Waziri wa ujenzi, Mh. Dk. John Magufuli ameitaka ofisi ya wakala wa
ufundi na umeme (TEMESA), kuboresha maslahi ya watumishi wa vivuko ili
kuepukana na wizi wa mafuta yanayotumika katika kuendeshea mitambo
pamoja na vivuko hapa nchini.
Dkt.
Magufuli amemuagiza mtendaji mkuu wa TEMESA mhandisi Marcelin Magessa,
kuzingatia ushauri huo wa kuwaboreshea watumishi wake maslahi wakati
Busisi waanza kutumia tiketi za kielectroniki
↧
↧
Nisha na Mpenzi Wake Wamwagana
Msanii wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ na
mpenzi wake aliyejulikana kwa jina la Farhad wanadaiwa kumwagana baada
ya kuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu.
Chanzo kimoja kimedai kwamba Nisha na mpenzi wake huyo ambaye walikuwa na mipango ya
kuoana mwaka jana lakini ndoa ikayeyuka waliachana kutokana na sababu
zisizojulikana na sasa kila mmoja yupo bize na maisha yake.
Baada ya
↧
Aunt Lulu Aanza Mwaka Vizuri kwa Kupima UKIMWI
Zikiwa zimepita siku chache tangu mwaka wa 2015
uanze, mwanadada mwenye umbo matata Bongo, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’
amekiri kuuanza vizuri baada ya kupima ngoma.
Akizungumza na Gpl, Anti Lulu alisema anafurahi kwa kuwa ameuanza mwaka vizuri baada
ya kwenda kupima Ukimwi akiongozana na mama yake na kujikuta yupo
salama.
“Yaani nina furaha ya ajabu baada ya kukutwa niko mzima kwani
↧
Wenyeviti Ilala waapishwa chini ya ulinzi mkali
Zoezi la kuwaapisha jumla ya wenyeviti 154 wa serikali za mitaa
walioshinda katika maeneo mbalimbali manispaa ya Ilala jijini Dar es
salaam limefanyika jana katika ukumbi wa Anatogro, chini ya ulinzi mkali.
Mwanasheria
wa Manispaa ya Ilala Bi Hela Mlimanazi jana amewaapisha Wenyeviti wa
serikali za mitaa walioshinda katika uchaguzi wa serikali za mitaa
katika Wilaya ya Ilala
↧
Mwanamke huyu afunga ndoa na Paka
Dunia haishi maajabu na maajabu yamekuwa yakitokea siku hadi siku na yanatokea karibu kila mahali. Mwanamke mmoja huko nchini Marekani aitwaye Barbarella Buchner ametoa kali ya mwaka 2015 baada ya kufunga ndoa na paka wake wawili.
Mwanamke huyo alipokuwa anatoa ufafanuzi juu ya tukio hilo amesema kuwa hakuwahi kuwa na wazo la kuolewa na mpenzi yoyote yule wa kiume kati ya wapenzi alio nao
↧
↧
Escrow yasimamisha watumishi 7 Wizara ya Fedha
Naibu waziri wa fedha nchini Tanzania Mwigulu Nchemba amesema serikali
imewasimamisha kazi watumishi Saba wa wizara hiyo kupisha uchunguzi wa
kashfa ya fedha za Akaunti ya Tegeta ESCROW.
Waziri
Nchemba ametoa kauli hiyo jana jijini Dar es salaam alipotembelea
Hospitali ya Mwananyamala ambapo alisema fedha hizo zilizotumika
kiubadhilifu zingeweza kuokoa maisha ya wagonjwa na hasa
↧
Watakaoshindwa kujenga Maabaara kutimuliwa - Pinda
Waziri mkuu Mizengo Pinda amesema viongozi wa serikali ambao watakuwa
hawajakamilisha kazi ya ujenzi wa maabara za shule za sekondari
watafukuzwa kazi kwa kushindwa kutekeleza agizo la serikali.
Pinda
amesema baada ya miezi sita kuanzia sasa viongozi wa serikali ambao
watakuwa hawajakamilisha kazi ya ujenzi wa maabara za shule za sekondari
wakiwemo wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa
↧
Aunty Ezekiel na Wema Sepetu Waangua Vicheko Kaburini kwa Ngwea, Wapita Njia Wawashangaa
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, waigizaji Wema Sepetu na rafiki
yake Aunt Ezekiel wameonekana wa kiangua kicheko na kutuma mesegi kwa
simu wakiwa juu ya kaburi la aliekuwa msanii wa Bongo Fleva, marehemu
Albert Mangweha ‘Ngwea’.
Kwa mujibu wa GPL,tukio hilo lilitokea Januari Mosi, mwaka huu ambapo
Wema akiwa na team yake nzima ya Endless Fame walitembelea kaburini hapo
yaliyopo
↧
Waziri Mahanga anusurika kipigo.....Polisi wamuokoa chini ya ulinzi mkali, Wananchi wamzomea, wamwita mwizi.
Wakati utata ukizidi kujitokeza katika uapishaji wa viongozi wa
Serikali za Mitaa Mkoa wa Dar es Salaam kutokana na waliodaiwa kushinda
kuwekwa kando na kuapishwa walioshindwa, Naibu Waziri wa Kazi na Ajira,
Dk Makongoro Mahanga jana alikumbana na zomeazomea hadi kulazimika
kuondoka kwenye Ofisi za Manispaa ya Ilala, Arnatouglou ambako shughuli
hiyo ilikuwa ikifanyika.
Dk Mahanga
↧
↧
Jaji Mkuu mstaafu Samatta na Prof. Safari watoa ushahidi kesi ya Dk. Slaa
Jaji Mkuu mstaafu, Barnabas Samatta jana alipanda kizimbani
kutoa ushahidi katika Mahakama ya Wilaya ya Hai tukio lililovuta hisia
za wananchi wengi kwani ni la kwanza na la aina yake kwa kiongozi wa juu
wa mhimili huo wa dola.
Jaji Samatta aliingia eneo la
Mahakama saa 2.40 asubuhi akifuatana na Profesa Abdallah Safari na
baadaye kwenda moja kwa moja chumba cha mapumziko kabla ya
↧
"Panya Road" waliotiwa mbaroni wafikia 953
Vijana 953 wanaodaiwa kujihusisha na vitenda vya kihalifu chini ya kundi maarufu la ‘Panya Road’ wamekamatwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.
Watuhumiwa hao wamekatwa katika mikoa ya kipolisi ya Temeke na Ilala ambapo jeshi la polisi limefanya msako mkali kuweza kuwabaini.
Kamanda wa polisi Ilala, Mary Nzuki, alisema operesheni hiyo imefanyika kwenye maeneo mbalimbali
↧
Kuna hii taarifa ya Askari aliyejiua ndani ya ghala la Silaha la Polisi jijini Mbeya
Askari Polisi wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Mbozi, Patrick Kondwa amejiua kwa kujipiga risasi akiwa ndani ya ghala la kuhifadhia silaha katika kituo hicho.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi
amethibitisha kutokea kwa tukio hilo saa tisa usiku wa juzi kuamkia
jana ambapo Askari huyo alikuwa lindo katika chumba hicho cha silaha.
Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa
↧
Baba ajinyonga akidhani amemuua mwanaye kwa kipigo
Mkazi mmoja wa Kijiji cha Bushembe, wilayani Muleba, mkoani
Kagera amefariki dunia kwa kujinyonga baada ya kumpiga mwanaye na
kumpasua kichwa.
Ofisa Mtendaji wa Kata hiyo, Dickson
Wilson alimtaja mtu huyo kuwa ni Godfrey Joseph, mkazi wa Kijiji cha
Bushembe na kwamba tukio hilo lilitokea Januari 3, mwaka huu.
Wilson
alisema kabla ya kujinyonga, alimpiga mtoto wake wa miaka
↧
↧
Picha za Lulu Michael Zatikisa Mitandao ya Kijmanii
Staa wa Bongo Movies,
Elizabeth Michael Kimemeta 'Lulu' akiwa katika mapozi tofauti baada ya
kuachia picha hizi kupitia account yake ya Instagram siku ya jana na
kupelekea kutikisa katika mitandao ya kijamii huku wapenzi wake
wakimuita Kim Kardashian wa bongo.
↧
Ni kweli Matonya aliwekewa madawa kwenye pombe? Alewa na kukutwa vichakani hajitambui
Hitmaker wa ‘Anita’ Matonya aliwekewa vitu vinavyohisiwa kuwa ni
madawa kwenye pombe aliyokuwa akinywa, kwa mujibu wa Rich One ambaye ni
jirani yake.
Picha ya Matonya inayomuonesha akiwa amelala vichakani hajitambui
ilisambaa wiki hii kwenye mitandao ya kijamii kiasi cha watu kuzusha
kuwa amefariki dunia.
Rich alikiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa tangu
afahamiane na
↧
Afisa Mtendaji wa Kijiji ashushiwa kipigo, Vunjo......Kosa lake ni kuchakachua matokeo ya uchaguzi wa Wenyeviti
Wananchi
wa kijiji cha Nduoni kata ya Kirua Vunjo magharibi mkoani Kilimanjaro
wamefunga ofisi ya kijiji na kumpiga afisa mtendaji wa kata hiyo kwa
madai ya kuchakachua matokeo ya uchaguzi uliopita kwa kumtangaza
mgombea wa Chama Cha Mapinduzi kuwa mshindi badala ya mgombea wa chama
cha NCCR Mageuzi.
Wananchi hao walikusanyika katika ofisi ya kijiji hicho wakiwa na
mabango
↧
Mapacha Walioungana Wafariki Dunia
Watoto
mapacha wa kike waliozaliwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mara
iliyopo mjini Musoma wakiwa wameungana sehemu ya kifua na tumbo
wamefariki dunia jana majira ya saa 9.10 Alasiri wakiwa katika hospitali
ya rufaa ya Bugando jijini Mwanza kabla ya kufanyiwa upasuaji.
Watoto hao pacha walizaliwa Januari 4 mwaka huu na mama mmoja mkazi
wa manispaa ya Musoma Helena Paulo
↧
↧
Penzi Kinyume na Maumbile Lamtesa Lungi
Msanii wa filamu za Kibongo, Lungi Maulanga, amesema kuwa mpenzi wake
amekuwa akimsaliti kila kukicha huku akihisi kuwa, huenda wanawake
anaowafuata huko nje wanampa mapenzi kinyume na maumbile.
Akizungumza Gpl Lungi alisema kuwa siku chache
zilizopita alilia sana kutokana na usaliti aliofanyiwa na mpenzi wake
aliyemhifadhi kwa jina, akasema aliamua kumsamehe kwa kuwa anampenda.
↧
Wanafunzi Form One "Wakacha" shule Dodoma
Ikiwa ni wiki moja sasa tangu shule zifunguliwe Mkoani Dodoma ni
wanafunzi 18 kati ya 274 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza
ndiyo waliofika kuanza masomo yao katika shule tatu za kata Wilayani
Mpwapwa.
Hayo
yamebainika jana katika ziara ya kushtukiza ya Ofisa elimu Mkoa wa
Dodoma, Juma Kaponda aliyoifanya katika wilaya hiyo na kujionea hali
halisi ya ukosefu wa wanafunzi
↧
Wenyeviti Wapya wa Mitaa wataka Serikali Ianze Kuwalipa Mishahara
Wenyeviti wa serikali za mitaa na wajumbe wao katika Halmashauri ya manispaa ya Kigoma Ujiji wameapishwa jana kuanza kutumikia wananchi kulingana na nafasi zao.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, walitaka serikali kuangalia suala la kulipa mishahara kila mwezi kwa wenyeviti na wajumbe hao.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Mnazi Mmoja, kata ya Kitongoni Manispaa ya Kigoma Ujiji, Nuru Bashange
↧
More Pages to Explore .....