Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

148 kuchunguza ubadhirifu wa bil. 40/- ZILIZOTAFUNWA Jijini Mwanza

0
0
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) imeanza uchunguzi wa tuhuma za ufisadi wa Sh bilioni 40, uliotajwa kufanyika katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza.   Mkurugenzi wa TAKUKURU, Dk Edward Hoseah alisema jijini Mwanza jana kuwa tayari timu ya wachunguzi 148 wameshawasili jijini kuanza uchunguzi huo ambao umekwishaanza, ingawa hakuweka bayana timu hiyo itakamilisha lini

Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Wazee wa Dodoma 4 Novemba 2014

0
0
Ndugu Wananchi; Nakushukuru sana Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Dodoma, Mheshimiwa Balozi Job Lusinde kwa kuandaa mkutano huu. Wakati nilipofanya ziara ya Mkoa wa Dodoma tulipanga tukutane lakini kwa vile ratiba yangu iliingiliwa na mambo mengi, hivyo haikuwezekana, lakini leo imewezekana.    Pengine hii ndiyo siku ambayo Mwenyezi Mungu alipanga tukutane. Tumshukuru Muumba wetu

Wafariki ajalini wakisindikiza 'mzigo nyeti'

0
0
GARI lililokuwa likisindikiza fedha limepinduka  jana  likijaribu kumkwepa mwendesha pikipiki na kuua waliokuwemo na kujeruhi wengine. Kamanda wa polisi mkoa wa mwanza, Valentino Mlowola amethibitisha kuwepo kwa ajali hiyo. Amesema ajali hiyo imetokea jana majira ya saa 7.40 katika eneo la Mkuyuni, jijini Mwanza ambapo ilihusisha gari la Benki Kuu (BOT) lenye usajili namba SU 35296

Taarifa ya Kova ya kuachiwa huru viongozi wa TPDC waliolazwa rumande na PAC

0
0
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, James Andilile (kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya TPDC, Michael Mwanda Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewaachia huru Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (Tanzania Petroleum Development Corporation – TPDC) Mh. MICHAEL PETRO MWANDA na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo JAMES ANDILILE kusubiri ufafanuzi wa

Mtoto achanwa viwembe, vidonda vyawekwa chumvi

0
0
POLISI mkoani Morogoro wanamshikilia Tausi Omary (30), mkazi wa kata ya Chamwino, Manispaa ya Morogoro kwa tuhuma za kujeruhi mtoto wa dada yake, Jafari Mashaka (11) kwa kumchanachana mguuni kwa wembe na kisha kuweka chumvi kwenye vidonda, kwa madai ya kumwimbia fedha kiasi cha Sh 4,500.   Mashaka, mwanafunzi wa Memkwa wa darasa la tatu katika shule ya msingi Kiwanja cha Ndege, alikutwa na

Madaktari wanaotoa mimba kinyume na taratibu kukiona

0
0
SERIKALI imesema itaendelea kuwachukulia hatua kali za kisheria na za kinidhamu madaktari wote watakaogundulika kujihusisha na utoaji wa mimba kinyume na utaratibu.   Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Aggrey Mwanri alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Dimani, Abdallah Sharia Ameir (CCM) kwa niaba ya

Mke Akatwa Mapanga baada ya kugoma kufanya mapenzi na mumewe.....RPC Kigoma ashauri wanawake kuwajibika kwa waume zao

0
0
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Jafari Mohamed amewasihi wanawake walioolewa kuwajibika katika masuala ya unyumba kama maandiko ya dini yanavyoelekeza.   Kamanda huyo alitoa wito huo baada ya kutakiwa kutoa taarifa ya kukatwakatwa na panga kwa mwanamke mmoja kutokana na kukataa kufanya tendo la ndoa na mumewe kwa sababu ya uchovu.   Kamanda Mohamed alisema alikuwa hajapata

Bunge Lisitishwe, Posho za wabunge zitumike kulipa DENI la Bohari Kuu ya Dawa (MSD)

0
0
KUTOKANA na Bohari Kuu ya Dawa (MSD) kuidai Serikali zaidi ya Sh bilioni 90 za dawa hatua inayozifanya hospitali nyingi nchini kukosa huduma hiyo na kuleta madhara kwa wagonjwa, Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM), ameomba Mkutano wa 16 na 17 wa Bunge ulioanza jana mjini hapa kuahirishwa ili fedha walizopaswa kulipwa wabunge zitumike kununua dawa kuokoa wagonjwa.   Hata hivyo ombi hilo

UKAWA waeleza utaratibu wa kupata wagombea wao.... Wasaini muongozo wa ushirikiano bila NLD

0
0
Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umesaini muongozo wa ushirikiano katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji; makubaliano ambayo yatatumika kwenye uchaguzi huo uliopangwa kufanyika mwezi ujao. Muongozo huo ulisainiwa jana jijini Dar es Salaam na viongozi wa vyama vinavyounda umoja huo ambao ni Profesa Ibrahim Lipumba (CUF), Dk. Wilbrod Slaa (Chadema) na James Mbatia (

Mtazamo wa Mstaa wa Kike Tanzania kuhusu matumizi ya NYETI Bandia

0
0
Mastaa wa kike wa fani mbalimbali nchini, wamezungumzia matumizi ya nyeti bandia, baadhi wakizipongeza kuwa zinawasaidia kuondokana na ‘stress’ za wanaume huku wengine wakiziponda kuwa hazina ‘ladha’. Baadhi ya wasanii hao walisema kuwa ingawa wanazifahamu na hata kuwajua wanaotumia wao wanaamini wanaotumia ni wale ambao hupenda kufanya tendo kila siku wakiwa na wenza wao, hivyo

Hali ya Vengu wa Orijino Komedi Yaanza kuimarika....Kumbukumbu zaanza kurejea, apewa jumba la milioni 120

0
0
Msanii staa wa Kundi la Orijino Komedi ‘OK’, Joseph Shamba ’Vengu’ ameanza kurejea katika ‘fomu’ baada ya kuugua kwa muda mrefu.   Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa msanii huyo , Vengu ambaye kwa muda mrefu alipoteza kumbukumbu kiasi cha kushindwa kuwatambua watu, sasa amejaliwa kwani anaweza kuwafahamu watu mbalimbali wanaopata nafasi ya kwenda kumjulia hali, Kigamboni jijini Dar

Rais Kikwete Apiga Marufuku Kampeni ya Katiba Mpya ..... Asifu kazi ya jaji Warioba, awataka wananchi kuchukua tahadhari ya Ebola

0
0
WAKATI makundi kadhaa yakianza kufanya mikutano na kuendesha midahalo kuhusiana na Katiba Inayopendekezwa, Rais Jakaya Kikwete amesema muda wa kufanya kampeni na kuuelimisha umma juu ya katiba hiyo haujafika na amewataka wananchi kuwa na subira ili kuepusha vurugu.   Akilihutubia taifa kupitia mkutano wake na Wazee wa mkoa wa Dodoma jana mjini Dodoma, Rais Kikwete alisema sheria ya kura ya

Matokeo ya Darasa la Saba 2014.....Bofya Hapa

0
0
ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA KILIMANJARO LINDI MARA MBEYA MOROGORO MTWARA MWANZA PWANI RUKWA RUVUMA SHINYANGA SINGIDA TABORA TANGA MANYARA GEITA KATAVI NJOMBE SIMIYU xg.addOnRequire(function () { xg.post('/main/viewcount/update?xn_out=json', {key: '5398006:BlogPost:3303371', x: '194566f'}); });

Gari Lapinduka Wakati Dereva Akiwakimbika Askari Polisi

0
0
Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakiangalia kwa mshangao gari aina ya Toyota Spacio lenye namba za usajili T111 BHW likiwa limepinduka chini juu mbele ya ofisi za TFA barabara ya Boma, Moshi jirani kabisa na mnara wa saa.   Dereva wa gari hilo anadaiwa alikuwa akijaribu kuwakimbia askari wa kikosi cha barabarani kwa mwendo wa kasi kabla ya kugonga gari jingine na hatimaye kupinduka

Rais Kikwete Ateua Wakuu wa Mikoa Wapya Wanne

0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wapya wanne wa Mikoa, amewahamisha wengine sita na ameamua kuwa wengine watatu watapangiwa kazi nyingine.   Taarifa iliyotolewa mjini Dodoma jana  jioni , Jumatano, Novemba 5, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue inasema kuwa, Wakuu wapya wa Mikoa ni Bi. Halima Omari Dendego

Rais Kikwete Ateua Makatibu Wakuu Wapya

0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wa Wizara kwa kuteua Makatibu Wakuu wanne wapya na kuhamisha mmoja.   Aidha, Rais Kikwete amefanya uteuzi na uhamisho wa Makatibu Tawala wa Mikoa. Taarifa iliyotolewa mjini Dodoma jana  jioni, Jumatano, Novemba 5, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue imesema kuwa

Picha za Uchi: Waziri Aagiza Desire Lusinda Ahojiwe

0
0
Waziri wa nchi anayehusika na Maadili nchini Uganda, Simon Lokodo amelitaka jeshi la polisi kumhoji mwanamuziki Desire Luzinda kutokana na picha zake za utupu zinazodaiwa kupigwa na rafiki yake wa kiume ambaye ni MNigeria. Akiongea na gazeti moja la nchini humo waziri Lukodo amesema tayari ameliagiza jeshi la polisi kuwakamata wahusika na kwa sasa jeshi hilo lipo mbioni kumkamata

Tetesi za Kisiwa cha Pemba kuwa sehemu ya Kenya, Serikali ya Tanzania yatoa tamko

0
0
Kufuatia kuripotiwa kwa taarifa katika vyombo mbalimbali vya habari kuhusiana na mgogoro wa mpaka uliokuwepo kutokana na madai kuwa kisiwa cha Pemba ni sehemu ya Kenya, Serikali ya Tanzania imetoa taarifa rasmi kuhusiana na mgogoro huo.    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Benard Membe, amewatoa hofu Wananchi kuwa Pemba ni sehemu ya Tanzania na hakuna ukweli wowote

IGP Mangu afanya mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi

0
0
Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu amefanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa, wakuu wa upelelezi wa mikoa, wakuu wa usalama barabarani wa mikoa pamoja na watendaji wengine wa vikosi na vitengo mbalimbali ndani ya Jeshi la Polisi.   Miongoni mwa makamanda wa mikoa waliofanyiwa mabadiliko ni pamoja na aliyekuwa kamanda wa Mkoa wa Ruvuma Kamishna msaidizi mwandamizi

Taarifa ya TCRA kwa wamiliki wa blogu Tanzania

0
0
TAARIFA KWA UMMA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA INAPENDA KUWATANGAZIA WAMILIKI WOTE WA MITANDAO YA KIJAMII “BLOGERS” KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO TAREHE 11.11.2014 KUANZIA SAA TATU ASUBUHI UKUMBI WA MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM. MKUTANO HUO UTAJADILI MATUMIZI YA BLOGS KIPINDI CHA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA WABUNGE NA RAIS KAMA ILIVYOAINISWA KWENYE RASIMU YA MWONGOZO WA MAUDHUI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images