Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Ukweli Kuhusu taarifa zilizoenea kuwa Edward Lowasa kalazwa Ujerumani

$
0
0
Ofisi ya mbunge na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, jana ilikanusha vikali uvumi uliozagaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa mbunge huyo wa Monduli amelazwa nchini Ujerumani.   Taarifa zilizoenea zinaeleza kuwa Lowassa, ambaye wakati wote wa Mkutano wa 15/16 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano uliofanyika kwa wiki tatu, hakuwepo bungeni, amekuwa Ujerumani ambako amelazwa

Mkanda wa ngono wa Mpenzi wa Diamond Platnumz "Zari The Bosslady" Wavuja!

$
0
0
Mkanda wa ngono unaomuonesha mpenzi  wa Diamond Platnumz ambaye  ni  mfanyabiashara wa Uganda, Zarinah Tlale maarufu kama Zari the Bosslady akifanya mapenzi na mwanaume asiyejulikana umesambaa.   Picha za Zari akivunja amri ya sita kutoka kwenye mkanda huo zimechapishwa kwenye gazeti la udaku la Red Pepper la Uganda.   “For exclusive pictures and a clear description of how Zari

Feza Kessy athibitisha kuachana na O’neal

$
0
0
It’s official, Oneza haipo tena. Feza Kessy na mpenzi wake wa Botswana, O’neal wameachana. Feza ameiambia Mpekuzi kuwa ni yeye mwenyewe ndiye alitoa taarifa hiyo kupitia Twitter japo aliamua kuifuta tweet hiyo.   “Ni kweli tumeachana, siwezi kuongelea in detail, ya matatizo vitu vingine vitafunguka in the future, lakini kwa sasa it’s better when I apart, so nilitangaza through Twitter

Idris kushinda $300,000 za Big Brother Jumapili hii? Afrika Mashariki yajiunga kumpigia kura kwa fujo!

$
0
0
Wanasema ni vyema kutumainia mema na kujiandaa kwa mabaya na wengine wanaonya kuwa ukiwa na matarajio makubwa usishangae kufedheheshwa kwa kiasi kikubwa pia. Pamoja na misemo hiyo, ni wazi tuna kila sababu ya kuwa na matumaini kuwa kijana wetu Idris Sultan anaweza kushinda taji la Big Brother Africa, Hotshots.    Tunaona jinsi ambavyo mastaa na watu wa kawaida katika nchi za Afrika

KIVAZI Cha LULU Chaonyesha Tatoo Yake Ya Juu Ya Kiuno

$
0
0
Muigizaji Diana Elizabeth Michael kama anavyojiita kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM, maarufu kwajian la  LULU ni mmoja kati wa mastaa wa Bongo movie wanaotumia kurasa zao kwenye mtandao wa INSTAGRAM ku-Share nasi picha zao, stori  na jumbe mbalimbali . Hivi majuzi mwanadada LULU aliweka picha matata (icheki hapo juu) ambayo iliwafanya Followers wake kwenye ukurasa  wake watoe

Walimu waandamana Kasulu, Kigoma

$
0
0
Walimu zaidi ya 200 katika wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wameandamana na kumpa wakati mgumu mkurugenzi wa halmashauri ya Kasulu Masalu Mayaya, wakishinikiza kulipwa kwa madai yao mbalimbali yanayofikia zaidi ya shilingi milioni 172.   Viongozi wa chama cha walimu pamoja na walimu hao kutoka shule mbalimbali za sekondari na msingi wamesema kwa muda mrefu wanaidai serikali fedha za

Wanaume wanaofanyiwa ukatili waanza kujitokeza

$
0
0
Matukio ya wanaume kunyanyaswa na kufanyiwa ukatili na wake zao ikiwemo kumwagiwa maji ya moto na hata wengine kukatwa viungo vyao yameshika kasi mkoani Ruvuma ambapo baadhi ya wanaume wameanza kuripoti matukio ya kunyanyaswa na wake zao katika madawati ya Jinsia.   Hayo yameelezwa na wanaharakati wa haki za binadamu kwenye kongamano la maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili

Idris Kushinda Big Brother Africa Leo

$
0
0
90% Huenda mshiriki kutoka Tanzania anayewakilisha ndani ya mjengo wa Big Brother ‘hotshots’ , Idris Sultan akaibuka kidedea leo usiku katika shindano hilo.   Tangu asubuhi Runinga ya DStv kupitia Channel 197 na 198 inayoonyesha moja washiriki 8 waliobakia katika mjengo huo, huku kamera ikimmulika zaidi Idris mara kwa mara jambo linaloashiria huenda Watanzania tukacheka kwa ushindi

Watu 2 wapigwa na kuvuliwa nguo nyumbani kwa Wema, ni mafundi wake waliodaiwa kuiba

$
0
0
Nyumbani kwa Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, Wema Sepetu, kumetokea tukio la kushangaza la watu wawili wanaodaiwa kuwa mafundi, kupigwa na kudhalilishwa kwa kuachwa uchi wakidaiwa kuhusika na wizi. Akizungumza na Mpekuzi jana, jirani wa Wema aliyetambulika kwa jina la Mama Steve, alisema tukio hilo lilitokea Ijumaa majira ya saa 5 asubuhi mpaka saa 9 jioni.   “Waliopigwa

Lady Jaydee asema kamwe hatarajii kujiingiza katika siasa

$
0
0
MWANADADA anayefanya vizuri katika muziki wa kizazi kipya nchini, Judith Wambura 'Lady Jaydee' amesema kamwe hatarajii kujiingiza katika masula ya siasa kama wanavyofanya wanamuziki wenzake.   Kauli hiyo aliitoa wakati akizungumza na waandishi wa habari wa gazeti la Jambo Leo Dar es Salaam jana, baada ya kutembelea chumba cha habari cha gazeti hilo katika Jengo la Hifadhi House katika

Rais Kikwete Apiga Tizi Mara Tatu Kwa Siku Kuimarisha Afya Yake

$
0
0
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazoezi  katika viwanja vya Ikulu kufuatia ushauri wa madaktari waliomtaka afanye hivyo mara tatu kwa siku ili kuendelea kuimarisha afya yake baada ya kufanyiwa upasuaji mwezi uliopita katika hospitali ya Johns Hopkins nchini Marekani.  Picha na Ikulu

Maandalizi ya Siku ya Uhuru Yapamba Moto

$
0
0
Maandalizi  ya siku ya uhuru wa Tanganyika (Tanzania Bara) Desemba 9,  kutimiza miaka 53, yanaendelea  Uwanja wa Uhuru ambapo kutakuwa na gwaride la kijeshi  vikundi vya sanaa, kwaya, halaiki ya vijana, ‘brass band’ na  matarumbeta.   Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki, amesema milango katika Uwanja wa Uhuru itakuwa wazi kuanzia saa 12:00 asubuhi  ambapo wananchi

PICHA KALI:Irene Uwoya Alivyolipamba Jariba La Vibe Tz akiwa Nusu Uchi

$
0
0
Jarida  la  maswala ya burudani, liitwalo Vibe Tz  lililotoka hivi karibuni,limepambwa kwa picha za muigizaji  wa filamu hapa Bongo, Irene Uwoya amaye ni mrembo aliyebarikiwa sura na umbo matata bila kusahau rangi yake,kitu ambacho huwafanya vidume wengi kupagawa na kuwa na mashabiki wengi wa kazi zake mbali nakipaji chake katika sanaa.   Japokuwa kwasasa ni mama wa mtoto mmoja , Uwoya

Nimfanye Nini Huyu Mdada wa Kazi?....Alinikuta nikiwa Uchi, sasa anataka kulipa fadhila

$
0
0
Nina mdada wa kazi kuna siku kwa bahati mbaya alinikuta uchi chumbani.   Nilitoka kuoga kumbe yeye alikuwa chumbani anachukua nguo za kuvaa watoto shule, sasa mie sikumuona vizuri nikajua tu ni wife kumbe ni yeye, basi kwa kujiachia nilikuwa nimeweka taulo mabegani na uku chini nikiwa mtupu manake yeye alikuwa upande wa pili wa kioo.   Sina hili na lile kumbe yeye  alishajua mie

Breaking News: Idris Sultan Toka Tanzania aibuka mshindi wa shilingi milioni 514 za Big Brother Africa

$
0
0
Idris Sultan ndio mshindi wa Big Brother Africa Hotshots. Baada ya kutupa karata yake kwa takriban miezi miwili ndani ya jumba hilo lililopo nchini Afrika Kusini, Afrika imemchagua kuwa mshindi wa msimu huu wa Big Brother na hivyo kushinda kitita cha $300,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 514 za Tanzania.  Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Big Brother hivi punde, Idris

Majambazi Wawili Wauawa Tanga

$
0
0
Watu wawili kati ya wanne wanaosadikiwa kuwa majambazi wameuawa na wananchi wenye hasira baada ya jaribio lao la kutaka kupora fedha zaidi ya shilingi milioni 100 katika kiwanda cha kutengeneza chokaa cha Nelkanth kilichopo eneo la Amboni jijini Tanga kushindikana.   Kaimu kamanda wa polisi mkoani Tanga kamishina msaidizi wa polisi Juma Ndaki amewataja majambazi waliouawa kuwa ni

Wananchi Wataka Maazimio ya Bunge Kuhusu Sakata la Escrow Yatekelezwe

$
0
0
Wananchi wa vijiji mbalimbali katika wilaya za Kilosa na Mvomero mkoani Morogoro wameitaka serikali kuharakisha utekelezaji wa maazimio ya bunge ya kuwawajibisha watu wote waliohusika na wizi wa fedha za akaunti ya Tegeta Escrow ili iwe fundisho kwa watumishi wa umma wanapopewa nafasi za kusimamia majukumu mbalimbali ya serikali.   Wakiongea na Mpekuzi wananchi hao wakiwemo vijana

Rais Kikwete Ameteua Mkuu Mpya Mmoja wa Mkoa na Kuwahamisha Wengine 6

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mkuu Mpya mmoja wa Mkoa na kuwahamisha vituo vya kazi wengine sita kuanzia Jumamosi, Desemba 6, 2014.   Taarifa iliyotolewa Jumapili, Desemba 7, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue mjini Dar es Salaam inasema kuwa Rais amemteua Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Mkoa wa Arusha, Ndugu Daudi

Kaka Mtu Amfumania dada yake akingonoka na Njemba chumbani Kwake

$
0
0
Kaka mtu aliyejitambulisha kwa jina moja la Nicholaus  amesimamia fumanizi la dada’ke ambaye ni mwanafunzi wa sekondari moja jijini Dar  ambapo alimfumania chumbani na njemba mmoja sharobaro aliyetajwa kwa jina la Abuu Ally, mkazi wa Mbagala-Charambe, Dar. Akisimulia  mkasa  wa  fumanizi  hilo, Nicholaus alisema amekuwa akiumizwa na taarifa kwamba kila ikifika saa 2: 00 usiku kuna

Polisi atoa ushahidi kumsaidia mtuhumiwa Mahakamani

$
0
0
KESI ya kughushi inayomkabili mfanyabiashara, Hans Aingaya Macha imechukua sura mpya, baada ya askari Johanes Mgendi mwenye namba E 2982 kutoa ushahidi katika upande wa mtuhumiwa kwenye kesi hiyo.   Mgendi ambaye ni mtaalamu wa maandishi Makao Makuu ya Polisi mjini Dar es Salaam, alitoa ushahidi huo mwishoni mwa wiki katika kesi hiyo iliyopo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu chini ya Hakimu,
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images