Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mrisho Mpoto yupo kwenye mazunguzo kufanya kolabo na Oliver Mtukudzi

$
0
0
Kuna uwezekano mkubwa wa kolabo kati ya Mrisho Mpoto na msanii wa Zimbabwe, Oliver Mtukudzi.   Akizungumza na mwandishi wetu, Mpoto amesema mazungumzo yao yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa hali iliyompa matumaini ya kuwepo kwa kolabo hiyo. “Nimefanya mazungumzo ya kolabo na Oliver Mtukudzi wa Zimbabwe kwahiyo kuna possibility kubwa kidogo ya kufanya na Oliver Mtukudzi,” amesema Mpoto.

Diamond amtaja msanii wa Marekani ambaye ana ndoto ya kufanya naye collabo

$
0
0
Tumeshasikia kuwa kuna msanii wa Marekani ambaye Diamond Platnumz tayari amefanya naye collabo ingawa bado hajamuweka wazi, lakini hivi karibuni alimtaja msanii mkubwa wa Mareknai ambaye ana ndoto ya kufanya naye pia collabo. Akizungumza na show ya Sporah, Diamond amesema licha ya kufanikiwa kufanya collabo na baadhi ya wasanii wakubwa wa Africa kama Davido, Iyanya, Mafikizolo na

Moto uliozuka katika jengo la Machinga Complex jijini Dar wadhibitiwa

$
0
0
Moto mkubwa uliozuka leo mchana katika jengo la biashara Machinga Complex Ilala jijini Dar es salaam, umedhibitiwa baadaa ya kuteketeza mali katika baadhi ya maduka. Akizungumza na mwandishi wetu, Mwenyekiti wa bodi ya usimamizi wa jengo la Machinga Complex, Godwin Mmbaya amesema moto huo umedhibitiwa na hali ni shwari. “Tunashukuru Mungu moto umedhibitiwa kabla haujasambaa zaidi,

Rais Kikwete atoka wodini, familia ya Nyerere yatuma salamu

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete ametoka wodini katika Hospitali ya Johns Hopkins na kuhamishiwa kwenye hoteli maalumu ambako ataendelea kuwa chini ya uangalizi wa madaktari.   Rais Kikwete alifanyiwa upasuaji wa tezi dume wiki iliyopita na afya yake imekuwa ikiimarika siku hadi siku.   Makundi mbalimbali ya wananchi yamekuwa yakimtakia uponaji wa haraka kwa njia ya ujumbe mfupi wa simu.   

Mchungaji Afariki Dunia Akijaribu kutembea juu ya Maji kama Yesu

$
0
0
Mchungaji kutoka Nigeria, Frank Kabele akizama alipojaribu kutembea juu ya maji kama Yesu. ...Akiomba msaada kutoka kwa waumini wake bila mafanikio.   Mchungaji kutoka Nigeria, Frank Kabele (35) amesombwa na maji katika mto mmoja nchini humoo na kufariki alipojaribu kutembea juu ya maji kama Yesu.   Frank Kabele aliwaambia waumini wake kuwa mtu mwenye imani anaweza kufanya miujiza

Gharama mpya za Muhimbili zasitishwa.....nI Tozo ya Kitanda na Chakula kwa Wagonjwa, MSD Yalipwa deni.....Yaagizwa kutoa dawa

$
0
0
SERIKALI imesitisha ongezeko la tozo zilizoanza kutumika hivi karibuni katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), ambayo ndiyo yenye vifaa tiba na madaktari wenye uwezo mkubwa kuliko hospitali yoyote nchini.   Hatua hiyo ya Serikali, ipo katika kauli ya Serikali bungeni, iliyotolewa jana na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid, ambapo pia Bohari ya Dawa (MSD) iliagizwa

Serikali yataja vijiwe vyote vya wauza ‘unga’

$
0
0
SERIKALI imetaja vijiwe vya wauzaji wa dawa za kulevya ‘unga’ vilivyopo katika mikoa mbalimbali nchini.   Pia, imesema inafanya uchunguzi ili kubaini kama Watanzania waliokamatwa na dawa za kulevya nchini China ni Watanzania kwa kuzaliwa au ni watu waliotumia tu pasi za kusafiria (pasipoti) za Tanzania.   Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na

Wabunge Wataka Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam Ang'olewe

$
0
0
Baadhi ya Wabunge wameomba mwongozo wa kutaka kuchunguzwa kwa Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam Bwana Willison Kabwe kutokana tuhuma za kuipatia kazi kampuni ya Tanzania Buildings Works ambayo imeshindwa kutekeleza miradi ya ujenzi katika mikoa yote aliyoiongoza ikiwemo Mbeya na Mwanza na kusababisha hasara ya zaidi ya shilingi bilioni Tatu.   Akiomba mwongozo wa spika kufuatia

Mastaa Wanaomuunga mkono Lowassa Wajipanga kumfanyia Sherehe ya kumpongeza kwa Ushindi

$
0
0
Siku chache baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kutangazwa kuwa anaongoza katika kinyang’anyiro cha urais 2015, mastaa mbalimbali wanaomuunga mkono wameandaa mkakati wa kumfanyia sherehe ya kumpongeza.   Chanzo kimoja kilichopo ndani ya kamati ya wasanii hao wa Bongo Movies  kimesema kuwa kitendo cha Taasisi ya Twaweza kutangaza kuwa Lowassa anaongoza na kuwagaragaza makada

Kikongwe mbaroni kwa ubakaji

$
0
0
Polisi mkoani Klimanjaro inamshikilia mzee Mungai Molel(75) kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka 11 wa shule ya msingi Okaseni na kumjeruhi vibaya sehemu za siri.   Kamanda wa Polisi mkoani humo Geofrey Kamwela, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba lilitokea Novemba 12 mwaka huu saa 12:00 jioni kijiji cha Kitandu kata ya Uru Kusini.   Kamwela alisema mtuhumiwa huyo

Mtoto Ajeruhiwa Vibaya Akituhumiwa Kuiba Paka

$
0
0
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo ya Mengwe, Adinani Kingazi amemhukumu kifungo cha miaka mitatu jela, Gedfrey Kimaria (35) baada ya kukutwa na hatia ya kumjeruhi vibaya mtoto wa miaka sita kwa kumng’ata mgongoni kwa madai ya kuiba paka.   Kesi hiyo ilivuta hisia za watu wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro na wananchi wilayani humu walifurika katika mahakama hiyo kusikiliza hukumu ya kesi

Mauaji yazidi kutikisa Kiteto....Waliopoteza UHAI Wafika 7

$
0
0
Mapigano baina ya wakulima na wafugaji Wilayani Kiteto mkoani Manyara, yameendelea tena, ambapo watu wengine wawili wamefariki dunia jana na kufanya idadi ya waliouawa kuwa saba.   Awali, Novemba 11, mkulima Hassan Kondeja mkazi wa Kitongoji cha Bwawani Kijiji cha Matui aliuawa kwa kukatwa shingo na wafugaji na ndipo yakatokea mauaji ya wakulima wawili na wafugaji wawili.  

Urais CCM kazi pevu....Makundi Matano kuingia Tano Bora, kundi la kifo ndo lenye ushindani mkubwa

$
0
0
Wakati joto la urais ndani ya CCM likiendelea kupamba moto, watu watakaoingia kundi la tano bora ambalo litapitishwa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC), wamefahamika.   Uchambuzi uliofanywa na makada mbalimbali wa chama hicho unaonyesha kuwa makundi hayo ambayo yatatoa wagombea mmoja, ni kundi la wagombea vijana, kundi la kifo, kundi la waziri mkuu aliyepo madarakani, wagombea

Mtoto anayedaiwa kugeuka nyoka azua kizaazaa Geita

$
0
0
Mtoto mchanga mwenye umri wa miezi minne amezua kizaazaa cha aina yake, baada ya kuwapo taarifa kwamba mara kadhaa umbo lake limekuwa likigeuka na kuwa nyoka na mwili wake ukiendelea kudhoofu kutokana na kukataa kunyonya maziwa ya mama yake.   Mtoto huyo (jina lake tunalihifadhi kwa sasa), wiki iliyopita alivuta umati wa wakazi wa Kijiji cha Nkome mkoani Geita ambao walifurika ndani

Mgogoro wa Wafugaji na Mwekezaji: Magari 9 Yachomwa Moto, Nyumba 16 Zatiwa Moto huko Siha-Kilimanjaro

$
0
0
Mgogoro mkubwa wa kugombea malisho umeibuka katika kijiji cha Miti Mirefu, wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, baina ya jamii ya kifugaji ya Kimasai na Mwekezaji katika shamba la Ndarakwai, na kusababisha ugomvi hata kuzua hali ya wasiwasi katika eneo hilo ambapo magari tisa yameteketezwa kwa moto huku nyumba zaidi ya 16 zikichomwa moto. Vurugu hizo zilizuka hivi karibuni kati ya

Mbaroni kwa kumbaka mtoto wa jirani yake.....Aliyebakwa ni mtoto wa miaka Mitano, Alikutwa Akicheza Uchi mlangoni kwa Jirani yao

$
0
0
Mtoto wa miaka (5) mkazi wa Kijiji cha Kabuhima Kata ya Uyovu Wilaya ya Bukombe mkoani Geita amefanyiwa ukatili wa kinyama baada ya kubakwa na jirani yao.   Mtuhumiwa anayedaiwa kufanya kitendo hicho cha kikatili inadaiwa kuwa alimkuta mtoto huyo anacheza mlangoni kwao akiwa hajavalishwa nguo ya ndani na wazazi wake jambo lililpelekea kufanya ukatili huo.   Akizungumuza na

Sitti Mtemvu Aiponza Miss Tanzania

$
0
0
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kupitia Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), wanatarajia kuifanyia tathmini Kamati ya Miss Tanzania kujua mapungufu yaliyopo ili kuchukua hatua stahiki.    Utata wa umri wa aliyekuwa mshindi wa taji la mwaka huu, Sitti Mtemvu, unaonekana kama chanzo cha kuibuka kwa matatizo mengine yaliyokuwa yakidaiwa kufanyika kinyume cha taratibu za

Watoto Wawili wa kike Wabakwa na Mwanaume Mwenye Virusi Vya UKIMWI.......Kabla ya kuwabaka, mwanaume huyo alikuwa na mahusiano na Mama Yao

$
0
0
Taarifa kutoka katika mitandao ya Nigeria imesema watoto wadogo wawili ndugu, mmoja mwenye umri wa miaka sita na mwingine miaka nane wamebakwa na mwanaume ambaye amewahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mama yao.   Mtu huyo, Terkula Iorpuur mwenye miaka 32 aliyekuwa akijishughulisha na kazi za ujenzi, aliripotiwa kituo cha Polisi cha ‘B’ Division Police Station na mjomba wa watoto

Risasi zatumika Kuwatawanya WEZI wa mafuta Ya Petrol Waliovamila Lori lililopata Ajali eneo la Tabata Kisiwani kwa Mama Pindapinda.

$
0
0
Ilikuwa ni hekaheka, patashika nguo kuchanika, wakati risasi na mabomu ya machozi ziliporindima kutoka kwa Jeshi la Polisi kuwatawanya wananchi waliokuwa wakichota mafuta yaliyomwagika kutoka kwenye lori la mafuta aina ya scania lililopata ajali.   Sinema ilianza saa tatu usiku wa kuamkia jana baada ya lori hilo lililobeba shehena ya mafuta ya petroli, kushindwa kupanda mlima,

Mwanamke Anyolewa Nywele kwa Kisu baada ya Kufumaniwa na Mume wa Mtu......Baada ya kunyolewa, alazimishwa akalie Chupa kumaliza hamu zake

$
0
0
Mwanamke  mmoja  ambaye  ni  mke  wa  mtu  amejikuta  katika  wakati  mgumu  baada  ya  kufumaniwa  na  mume  wa  mtu  kupitia  njia  za  panya  zilizoandaliwa  na  mke  wa  mwanaume  huyo.... Baada  ya  mitego  ya  kumnasa  kutimia, mwanamke  huyo  alikalishwa  kitako  na  kisha  kuanza  kunyolewa  nywele  zake  kwa  kisu  huku  akitakiwa  aeleze  kila  kitu  na  ni  lini  alianza  kutoka
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images