hatua hiyo, Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Hesabu za Serikali (PAC) imeamua kupeleka suala hilo bungeni ili kuweka mipango ya kimkakati kuifufua kampuni hiyo. Kwa kuanzia, Msajili wa Hazina

Mshindi wa mtoko wa mbugani kwenye promosheni ya Tutoke na Serengeti Apatikana

0
0
Mshindi wa mtoko wa mbugani kwenye promosheni ya Tutoke na Serengeti Bw. Deogratius Peter Bongole (24) kutoka Rombo mkoani Kilimanjaro akiwa anapewa maelekezo kuhusu safari yake ya kwenda Mbuga ya wanyama ya Serengeti  baada ya kutia sahihi mkataba wake wa safari hiyo .    Pichani Juu ni mshindi  huyo akiwa na Meneja mauzo mkoa Kilimanjaro Orest Mmbaga (kushoto) na Afisa mauzo Moshi

Zitto Kabwe Ajibu tuhuma za IKULU, Akiri Rais Kikwete amekwisha futa Misamaha ya Kodi

0
0
KAMATI ya Bunge ya Kudumu ya Hesabu za Serikali (PAC), imekiri kuwa hadi sasa Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) ipo, lakini pamoja na kusainiwa na Rais bado haijaanza kutekelezwa jambo linalosababisha misamaha ya kodi izidi kupaa.   Hayo yalibainishwa Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa kamati hiyo, Kabwe Zitto, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kauli ya Ikulu

Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana leo

0
0
KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), inakutana leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili mambo mbalimbali likiwemo suala la Uchaguzi Mkuu baadaye, mwaka huu.   Mambo mengine yatakayojadiliwa na Kamati hiyo ni pamoja na kucheleweshwa kwa mchakato wa daftari la kudumu la wapiga kura, kujadili mchakato wa kura ya maoni ya Katiba mpya na maandilizi ya uchaguzi wa

Mwanafunzi wa Mwaka wa Pili katika Chuo cha Ualimu Rukwa Auawa Kinyama

0
0
Mwanafunzi wa ualimu aliyekuwa anasoma mwaka wa Pili katika Chuo cha Ualimu Rukwa, Manispaa ya Sumbawanga, Zakayo Anosisye (25) ameuawa na watu wasiofahamika.   Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa , Jacob Mwaruanda akithibitisha kutokea kwa mkasa huo alisema kuwa, mwili wa Anosisye uligundulika asubuhi ya Januari 19 mwaka huu katika Kitongoji cha Chanji “B” mjini hapa.   Kamanda huyo

Picha: Zari anavyokodolea macho simu ya Diamond kama Beyonce kwa Jay Z.

0
0
Wapenzi Diamond na Zari wamekuwa wakifananishwa na couple tofauti za mastaa duniani kwa picha na  pozi tofauti. Kupitia instagram yake Zari amejifananisha na Beyonce kwa jinsi anavyofuatilia shughuli za Diamond kwenye simu yake muda wote wanapokuwa pamoja.

Picha: Vanessa Mdee na Jux wakila bata Zanzibar ndani ya Vazi la "Nusu Utupu"

0
0
Bongo fleva ilitawala Zanzibar ‘Ngome Kongwe’ 17 Jan kwenye usiku wa show kali Jux, Vanessa Mdee, Navy Kenzo ‘Nahreel na Aika’ ambayo ilifunguliwa na Baby J na Mirrro.   Baada ya show, Jux na V Money walinaswa walikula bata  kabla ya kuondoka Zanzibar  huku Vanessa  Mdee  akiwa  ndani  ya  kivazi cha nusu Uchi.

Vikongwe Wapigana Mabusu Hadharani....!!!

0
0
Mohamed Khalfan ambaye ni kikongwe wa miaka 78 mwenye ulemavu wa ukoma na mkewe, Habiba Shomari (68) hivi karibuni waliwashangaza watu baada ya kuamua kumwagiana mabusu hadharani. Tukio hilo lilijiri kwenye Kambi ya Walemavu wa Ukoma ya Chazi iliyopo Kata ya Chazi wilayani Mvomero mkoani Morogoro ambapo kulikuwa na kikao cha serikali za mtaa kutatua mgogoro wa ardhi.   Akizungumza

"Bora niwe Fundi Nguo ili Niwaepuke ‘Masnichi’ Waliopo Bongo Movie"- Wolper

0
0
Staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper Masawe ‘Wolper’ ameamua kuanika ukweli kuwa sasa hivi anataka kuwa fundi wa kushona nguo ili kuepukana na ‘masnichi’ waliopo kwenye tasnia ya uigizaji. Akizungumza na Gpl, Wolper alisema ameamua kujikita huko kwa sababu ameona Bongo Movie hakuna maendeleo zaidi ya umbeya na hata soko la filamu linazidi kushuka. “Mimi ni msanii wa muda mrefu sana

Shindano la Nani Mkali: Jokate Amfunika Lulu Michael

0
0
Mwanamitindo  na dairekta wa lebo ya Kidoti, Jokate Mwegelo amekuwa tishio kwa msanii wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa urembo na muonekano katika picha zinazoonekana mitandaoni nchini. Mtandao mmoja wa hapa nchini umeendesha zoezi la kuweka picha zao kali zinazowaonesha wote wawili wakiwa na muonekano na picha kali huku wakiuliza nani zaidi ya mwenzake.  
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images