STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' usiku wa kuamkia
leo ameshinda tuzo nyingine huko Lagos nchini Nigeria kutoka The Future
Awards Africa Prize in Entertainment 2014.
Tuzo hiyo ya Diamond ilipokelewa na Meneja wake Salaam na kwenye
kipengele cha tuzo hiyo kulikuwa na wakali wengine wakiwemo Panshack au
Ice Prince wa Nigeria na Michael Kwesi kutoka nchini Ghana.
Diamond Platnumz Ashinda Tuzo Nyingine Nchini Nigeria.
↧
↧
Mheshimiwa Rais Kikwete, tunakuombea kwa Mungu Upone Haraka.....Tuko nawe kwa Dua na Sadaka
Mheshimiwa Rais, kwa niaba ya watu wa Oman tuishio Tanzania na
wenzetu waliopo Oman, tunakuombea Mungu akujalie uweze kupona haraka ili
urejee katika majukumu yako na kuendeleza nchi kwa ‘speed’ yako kali
MANSHALAH.
Siku zote utakumbukwa kwa maendeleo uliyoifanyia nchi yetu ya Tanzania na ushirikiano mzuri na nchi zote duniani.
Tunakuombea upone haraka na upate furaha na kuweza
↧
Amanda: Starehe kwanza,Mungu baadaye
Staa mwenye shepu ya aina
yake ndani ya Bongo Movies, Tamrina Poshi ‘Amanda’ ameibuka na kusema
kuwa siku ikifika atarejea kwa Mwenyezi Mungu lakini kwa sasa bado
anakula ujana.
Akiongea na Gazeti la Ijumaa Wikienda, Amanda
alisema kwa sasa umri wake unamruhusu kula ujana kwa mambo ya starehe
kama kuvaa mavazi ya kuacha mwili wake nusu utupu kwa sababu muda wa
kurejea kwa Mungu bado
↧
Diamond na Davido ndani ya BIFU Zito.....Kisa na mkasa ni Tanzania kushinda Big Brother Africa
Usiku wa December 07 Tanzania imechukua tena headline kwenye vyombo
mbalimbali vya habari na hii ni baada ya Mtazania Idris kufanikiwa
kushinda kwenye shindano la Big Brother Hot Shot 2014.
Mara
baada ya Mshiriki wa Tanzania Katika Shindano la Big Brother Africa 2014
Idris Sultan kutangazwa mshindi, watanzania wengi walionekana
kufurahishwa sana na Ushindi wake huku wengine
↧
Hausigeli ( Dada wa Kazi) Nusura Auawe
Msaidizi wa kazi za ndani (hausigeli), Rehema Ally (17), mkazi wa
Yombo, Machimbo Mwisho, Ilala jijini Dar, amechanwachanwa kwa wembe na
kisu sehemu mbalimbali za mwili wake, hali iliyosababisha alazwe katika
Hospitali ya Amana kwa matibabu.
Akizungumza na gazeti la Uwazi nyumbani kwa mwajiri wake aliyejulikana kwa jina
moja la Ghati, Yombo jijini Dar, Rehema aliyefika jijini hapa
↧
↧
Taarifa ya Ikulu ya Rais Kikwete kuanza kazi rasmi
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho
Kikwete jana, Jumatatu, Desemba 8, 2014, ameanza kazi rasmi baada ya afya
yake kuimarika kufuatia upasuaji aliofanyiwa mwezi uliopita.
Mhe. Rais ameanza kazi rasmi kwa kumwapisha Mkuu mpya wa Mkoa wa
Arusha, Mheshimiwa Daudi Felix Ntibenda katika shughuli fupi
iliyofanyika Ikulu, Dar Es
↧
Filamu ya ‘Nimekubali Kuolewa’ ya Dr Cheni yaruhusiwa kutoka
Msanii wa filamu, Mahsein Awadh Said aka Dr. Cheni’ amesema filamu
yake ya ‘Nimekubali Kuolewa’ iliyokuwa imezuiwa kutoka na Bodi ya Filamu
Tanzania (TFB) inatarajiwa kutoka mapema mwakani baada kukamilisha
matakwa yao.
Dokta Cheni alisema kuzuiliwa kwa filamu hiyo kulimnyima raha kiasi
cha kumfanya asifanye kazi nyingine mpaka akamilishe kazi hiyo.
“Nimefanikiwa kuipigania
↧
Utafiti waitaja Tanzania miongoni mwa nchi zenye watu wenye roho mbaya Afrika!
Kwa mujibu wa ripoti ya World Giving Index 2014, Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye watu wenye roho mbaya barani Afrika.
Hiyo ni kwa mujibu wa utafiti uliodhaminiwa na Charities Aid
Foundation (CAF) na kufanywa na kampuni ya utafiti ya Gallup na
kuhusisha nchi 135 duniani kote. Data hizo zilikusanywa kuanzia mwaka
2013.
Tanzania ilikamata nafasi ya 14 kati ya nchi 24
↧
Video: Mtazame mshindi wa BBA Hotshots, Idris akijibu maswali ya mashabiki wa Afrika
Mtazame mshindi wa BBA Hotshots, Idris Sultan akijibu maswali ya mashabiki mbalimbali wa Afrika Live kupitia Google Hangouts.
Wengi wamemuuliza mambo mbalimbali ikiwemo atazitumiaje US $ 300,000 alizoshida, msichana gani ambaye angependa kuendelea kuwa na uhusiano nae nje ya BBA kati ya wale aliokuwa nao mjengoni nk.
↧
↧
Ikulu: Rais Kikwete hatawaadhibu vigogo wa Escrow bila ya uchunguzi
Ikulu imesema pamoja na kuwa Rais Jakaya Kikwete amekwishapokea
maazimio ya Bunge kuhusu wanaotuhumiwa kuchota Sh306 bilioni katika
Akaunti ya Tegeta Escrow, hawezi kuwachukulia hatua mpaka hapo uchunguzi
kuhusu suala hilo utakapokamilika.
“Rais lazima aagize vyombo vya uchunguzi kufanya
kazi yake na baada ya hapo ndipo atapata mahali pa kuanzia. Watu wengi
walitaka Rais Kikwete
↧
Leo ni Sikukuu ya Miaka 53 Ya Uhuru
Baba
wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiinua juu bango linalonadi
UHURU KAMILI miaka 53 iliyopita. Leo ni sikukuu ya kukumbuka siku hii
adhimu
Baba
wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwasili uwanja wa Uhuru
jijini Dar es salaam kujiunga na wananchi kusherehekea sikukuu ya Uhuru
miaka 53 iliyopita.
↧
MITANDAONI:Jionee Shilole Feki Akimwaga Ngeli
Lile wimbi la watu kutumia majina ya mastaa kwenye mitandao ya
kijamii bado linaendelea kwa kasi. Mwandishi wetu amekutana huyu
anayejiita SHILOLE CLASIC akijifanya kuwa yeye ni Shilole ambaye ni mwigizaji na mwanamziki
maarufu hapa Bongo. Hebu tusaidiane kusoma hii NGELI aliyoitoa hapa.
Baada ya taarifa hizi kumfikia Shilole mwenye hiki ndicho alichokisema.
“Nimetumiwa
↧
Viongozi wa CCM, Chadema wapigana Dar, wafikishana Polisi
Zikiwa zimebaki siku tano kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Serikali za mitaa nchini, Katibu wa Kata ya Kisutu, Dar es Salaam wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Sauda Addy na Mjumbe wa Kamati ya Udhamini ya Chama Cha Demekrasia na Maendeleo (Chadema), Muslim Hassan, wamepigana.
Sababu za kupigana kwao zinatokana na Hassan kuchana bango la mgombea wa CCM wa nafasi ya Uenyekiti wa Serikali ya
↧
↧
Zomeazomea ya Escrow yaikera CCM
Kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ambazo zimekuwa
zikitawaliwa na zomeazomea na vurugu, zimechukua sura mpya baada ya
wafuasi wa CCM kuitwa ‘escrow’ kiasi cha katibu wa chama hicho wilayani
Arusha, Feruz Bana kutaka wapinzani wazungumze hoja.
CCM ilijikuta kwenye kashfa hiyo inayohusu
uchotwaji wa fedha kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow iliyofunguliwa Benki
Kuu ya Tanzania,
↧
Umesikia habari MPYA kuhusu wale Mapacha walioungana India? ...Bofya hapa kama imekupita
Mapacha ambao wameungana huko Bengal Magharibi Ganga na Jamuna Mondal 45, wamesema hawajawahi kuwa na mpenzi katika maisha yao kwa sababu ya kukataliwa kutokana na mwonekano wao.
Mabinti hao ambao wanatumia mikono minne
na miguu mitatu wamesema kwa sasa wanafuraha ambayo hawajawahi kuwa
nayo katika maisha yao baada ya kukutana na mwanaume aliyewapenda kwa
mara ya kwanza Mwalimu
↧
Vurugu kubwa za Wakulima na Wafugaji Zaibuka Dumila,Morogoro......Barabara yafungwa kwa masaa kadhaa,Polisi waingilia kati
Jeshi
la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi
wa Dumila na Mbigiri wilayani Kilosa mkoani Morogoro baada ya kufunga
barabara ya Morogoro Dodoma kwa kutumia mawe na kuchoma matairi
barabarani katika eneo la Dumila na kusababisha abiria wanaotumia
barabara ya Morogoro Dodoma kukosa mawasiliano kwa zaidi ya masaa sita.
Mpekuzi imeshuhudia wananchi
↧
Rais Kikwete Kutoa Maamuzi ya Escrow Wiki Ijayo
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
amepokea Ripoti, nyaraka na ushauri wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kuhusu Akaunti ya Tegeta Escrow na atavifanyia maamuzi katika
wiki moja ijayo.
Rais Kikwete ambaye alianza kazi rasmi jana, Jumatatu, Desemba 8,
2014 baada ya mapumziko ya kufuatia upasuaji aliofanyiwa mwezi uliopita,
amepokea
↧
↧
Maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara yafana jijini Dar leo
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiwapungia mikono wananchi waliofurika katika uwanja wa Uhuru Jijini
Dar es Salaam katika Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Uhuru wa
Tanzania Bara akiwa katika Gari maalum liliozunguuka katika uwanja huo
leo.Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama,Jenerali Davis
Mwamunyange.
Vikosi
vya Ulinzi na Usalama
↧
Rais Kikwete Afungua Jengo Jipya La Ikulu ( (Multipurpose Hall)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
jana, Jumatatu, Desemba 8, 2014, amefungua rasmi Jengo la Shughuli
Nyingi (Multipurpose Hall) la Ikulu katika moja ya shughuli zake za
kwanza baada ya kuanza rasmi kazi kufuatia upasuaji mwezi uliopita.
Sherehe hiyo ya ufunguzi wa Jengo hilo lililoko upande wa kushoto wa
Bustani za Ikulu upande wa Lango Kuu la
↧
Rais Kikwete Asamehe Wafungwa 4,969......Kati yao 887 Kuachiwa Huru
RAIS Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 4,969 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, iliyotolewa Dar es Salaam jana, Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe alisema msamaha huo utawahusu wafungwa 4,969, ambapo 887 kati yao wataachiwa huru na wafungwa 4,082 watapunguziwa vifungo vyao na kubaki gerezani wakitumikia sehemu
↧
More Pages to Explore .....