Aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali Jaji Fredrick Werema amepokelewa kijijini kwake baada ya kujiuzulu nafasi hiyo hivi karibuni.
Jaji Werema amepokelewa kijijini kwake baada ya kujiuzulu nafasi hiyo hivi karibuni huku wananchi wa kijiji hicho wakiwataka watuhumiwa wote katika sakata la akaunti ya Tegeta Escrow kujiuzulu nafasi zao ili kulinusuru
Werema apokelewa kwa furaha kijijini kwake
↧
↧
Hotuba ya Rais Kikwete Aliyoitoa Tarehe 31 Disemba 2014 kuukaribisha Mwaka Mpya.......Amesema Elimu ya Sekondari itakuwa Bure kuanzia 2016
Ndugu zangu;
Watanzania Wenzangu;
Kama ilivyo ada imefikia siku ya kuuaga mwaka mmoja na kuukaribisha
mwaka mwingine. Leo tunauaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka mpya wa
2015. Tunamshukuru Muumba wetu mwingi wa rehema kwa kutujaalia uzima na
kutuwezesha kuifikia siku ya leo.
Kwa ndugu na jamaa zetu ambao
hawakujaliwa kuiona siku ya leo tuzidi kuwaombea mapumziko mema. Nasi
↧
Bush kuiongoza Marekani kama Rais kwa mara nyingine.
Gavana wa zamani wa Jimbo la Florida nchini Marekani Jeb Bush ametangaza kujiuzulu nafasi mbalimbali ambazo anashika kwenye makampuni kadhaa pamoja na nyadhifa anazoshika kwenye bodi za taasisi mbalimbali zisizo za kibiashara ikiwa ni ishara ya dhamira ya gavana huyo wa zamani ya kuingia moja kwa moja kwenye mbio za kuwania urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka 2016 .
Kwa mujibu
↧
Zitto Kabwe, Lipumba waiteka Mtwara
Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba pamoja na mbunge wa Kigoma
kaskazini Mh Zitto Kabwe wamewataka wanachi wa mikoa ya kusini kutambua
kuwa rushwa ndani ya serikali ya inayoongozwa na CCM haiwezi kuondoka.
Chama
cha wananchi CUF kimewataka wanachi wa mikoa ya kusini kutambua kuwa
suala la rushwa ndani ya serikali ni mfumo na katu hauwezi kuondoka
iwapo viongozi wakuu serikalini
↧
Watanzania watakiwa kuchagua viongozi wenye sifa
Katika kuingia mwaka mpya wa 2015 ambao pia ni mwaka wa
uchaguzi,viongozi wa dini wamewaasa watanzania kuchagua viongozi wenye
sifa kwani mustakabali wa taifa uko mikononi mwa wananchi na sio
vinginevyo.
Akizungumza
kwenye mahubiri ya ibada ya mwaka mpya katika kanisa la Mtakatifu
Patrice, jimbo katoliki la Morogoro, paroko wa parokia ya kanisa hilo
Padre Prochecy Kasongo, amewaasa
↧
↧
Serikali Yaitaka Kampuni ya Steps Entertainment Kusitisha Ushushwaji wa Bei za Filamu
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imepokea malalamiko
kutoka kwa wasambazaji wa filamu kuhusu ushushwaji wa bei za filamu
uliotangazwa na Kampuni ya Steps Entertainment.
Wizara imeyashughulikia malalamiko hayo na kuona kuwa bei
iliyotangazwa na Kampuni ya Steps Entertainment si halisi na
itasababisha tasnia ya filamu kudharauliwa na pia haina tija katika
tasnia ya
↧
Sandra: Shilole Usidanganyike na Pete ya Uchumba
Staa wa filamu Bongo, Salama Salmini ‘Sandra’
amemshauri msanii mwenzake, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kupigania kuolewa
na mwandani wake, Nuhu Mziwanda ambaye alimvisha pete ya uchumba siku
chache zilizopita kwa kuwa kitendo hicho kwa sasa kimeshazoeleka.
Akiongea na mwandishi wetu, Sandra alisema anafagilia sana
mapenzi ya wawili hao kwani anaona wanaendana pamoja na utofauti wa umri
↧
Watanzania wahakikishiwa amani mwaka 2015
Serikali ya Tanzania imesema haitawafumbia macho watu wote
watakaothubutu kuvuruga amani ya nchi kwa njia yoyote katika mwaka 2015,
na kwamba vyombo vya dola vimejipanga kuwashughulikia kikamilifu.
Onyo
hilo limetolewa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Dkt Mohamed Gharib Bilal alipokuwa mgeni rasmi katika ibada ya kitaifa
ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2015 na
↧
Rose Muhando Atumbuiza Jukwaani na "Kitumbo"
Baada ya kudaiwa kulipwa fedha na kuingia mitini
kwenye matamasha mbalimbali, mwanamuziki ‘grade one’ wa nyimbo za Injili
Bongo, Rose Mhando (pichani) amenaswa akitumbuiza jukwaani akiwa na
ujauzito mkubwa.
Tukio hilo lililowashangaza watu wengi lilitokea Jumapili iliyopita
katika Kijiji cha Ilongero jimbo la Singida Kaskazini kulipokuwa na
mkutano wa hadhara aliokuwa akiuhutubia
↧
↧
"Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu"...Ujumbe Mzito wa Lulu Michael kwa Mama Yake
“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)
Kwanza
nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako
miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili
pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia
hilo sana..!
Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa
↧
"Sijawahi kutoa wala kupokea Rushwa na bado nina dhamira ya dhati ya kumsaidia Rais Jakaya Kikwete" --Hii ni Kauli ya Waziri Mkuu Pinda
Waziri mkuu Mizengo Pinda amesema bado ana dhamira ya dhati ya kumsaidia
rais Jakaya Kikwete katika uongozi wa taifa la Tanzania na kuongeza
kasi ya kuwahudumia wananchi, ili waweze kujiletea maendeleo ya kijamii
na kiuchumi.
Waziri
Mkuu aliyasema hayo wilayani mpanda mkoani Katavi kwenye sherehe za
mkesha wa kuuaga mwaka 2014 na kuupokea mwaka mpya wa 2015.
Alisema baada ya
↧
Mke wa Mtu Asaula Nguo Akimfuta Jasho Bi. Harusi
Mwanamke mmoja ambaye inadaiwa
ni mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la Mishi Choggo ametoa kali ya
mwaka baada ya kusaula kisha kutumia gauni lake kumfutia jasho bi.
harusi.
Bi’mkubwa huyo alifanya kioja hicho Jumamosi iliyopita katika Ukumbi
wa Rose Garden maeneo ya Mafinga mkoani Morogoro katika harusi ya Rose
Raphael na Edward Sebastian ambao walikuwa wakibariki ndoa.
Wakati
↧
Jokate Ampa Makavu Diamond.......Asema hana Akili Timamu
Staa wa urembo, muziki, filamu na ujasiriamali Bongo, Jokate Mwegelo
‘Kidoti’ au ‘Jojo’ amemrushia maneno makali aliyewahi kuwa mpenzi wake,
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa hana akili timamu kufuatia maneno
aliyotoa kuwa enzi za uhusiano wao, eti mwanadada huyo alikuwa akichenga
kumzalia mtoto.
Katika mahojiano maalum ya hivi
karibuni kupitia Kipindi cha Mtu Kati cha Runinga ya
↧
↧
WEMA:Van Vicker Alichangia Niachane na Diamond
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Wema Sepetu amefunguka na kudai kuwa
mwigizaji Van Vicker wa Ghana, alichania kwa kiasi flani, kupelekea
aachane na aliekuwa mpenzi wake, Diamond.
Kwamujibu wa GPL,akizungumzia sababu za kumwagana na Diamond, alisema
pamoja na sababu nyingine, Van Vicker alihusika kuwafanya wamwagane na
mpenzi wake huyo waliyedumu kwenye penzi zito lililokuwa gumzo kila
↧
Aunt Ezekiel: Mume wangu Hajui kama nina Mimba
Msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ‘Mama Kijacho’ amefunguka kuwa,
licha ya ujauzito wake kuwa mkubwa, mume wake Sunday Demonte hana
taarifa yoyote juu ya kitumbo hicho.
Akizungumza na mwandishi wetu, Aunt alisema maneno hayo yanaweza kuwashangaza watu lakini
ndiyo ukweli wenyewe.
Alidai kuwa yeye na mume wake huyo hawajaachana na hajapewa talaka
kama watu wanavyodai lakini
↧
Jokate: Sipendi Kutomaswa Kwenye Filamu za Mambo ya Mapenzi!
Mwanamitindo na mwigizaji wa filamu, Jokate Mwegelo amesema kuwa
hapendi kuigiza sini za mapenzi hasa zile anazotakiwa kushikwashikwa na
mwanaume hasa asiyemjua.
Jokate alifunguka hayo wakati paparazi wa GPL alipotaka kujua namna
ambavyo wazazi na mpenzi wake wanavyolipokea suala la yeye kuigiza sini
za kushikwashikwa na wanaume tofauti katika filamu ndipo alipofunguka
kuwa
↧
Sakata la Escrow: Kafulila Ajipanga Kupeleka Hoja Binafsi Kumng'oa Pinda
SASA kuna kila dalili kuwa mwangwi wa kashfa ya Akaunti ya Tegeta
Escrow iliyotikisa mkutano wa 16 na 17 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, utaendelea kusikika kwa namna ya kuishinikiza Serikali
kuwajibika zaidi.
Dalili hizi zimeonyeshwa waziwazi na baadhi ya wabunge hususani
waliokuwa vinara wa kupambana na kashfa hiyo ambao hawajaridhishwa na
hatua zilizochukuliwa na
↧
↧
Waliotembea km 1, 200 kwenda Ikulu wakamatwa
ILE safari ya zaidi ya kilometa 1,200 ya makada watatu wa Chadema kutoka
mkoani Geita waliotaka kwenda Ikulu ya Dar es Salaam kumwona Rais
Jakaya Kikwete, imeishia mikononi mwa polisi baada ya Mkuu wa Wilaya ya
Kinondoni, Jordan Rugimbana, kuwazuia kuendelea na safari yao hadi
watakapopata maelekezo.
Vijana hao, Khalid Selemani, Athanas Michael na Juma Maganga, walisema
wameamua
↧
"Panya Road" 36 watiwa mbaroni Dar
Jeshi
la polisi nchini linawashikilia vijana 36 wa kundi maarufu Panya Road
wanaodaiwa kufanya vurugu na kupora mali za watu na kusababisha taharuki
katika jiji la Dar es salaam huku baadhi ya wananchi wakitoa maoni
tofauti kuhusiana na tukio hilo.
Akitoa ufafanuzi wa taharuki hiyo msemaji wa jeshi la polisi SSP
ADVERA BULIMBA ambaye mbali na kuwatoa hofu wananchi kuwa hali hiyo
↧
Mkurugenzi Iramba alipukiwa Bomu nyumbani kwake
Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Iramba Bi. Halima Mpita amekumbwa
na hali ya taharuki baada ya kulipukiwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni
bomu lililowekwa katika mfumo wa zawadi aliyoipokea kutoka kwa wadau.
Jeshi
la polisi mkoani Singida limeamua kuagiza wataalamu wa mabomu kutoka
jeshi la wananchi mkoani Arusha kwa ajili ya kuchunguza na kubaini kitu
ambacho kinasadikiwa
↧
More Pages to Explore .....