Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Sakata la IPTL kutinga bungeni Novemba 27

$
0
0
Ripoti ya ufisadi katika akaunti ya Escrow itawasilishwa bungeni Novemba 27, mwaka huu na kujadiliwa baada ya Kamati ya Uongozi ya Bunge kuridhia kwamba Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) inaweza kushughulikia suala hilo.   Taarifa zinaeleza kuwa hatua hiyo imefikiwa baada ya baadhi ya wenyeviti wa kamati za Bunge ambao ni wajumbe wa Kamati ya Uongozi kutaka suala hilo lijadiliwe

Mwanamke Achinjwa na Kunyofolewa sehemu zake za siri

$
0
0
Watu wasiofahamika wamemuua kwa kumkata mapanga na kisha kumnyofoa sehemu zake za siri mkazi wa Kijiji cha Kanegele, wilayani Mbogwe, Mkoa wa Geita, Hollo Machibula (54).   Akizungumza kijijini hapo juzi, Diwani wa Kata ya Bukandwe, Henry Alphonce alisema Hollo alivamiwa na watu hao nyumbani kwake juzi saa 5:00 usiku akiwa amelala na kuanza kumkatakata kwa mapanga.   Alphonce

Operesheni ya LAZIMA kukagua magari yaja

$
0
0
Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Usalama Bararani, linatarajia kuanzisha operesheni ya lazima ya kukagua magari ili kukabiliana na ajali za mara kwa mara. Hayo yalisemwa na Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga (pichani), jijini Dar es Salaam jana. Kamanda Mpinga alifafanua kuwa operesheni hiyo itawahusu madereva wa magari aina zote. “Lengo kuu la

Rais Kikwete Awaapisha Makatibu Wakuu, Mabalozi,Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala Wapya Ikulu Jijini Dar Es Salaam Leo

$
0
0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Samwel William Shellukindo kuwa Balozi na Msaidi wa Rais Masuala ya Diplomasia leo Ikulu jijini Dar es salaam Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe John Vianney Mongella kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera leo Ikulu jijini Dar es salaam. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Halima Omary Denengo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara leo Ikulu jijini

Basi Lagonga Treni Ifakara...13 Wafariki papo hapo

$
0
0
Watu kumi na watatu wamefariki katika ajali iliyotokea huko Kibereke, Ifakara mkoani Morogoro, kati ya basi la abiria la Al Jabir lenye namba za usajili T725 ATD lililokuwa likitoka Dar es Salaam kuelekea Ifakara na treni ya abiria iliyokuwa ikitoka Mbeya kuelekea Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya ya Kilombero akizungumza na TBC kwa njia ya simu, Hassan Masala amesema: "Chanzo cha ajali

Hamisa Mobeto: Sina Mpango wa Kuolewa, Bado nakula Ujana

$
0
0
Mrembo ambaye sasa amejiingiza kwenye filamu, Hamisa Hassan ‘Mabeto’ amesema kwa sasa hafikirii suala la kuolewa kwani bado anakula ujana. Akizungumza na mwandishi wetu, Mabeto alisema bado anajiona mtoto hivyo kuliko kukimbilia maisha ya ndoa bora ale kwanza ujana.   “Suala la kuolewa hapa kwangu hata silifikirii kabisa, mimi bado binti mdogo sana nitawezaje kukimbilia ndoa, hiyo

Penny Afunguka baada ya Diamond Kupigwa chini na Wema Sepetu

$
0
0
Mtangazaji aliyewahi kujiachia kimahaba na Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amesema mwanamuziki huyo kwa sasa alie tu kwani ameshachumbiwa na hawezi kumpata tena. Kauli ya mwanadada huyo ilikuja baada ya kuulizwa kama anaafikiana na kauli ya mama wa Wema Sepetu, Miriam Sepetu kwamba, kwa kuwa Wema kamuacha Diomond basi staa huyo wa Wimbo wa Mdogomdogo bora akampose

Vyama Vingine 6 vya Siasa Vyaungana Kupambana na UKAWA na CCM

$
0
0
Vyama vya siasa ambavyo havina uwakilishi katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vimetangaza kusimamisha mgombea mmoja katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajia kufanyika mwezi ujao.   Wakati vyama vya upinzani vikiwa na umoja wao maarufu kama UKAWA na kutangaza kuungana, vyama visivyokuwa na uwakilishi bungeni vimetangaza kuungana na kuweka mgombea mmoja kwenye

Ikulu: Rais Kikwete hajazuia kampeni ya Katiba Mpya .....Sheria ndo inayozuia kampeni hizo kwa sasa

$
0
0
Ikulu imesema kuwa Rais Jakaya Kikwete hajazuia kufanyika kwa kampeni kuhusu Kura ya Maoni isipokuwa Sheria ya Kura ya Maoni ndiyo inayozuia  kufanyika kwa kampeni hizo kwa sasa.   Mkurugenzi wa Mawasiliano, Ikulu, Salvatory Rweyemamu alisema hayo Dar es Salaam jana na kuongeza kuwa sheria hiyo inaelekeza kampeni kufanywa ndani ya siku 60 kabla ya kufanyika ya kupiga kura ya maoni.

Mwanamke Amuua Mumewe Kwa Kummwagia Maji ya Moto na Kisha Kuutupa Mwili Mtoni

$
0
0
Mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Mfinzi wilayani Nkasi-Sumbawanga anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kummwagia maji ya moto mumewe na kumsababishia kifo, kisha kuutumbukiza mwili wake mtoni.   Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi usiku kijijini hapo na kumtaja aliyeuawa kuwa ni Evod Teola (62).   Alisema siku ya tukio

Whatsapp yawakaba koo “Waongo”.....Kama unatumia WhatsApp, hii Taarifa inakuhusu kabisa!

$
0
0
Kuanzia sasa longo longo ya kwamba sikuupata ujumbe wako wa WhatsApp itakuwa historia, au kudai kuwa ujumbe haujafika utakuwa unaongopa mchana kweupe. 1.Huduma hiyo inapatikana kupitia Whatsapp katika simu zote za mkononi zenye uwezo wa kuitumia  2.Tick ya kijivu ina maana kuwa ujumbe umetumwa, tick mbili za kijivu zina maana ujumbe umemfikia mlengwa, na tick mbili za blue zina maana

Ziara ya Rais wa China kizaazaa Dar....Ripoti Yadai Maofisa wake Waliitumia kusafirisha Meno ya Tembo

$
0
0
Ziara ya Rais Xi Jinping wa China aliyoifanya nchini Machi mwaka jana, imezua kizaazaa na kuitia doa sifa ya Tanzania kimataifa, baada ya maofisa waliokuwa wameambatana naye kuhusishwa na biashara haramu ya meno ya tembo.   Ripoti iliyotolewa na taasisi ya kimataifa ya Uingereza inayojihusisha na uchunguzi wa masuala ya mazingira, inadai kuwa maofisa hao walinunua kiasi kikubwa cha

Mwanafunzi wa Darasa la tano Afariki Dunia baada ya kuchapwa Viboko Vingi na Mwalimu Wake

$
0
0
Mwanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya msingi ya Kiuu Kenya amefariki dunia baada ya kupigwa na mwalimu wake kwa kufeli somo lake la Kiswahili.    Familia ya mtoto huyo Joseph Waburi mwenye umri wa miaka kumi imesema mtoto huyo alikuwa na nidhamu ya hali ya juu.   Mama wa mwanafunzi huyo Grace Muthoni amesema mtoto wake alienda shule Jumatatu asubuhi na aliporudi alianza

BUNDI Atua ndani ya Ofisi za CHADEMA Mkoani Singida..... Viongozi waanza kufukazana !

$
0
0
WAKATI siku zikishika kasi kuelekea uchaguzi  mkuu mwakani,’Bundi’ ametua ndani ya CHADEMA mkoa wa Singida na hali imechafuka kwa viongizi wake kuanza kuvuana uanachama na kufukuzana  uongozi. Baraza la uongozi mkoa wa Singida, limemvua na kumfukuza uongozi Mwenyekiti wa jimbo la Singida mjini,John Kalaye Kumalija kwa tuhuma ya kuwa na mgogoro wa muda mrefu na katibu wake. Uamuzi huo

Anayoyafanya Jaji Warioba hata Mwalimu Nyerere Aliyafanya pia!

$
0
0
WAVURUMISHAO makombora dhidi ya Jaji Joseph Warioba wamekuwa wakitoa hoja kwamba mzee huyo muda wake wakuzungumzia suala la katiba mpya ulishamalizika kwa minajili kuwa Tume yake ya kukusanya maoni ya Katiba mpya ilishavunjwa. Kelele zimepigwa katika bunge maalum la katiba, mtaani wanasema “mzee pumzika muda wako umekwisha” hawataki tena atumie uhuru wake wa kikatiba kuzungumzia mambo

Waziri Chiza na Mbunge Kangi Lugola Waitana MIZIGO Bungeni

$
0
0
Sakata la kuitwa Waziri ‘mzigo’ kwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza, limechukua sura mpya baada ya waziri huyo naye kujibu mapigo kuwa hata Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM), anayemuita kuwa yeye ni ‘mzigo’ naye ni mzigo kutokana na kutoelewa.  Hali hiyo ilitokea jana bungeni Lugola aliposimama na kuuliza swali la nyongeza na kumtaka Waziri huyo kujiuzulu kwa

Waziri Membe Akanusha Kuhusu Ndege ya Rais Wa China Kubeba Pembe za Ndovu.......Bonyeza hapa kuisoma taarifa rasmi ya Serikali

$
0
0
Iliyopachikwa hapo chini ni nukuu ya kauli ya Waziri kuhusiana na habari iliyochapishwa na vyombo mbalimbali vya habari vya Kitaifa na Kimataifa baada ya utafiti uliofanywa na shirika moja kusema kuwa viongozi wa China walitumia ndege ya Rais wa nchi yao kujinunulia  vipusa vya tembo kutoka Tanzania. Mheshimiwa Spika,   Siku ya Jana Vyombo vya Habari mbalimbali vya Ndani na Nje ya Nchi

Picha za Uchi: Desire Luzinda Aomba Radhi

$
0
0
Kufuatia kusambaa kwa picha za utupu za msanii wa muziki Desire Luzinda kutoka nchini Uganda, msanii huyu amechukua hatua ya kuomba msamaha kwa tukio hili la aibu kwake.   Desire katika waraka mfupi wa msamaha alioandika, amewataka radhi mama yake mzazi, mwanae wa kike, familia yake marafiki na mashabiki wake na kuwataka kufahamu kuwa, kuvuja kwa picha hizi kumetokana na kuvunjika

Miss Tanzania 2014 , Sitti Abbas Mtemvu ajivua taji .....Lilian Kamazima (aliyekuwa mshindi wa pili) amrithi!

$
0
0
Sitti Abas Mtemvu amelivua taji hilo baada ya kuiandikia barua Kamati ya Miss Tanzania, November 5 mwaka huu, kuhusiana na uamuzi wake huo.   Mrembo huyo alikuwa akikabiliwa na shutuma za kudanganya umri wake, jambo ambalo lilililazimu Baraza la Sanaa la Taifa, (Basata) kutokana na agizo la wizara  husika kufuatilia ukweli wake.   “Baada ya kutwaa taji la urembo la Miss Tanzania

ACT-Tanzania wakana kujiunga na UKAWA

$
0
0
CHAMA cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) kimesema kinaingia katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bila kuungana na chama chochote cha siasa kwa sababu wanaamini itikadi za vyama hivyo haiendani na itikadi yao.   Akizungumza na waandishi wa habari jana, Ofisa Mawasiliano na Uenezi Taifa, Karama Kaila alisema ACT haijaungana katika muunganiko wowote na vyama vingine kama
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images