Wajukuu wa marehemu Sabina Ngalu wa Mwanza wamecharazwa viboko na
watoto wa marehemu baada ya kung’ang’ania kaburini wakitaka wapewe
fedha.
Chanzo cha wajukuu hao zaidi ya 10 kucharazwa bakora ni kung’ang’ania
ndani ya kaburi lililokua limeandaliwa kwa ajili ya kuhifadhi mwili wa
marehemu wakitaka wapewe ng’ombe mmoja au sh.100,000 kama zinavyotaka
mila za kabila la kisukuma.
Viboko vyatembezwa makaburini Sengerema.....Wajukuu Wacharazwa bakora baada kung’ang’ania kaburini wakitaka wapewe fedha.
↧
↧
Mama amkata mwanaye paja,achoma mshikaki
Mwanamke mmoja Kilimanjaro amekamatwa na polisi akidaiwa kumkata
mtoto wake mwenye umri wa miaka nane nyama ya paja na kuichoma mithili
ya mshikaki.
Mwanamke huyo aliyetajwa kwa jina la Dafrosa Massawe anadaiwa
kufanya unyama huo mwishoni mwa wiki na majirani wanasema mama huyo
alifanya hivyo akiwa amelewa.
Kamanda wa Polisi Kilimanjaro Koka Moita alisema mwanamke huyo
↧
Baba Mzazi Adaiwa Kumchinja Mwanaye
Baba mzazi mkazi wa Sengerema anadaiwa kumuua mwanaye wa miaka minne
kwa kumchinja koromeo na kumchoma kwa kisu kwenye kitovu na utumbo
kutoka nje.
Mzazi huyo anadaiwa kufanya mauaji hayo juzi alfajiri baada ya
kumchinja aliuchoma kwa kisu mwili wa mtoto huyo sehemu mbalimbali
ikiwemo masikioni na kifuani.
Gazeti la MWANANCHI ambalo lilikua shuhuda limedai baada ya kufanya
↧
Huu sio msafara wa kiongozi....Ni wa mtu aliyekutwa na Ebola.
Kuna Nesi mmoja amegudulika kuwa na ugonjwa wa Ebola baada ya
kuwahudumia Wamishionari wawili waliokua na ugonjwa huo baada ya kutoka
nao Sierra Leone walikokua wamekwenda kujitolea kufanya kazi.
Ugonjwa wa Ebola umekua ishu kubwa kwenye hizi nchi maarufu duniani
ambazo zimejikuta zikiingia kwenye headlines baada ya Wagonjwa kuanza
kugundulika ambapo Marekani kuna mmoja aliingia na
↧
Wanaume Wafupi Ndiyo Wanaume Bora Zaidi Katika Ndoa Na Familia.
Wanaume ambao ni wafupi kwa kimo mara nyingi wanasifika kuwa waume bora kuliko wanaume warefu.
Pia inaarifiwa huwa na busara zaidi kufidia kimo chao, amekiri Adam Gopnik, mwanamme mmoja wenye umbo dogo.
Wiki kadhaa zilizopita, wana soshologia wawili kutoka Chuo Kikuu cha New
York, walichapisha waraka mrefu ulioangalizia maisha ya watu wafupi.
Utafiti wao ulizua mjadala mkali kutoka kwa
↧
↧
Kelly Rowland ambae ni mjamzito apiga picha za utupu kwaajili ya jarida la Elle
Member wa Destiny’s Child, Kelly Rowland ame-pose mbele ya camera
akiwa mtupu na kupigwa picha kwaajili ya toleo jipya la jarida la ELLE.
Kelly ambaye anatarajia kujifungua hivi karibuni amefanya kile
ambacho hufanywa na mastaa wengi wa Marekani wanapokaribia kujifungua,
ambao hupiga picha za utupu kuonesha tumbo la ujauzito. Picha hizo
zimepigwa pamoja na zingine alizovaa nguo.
↧
Milioni 30 za Johari zimepotea baada ya kuzuiliwa kutoka kwa filamu ya ‘Sister Marry’
Muigizaji wa filamu Blandina Chagula aka Johari amesema pamoja na
kusikitishwa kutokana na bodi ya filamu nchini kuizua filamu ya ‘Sister
Marry’ isitoke, amekula hasara kubwa.
Johari amesema kuwa maandalizi ya filamu hiyo yalighalimu shilingi milioni 30.
“Unajua inauma sana, tumeshindwa kutetea filamu ya ‘Sister Marry’
kutokana na madai eti tumedhalilisha dini. Ina maana hawataki
↧
Meninah : Ni kweli Diamond Platnumz Ananitongoza lakini Bado Sijamkubalia
Habari mpya zinasema kuwa Meninah amekiri kutongozwa na Diamond Platnumz
lakini bado hajamkubalia.
Kwa mujibu wa gazeti
moja la Udaku toleo la jana, sms za Meninah akichati na rafiki yake akimwambia kuhusu
kutongozwa na Diamond zilinaswa na mwandishi wa gazeti hilo.
Hata hivyo Meninah alisema Diamond sio type yake, hawezi kutoka nae na pia anadaiwa kumkataa Diamond sababu ya
↧
Mama Wema ataka mahari ya Mil.100 ili Diamond amuoe mwanae....Wema Sepetu asema yupo tayari kuolewa hata bure na Diamond
Habari ya mjini hivi sasa ni Ndoa ya msataa wa Bongo, Wema Sepetu na Diamond Platnumz.
Habari zinaarifu kuwa ili Diamond Platnumz aweze kumuoa Wema Sepetu ni lazima atoe
shilingi milioni mil. 100.
Habari hizi ni kwa mujibu wa gazeti moja la udaku lililotoka Jana ambapo liliripoti kuwa mama Wema
sepetu anataka mahari ya milioni 90 na ushee ili binti yake huyo
↧
↧
Mahakama yaruhusu Mashindano ya Miss Tanzania Kufanyika Kama Yalivyopangwa
MAHAKAMA
ya Hakimu Mkazi Kisutu,jijini Dar es Salaam, jana iliamuru mashindano
ya urembo Tanzania yaliyopangwa kufanyika Oktoba 11, mwaka huu kuendelea
baada ya kutupilia mbali maombi ya dharura yaliyowasilishwa na Prashant
Patel dhidi ya Hashimu Lundenga ya kuzuia kuendelea kuendesha
kinyang'anyiro hicho kwa madai ya kukiuka mkataba wa makubaliano yao.
Kadhalika
mahakama hiyo
↧
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee na Wenzake 8 wapata dhamana.....Kesi yao kutajwa tena Oktoba 21
Mbunge wa
Kawe, Halima Mdee na wenzake 8 leo wamepata dhamana katika Mahakama ya
Kisutu, Dar. Kesi yao kutajwa tena Oktoba 21, 2014.
Siku ya jana
washtakiwa hao walipanda kizimbani mbele ya Hakimu Mkazi Kaluyenda na
kusomewa mashtaka mawili na Wakili wa Serikali Mkuu, Kangola aliwataja
washtakiwa kuwa ni Mbunge wa Kawe, Mdee, Rose Moshi, Penina Peter, Anna
Linjewile, Mwanne Kassim,
↧
Big Brother Africa: Mshiriki wa Nigeria Amuomba Mshiriki wa Kike wa Uganda Avue Nguo na kuoga mbele yake ili amuone alivyo Umbika
Mambo yanazidi kuwa mambo ndani ya jumba la "kikubwa" la Big Brother House ambapo mwaka huu mashindano hayo yamepewa jina la Hotshots( Big Brother Hotshots)
Baada ya juzi kamera za jumba hilo kuwanasa washiriki wa Nigeria na Namibia wakichezeana makalio yao, jana Kamera hizo ziliwadaka Tayo(Nigeria) na Ellah (Uganda) wakipigana "Sound"
Katika video
↧
Picha: Rais Kikwete Apokea Katiba Inayopendekezwa mjini Dodoma leo
Mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba Mhe.Samuel Sitta akikabidhi katiba inayopendekezwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt.Mohamed Ali Shein katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma Oktoba 08, 2014
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho kikwete na
↧
↧
Mtoto wa Miaka 9 Ajinyonga
Katika hali ya kushangaza, mtoto Focus
Saimoni (9), mkazi wa Kwa Bibi Yuda, Kinondoni jijini Dar amekutwa
amejinyonga kwenye komeo la mlango wa sebule yao.
Focus aliyekuwa akisoma darasa la tatu katika Shule ya Msingi
Kumbukumbu, amedaiwa kufanya tukio hilo Jumamosi iliyopita kwa kufunga
gauni la mdogo wake shingoni na kujitundika kwenye komeo hilo mpaka
kukata roho.
Kwa mujibu wa
↧
Wanafunzi wa Sekondari ya Njombe Wachoma Moto Mabweni na karakana
Shule ya Sekondari ya Wavulana Njombe (Njoss)
iliyoko mjini Njombe, imefungwa kuanzia jana hadi Novemba 8, mwaka huu,
baada ya wanafunzi kuchoma moto bweni, karakana na kuharibu mali
mbalimbali za shule na walimu.
Wanafunzi hao wanadaiwa pia kuharibu majengo ya Shule ya Msingi Kilimani iliyo karibu na shule hiyo.
Uamuzi wa kuifunga shule ulitolewa jana na Ofisa
Elimu wa Mkoa wa
↧
Kenyatta Apokewa Kwa Shangwe Nairobi
Makundi ya watu wanaoshangilia, yamempokea Rais Uhuru Kenyatta ambaye
amerejea Kenya baada ya kuhudhuria Mahakama ya Kimataifa ICC, iliyopo
The Hague.
Bwana Kenyatta alihudhuria shauri mahakamani siku ya Jumatano, na
kuwa rais wa kwanza aliyepo madarakani kufika katika mahakama ya ICC.
Anakanusha mashtaka dhidi yake ya uhalifu dhidi ya ubinaadam
kuhusiana na ghasia za baada ya
↧
CUF Yakiri Kuwa Ni Vigumu Kuiondoa CCM madarakani
Chama cha Wananchi (CUF) kimekiri kwamba ni vigumu kuondoa
Chama Cha Mapinduzi (CCM) maradakani bila kuwa na umoja na mshikamano
baina ya wanachama na viongozi.
Aidha chama hicho kimesema CCM ni chama kilichokaa madarakani kwa
muda mrefu hivyo kama kweli wanataka kukiondoa, ni lazima kuwe na
mipango madhubuti ya kisiasa ikiwa ni pamoja na wanachama kushiriki
kikamilifu kwenye uchaguzi
↧
↧
Serengeti Fiesta Dar kuonekana live mtandaoni
Waandaji wa tamasha la Serengeti Fiesta kwa kushirikiana na Clouds TV
wametangaza kurusha mtandaoni moja kwa moja sehemu ya matangazo ya
tamasha la Serengeti Fiesta 2014 ambalo mwaka huu litashereheshwa na
mwanamuziki kutoka Marekani, T.I ambaye pia ni mshindi wa tuzo ya
Grammy.
Tamasha hilo litafanyika katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam tarehe 18 mwezi wa kumi mwaka
↧
Kesi ya utekaji iliyokuwa ikimkabili Madee yamalizika kwa kulipa faini
Kesi ya utekaji iliyokuwa ikimkabili Madee imemalizika kwa kulipa
faini ya shilingi 50,000. Madee alidaiwa kumteka kijana mmoja huko
Kigamboni baada ya kumuibia simu. Hakimu ametoa hukumu ya kifungo cha
jela miezi sita au kulipa faini ya kiasi hicho cha fedha. Madee alilipa
faini.
Madee amezungumza kwa mara ya kwanza tangu apatwe na mkasa huo.
“Yule dogo baada ya kuniibia simu
↧
KAGERA: Polisi wa usalama barabarani waliopiga picha wakipigana busu watimuliwa
Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewafukuza kazi askari polisi watatu kwa kosa la kukosa maadili mema ya jeshi la Polisi.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani hapa Henry Mwaibambe,amewataja
askari hiyo kuwa ni PC Asuma Mpaji Mwasumbi mwenye namba F.7788,PC
Fadhiri Linga mwenye namba G 2122 na PC Veronica Nazaremo Mdeme,wote
walikuwa askari wa kikosi cha usalama barabarani wilayani Missenyi
↧
More Pages to Explore .....