Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Makamu wa Rais Dr Bilal Aiwakilisha Tanzania Kwenye Mazishi ya Rais Sata wa Zambia

$
0
0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Rais wa Zambia Marehemu Michael Chilufya Sata Ikulu mjini Lusaka Zambia jana Novemba 11,2014. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal wa kwanza (kushoto) akiwa na Rais Mstaafu wa Zambia Mhe. Rupia Banda, Rais wa Kenya

Mtumie ujumbe wa kumjulia hali na kumpa pole Rais Kikwete kwa kupitia namba yake hii

$
0
0
Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete ametoa namba yake maalumu kwa ajili ya Wananchi kumjulia hali na kumpa pole,ambapo atapokea ujumbe wako na kuujibu.

Kumekucha Uchaguzi Mkuu 2015: Lowassa Aongoza Vyama Vyote....UKAWA Kushinda Uchaguzi ni Ndoto

$
0
0
Kumekucha. Pengine hilo ndilo neno linalofaa kutumika kuelezea matokeo ya utafiti kuhusu kinyang’anyiro cha urais katika Uchaguzi Mkuu 2015 ambayo yanaonyesha kuwa iwapo ungefanyika leo, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa angeibuka mshindi.   Wakati Lowassa angeibuka na ushindi kwa asilimia 13 na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda angefuatia kwa karibu akiwa na asilimia 12 huku Katibu Mkuu

Nusu ya wabunge hawatarudi bungeni mwakani

$
0
0
Wakati Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likiendelea na vikao vyake mjini Dodoma, imeelezwa kwamba nusu ya wabunge 239 wa kuchaguliwa waliopo sasa, watabwagwa katika Uchaguzi Mkuu 2015.   Hiyo inatokana na wabunge kutoa ahadi nyingi kwa wapigakura ambazo hawazitekelezi hivyo kukumbwa na rungu la wananchi mwakani.   Hayo ni matokeo ya utafiti uliofanywa na taasisi ya Twaweza

Baby Madaha: Huwa Situmii Kodom ( Kinga ) Niwapo Kitandani

$
0
0
Baada ya hivi karibuni Msanii wa Filamu na Muziki Bongo, Baby Madaha kusema ameamua kuwapanga wanaume, hivi sasa ameibuka na jipya na kudai kwamba huwa hatumii kinga ‘kondom’ hata siku moja.   Akiongea  na Gpl, Baby Madaha alisema kabla hajaanguka penzini na mwanaume lazima akapime kwanza Ukimwi na baada ya hapo ndipo mambo mengine yanaendelea hivyo akishahakikisha huyo mwanaume ni

Askofu Gadi kumuombea Rais Kikwete Apone Haraka

$
0
0
HUDUMA ya maombezi ya Good News for all Ministry imeandaa maombi maalumu kwa ajili ya kumuombea Rais Jakaya Kikwete ili afya yake iweze kuzidi kuimarika na kurejea nchini kuendelea na majukumu yake ya kuwatumikia Watanzania.   Maombi hayo yatafanyika Mapinga, Bagamoyo, karibu na Shule ya Sekondari ya Baobab, mita chache katika barabara inayoelekea TAMCO.   Mwenyekiti wa Huduma hiyo,

"Haturuhusu Wafungwa Kufanya Tendo la Ndoa Gerezani"- Wizara ya Mambo ya Ndani

$
0
0
SERIKALI imesema Tanzania haina sheria ya kuwaruhusu wafungwa kukutana faragha na wenzao wao.   Hii ni mara ya tatu kwa serikali kutoa majibu hayo, kutokana na maswali ya wabunge ambapo mara kadhaa swali hilo limekuwa likiulizwa na Mbunge wa Viti Maalumu, Maryam Salum Msabaha (Chadema).   Hata hivyo, jana Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima alikiri kwa Tanzania

Mwanamuziki Geez Mabovu Afariki Dunia

$
0
0
Mwanamuziki wa Hip Hop nchini, Ahmed Ally Upete 'Geez Mabovu' amefariki dunia jana usiku akiwa mkoani Iringa alikokwenda wiki mbili zilizopita akitokea jijini Dar es Salaam.   Kwa mujibu wa bwana Dennis ambaye alikuwa mtu wa karibu wa Geez Mabovu amethibitisha kuhusu kifo hicho na kusema rapa huyo aliondoka Dar kwenda Iringa akiwa kwenye hali ambayo sio nzuri kiafya. Marehemu Geez

Polisi Waagizwa Kuzingatia Sheria Wakati wa Kuwakamata Wahalifu

$
0
0
JESHI la Polisi, sungusungu na askari wengine wameagizwa kuzingatia sheria na kanuni wakati wa kukamata wahalifu ili kupunguza majeruhi na vifo ambavyo hutokea mikononi mwao.   Agizo hilo lilitolewa jana bungeni na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Simbachawene alipokuwa akijibu swali kwa niaba ya Waziri Mkuu.   Alikuwa akijibu swali la Mbunge wa Meatu,

Wafugaji na Wakulima Kiteto Wauana Katika Mapigano

$
0
0
Migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji imeendelea kusababisha mauaji wilayani Kiteto mkoani Manyara baada ya watu watano, wakiwamo wakulima watatu na wafugaji wawili, kuuawa.   Mauaji hayo yalitokea juzi na jana kwenye vijiji vya Kazinguru na Lamrambogo katika Kata ya Matui ambako watu zaidi ya kumi na mmoja wanadaiwa kujeruhiwa huku maboma 14 ya wafugaji yakichomwa moto na

Mbowe: Sina ugomvi na Zitto Kabwe

$
0
0
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema hana ugomvi na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kwa kuwa amemlea na amemesaidia vitu vingi zikiwamo fedha, gari, kula na kulala nyumbani kwake. Mbowe alisema Chadema hakijamtenga Zitto bali alijitenga mwenyewe na kufafanua kuwa Chama hicho hakiwezi kujengwa na viongozi ambao ni wapenzi wa Chama Cha

Picha za Jack Dustan Akioga Bafuni Zavuja

$
0
0
Msanii wa filamu ambaye sasa amejichimbia Dubai akisaka maisha, Jacqueline Dustan amevujisha picha zinazomuonesha akioga bafuni huku akionekana yuko bwii,  jambo ambalo ni kinyume na maadili.   Picha hizo zinamuonesha msanii huyo akiwa kwenye sinki lenye mapovu na nyingine zikimuonesha hadi sehemu zake muhimu.   Katika kutaka kupata sababu ya mwanadada huyo kuziachia picha hizo

Tamko la Serikali Kuhusu Wizi Unaofanywa na Makampuni ya Simu Hapa Nchini

$
0
0
Watumiaji wengi wa huduma ya simu za mkononi wamekuwa wakilalamikia wizi wa pesa unaofanywa na baadhi ya makampuni hayo, jana katika kikao cha Bunge Dodoma Serikali  imesema inatambua kuhusu wizi unaofanywa na baadhi ya makampuni ya simu za mkononi na kutoa tamko namna ambavyo imejipanga kukabiliana na wizi wa aina hiyo.   Akitoa tamko hilo Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na

Utafiti wa Twaweza, Dk Slaa adai ripoti imeandaliwa na Dk Bana kuibeba CCM

$
0
0
Utafiti uliofanywa na taasisi ya Twaweza kuhusu maoni na matakwa ya wananchi juu ya uongozi wa kisiasa nchini, umeibua madai mapya ambayo yanauhusisha na jitihada za kukisaidia chama tawala CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwakani.   Ripoti hiyo iliyozinduliwa Dar es Salaam juzi, inaonyesha kuwa kama Uchaguzi Mkuu ungefanyika sasa, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa angeshinda urais

Wakwepa kodi sasa kufilisiwa.....Yapendekezwa Wakinaswa Watangazwe hadharani, TRA Yapewa meno ili kukamata na kuuza mali zao

$
0
0
SERIKALI imesoma kwa mara ya pili bungeni, Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi (TAA) wa mwaka 2014, ambapo pamoja na mambo mengine, sheria hiyo itafanya wakwepa kodi kutangazwa kwenye vyombo vya habari.   Muswada huo pia unampa Mamlaka Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufanya upekuzi, kukamata, kuchukua na kuuza mali za mlipa kodi kwa lengo la kukomboa kodi na kuzuia

Wapinzania wataka mahakama maalumu ya uwekezaji

$
0
0
Serikali ya Tanzania imetakiwa kuanzisha mahakama maalumu itakayokuwa na jukumu la kushughulikia masuala na kesi zinazohusu uwekezaji.   Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na vyama vitano visivyo na uwakilishi bungeni kupitia kwa mwenyekiti wa kamati maalum ya maatibu wakuu wa vyama hivyo Bw. Renatus Muhabi.   Kwa mujibu wa Muhabi, mahakama ya uwekezaji itakuwa na jukumu la

Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa Kushiriki Mashindano ya Miss World Disemba

$
0
0
MREMBO wa Tanzania wa mwaka 2013, Happiness Watimanywa ameahidi kuing’arisha Tanzania katika mashindano ya ulimbwende ya Dunia yatakayofanyika mapema mwezi ujao huko nchini Uingereza. Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, mlimbwende huyo amewaeleza waadishi kuwa, kutokana na uzoefu wa kazi zake alizokuwa akifanya kwa jamii kwa muda kipindi cha mwaka mmoja

Mhitimu bora wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2014: Ni binti,apiga A 32, B+ Sita katika masomo 38

$
0
0
Mhitimu bora wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2014, Doreen Kabuche (22), aliushangaza umma uliohudhuria maafali ya 44 ya chuo hicho baada ya kutangazwa kuwa kinara kwa ufaulu kwa kupata alama A 32 na B+ sita kati ya masomo 38 ya shahada ya Takwimu Bima (Actuarial Science). Kwa alama hizo, Doreen alipata wastani wa alama za ufaulu (GPA) 4.8 na kuacha alama ya 0.2 ili kufikia kiwango

Mbowe Ang`ang`ania Pinda Ang`oke

$
0
0
Kambi  Rasmi ya Upinzani Bungeni  (KUB), imemtaka  Rais Jakaya Kikwete kumfukuza kazi Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kwa maelezo kuwa ameshindwa kuwachukulia hatua wahusika wa kashfa  mbalimbali za ufisadi zinazoendelea kuiandama nchi na kusababisha wafadhili kusitisha misaada. Kambi hiyo imesema kutokana na hali hiyo, inamtaka Rais Kikwete kuunda serikali upya, vinginevyo itaanza maandalizi

Picha: Mtu mrefu zaidi na mfupi zaidi duniani walipokutana kwenye ‘Guinness World Record Day’

$
0
0
Watu wawili ambao wanashilikilia rekodi ya mtu mrefu zaidi duniani na mtu mfupi zaidi duniani walikutana kwa mara ya kwanza kwenye maadhimisho ya ‘Guinness World Record Day’ huko London, Uingereza Nov.13. Mtu mrefu zaidi anaitwa Sultan Kösen kutoka uturuki ana urefu wa futi 8, huku mtu mfupi zaidi aitwaye Chandra Dangi kutoka Nepal ana urefu wa inchi 21.5.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>