Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Sihusiki katika ufisadi wa Escrow - Prof Tibaijuka

0
0
Mbunge wa Muleba Kusini Prof Anna Tibaijuka amesema kuwa hausiki na aina yoyote ya ufisadi wa fedha zilizokuwa katika akaunti ya Tageta Escrow. Akiongea na wajumbe wa chama hicho wilayani Muleba Mbunge wa jimbo la Muleba kusini Profesa Anna Tibaijuka wakati akiendelea kuwatoa wasiwasi wananchi wake juu ya sakata la Tegeta Escrow amesema kwamba anaendelea kusimamia shughuli za

Msama azungumzia "kuachana" na Rose Muhando, Akanusha Rose Muhando kutumia Madawa ya Kulevya

0
0
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions ya jijini Dar es Salaam, Alex Msama, ametamka kuwa yeye si Meneja wa malkia wa nyimbo za injili nchini, Rose Muhando akisema amekuwa akishirikiana naye katika mazingira ya kawaida kama ilivyo kwa waimbaji wengine. Kwa mujibu wa taarifa ya Msama kwa vyombo vya habari juzi, yeye akiwa mlezi wa waimbaji wote wa muziki wa Injili, amekuwa akishirikana

Waliokuwa wanaelekea kwa Lowasa 'kula mwaka mpya' warudia njiani

0
0
Baadhi ya wafuasi wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa wamerudia njiani baada ya kupata taarifa za kutokuwapo kwa sherehe ya kupokea mwaka mpya ambayo hufanyika kila mwaka nyumbani kwake Monduli ikijumuisha mamia ya watu kutoka ndani na nje ya nchi. Lowassa amekuwa akifanya sherehe hiyo kwa zaidi ya miaka mitano lakini mwaka huu hakufanya kutokana na kutumia adhabu ya CCM. Msaidizi

Sheikh Ponda Anyimwa Dhamana

0
0
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro imemnyima dhamana Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa katika kesi yake ya jinai namba 128 ya mwaka 2013 leo.   Kesi hiyo imesikilizwa na Hakimu Mkazi Mfawidhi, Marry Moyo ambaye amesema amepokea hati ya kumfutia dhamana Sheikh Ponda kutoka kwa Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) kwa mamlaka aliyonayo hivyo

Rais Kikwete amteua Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

0
0
Rais Jakaya Kikwete amemteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, akichukua nafasi iliyoachwa na Jaji Frederick Werema aliyejiuzulu Desemba 16 kutokana na kuhusishwa na kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow.   Kwa mujibu wa taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Ikulu uteuzi huo ulianza rasmi  Ijumaa, Januari 2, 2015 na anatarajiwa kuapishwa leo.   Kabla ya uteuzi wake,

Maajabu ya Shinyanga: Ndugu waamua kumzika marehemu na kuku tumboni

0
0
Katika hali isiyokua ya kawaida mwili wa Benadetha Steven mwenye miaka 35 aliyefariki dunia juzi umefanyiwa matambiko ya kimila baada ya kupasuliwa na wembe ukiwa kaburini na kuingizwa kuku ndani ya tumbo lake ikiwa ni ishara ya kuondoa mkosi.   Tukio hilo lilitokea juzi katika mtaa wa Mapinduzi, Shinyanga wakati waombolezaji wakiwa hatua ya mwisho ya kumzika marehemu lakini gafla

Ikulu Yasema: Rais hajadharau Bunge

0
0
KURUGENZI ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, imesema Rais Jakaya Kikwete hajadhalilisha Bunge ama wabunge.   Pia, imesema uteuzi uliofanywa na Rais wa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Profesa Mighanda Manyahi haukulenga kumdhalilisha yeyote na kwamba umetokana na mamlaka aliyonayo kisheria.   Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, jijini Dar

Panya Road 510 Wakamatwa Dar.....Wamo Viongozi Watatu wa Mtandao Mzima

0
0
Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es salaam linawashikilia vijana 510 wa kikundi cha uhalifu linachojiita panya Road wakiwemo viongozi watatu wa kikundi hicho. Hatua hiyo imekuja kutokana na Oparesheni iliyofanywa na jeshi hilo kufuatia uhalifu, hofu na taharuki waliyosababisha siku ya Ijumaa katika maeneo mbalimbali jijini Dar es salaam.   Akizungumzia Oparesheni hiyo

Wastara: sifaidiki na kazi za Sajuki

0
0
Msanii wa filamu Wastara Juma, ambaye ni mjane wa aliyekuwa staa wa filamu mahiri nchini, Marehemu Sajuki Juma Kilowoko, ameweka wazi kuwa baada ya kufariki kwa mumewe, hakuna manufaa yoyote ambayo yanaendelea kupatikana katika filamu. Wastara ameongezea kusema kuwa hakuna mafanikio ambayo yanaendelea kupatikana ama yanatarajiwa kupatikana kwake na familia kutokana na mfumo wa

Kafulila: Wanaotetea 'wezi' wa Escrow wanajisumbua

0
0
Mbunge wa Kigoma kusini, David Kafulila, amesema wale wanaojaribu kumkingia kifua Waziri wa Nishati na Madini Prof Sospeter Muhongo pamoja na watuhumiwa wengine ili wasiwajibishwe wanajisumbua. Kafulila amesema Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo alipewa muda wa zaidi ya saa moja kujitetea bungeni lakini akashindwa kuwashawishi wabunge kuwa hakuhusika na wizi wa

Mwanasheria Mku MPYA Wa Serikali Aaapishwa.......Aahidi Kushughulikia Usiri katika Mikataba

0
0
Mwanasheria mkuu wa serikali George Masaju amewataka watanzania kujenga imani na serikali yao juu ya masuala mbalimbali ikiwemo ya mikataba hasa inayogusa maslahi ya taifa. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam hafla iliyohudhuriwa pia na makamu wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilal, waziri mkuu Mizengo Pinda, jaji

Mwanamke Ajifungua mapacha walioungana, Musoma

0
0
Mwanamke mmoja  mkazi  wa  kata  ya  Buhare katika manispaa ya Musoma mkoani Mara Bi Helena Paulo mwenye umri wa  miaka 20 amejifungua watoto  wawili   mapacha ambao  wameungana katika eneo  la  kifua  hadi  tumboni. Tukio hilo  limevuta  mamia  ya  wananchi  ambao  wamefika  katika  hospitali  ya  rufaa  mkoa  wa mara  mjini  musoma  kwa lengo  la  kutaka  kushuhudia tukio  hilo.

Binti Achomekwa Chupa Sehemu za siri na Kujeruhiwa vibaya kwa Kipigo jijini Mwanza akituhumiwa Kutoka kimapenzi na mume wa mtu

0
0
MKAZI wa Kitangiri jijini hapa, Biera Edwin (22) amelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Sekou Toure akipatiwa matibabu baada ya kujeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili wake kwa tuhuma za kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu.   Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola hakupatikana kuzungumzia tukio hilo, lakini Biera mwenyewe alisema kabla ya kufanyiwa kitendo hicho

Aua, ajiua, aacha ujumbe wa kurasa nne

0
0
Mfanyabiashara wa mbao Manispaa ya Songea, Emmanuel Moshi (40), mkazi wa Marangu, mkoani Kilimanjaro amemuua mfanyabiashara mwenzake aliyetambuliwa kwa jina la Didas Alphonce (64), mkazi wa Kilema Kilimanjaro kwa kumpasua kichwa kwa shoka, kisha yeye mwenyewe kujinyonga kwa kutumia kamba ya katani katika stoo ya nyumba waliyokuwa wakiishi.   Inadaiwa kuwa Moshi alichukua uamuzi huo

Ewura Yashusha Bei za Mafuta.....Ni kuanzia kesho January 7 2015

0
0
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (Ewura), Felix Ngamlagosi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo, kuhusu mwenendo wa bei za mafuta nchini na katika soko la Dunia. Kulia ni Mkurugenzi wa Petroli, Godwin Samwel. Mkurugenzi wa Petroli, Godwin Samwel (kulia), akizungumza katika mkutano huo.   Ofisa

Mabomu ya Machozi yatumika Kuzima Vurugu zilizojitokeza jijini Dar wakati wa zoezi la kuwaapisha Wenyeviti wa Mitaa

0
0
Polisi Jijini Dar es Salaam wamelazimika kufyatua risasi hewani na kufyatua mabomu ya machozi kufuatia kuibuka kwa vurugu katika hoteli ya Land Mark Ubungo ambapo shughuli ya uapishaji wa wenyeviti wa serikali Mitaa zilikuwa zinafanyika.   Vurugu hizo, zinadaiwa kuibuliwa na wafuasi wa vyama vya upinzani kwa madai kuwa Mwenyekiti mmoja wa Chama tawala CCM aliyetaka Kuapishwa

Kamati ya Miss TZ waililia wizara

0
0
Kamati ya Miss Tanzania imesema kuwa imeiandikia barua Wizara ya Habari Tamaduni na Michezo kuomba kikao cha pamoja kati yao na BASATA ili kutafuta usuluhishi wa hatua ya Baraza hilo kuyafungia mashindano hayo kwa miaka miwili. Akiongea na eNewz, afisa Habari wa kamati ya Miss Tanzania, Bwana Hidan Rico amesema kuwa wameiomba Wizara kama Msimamizi Mkuu wa BASATA, vilevile wakiwa

Mkuu wa mkoa wa Mwanza atoa siku tano kwa wanakijiji kwimba kuhakikisha wanampata mtoto Albino Aliyetekwa tangu Disemba 27, 2014

0
0
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo ametoa muda wa siku tano kwa wakazi wa kijiji cha Ndami na jeshi la jadi Sungusungu wilayani kwimba, kuhakikisha wanampata mtoto mwenye ulemavu wa ngozi – Alibinism, Pendo Emanuel akiwa hai au amekufa ikiwa ni pamoja na wahusika wa tukio hilo kukamatwa na kufikishwa katika vyombo vya dola.   Agizo hili la mkuu wa mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo,

Viongozi wa Siasa Wamtaka Rais Kikwete Afanye Maamuzi juu ya Waziri wa Nishati na Madini.

0
0
Viongozi wa vyama vya siasa nchini wamemtaka Rais Jakaya Kikwete kutekeleza ahadi yake aliyoahidi wakati wa mkutano na wazee wa Dar es Salaam ya kufanya maamuzi ya kumwajibisha waziri wa nishati na madini ambaye alimweka kiporo na kudai kuwa atatoa maamuzi ndani ya siku mbili lakini hadi leo amekaa kimya.   Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Prof Iibrahim Lipumba amesema suala la

CCM Shinyanga yalaani UVCCM kufunga ofisi.

0
0
KAMATI ya siasa ya halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) wilaya ya Shinyanga Mjini mkoani humo, imelaani kitendo cha jumuiya ya umoja wa vijana wa chama hicho, kufanya maandamano na kufunga ofisi za CCM, wilaya hiyo. Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini kanali Mstaafu Tajiri Maulidi ametoa kauli hiyo wakati akitoa tamko la chama, baada ya kamati ya siasa ya halmshauri
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images