Kwa mara ya kwanza, staa wa muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura
Mbibo ‘Jide’ ameanika kisa cha kummwaga mumewe, Gardner Gabriel Habash
‘Kaptein’ akieleza mateso aliyokutana nayo kwenye ndoa yao.
Akizungumza na Kituo cha Radio Times FM cha jijini Dar, wikiendi
iliyopita, Jide alifunguka kuwa yeye ndiye aliyeamua kummwaga Gardner.
Katika mahojiano hayo, Jide alisema kwamba alikuwa
Lady Jaydee Aanika Kisa cha Kuachana na Gardner
↧
↧
Askari wa JKT akutwa mferejini akiwa kalewa chakari .....Pombe Ilipozidi alianza kujisaidia ndani ya basi
Katika hali isiyotegemewa askari mmoja wa jeshi la kujenga Taifa (JKT)
anayesadikika kuwa ni wa kambi ya Mafinga wilaya ya Mufindi mkoani
Iringa usiku wa jana amenusurika kuvuliwa nguo za jeshi hadharani baada
ya kukutwa amelewa chakari na kulala katika mfereji wa maji machafu eneo
la nje ya stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani mjini Iringa
Tukio
hilo lilitokea muda wa saa 2 usiku
↧
Kumalizika kwa Sakata la "Escrow", waumini waliombea Taifa
Baada
ya Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kumaliza mjadala
wa sakata la Escrow, maelfu ya waumini wa madhehebu mbalimbali
mkoani Arusha wamefanya ibada maalumu ya kuliombea taifa amani
na pia kuwaombea watendaji wa serikali na wananchi kwa
ujumla kumtanguliza Mungu kwa kila wanalolifanya.
Wakizungumza katika ibada hiyo
↧
Leo ni Siku ya UKIMWI Duniani...Njombe Yaongoza kwa maambukizi
Ikiwa
leo ni siku ya UKIMWI, Duniani ambapo Tanzania Kitaifa siku hiyo
inafanyika Mkoani Njombe Juhudi za kupambana na maambukizi ya ukimwi
mkoani humo zimezidi kushika kasi kutoka katika mashirika mbalimbali na
kuanza kuungana na viongozi wa mila
Akizungumza
na mwandishi wetu katika viwanja vya Sabasaba mkoani njombe, afisa
uhusiano wa PSI kanda ya njanda za juu kusini,
↧
Zitto, Filikunjombe wadai waziri Lukuvi alitaka kuiba ripoti ya Escrow
Viongozi wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe na
Deo Filikunjombe wamemtuhumu Waziri William Lukuvi kuwa alitaka kuiba
ripoti ya kamati yao kuhusu uchotwaji wa Sh306 bilioni kutoka Akaunti ya
Tegeta Escrow.
Sakata hilo lilihitimishwa Jumamosi wakati Bunge
lilipoazimia kuwajibishwa kwa watu wote waliohusika kwenye uchotwaji wa
fedha hizo, ikiwa ni pamoja na kuchukuliwa
↧
↧
Sakata la Escrow: Siri ya Mizengo Pinda kunusurika yatajwa
Siri ya kunusurika kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika sakata
la Akaunti ya Tegeta Escrow imebainika kuwa wajumbe wa Kamati ya
Maridhiano walikubaliana kumwacha kutokana na kubakiza muda mfupi na pia
kukwepa kuvunja Baraza la Mawaziri kwa mara ya pili.
Mmoja wa wajumbe wa kamati hiyo walioandaa
maazimio manane ya Bunge, Dk Hamis Kigwangalla alisema jana kuwa bila
kufikia
↧
Usafi wa Wabunge Wahojiwa......Makinda Aonya Wala Rushwa, asema wakiswekwa ndani hatakwenda kumtoa mtu
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda amewaambia wabunge kuwa vitendo vyao vya kukubali kurubuniwa kwa rushwa na baadhi ya wafanyabiashara, watajikuta wanakwenda ndani na Bunge halitawatetea.
Akizungumza kabla ya kuahirishwa kwa Mkutano wa 16 na 17 wa Bunge mjini Dodoma juzi, Makinda aliwataka wabunge kuachana na watu wanaofanya ushawishi kwa kutumia fedha.
Alisema vitendo hivyo,
↧
Je, Una Mwili Mwembamba au Umedhoofika kutokana na Maradhi?.....Bofya hapa Ujipatie Dawa Lishe ya kuongeza na kunenepesha mwili
Je
una mwili mwembamba
na unataka kuongeza
na kunenepesha mwili
wako ? Umedhoofika kutokana
na maradhi mbalimbali
na unataka kurejesha
afya yako na
mwili wako ? Unataka kutengeneza
shape ya mwili
wako kwa vitu
vya asili visivyo
na madhara kwa
afya yako ?
Kama jibu ni
ndio basi, hii ni habari njema
sana kwako. Neema Herbalist
ni wauzaji wa
↧
Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa yako ili uweze kwenda Raundi mbili na kuendelea??....Bofya hapa ukutane na JIKO
Neema
Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa
mbalimbali za asili.
Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa
tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha kabisa tatizo
la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.
Dawa hii iitwayo
JIKO ni ya asili kabisa (PURE HERBAL) na inaponyesha na
kumaliza kabisa tatizo la nguvu za kiume
↧
↧
Escrow yazamisha watatu Urais 2015
KASHFA ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye akaunti ya
Tegeta Escrow, imewachafua viongozi watatu ambao walishaanza harakati za
kuusaka urais kwa mwaka 2015.
Baadhi ya viongozi hao ni pamoja na Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mbunge
wa Sengerema, William Ngeleja na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya
Makazi, Profesa Anna Tibaijuka.
Kwa upande wa Pinda, ripoti ya
↧
Baada ya Kutwaa Tuzo 3, Diamond kupiga Shoo Marekani
STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' anataraji
kufanya shoo ya nguvu Jumamosi ijayo ya Desemba 6, mwaka huu nchini
Marekani.
Diamond ambaye juzi usiku alikomba tuzo tatu za Channel O ambazo ni
Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia
wimbo wake wa Number One anataraji kupiga shoo jijini Washington DC
kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Sheraton
↧
Mmiliki wa Mattei Logde Afariki Dunia katika Ajali ya Gari
Mmiliki wa Mattei Lodge iliyopo Area D mkoani Dodoma aliyefahamika
kwa jina moja tu la Mattei amefariki dunia katika ajali ya gari jana
Jumapili eneo la Pandembili, Kongwa.
Chanzo cha ajali hiyo inadaiwa kuwa mwendo kasi uliopelekea gari hilo kuligonga gari lingine na kisha kupinduka.
Marehemu Mattei alikuwa na wenzake watatu katika gari ambao walijeruhiwa.
↧
Rais Kikwete Amteua Profesa Asad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mpya akimrithi Ludovic Utoh
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Desemba Mosi, 2014 na Katibu Mkuu
Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Bwana Assad
ulianza Novemba 5, mwaka huu, 2014.
Taarifa hiyo
↧
↧
Serikali haitatoa msamaha kwa viongozi na watendaji walioshiriki katika sakata la Tegeta Escrow.
Serikali imesisitiza kuwa haitakuwa na msamaha kwa viongozi
na watendaji ambao wametajwa kwa namna moja au nyingine
kushiriki katika uchotwaji wa mabilioni ya fedha katika
akaunti ya Tegeta Escrow kitendo ambacho kimesababisha
serikali kupoteza mabilioni ya fedha kama kodi.
Naibu Waziri wa fedha Mh Mwigulu Nchemba ambaye
↧
ITV imeingia rasmi kwenye king'amuzi cha DSTV kwa chanel namba 293.
Hatimae kilio cha muda mrefu cha watazamaji na wapenzi wa ITV juu ya
ITV kuingia kwenye king'amuzi cha DSTV kimesikika na sasa ITV imeingia
rasmi kwenye king'amuzi hicho na itaonekana kwenye vifurushi vyote vya
DSTV.
Akizungumza jijini Dar es Salaam Mkurugenzi mtendaji wa ITV/Radio
One Joyce Mhavile amesema baada ya mazungumzo ya muda mrefu kati ya ITV
na DSTV kuhusu ITV kuingia
↧
Serikali Kuunda Mfuko Maalum wa Kupambana na UKIMWI
Serikali ipo kwenye mchakato wa kukamilisha uundwaji wa mfuko maalumu
wa UKIMWI (Trust Fund) kwa lengo la kuboresha huduma za UKIMWI
zinazotolewa na pia kupunguza utegemezi wa wahisani na kuongeza
kasi ya mapambano dhidi ya UKIMWI.
Akihutubia
umati wa wakazi wa mkoa wa Njombe na mikoa jirani katika maadhimisho ya
siku ya UKIMWI duniani iliyofanyika kitaifa mkoani njombe makamu
↧
Diamond Platnumz Ashiriki Project ya Ebola
Nyota wa muziki Diamond Platnumz ambaye mwishoni mwa wiki ameweza
kushinda tuzo tatu huko Afrika Kusini, amekuwa ni moja kati ya wasanii
wakubwa Afrika walioshiriki katika project ya pamoja inayokwenda kwa
jina We are the World Africa.
Kazi
hii kubwa imefanyika huko Afrika Kusini ikiwashirikisha pia mastaa
kutoka nchi nyingine za Afrika kama vile Banky W, Mafikizolo, Iyanya,
Don
↧
↧
Askari wa JWTZ amtendea ukatili wa Kutisha Bibi wa miaka 60
Bibi Mariam Abdallah, mwenye umrin wa miaka 60, mkazi wa Kijiji cha
Mnanila, ambaye anadaiwa kushushiwa kipigo nyumbani kwake na Askari wa
JWTZ,akiwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kigoma, Maweni
kwa matibabu.
Akielezea mkasa huo Mariam Abdallah alisema kuwa
Novemba 23 mwaka huu, majira ya saa tatu usiku, watu wanne waliokuwa
wamevalia sare za Jeshi la Wananchi wa
↧
Kigwangalla alia na viongozi wanaoshutumiwa kwa kashfa ya wizi wa Bilioni 321 akauti ya Tegeta Escrow.
Tabia
ya serikali kutochukua hatua kali za kisheria kwa baadhi ya viongozi
wanaochukua mali za umma na kugawana kama karanga inawafanya wananchi
kukosa imani ya serikali yao kuwa na hasira na pengine kusababisha
kutoweka kwa amani kwa kuwa hakuna mtu anayeweza kuvumilia shida wakati
anaona watu wachache wakigawana mali ya umma na kuendelea na nyadhifa
zao.
Mwenyekiti wa kamati ya
↧
Mgonjwa Amuua Mwenzake Wodini......Polisi Wamtia Pingu, mganga mkuu adai hana matatizo yoyote ya Akili
Katika hali isiyo ya kawaida mgonjwa
aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru, akisumbuliwa na
maradhi ya mguu, Hashimu Mohammed Mollel (28), (pichani) mkazi wa
Lemala, Arusha amemuua mgonjwa mwenzake aliyelazwa naye, Lazaro Mollel
(75) kwa kumpiga na chuma cha kutundikia dripu.
Tukio hilo la aina yake lilitokea Novemba 22, mwaka huu saa 6 usiku
katika wodi ya majeruhi
↧