Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Madereva wa Kampuni ya Mwananchi Wakamatwa na Mirungi

$
0
0
Polisi mkoani Iringa wanawashikilia watu watatu wakiwamo madereva wawili wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi.   Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi alisema tukio hilo lilitokea jana saa 11 alfajiri katika kituo cha ukaguzi cha Igumbilo mkoani hapa na baada ya ukaguzi polisi walibaini magunia mawili

Mahakama yachomwa Moto,nyaraka zote zateketea

$
0
0
Mahakama ya Mwanzo ya Riagoro wilayani Rorya mkoani Mara, imeteketezwa kwa moto na watu wasiojulikana huku nyaraka muhimu zilizokuwamo ndani yake zikiteketea zote. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya, Lazaro Mambosasa, alisema wanalifanyia uchunguzi tukio hilo na inaonyesha haikutokana na hitilafu ya umeme kutokana na kutokuwa na nishati hiyo. Kamanda Mambosasa alisema

Malalamiko ya wizi wa vifaa vya magari bandarini, Serikali imetoa tamko.

$
0
0
Imekuwa kawaida watu wengi kulalamikia vitendo vya wizi wa vifaa mbalimbali katika magari eneo la bandari ya Dar es Salaam hali iliyopelekea  Serikali kutoa tamko rasmi juu ya mkakati unaoandaliwa ili kukomesha wizi huo.   Akizungumzia mkakati huo Naibu Waziri wa Uchukuzi Dkt. Charles John Tizeba amesema;-    “..Wizi huu umepungua kwa kiasi kikubwa sana na kwa sababu tumehakikisha

Polisi yawatawanya wafuasi wa Mbowe kwa Mabomu

$
0
0
Wafuasi wa (Chadema) wilayani Mpanda jana jioni walilazimika kutafuta vichochoro vya kukimbilia baada ya polisi kusambaratisha kwa mabomu ya machozi, maandamano ya kumsindikiza Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe baada ya mkutano.   Patashika hiyo ilitokea baada ya mkutano wa Mbowe kumalizika na wafuasi wake kutaka kumsindikiza hotelini, jambo ambalo polisi hawakulikubali.  

Mtoto Aliyefaulu Darasa la saba Nusura Atolewe Kafara

$
0
0
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limemtia mbaroni mganga mmoja wa jadi anayedaiwa kuteka watoto kwa njia za kishirikina kwa ajili ya kutolewa kafara.   Mbali na mganga huyo, pia wamemtia mbaroni mwanamke mmoja, anayedaiwa kusuka mipango ya kutekwa nyara kwa watoto na kuwahifadhi kwa mganga huyo.   Mganga huyo ambaye anadaiwa ni mwenyeji wa mkoani Mbeya, alikutwa na mtoto wa kike

Kinana na Dr. Slaa kesho watashiriki katika Mjadala wa Rais wa Tanzania anayetakiwa 2015

$
0
0
Makatibu wakuu wa CCM, Abulrahman Kinana na Dk Willibrod Slaa wa Chadema kesho watashiriki katika mjadala wa rais wa Tanzania anayetakiwa kupitia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.   Mjadala huo utakaofanyika Dar es Salaam, umeandaliwa na Asasi ya Twaweza ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa ripoti ya utafiti wa maoni ya wananchi juu ya mwelekeo wa rais wanayemtaka kupitia uchaguzi wa mwaka 2015.

Chid Benz Atinga Tena Mahakamani......Kesi Yake Yaahirishwa hadi Disemba 1

$
0
0
Rapper  Rashid Abdallah Makwiro aka Chid Benz  ambaye yupo nje kwa dhamana kufuatia kukamatwa na dawa za kulevya uwanja wa ndege Dar es salaam leo Nov 11 2014 alikwenda tena kwenye Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Dar es Salaam. Taarifa kutoka mahakamani hapo zinaarifu  kwa, upande wa Jamhuri umeomba kesi ya msanii huyo iahirishwe mpaka December 1 2014  kwa  kuwa  upelelezi  bado 

TCRA Yawataka Wamiliki wa Blogs Kuzitumia Vizuri Wakati wa Uchaguzi

$
0
0
Wamiliki wa Blogs nchini wametakiwa kuzitumia vyema blog zao katika kuripoti habari na matukio mbalimbali wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa, wabunge na urais.   Hayo yamesemwa na Mkurugezi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma jana alipokuwa akizungumza na wamiliki wa Blogs  katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.   Profesa Nkoma

Menina: Sijatoa Mimba ya Diamond

$
0
0
Mwanamuziki Hot Sexy hapa Bongo, Meninah Atick ameifungukia ishu ya kuchoropoa mimba ya msanii Nasibu Abdul ‘Diamond’ na kusema hajawahi kubeba mimba ya staa huyo na wala katika maisha yake hajawahi kufanya kitendo hicho.    “Jamani mimi ni mdogo, kwanza kwa nini watu wanapenda kunibebesha vitu vikubwa, mimi sijawahi kubeba wala kuchoropoa mimba katika maisha yangu,” alisema msichana

Mahututi aliyekimbiwa na Mwanamke GUEST HOUSE Afariki

$
0
0
Mtu mmoja amefariki dunia katika hospitali ya rufaa ya Mbeya baada ya kukutwa hali mahututi katika nyumba ya kufikia wageni.   Mtu huyo aliyetambuliwa kwa jina la Kassim Rashid (55) mkazi wa Ghana, Mbeya alifariki dunia wakati akitibiwa katika hospitali hiyo ya rufaa tarehe 10 Novemba 2014 mwendo wa saa kumi alasiri.   Taarifa ya Polisi kutoka mkoa wa Mbeya imesema kuwa awali majira ya

Sitti Mtemvu: Siwezi kuwazuia watu kuongea, Ridhiwani amtia moyo

$
0
0
Aliyekuwa Miss Tanzania 2014 hadi Jumamosi iliyopita, Sitti Mtemvu  ametoa kauli yake mpya ikiwa ni siku chache baada ya kutangaza kujivua taji hilo.   Sitti ambaye taji la alilovua amepewa Lilian Kamazima kupitia twitter aliandika: Siwezi kuwazuia watu kuongea lakini naweza kujizuia kuzungumza — Sitii Abbas (@SitiiAbbasMtevu) November 10, 2014 Naye Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete

Baada ya Wema na Penny kumaliza tofauti zao sasa waanza kushirikiana kwenye kazi

$
0
0
Baada ya staa wa filamu Wema Sepetu na mtangazaji wa radio VJ Penny weekend iliyopita kumaliza tofauti zao zilizowatenganisha kwa muda mrefu, hatimaye sasa wameanza kuwa karibu. Kupatanishwa kwao kulikofanywa na rafiki yao Junaithar aliyewaalika kwenye dinner ya birthday yake usiku wa Jumamosi, haukuishia hapo bali sasa wamerudisha ukaribu kiasi cha kuanza kutembeleana. Kupitia

Dj Tass wa Magic Fm apata shavu la kutumbuiza kwenye Big Brother Africa Hotshots Ijumaa hii

$
0
0
DJ Tass wa kituo cha radio cha Magic Fm pamoja na kipindi cha Wakilisha cha Maisha Magic-DSTV amepata shavu la kwenda kutumbuiza kwenye jumba la Big Brother Africa Hotshots Ijumaa hii. Tass amesema kuwa ataondoka Dar es salaam Ijumaa hii kuelekea Johannesburg, Afrika Kusini.   Kupitia Instagram pia ameshare taarifa hiyo kwa kuandika, “Official Dj for BBA Hotshots 2014 representing

"Panya road" Wafunga Mitaa Minne Dar es Salaam

$
0
0
Ilikuwa hekaheka iliyosababisha shughuli katika mitaa minne ya Tabata, Dar es Salaam kusimama kwa saa nne baada ya kundi la vijana wenye nondo, mawe na visu kushambulia watu, kupora na kuharibu mali kutokana na kile kilichodaiwa kuwa ni kulipiza kisasi.    Kundi hilo la vijana zaidi ya 30 ambalo mmoja wao ameuawa linalofananishwa na lile la Panya Road ambalo hivi karibuni lilisumbua

Waumini Wamfungia Ofisi Askofu Kiongozi wa Kanisa la Moravian Tanzania

$
0
0
Askofu Kiongozi wa Kanisa la Moravian Tanzania, Alinikisa Cheyo amezuiwa na waumini wa kanisa hilo kuingia katika ofisi yake iliyopo Jakaranda, Mbeya kwa saa 18.   Cheyo, ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Jimbo la Kusini Magharibi, alifungiwa mlango na waumini wa kanisa hilo Usharika wa Jakaranda kumzuia asiingie mpaka atakapoitisha mkutano na kumrudisha Mchungaji

Mabweni na Madarasa ya Shule ya Filbert Bayi iliyopo mjini Kibaha Yateketea kwa Moto

$
0
0
Wanafunzi 70 wa Shule ya Msingi Filbert Bayi iliyopo mjini Kibaha, mkoani Pwani, wamenusurika kuteketea kwa moto baada ya mabweni mawili ya shule hiyo kushika moto na kuungua kabisa.   Moto huo unaodhaniwa ulitokana na hitilafu ya umeme, ulizuka ghafla shuleni hapo kuanzia katika bweni namba nne la wasichana, ambalo ni moja ya mabweni ya wanafunzi hao kuanzia saa 8 za usiku wa kuamkia

Sakata la Wizi wa Dola za Marekani Milioni 200 Katika akaunti ya Tegeta Escrow Lachukua Sura Mpya Bungeni

$
0
0
RIPOTI ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusu kuchotwa kunakodaiwa isivyo halali kwa fedha katika Akaunti ya Escrow, sasa haitajadiliwa bungeni.   Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai aliyasema hayo bungeni mjini Dodoma jana alipokuwa akijibu Mwongozo wa wabunge kuhusu kujadiliwa kwa ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Takukuru kuhusu sakata

Maelfu Ya Wananchi Wamtakia Afya Njema Rais Kikwete.....Jana Aliondolewa Bandeji, Hali yake inazidi Kuimarika

$
0
0
HALI ya afya ya Rais Jakaya Kikwete imeendelea kuimarika kwa kasi na jana alizungumza kwa simu na uongozi wa juu wa Tanzania kwa mara ya kwanza tangu afanyiwe upasuaji wa tezi dume Jumamosi iliyopita.   Alizungumza na Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal, Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, lakini pia alikuwa anawasiliana na mamia kwa mamia ya

Mtoto aliyepotea auawa kikatili, maiti yaokotwa ndani ya Pagala

$
0
0
Mtoto Nuru Mohamedi (7) ameuawa kikatili na kisha mwili wake kutelekezwa kwenye nyumba ambayo haijakamilika ujenzi iliyo Majohe Kichangani jijini  Dar.   Tukio hilo, ambalo limezua hofu na huzuni kwa wakazi wa mtaa huo, lilibainika jana baada ya kupatikana kwa maiti ya mtoto huyo ambaye kabla ya mauti kumkuta alikuwa amepotea katika mazingira ya kutatanisha tangu Novemba 6.  

AJALI MBAYA: Watu Kadhaa Wapoteza Maisha leo Asubuhi baada ya basi kupinduka Kahama

$
0
0
Watu kadhaa wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa asubuhi hii kwenye ajali ya basi la Wibonela lililokuwa likitoka Kahama kwenda Dar lililopinduka eneo la kona ya Phantom, Kahama.   Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi uliopelekea dereva wa basi kushindwa kulimudu lilipofika kwenye kona ya Phantom na kupelekea kuingia mtaroni na kupinduka.   Idadi kamili ya
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images