Mwanadada mwenye umbo la utata Bongo, Lulu Semagongo
‘Aunt Lulu’ ameibuka na kueleza kwamba mastaa wamegundua njia mpya ya
kujiuza ambayo ni kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.
Akiongea na Gpl, Aunt Lulu alisema mastaa wengi wa kike
wanajiuza kwenye mitandao ambapo mapedeshee waliopo mikoa mbalimbali
wakishaziona picha zao huwa wanawatafuta kwa udi na uvumba ambapo
wanawapigia
Aunt Lulu Akiri Wasanii Wa Kike Kujiuza Mitandaoni
↧
↧
Flaviana Matata Avishwa Pete Ya Uchumba !
Mwanamitindo wa kimataifa anayetokea Tanzania, Flaviana Matata ambaye
amekuwa akiishi Marekani, kafungua ukurasa mpya kwenye maisha yake baada ya
kuvishwa pete ya Uchumba.
Kwa furaha aliyokua nayo, Flavvy aliipost picha kwenye page yake ya Instagram @FlavianaMatata Nov 16 2014 na kuionyesha hiyo pete na kama vile haitoshi, akaandika maneno ya ‘I said YES‘ ambapo Yes aliiandika kwa
↧
Big Brother Africa: Idris apeta, Samantha na Mr. 265 wayaaga mashindano
Mwakilishi wa Tanzania aliyesalia kwenye shindano la Big Brother
Africa, Idris Sultan ataendelea kuipeperusha bendera ya Tanzania baada
ya Jumapili hii kuokolewa na kura za mashabiki barani kote.
Hata hivyo Idris anaweza akawa amejeruhiwa kwa mara ya kwanza baada
ya rafiki yake wa karibu, Samantha wa Afrika Kusini kuondolewa. Mrembo
huyu ameungana na mwakilishi wa Malawi Mr. 265
↧
Prof Maghembe asema urais si mashindano ya urembo
Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe ameshangazwa na utitiri
wa watu wanaotaka kugombea urais kwenye Uchaguzi Mkuu 2015, akisema
nafasi hiyo ya juu nchini haifanani na mashindano ya urembo ambayo mtu
yeyote anaweza kujaribu.
Mbunge huyo wa Mwanga alisema
watu hao wanaojitokeza kuwania urais hawaelezi wanataka kulifanyia nini
Taifa na akashauri wasioweza kueleza hoja zao
↧
Kimenuka: Ripoti ya CAG yabaini fedha zote akaunti ya Escrow IPTL ni za umma ..... Ofisi ya AG, Wizara ya Nishati na Madini, Bodi Tanesco, BoT zaguswa
Matokeo ya ukaguzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuhusiana na kuchotwa kwa Sh. bilioni 306 kifisadi kwenye akaunti ya Tegeta Escrow ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) umeiweka matatani Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), huku yakizitambua fedha hizo kuwa ni za umma.
Ofisi ya AG inadaiwa kuingia matatani, baada ya ripoti ya ukaguzi huo
↧
↧
Membe akerwa na ripoti ya mbio za urais 2015.....Ni ya Twaweza aliyoshika nafasi ya tano
Twaweza Jumatano iliyopita ilitoa ripoti ya utafiti, pamoja na mambo mengine ikionyesha baadhi ya majina ya wagombea urais wanavyokubalika kwa wananchi ikiwa uchaguzi wa rais ungefanyika Septemba mwaka huu.
Katika orodha hiyo, Membe alishika nafasi ya tano kwa kupata asilimia tano, huku akitanguliwa na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa aliyeshika nafasi ya kwanza kwa kupata asilimia 13
↧
Lady Jaydee: Mimi Siyo Yesu Wala Bikra Maria
Wakati kukiwa na maneno mengi juu ya madai ya kuvunjika kwa ndoa yake
na mtangazaji maarufu Bongo wa Redio E-FM, Gardner G Habash ‘Kepteini’,
supastaa wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo a.k.a Jide au Jaydee
amefunguka kuwa naye si mkamilifu kwani siyo Yesu wala Bikira Maria.
Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, wikiendi iliyopita Jide
aliamua kuvunja ukimya kufuatia maswali
↧
Rais Kikwete akutana na Jaji Mkuu wa Tanzania na ujumbe wake waliomtembelea kumjulia hali marekani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Jaji Mkuu waTanzania Mhe Mohamed Chande Othman pamoja na ujumbe wake walipomtembelea na kumjulia hali Jumapili Novemba 16, 2014 katika hoteli maalumu jirani na Hospitali ya Johns Hopkins jijini Baltimore, Maryland, Marekani anakoishi baada kutoka katika hospitali hiyo alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume.
Jaji
Mkuu na ujumbe wake wako Marekani kwa
↧
Maendeleo ya Nchi hii Yataletwa na CCM - Nape
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye (pichani), amesema maendeleo kamwe hayawezi kupatikana kwa njia ya matusi na kufarakanisha wananchi kama wanavyofanya viongozi wa upinzani.
Pia amewataka wananchi kuhakikisha wanachagua wagombea wa CCM katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa akisema ndicho chama chenye viongozi imara watakaowaletea maendeleo.
Nape
↧
↧
Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa yako ili uweze kwenda Raundi mbili na kuendelea??....Bofya hapa ukutane na JIKO
Neema
Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa
mbalimbali za asili.
Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa
tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha kabisa tatizo
la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.
Dawa hii iitwayo
JIKO ni ya asili kabisa (PURE HERBAL) na inaponyesha na
kumaliza kabisa tatizo la nguvu za kiume
↧
Watu 13 mbaroni kwa mauaji ya Kiteto
Polisi mkoani Manyara wanawashikilia zaidi ya watu 13 wanaodaiwa
kuhusika na mauaji ya wakulima na wafugaji yaliyotokea wiki iliyopita
katika Kata za Matui na Kiperesa wilayani hapa.
Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Manyara, Deusdedit Nsimeki amesema bado wanaendelea
na uchunguzi kabla ya kuchukua hatua ya kuwafikisha mahakamani watu hao.
“Hatuwezi
kutaja idadi kamili wala majina yao
↧
Je, Una Mwili Mwembamba au Umedhoofika kutokana na Maradhi?.....Bofya hapa Ujipatie Dawa Lishe ya kuongeza na kunenepesha mwili
Je
una mwili mwembamba
na unataka kuongeza
na kunenepesha mwili
wako ? Umedhoofika kutokana
na maradhi mbalimbali
na unataka kurejesha
afya yako na
mwili wako ? Unataka kutengeneza
shape ya mwili
wako kwa vitu
vya asili visivyo
na madhara kwa
afya yako ?
Kama jibu ni
ndio basi, hii ni habari njema
sana kwako. Neema Herbalist
ni wauzaji wa
↧
Ripoti Maalumu ya CAG Kuhusu Akaunti ya Escrow Yakabidhiwa Kwa Mwenyekiti wa PAC Leo
Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai
akikabidhi Ripoti maalumu ya CAG Kuhusu akaunti ya ESCROW kwa
Mwenyekiti wa PAC Mhe. Zitto Kabwe na Kaimu wake Mh. Deo
Filikunjombe,Bungeni mjini Dodoma leo.
Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai
akikabidhi Ripoti maalumu ya CAG Kuhusu akaunti ya ESCROW kwa
Mwenyekiti wa PAC,
↧
↧
Mtoto Mwingine Atekwa, Akatwa Nyeti na Kuuawa
Wimbi la utekaji na mauaji
ya watoto katika Jiji la Dar bado ni tishio kufuatia wiki iliyopita,
maiti ya mtoto Nuru Mohamed (7) mkazi wa Majohe Kichangani Wilaya ya
Ilala, kuokotwa ikiwa imeharibika vibaya, tena baadhi ya viungo vyake
vikiwa vimenyofolewa.
Tukio hilo la kusikitisha lilitokea Novemba
6, mwaka huu, majira ya saa 12 jioni, baada ya watoto wenzake aliokuwa
akicheza nao
↧
Viongozi Manyara, Kiteto Wakalia Kuti Kavu
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema Serikali itafanya mabadiliko
ya kiutawala katika ngazi mbalimbali Wilaya ya Kiteto na Mkoa wa Manyara
wiki hii ili kuimarisha uongozi kukabiliana na mauaji ya wakulima na
wafugaji yaliyosababisha vifo vya watu 17 tangu Januari 12 mwaka huu
hadi sasa.
Pinda alisema hayo bungeni mjini Dodoma jana
wakati akitoa taarifa kuhusu vurugu zinazoendelea
↧
Werema,Maswi,Mboma Wapumulia Mashine.....Ni Kuhusiana na Kashfa akaunti ya Escrow, Kamati ya Zito Kuwahoji
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) inatarajia kuwahoji
Mwanasheria Mkuu (AG), Jaji Frederick Werema, Katibu Mkuu Wizara ya
Nishati na Madini, Eliachim Maswi, Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la
Umeme Tanzania (Tanesco), Robert Mboma na wengine waliotajwa katika
kashfa ya kuchotwa Sh. bilioni 306 ya akaunti ya Tegeta Escrow ndani ya
Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Hatua hiyo
↧
Laveda Azungumza na Global Tv Online......Akanusha Kujichua ( Kupiga Puli) Ndani ya Jumba La Big Brother
Aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania katika Big Brother
Africa Hotshots, Irene Laveda wiki amezungumza na Global tv online kuhusiana na maisha yake ndani ya jumba la Big Brother.
Ifuatayo ni sehemu ya mahojiano hayo
ambayo pia yanapatikana katika tovuti ya www.globaltvtz.com. ;
Mwandishi: Safari yako kuelekea Big Brother Africa ilikuwaje?
Laveda:
Nilienda kwenye usaili
↧
↧
Huddah Monroe aiunga mkono kampeni ya ‘MydressMychoice’
Staa wa Kenya, Huddah Monroe amewaunga mkono wanawake nchini Kenya
waliondamana kudai haki ya kuvaa nguo wanazopenda ‘MydressMychoice’.
Akizungumza na BBC mmoja ya wanawake hao, alisema ameamua kuandamana
ili kuitaka serikali ya nchi hiyo kuunda sheria kali ya kuwalinda
wanawake.
“Wanawake wanafaa kuacha kunyanyaswa wanapo nyanyaswa, sheria
za kuadhibu mtu yoyote ambaye
↧
Dully Sykes na Maunda Zorro Waachia Wimbo wa Matusi (18+)
Dully Sykes na Maunda Zorro wameungana kufanya wimbo wa matusi... Ngoma hiyo inaitwa That’s the Way ambapo Dully mwanzo mwisho anarap kuhusu KUS3X.. na huku Maunda akisikika akilia milio ya uliwaji.. Isikilize hapo chini.
↧
Desire Luzinda: Picha ya UCHI imenipa umaarufu ambao sikuwahi kuupata kupitia muziki, adai yeye ni tishio kwa Kim kardashian
Licha ya kuwa tukio la kuvuja kwa picha za utupu limempa picha mbaya
kwa jamii muimbaji wa Uganda Desire Luzinda, lakini upande mwingine
limemuongezea umaarufu mkubwa kwa muda mfupi ambao hakuwahi kuupata
kupitia muziki wake ambao amekuwa akiufanya miaka mingi. Sasa
amefahamika zaidi ndani na nje ya Uganda.
Kwa mujibu wa Bigeye ya Uganda, Luzinda amewaambia marafiki zake jinsi
↧
More Pages to Explore .....