Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

MIMBA YA PENNY NA DIAMOND YATOKA

$
0
0
TAARIFA ya ndani zinazodai kwamba, mimba ya mchumba wa Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nassibu Abdul ‘Diamond’, Peniel Mgilwa ‘Penny’ imechoropoka zimevuja.... Kwa mujibu wa chanzo makini kilichojitambulisha kwa jina la wifi 10 cha jijini Dar hivi sasa  hana ujauzito tena kama wengi wanavyodhani.  “Penny hana mimba jamani, yupo fiti kabisa na sidhani hata kama anatarajia kushika

MBUNGE WA MBEYA AMTUKANA WAZIRI MKUU NA KUDAI KUWA "TANZANIA HAIJAWAHI KUWA NA WAZIRI MKUU MPUMBAVU KAMA ....."

$
0
0
Katika  hali  yakushangaza , mbunge  wa  mbeya  mjini  kwa  tiketi  ya  CHADEMA, mh.  SUGU  ameporomosha  tusi  zito  kwa  waziri  mkuu  wa  tanzania  ( mh. PINDA )  akidai  kuwa  Tanzania  haijawahi  kuwa  na  waziri mkuu   mpumbavu  kama  yeye..... Tusi  la  Sugu  limekuja  baada  ya waziri  mkuu  kuwaruhusu  rasimi  polisi  kutumia  nguvu  ya  ziada   kuwadhibiti  wananchi  kwa 

MBUNGE WA CCM NUSURA AMCHAPE MAKOFI MBUNGE WA CUF.....NI YULE ALIYEMFANANISHA SUGU NA MBWA BUNGENI

$
0
0
MBUNGE wa Kondoa Kusini, Juma Nkamia (CCM), kwa mara nyingine ameingia katika kashfa nzito akituhumiwa kutaka kumpiga Mbunge wa Viti Maalumu CUF, Moza Abeid ndani ya Ukumbi wa Bunge. Tukio hilo lilitokea mwanzoni mwa wiki ambapo imeelezwa kuwa Nkamia mbali na kutaka kumpiga mbunge huyo, pia alimtolea matusi mazito ya nguoni.. Kwa mara ya kwanza mbunge huyo aliingia katika

RAIS KIKWETE AWATAKA VIONGOZI WA DINI WAENDELEE KUHUBIRI AMANI, UPENDO NA MSHIKAMANO

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete amewataka viongozi wa dini nchini kuendelea kuhubiri kuhusu amani upendo na mshikano na kuendelea kuwajenga vijana katika maadili mema ili taifa lisiangamie. Rais kiwete ameyasema hayo Mkoani Morogoro katika Jubilee ya miaka 25 ya uaskofu wa Askofu Telesphori Mkude wa Kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro ambapo amesema serikali itaendela kushirikiana na kanisa katoliki

WASHIRIKI WA BIG BROTHER WAZIDI KUUMBUKA....BINTI MWINGINE ANASWA "AKIJICHUA " BAFUNI

$
0
0
<!-- adsense --> Hali  ni  mbaya  kwa  dada  zetu  walioko  ndani  ya  jumba  la  big  brother  baada  ya  washiriki  wawili  mfululizo  kuanikwa   na  camera  za  jumba  hilo wakipiga  wakipiga  puny**t  bafuni...  Jana  ilikuwa  ni  zamu  ya  pokello, video  inajieleza Kuitazama  ni  sharti  uwe  mtu  mzima  na  ni  hiari  pia <<VIDEO  IKO  HUKU>>

OMMY DIMPOZ APIGWA CHUPA NA MASHABIKI AKIWA JUKWAANI HUKO DODOMA

$
0
0
Kuna tetesi kuwa Ommy dimpoz amepigwa mawe jukwaaani dodoma na kushindwa kufanya show ya kilimanjaro music award dodoma.  Wadau toka  Dodoma wasema  msanii yoyote atakaye mdiss msanii wa dodoma hawatamruhusu kufanya show Dodoma  na watamshusha jukwaani kama walivyo fanya leo  kwa  Ommy Tunafuatilia  undani  wa  habari  hii <!-- adsense -->

AWAMU YA PILI: MAJINA YA FORM SIX NA VIKOSI WALIVYOPANGIWA JKT

$
0
0
JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) LINAWATANGAZIA VIJANA WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA 2013 NA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA JKT KATIKA MAKAMBI YA RUVU PWANI, MGAMBO TANGA, MSANGE TABORA, BULOMBORA KIGOMA, MARAMBA TANGA, RWAMKOMA MARA, MLALE RUVUMA NA KANEMBWA KIGOMA KURIPOTI KATIKA MAKAMBI HAYO TAREHE 24 JUNI 2013 KAMA ILIVYOTANGAZWA AWALI. VIJANA HAO WARIPOTI KATIKA MAKAMBI WALIYOPANGIWA KAMA

MWIGULU NCHEMBA NA MSIGWA NUSURA WATWANGANE NGUMI BUNGENI

$
0
0
Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa na mbunge wa Iramba Magharibi (CCM), Mwigulu Nchemba jana nusura wachapane makonde baada ya kutupiana maneno ya kashfa, wakituhumiana kuhusika na mlipuko wa bomu uliotokea Jumamosi iliyopita mkoani Arusha. Tukio hilo lilitokea katika viwanja vya Hoteli ya St Gasper nje kidogo ya mji wa

HALI YA MANDELA NI TETE...ASHINDWA KUFUMBUA MACHO KWA SIKU KADHAA

$
0
0
Mzee Nelson Mandela ameendelea kuwa katika hali mbaya hospitalini jana baada ya kubainika kwamba gari la wagonjwa lililombeba Rais huyo wa zamani wa Afrika Kusini kwenda hospitali limeharibika. Gari hilo la wagonjwa mahututi liliharibika wiki mbili zilizopita wakati Mandela alipokuwa akikimbizwa kwenye hospitali moja mjini Pretoria, na kumwacha 'njiapanda' kwa dakika 40. Rais huyo

VIDEO YA OMMY DIMPOZI ALIVYOPIGWA CHUPA NA MAWE AKIWA STEJINI NA KUKATISHA SHOW YAKE MJINI DODOMA JANA

$
0
0
Jana DODOMA katika show ya Kilimanjaro Ommy Dimpoz na  madansa  wake  wamejikuta  wakiambulia  kupigwa  mawe  na  chupa  jukwaani, hali  iliyowafanya  walikimbie  jukwaa... Pamoja  na  kupigwa  mawe  na  makopo, jamaa  walijikaza  kisabuni  mpaka  baunsa  akaamua  kuwatoa  jukwaani ili  kunusuru  roho  zao..... Kisa  cha  kupigwa  mawe  nkinatokana  na  tusi  la  Ommy Dimpoz  kwa 

MAAJABU: MTOTO AZALIWA NA MAKALIO MATATU, MAMA YAKE ALIA AKIOMBA MSAADA

$
0
0
Maajabu  ya  uumbaji  yamemfanya  mama  mzazi  wa  Xiao Wei  ambaye  ni  mchina amwage  machozi  akiomba  msaada  wa  kunusuru  maisha  ya  mwanae   mwenye  umri  wa  miezi  7 aliyezaliwa  na  makalio matatu... Kalio  la  tatu  lipo  kama  mkia  mfupi, wenye  urefu  wa   sentimita  8  ( 8 cm ), katikati  ya  makalio  mengine  mawili. Akiongea   kwa  uchungu, mama  mzazi  wa  mtoto 

"TUNAJIANDAA KUIPINDUA NCHI ENDAPO SERIKALI HAITAWASHUGHULIKIA WATU WALIOFICHA MABILIONI USWISWI"...ZITTO KABWE

$
0
0
Zitto  Kabwe  amefunguka  na  kudai  kuwa  kwa  sasa  wanajiandaa  kufanya  mapinduzi  ya  nchi  endapo   watu  walioficha    mabilioni  uswiswi    hawatashughulikiwa  ipasavyo.... Suala la baadhi ya Watanzania kuhifadhi mabilioni ya fedha nchini Uswisi limechukua sura mpya, baada ya tume maalumu kuwahoji vigogo 200 wakiwamo wabunge, wanasiasa na wafanyabiashara.   

NGONO KINYUME NA MAUMBILE ZAONGEZEKA TANZANIA ....WENGI WAO WANAFANYA KUONDOA MIKOSI

$
0
0
Taasisi ya Kupambana na Ukimwi Nchini (Tacaids) imesema tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa vitendo vya ngono kinyume na maumbile vinazidi kuongezeka.Hayo yalisemwa jana na Dk. William Kafura, katika mkutano wa sita wa Chama cha Wabunge cha Kupambana na Ukimwi (Tapac).Alisema hiyo inatokana na imani za kishirikina kwamba wakifanya vitendo hivyo watapata bahati kwa kupandishwa vyeo.“Lazima

KIJIJI CHA NGONO CHAFICHULIWA HUKO SINZA,MAKAHABA WAAHIDI KUTOACHA KAZI HIYO

$
0
0
NI hakika ‘mtaa wa ngono’ umefumuliwa! Sakata hilo lilijiri saa tisa usiku, Ijumaa iliyopita, Barabara ya Shekilango, kuanzia Bamaga hadi Sinza Mori jijini Dar eneo ambalo makahaba wameligeuza chumbani Kwa mujibu wa takwimu za kiserikali, eneo hilo (kuanzia Bamaga hadi Sinza Mori) limekubuhu kwa wasichana kujiuza nyakati za usiku huku makao yao makuu yakiwa eneo la Afrika Sana hasa

SUGU AGOMA KUOMBA RADHI BAADA YA KUDAI KUWA WAZIRI MKUU NI MPUMBAVU

$
0
0
Juzi, mbunge  wa  mbeya  mjini  alitoa  tusi  zito  kwa  waziri  mkuu  wa  Tanzania  na  kudai  kuwa  Tanzania  haijawahi  kuwa  na  waziri  mkuu  mpumbuvu  kama  yeye... Kupitia  account  yake  ya facebook, Sugu, ambaye  ni  mbunge  wa  mbeya  amezidi  kusisitiza  kuwa  hawezi  kuomba  msamaha wala  kuifuta  kauli  yake.... Hii   ni  post  yake  facebook: "...naskia kuwa watu

OMMY DIMPOZ AAMUA KUOMBA RADHI TENA...ADAI YEYE NI BINADAMU, HAJAKAMILIKA NA AMEJIFUNZA

$
0
0
Ommy Dimpoz  kwa  mara  nyingine  ameamua  kupaaza  sauti  yake  na  kuwaomba  watanzania  wamsamehe  kwa  kauli  zake  mbaya  kuhusu  marehemu  Ngwea.... Sambamba  na  msamaha  huo,Ommy  anadai  kuwa  amejifunza  kutokana  na  kosa  lake  na  kwamba  hatarudia  tena... Uamuzi  wa kuomba  msamaha  kwa  mara  ya  pili  umekuja  baada  ya  msanii  huyu  kupigwa  mawe  mjini  Dodoma  hivi

"LAZIMA NIFE KABLA YA KUFIKISHA MIAKA 40"...AUNT EZEKIEL

$
0
0
WAKATI vifo vikizidi kuwatafuna wasanii, staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amefunguka na  kudai kuwa hawezi kuishi miaka mingi  na  atakufa mapema kuliko  watu  wanavyodhani. Aunt Ezekiel alifunguka hayo juzikati alipokuwa  akipiga  stori  na  mwandishi wetu jijini Dar ambapo alibainisha kuwa akijitazama mustakabali wa maisha yake basi anaona kabisa kuwa hawezi kufikisha

WABUNGE NA MASHOGA WATETA.....HOFU YA KUWA NA RAIS SHOGA TANZANIA YATANDA

$
0
0
WABUNGE wanachama wa Chama cha Kupambana na Ukimwi (TAPAC), wiki iliyopita walikutana na kujadiliana mambo mbalimbali na mashoga katika mkutano wa mwaka wa chama hicho uliofanyika kwa muda wa siku tatu mjini  Dodoma. Katika mkutano huo, baadhi ya wabunge walionyesha wasiwasi wa taifa kupata rais shoga katika miaka ijayo kutokana na ongezeko la mashoga hapa nchini. Mbali na wasiwasi

VIDEO ZA MSHIRIKI WA TANZANIA AKIFANYA MAPENZI NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER

$
0
0
<!-- adsense --> Mshiriki wa  kiume   wa  Tanzania, Nando  ametutia  aibu  baada  ya  uvumilivu  kumshinda  na  kuamua  kufanya  tendo la  ngono  hadharani  akiwa  katika  jumba  la  big  brother.... <!-- adsense --> Kamera  za  BBA zinamuonesha  wazi  Nando  akikata  mauno  kwa  mwanadada  Selly wa  Ghana  mithili  ya  mtu  ambaye  hajawahi  fanya  tendo  hilo  kwa  miaka  200 

MKE NA MKE WAONESHA SINEMA YA AIBU MBELE YA KADAMNASI

$
0
0
Wawili hao walionesha sinema hiyo ya kushitukiza katika mji wa Bungoma huo Kenya na kusababisha waliokuwa na muda wa kutizama waketi kando wakishibisha macho na masikio yao bila ya kuwaingilia.Sehemu ya sinema hiyo ni kama inavyoonekana kwenye video ya KTN iliyopachikwa hapo...<!-- adsense -->
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images