Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Kenge 149 wanaswa Uwanja wa Ndege Dar Wakitoroshwa nje ya nchi

0
0
Jeshi la Polisi la   Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA)linamshikilia raia wa Kuwait kwa tuhuma za kukutwa na viumbe hai aina ya Kenge 149 wenye thamani ya Sh 6.3 milioni.   Kamanda wa Polisi wa JNIA, Khamis Suleiman alimtaja mtuhumiwa huyo kuwa ni Hussain Ahmed Ally Mansour(34), raia wa Kuwait ambaye alikamatwa uwanjani hapo jana  majira ya saa 5 usiku wakati

Washtakiwa wa Ugaidi wapangiwa hakimu mwingine

0
0
Kesi ya ugaidi inayowakabili viongozi 23 wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu sasa kusikilizwa na Hakimu Mkazi Janeth Kaluyenda.   Awali kesi hiyo ambayo itatajwa Januari 13,2015 kwa ajili ya kuangalia kama upelelezi utakuwa umekamilika ama la ilikuwa ikisikilizwa na Hakimu Mkazi, Hellen Liwa ambaye hata hivyo alijitoa.

Waziri Mkuu Pinda Akanusha kuhusika na Ufisadi wa Sukari.....Asema ikithibitika Yupo Tayari Kufungwa Gerezani

0
0
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amekanusaha tuhuma mbalimbali zinazotolewa dhidi yake kupitia mitandao ya kijamii kuwa anahusika na kashfa ya uingizaji wa sukari kutoka nje ya nchi ambayo inadaiwa kumpatia mabilioni ya fedha. Pinda amesisitiza kuwa ikiwa vyombo vya sheria vitachunguza na kumtia hatiani yuko tayari kwa adhabu yoyote ikiwemo kufungwa gerezani.   Akiwahutubia wananchi wa

Nyama ya mbuzi yamkwama kooni, afa, mke aburuzwa kortini

0
0
Mkazi wa kijiji cha Nakachindu kata ya Mkundi Halmashauri ya wilaya ya Masasi, Asumini Bakiri (39) amefikishwa mahakamani kujibu shitaka la mauaji linalomkabili la kumuua mumewe, Simoni Simoni (45).   Alifikishwa mahakamani jana na kusomewa shitaka lake na Mwendesha Mashtaka, Iddi Shabani mbele ya Hakimu wa Mahakama ya wilaya ya Masasi, Halfani Ulaya.   Alidai kuwa mshtakiwa huyo,

"Panya road" 1,289 Watiwa Mbaroni Dar

0
0
Idadi ya vijana wanajihusisha na kundi la uhalifu maarufu kama ‘panya road’ imeongezeka na kufikia 1,289 kwa mikoa yote mitatu mkoani Dar  es  Salaam. Kati yao vijana 163 toka katika manispaa za Temeke na Kinondoni wamefanyiwa uchunguzi, na muda wowote kuanzia sasa wanatarajiwa kufikishwa mahakamani. Vijana hao waliokamatwa ni pamoja na wapiga debe katika vituo vya daladala, wacheza

Watu wanne Wafariki Dunia, 20 wajeruhiwa Vibaya katika Ajali ya Basi Iringa

0
0
Watu wanne wamefariki dunia papo hapo na wengine 20 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la abiria la Panuel Express kugongana uso kwa uso na lori. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi, akizungumza na Mpekuzi jana alisema ajali hiyo ilitokea jana eneo la Idetero wilayani Mafinga saa 4:45 asubuhi. Alisema basi hilo lenye namba za usajili T 969 BCD, lililokuwa likitoka mkoani

Askari Polisi Mbaroni akidaiwa Kubaka Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza Shinyanga

0
0
  Kamanda wa polisi mkoani Shinyanga, Justus Kamugisha **** Askari polisi wa kituo kikuu cha Shinyanga aliyefahamika kwa jina moja la Alex, amewekwa korokoroni akituhumiwa kumbaka mwanafunzi wa kidato cha kwanza , mkazi wa kata ya Ngokolo mjini hapa na kumsababishia maumivu makali sehemu za siri. Kamanda wa polisi mkoani Shinyanga, Justus Kamugisha, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo

Baada ya Kupiga Show ya Nguvu Nigeria usiku wa leo, Diamond kasema haamini Macho yake

0
0
Staa Afrika Mashariki, Nasibu Abdul ‘Diamond’, amefunguka kwamba haamini kama kweli amepata nafasi ya kutumbuiza kwenye sherehe za utoaji tuzo za wanamichezo bora zilizoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ambazo zimefanyika usiku wa kuamkia leo jijini, Lagos, Nigeria.   Akizungumza na Mpekuzi, Diamond amesema amefurahi kupata nafasi ya pekee ambayo mara nyingi hutolewa kwa

Taarifa kwa Umma kuhusu vikao vya Kamati za Bunge Januari 2015

0
0
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anawatangazia Waheshimiwa Wabunge wote, wadau na umma kwa ujumla kuwa Kamati za Kudumu za Bunge zitaanza vikao vyake tarehe 13 hadi 23 Januari 2015. Vikao hivyo vitakavyoutangulia mkutano wa Kumi na Nane wa Bunge la Kumi vitajadili na kuchambua pamoja na mambo mengine Miswada mbalimbali ya sheria. Miswada itakayopitiwa na chambuliwa

Ray C akanusha kuirudia Bangi na Madawa ya Kulevya.....Asema watu wanataka kumharibia kwa Rais Kikwete

0
0
Rehema Chalamila aka Ray C amekanusha taarifa zilizoandikWa na gazeti moja la udaku nchini kuwa ameacha kuendelea na matibabu ya methadone na kurejea kutumia madawa ya kulevya.   Amedai kuwa watu hao wana nia ya kumwaibisha yeye pamoja na Rais Jakaya Kikwete aliyemsaidia. Akizungumza na Mpekuzi, Ray C amesema hawezi kuacha matibabu au kurudia matumizi ya madawa ya kulevya kwani

Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa yako ili uweze kwenda Raundi mbili na kuendelea??....Bofya hapa ukutane na JIKO

0
0
Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic  ni  wauzaji wa dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa  tunayo  dawa nzuri  ya  asili  inatibu na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.  Dawa  hii iitwayo  JIKO  ni  ya  asili  kabisa  (PURE HERBAL) na inaponyesha  na  kumaliza  kabisa  tatizo  la  nguvu  za kiume

CCM yalaani vurugu zilizofanywa na Wapinzani wakati wa kuapishwa kwa Wenyeviti wa Serikali za mitaa

0
0
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimelaani vikali vurugu zilizofanywa na wafuasi wa Chadema na CUF kwa viongozi wa serikali za mitaa katika maeneo kadhaa nchini ikiwemo mikoa ya Mwanza, Dar es Salaam na Mbeya.   Akizungumza na waandishi wa habari Katibu wa NEC; Itikadi na Uenezi CCM taifa, Nape Nnauye amesema vurugu hizo mbali na kuhatarisha na kuharibu mali pia zilizosababisha baadhi ya

Jeshi la polisi latoa onyo kwa wananchi ambao wamekuwa wakifanya fujo katika zoezi la uapishwaji viongozi serikali za mitaa.

0
0
Jeshi la polisi nchini limetoa onyo kwa baadhi ya wananchi ambao wamekuwa wakifanya fujo katika zoezi la uapishwaji viongozi wa Serikali za mitaa kwa madai kuwa hawakushinda kihalali katika uchaguzi huo jambo ambalo ni kinyume cha sheria, kanuni  na taratibu za nchi.   Kauli hiyo imetolewa na Msemaji wa Jeshi la polisi  SSP-Advera Bulimba ambapo amesema kuwa Jeshi la Polisi kamwe

CCM yavitaka vyombo vinavyoshughulikia sakata la Tegeta Escrow kuchukua hatua.

0
0
Chama cha mapinduzi CCM kimevitaka vyombo vinavyotakiwa kuchukuwa hatua dhidi ya watuhumiwa wa sakata la Tegeta Escrow baada ya bunge kumaliza jukumu lake vitimize wajibu wao kwa wakati kwa kuchukuwa hatua stahiki kwani kadri vinavyochelewa vinasababisha maswali mengi kwa wananchi.   Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Bw Nape Nnauye ameyasema hayo jijini Dar es Salaam ambapo amesema

Bilion 3 kutengwa kumaliza tatizo la "Panya Road"

0
0
Wizara ya Kazi na Ajira nchini Tanzania itatenga shilingi Bilioni 3 za kitanzania kwa ajili ya mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana ili waweze kujiajiri na kujiinua kiuchumi na kuachana na kukaa vijiweni na kujiunga na vikundi vya kihalifu. Akizungumza na Mpekuzi, Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Mh. Dkt. Makongoro Mahanga amesema tatizo la ajira nchini ni kubwa lakini wizara yake

CUF yamtaka waziri Ghasia kuachia ngazi

0
0
Chama cha wananchi CUF kimemtaka waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Hawa Ghasia kuachia ngazi kwa kusababisha vurugu katika zoezi la kuapisha wenyeviti wa serikali za mitaa nchini. CUF kimesema Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI kimechangia kwa kiasi kikubwa kuvurugika kwa zoezi la kuwaapisha Wenyeviti wa serikali za mitaa jijini Dar es

Walimu 200 Wavamia Ofisi ya Mkurugenzi Dar

0
0
ZAIDI ya walimu 200 wa shule za msingi na sekondari za Manispaa za Kinondoni, Dar es Salaam jana wameandamana hadi katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa hiyo wakitaka kutekelezewa madai mbalimbali wanayoidai manispaa hiyo, zikiwamo fedha za likizo pamoja na kupandishwa madaraja.   Walimu hao wa shule za msingi na sekondari walinza kuandamana saa 5.00 asubuhi katika Ofisi za Chama cha

Polisi Ufaransa Yaua Washukiwa wa Shambulizi la Charlie

0
0
Makomandoo wakirusha mabomu sambamba na moto katika Glosary kabla ya kumkabili mtekaji, Amedy Coulibaly. Picha ikiwaonyesha maofisa polisi wakiwa wameuzunguka mwili wa mtekaji, Amedy Coulibaly. Baadhi ya maofisa polisi wakiendelea na ukaguzi nje ya supa maketi ya Kosher nchini Ufaransa. Mwanamke mmoja ambaye alikutwa ndani ya Glosary ya Kosher akiokolewa kutoka nje na mapolisi huku akiwa

Meseji ya Wolper Yatibua Uchumba wa Nay wa Mitego

0
0
Mwigizaji Jacqueline Wolper ameibua tafrani la aina yake kwa Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ baada ya kumtumia meseji iliyomtia shaka mpenzi wa staa huyo, Siwema.    Tukio hilo lilitokea juzikati nyumbani kwa Nay wa Mitego, Kimara- Korogwe jijini Dar  ambapo ilisemekana Wolper alituma SMS iliyokuwa ikiuliza muafaka wa jambo fulani ndipo Siwema akaja juu na kuanza

"Mikikimikiki ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa"......Wanachama 11 wa CUF Wafikishwa Mahakamani, Mhadhiri CBE naye Apandishwa Kizimbani

0
0
Wanachama 11 wa Chama cha Wananchi (CUF), Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya kujeruhi, kuwatishia na kuwazuia maofisa wa polisi kutekeleza majukumu yao.   Watu hao wanadaiwa kufanya vurugu kwa nyakati tofauti wakati wa uapishwaji wa wenyeviti wa Serikali za Mitaa katika
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live


Latest Images