Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Ikulu Yasema Itatekeleza Maazimio Ya Bunge Kwa Nguvu Kubwa....Yasubiri Taarifa Rasmi ili Rais Achukue Uamuzi

$
0
0
SIKU chache baada ya Bunge kuhitimisha mjadala wa uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow na kupitisha maazimio nane ikiwa ni pamoja na kuwawajibisha watendaji na wanasiasa waliohusika, Ikulu imesema itayafanyia kazi maazimio hayo kwa uzito mkubwa.   Hayo yalisemwa jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, alipozungumza na MTANZANIA juu ya hatua

Zitto Kabwe: Kashfa nne mbaya zaidi ya Escrow zinakuja

$
0
0
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kabwe Zitto amesema baada ya kukamilisha shughuli ya ufisadi wa Akaunti ya Tegeta Escrow ambayo Sh306 bilioni zilichotwa, kamati yake sasa inaelekeza nguvu katika kashfa nyingine nne.   Zitto alisema kamati yake itatumia mwezi huu na Januari kupitia ripoti nne ambazo zina masilahi kwa Taifa, ikiwamo ya utoaji wa vibali vya

Chadema Arusha Yapata Pigo

$
0
0
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata pigo baada ya mapingamizi yake 155 kwa wagombea katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Jiji la Arusha kutupwa.   Mapingamizi hayo yaliwasilishwa kwa Katibu Tawala wilaya ya Arusha na msimamizi mkuu wa uchaguzi, Juma Iddy ambaye pia ni Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kwa ajili ya kusikiliza rufaa.   Akitoa uamuzi huo juzi, Katibu

Wafugaji tisa wauawa Kisarawe

$
0
0
Mapigano makali yamezuka kati ya jamii mbili za wafugaji katika Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani na kusababisha vifo vya watu zaidi ya tisa.   Tukio hilo limetokea katika Kijiji cha Kihale, Tarafa ya Chole wilayani Kisarawe na yamehusisha jamii mbili za wafugaji wa kabila la Wasukuma na Wabarbaig ‘Mang’ati’.   Hata hivyo, imeelezwa kuwa ni miili ya wafugaji watano tu ndiyo

Mvua Iliyonyesha Jijini Mwanza Yasababisha Mafuriko

$
0
0
Mvua kubwa iliyonyesha asubuhi ya leo jijini Mwanza, imesababisha mafuriko katika baadhi ya maeneo kama inavyoonekana pichani.   Baadhi ya wakazi wa jiji hilo hawana sehemu za kukaa baada ya maji kuingia kwenye nyumba zao na kusababisha uharibifu mkubwa wa mali.    

Al Sabab Yaua Watu 36 Nchini Kenya

$
0
0
Takribani watu 36 wanahofiwa kufariki katika shambulio lililotokea kwenye machimbo ya kokoto karibu na mji wa Mandera kaskazini mwa Kenya. Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Kenya limethibitisha.   Wakazi wa eneo hilo wamesema waathirika wote wa tukio hilo ni watu wasio Waislam ambao walikuwa wakifanya kazi katika machimbo hayo yaliyopo Kormey kilomita 15 kutoka mji wa Mandera

Wakuu wa usalama watimuliwa Kenya

$
0
0
Rais Uhuru Kenyatta amemwachisha kazi waziri wa usalama Joseph Ole Lenku na kumpendekeza waziri mpya wa usalama Joseph Nkaiseri kuchukua nafasi hio.   Wakati huohuo mkuu wa polisi nchini Kenya inspekta generali David Kimaiyo amejiuzulu kutokana na shinikizo dhidi yake afanye hivyo kwa kushindwa kukabiliana na utovu wa usalama nchini.   Rais Kenyatta alisema kuwa baada ya mazungumzo

Rais Kikwete Amuapisha CAG Mpya, Prof Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam

$
0
0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 02, 2014. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitia sahihi yake kwenye nyaraka baada ya kumuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 02, 2014. Rais

LHRC yasikitishwa na kauli ya Pinda

$
0
0
Kituo cha sheria na haki za binadamu kimesema kimesikitishwa na kauli aliyoitoa waziri mkuu Mh Mizengo Pinda bungeni wakati akiahirisha bunge kuwa hakuna uhakika kwamba fedha zilizokuwa katika akaunt ya Escrow kama ni za serikali ama la jambo ambalo amesema kwa kufanya hivyo ni kutaka kuwalinda waliohuska katika wizi huo.   Akizungumza katika makao makuu ya kituo hicho mkurugenzi wa

Wagombea 68 CHADEMA Arumeru Mashariki wapingwa

$
0
0
Wagombea 68 wa nafasi mbalimbali za uongozi katika jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamewekewa pingamizi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ya kutotimiza vigezo na masharti ya tume ya uchaguzi.   Baadhi ya wagombea hao waliowekewa pingamizi wa CHADEMA wametafsiri hali hiyo kama njama za kisiasa zinazofanywa na chama tawala kutaka

Mtunisi aendelea kusota ndani baada ya kumpiga mkewe

$
0
0
Msanii wa filamu, Mtunisi aliyepandishwa mahakamani Jumatatu iliyopita kutokana na shtaka la kumshambulia mke wake, ameendelea kukaa ndani baada ya kukataliwa dhamana kufuatia mkewe kuwa kwenye hali mbaya. Akizungumza na Mpekuzi, muigizaji mwenzake, Batulli amesema wanashindwa kuingilia suala hilo moja kwa moja kwa sababu limekaa kifamilia zaidi.   “Tunafuatilia lakini unajua

Mdogo wake na Zari aponda uhusiano wake na Diamond, Zari asisitiza ni marafiki tu

$
0
0
Mdogo wake na Zari Hassan aka The Bosslady, aitwaye Karim ametumia Facebook kumkosoa dada yake kwa kuwa na uhusiano na Diamond Platnumz ambaye anamzidi miaka 9. Kwenye post hiyo, Karim aliandika: You are ashaming us, how can you date a boy my age. You moved from one man to another in less than 3 days.”   Akitumia akaunti yake binafsi ya Facebook yenye jina ‘Zarinah Tlale’, kujibu

Diamond: Nilivyofika Nigeria nilikuwa najiona kama mkiwa, siwaoni wasanii wenzangu hata Ally simuoni

$
0
0
Baada ya Diamond Platnumz kutua jijini Dar es salaam December 2 akitokea Afrika Kusini akiwa na tuzo zake 3 za Channel O, alikutana na wadau, mashabiki pamoja na waandishi pale Escape 1 kuzungumzia ushindi wake na safari nzima ilivyokuwa.   Miongoni mwa maeneo aliyozungumzia ni pamoja na umoja unaohitajika kwa wasanii wa Tanzania ili waweze kuwa wengi katika majukwaa ya

Korea Kaskazini yaishutumu US kusambaza Ebola na kutumia Afrika kama sehemu ya kujaribia silaha hiyo ya Kibailojia

$
0
0
Koreas Kaskazini imeishutumu Marekani kwa kusambaza makusudi virusi vya ugonjwa wa Ebola na kwamba inatengeneza silaha hiyo ya kibailojia ili kuwa taifa lenye nguvu zaidi duniani.   Taifa hilo limelazimika kufunga mipaka yake kuzuia watalii ikiwa ni pamoja na kumtenga kila anayeingia. Ripoti ya Korean Central News Agency (KCNA) inadai kuwa aliyekuwa msaidizi wa Rais wa zamani

Mtoto afa kwa kunyongwa na baba wa kambo Morogoro

$
0
0
Mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja mkazi wa kijiji cha Kindo wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro amefariki dunia baada ya kunyongwa na baba yake wa kambo kufuatia migogoro ya kifamilia kati yake na mkewe.   Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Leonard Paul amesema mtoto Abdallah Hamis amenyongwa na baba yake wa kambo Zamili Shabani (27) muda mfupi baada ya mama wa mtoto kwenda dukani

Shirika la kazi la Umoja wa Mataifa (ILO) Lasema Tanzania inaongoza kwa watu wasiofanya kazi

$
0
0
Shirika la kazi la umoja wa mataifa (ILO) limesema pamoja na Tanzania kuwa na mikakati mingi ya kutaka kuwakwamua wananchi wake na Lindi la umaskini itakuwa vigumu kufikiwa kwa lengo hilo kutokana na kuwa na watu wengi wasiofanya kazi Akizungumza na wataalam na watafiti wa idara za kazi ajira na takwimu kutoka mikoa mbalimbali nchini

Mmiliki wa IPTL atema cheche....Asema anafikiria mara mbilimbili kuendelea kuwekeza nchini

$
0
0
Mmiliki wa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL, Habirnder Seth Singh amesema anafikiria mara mbilimbili iwapo aendelee kuwekeza nchini au la, baada ya kuwapo kwa tuhuma kwamba alihusika na uchotaji wa fedha katika Akaunti ya Tegeta Escrow katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT).   “Nimeongelewa sana kiasi kwamba naona kama hakuna hata amani ya kuwekeza Tanzania, nitajifikiria mara mbili mbili.

Vigogo CHADEMA waburutwa kortini

$
0
0
Jeshi la Polisi mkoani Simiyu linawashikilia wanachama tisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wilayani Meatu wakiongozwa na Mwenyekiti wa mkoa wa chama hicho kwa madai ya kufanya vurugu na kuharibu mali.   Wanachama hao pamoja na viongozi wao mbali na kukamatwa na jeshi hilo jana, wamefikishwa mahakamani, katika Mahakama ya Wilaya ya Meatu Mkoani hapa kujibu tuhuma

TRA yazuiwa kufuta hati za malipo ya kodi ya IPTL

$
0
0
Bodi ya Rufani za Kodi (TRAB), imetoa amri ya zuio la muda kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhusu kusudio lake la kufuta hati ya malipo ya kodi iliyotokana na uuzwaji wa hisa za Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL.   Uamuzi huo wa TRAB ulitolewa na Katibu wake, Respecius Mwijage kutokana na maombi yaliyofunguliwa na Kampuni za Pan Africa Power Solution Tanzania

UKAWA Yavunjika vipande vipande Mkoani Arusha baada ya vyama vinavyounda umoja huo kushindwa kuachiana nafasi za Uongozi

$
0
0
VYAMA vinne vya upinzani vilivyoungana na kuunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) vimeshindwa kuachiana nafasi za uongozi mkoani Arusha, katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Desemba 14.   Vyama vinavyounda Ukawa ni Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD, lakini vyote vimesimamisha wagombea katika mitaa ndani ya mkoa wa Arusha, kinyume na makubaliano yaliyosainiwa na
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images