Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

'Serengeti Boy' anaswa Gesti na Mke wa Kigogo

0
0
Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Marck Costantine (24), mkazi wa mtaa wa Kitangiri jijini Mwanza amenaswa ‘live’ gesti akiwa na mke wa kigogo mmoja (jina kapuni), aitwaye Mwanaidi wakijiandaa kuvunja amri ya sita. Tukio hilo lilijiri Septemba 18, mwaka huu kwenye gesti moja maarufu iliyoko mitaa ya Kitangiri baada ya kigogo huyo kupewa ‘ubuyu’ kwamba anaibiwa mali yake ndipo

Ndege za jeshi za Iraqi zasambaza vyakula na maji kwa kundi la ISIS kwa bahati mbaya

0
0
Marubani wa ndege za kivita za Iraqi zilizokuwa na maji, vyakula na misaada mingine ya kibinadamu zimesambaza mahitaji hayo kwa maadui zao wa kundi la Islamic States badala ya kuwapa wanajeshi wao.   Kwa mujibu wa NBC mmoja kati ya wabunge wa Iraqi ambaye pia ni afisa wa ngazi za juu za usalama, Hakim Al-Zamili ameeleza kuwa kutokuwa na uzoefu wa kutosha kwa marubani hao kumewafanya

Hii inakubalika Tanzania? Irine Uwoya na Rich Wafanya LIVE kwenye scene ya mapenzi!

0
0
Tasnia ya filamu nchini huenda ikawa na mengi yanayofanyika nyuma ya pazia wakati wa majaribio ya kutafuta shots nzuri zenye uhalisia hasa kwenye scene za mapenzi!   Lakini napata kigugumizi kikali kwa kile kilichoonekana kwenye video hii inayoaminika kuwa ni kipande cha filamu mpya inayotarajia kutoka iliyowakutanisha Rich na Irene Uwoya ambao wanaonekana wakibadilishana mate kwa

Waliopiga kura ya hapana walalamika kutishwa

0
0
Baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba waliopiga kura za hapana wamelazimika kuondoka Dodoma na kurudi Zanzibar kwa madai ya vitisho walivyopata kutoka kwa wenzao.    Mmoja wa wajumbe hao, Salma Said alisema jana jioni kuwa yeye na wajumbe wenzake wamekataa kuitikia wito wa Mwenyekiti wa Bunge, Samuel Sitta kwenye Kamati ya Mashauriano ili kuhojiwa kuhusu kura hiyo na kutokana na

CCM Kufanya Maamuzi Magumu

0
0
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema watendaji waliohusika kusababisha mgogoro katika Kiwanda cha Chai Mponde, kilichopo Jimbo la Bumbuli, Wilaya ya Lushoto, mkoani Tanga, wanapaswa kuwajibishwa pamoja na kuachia ngazi.   Kauli hiyo imetolewa juzi na Katibu Mkuu wa chama hicho, Bw. Abdulrahman Kinana katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kijiji cha Mponde, Jimbo la Bumbuli, wilayani humo.

Waliodhurika kwa kunywa togwa yenye Sumu Songea wafika 340

0
0
Idadi ya watu waliolazwa hospitalini kwa kunywa togwa inayosadikiwa kuwa na sumu katika Kijiji cha Litapwasi, Kata ya Mpitimbi mkoani Ruvuma imeongezeka kutoka 270 hadi 340.    Tukio hilo lilitokea Jumapili baada ya watu kushiriki sherehe ya Kipaimara ambako walikula, kunywa pombe na togwa na baadaye wale waliokunywa togwa walianza kuumwa matumbo, kuhara na kutapika.   Hadi jana,

Ammwagia mumewe maji ya moto

0
0
Mwanamke mmoja katika wilaya ya Bunda, mkoani Mara, amemfanyia ukatili mume wake kwa kumwagia maji ya moto yaliyokuwa yametengwa kwa ajili ya kupikia ugali. Kwa mujibu wa jeshi la polisi wilayani hapa, tukio hilo lilitokea juzi, saa 4:30 usiku, katika mtaa wa Nyamakokoto,  mjini Bunda, baada ya kuzuka ugomvi ulitokana na mwanamke huyo (jina linahifadhiwa) kuchelewa kurudi nyumbani.

Mume ajiua kwa sumu ukweni

0
0
MFANYABIASHARA wa mjini Tarime mkoani Mara, Wilson Weso maarufu Kishimba (34) amekufa kwa kile alichodaiwa amekunywa sumu nyumbani kwa baba mkwe wake.   Inadaiwa alifanya hivyo nyumbani kwa baba mkwe, Chacha Sasita ambaye ni mkazi wa kijiji cha Rebu kata ya Turwa, kutokana na mgogoro na mke aliyemtoroka na kwenda jijini Mwanza na kumwachia watoto wawili.   Kamanda wa Polisi Tarime

Polisi achunguzwa kwa kumtorosha na kumweka kinyumba mwanafunzi wa kidato cha tatu

0
0
(Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Kilimanjaro.) JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro linachunguza tukio la askari wake (jina tunalo), iwapo alimtorosha na kumweka kinyumba mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Okaoni, wilayani Moshi Vijijini.   Askari huyo anatuhumiwa kumrubuni mwanafunzi huyo kuwa atamnunulia magauni mawili, blauzi mbili, sketi mbili pamoja na kiasi cha Sh

Chama cha ACT-Tanzania Chakanusha Kumilikiwa na Zitto Kabwe

0
0
ACT-TANZANIA ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPERANCY TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ndugu wanahabari kumekuwa na utaratibu wa habari zinazoupotosha umma wa Watanzania kuhusu chama chetu cha ACT-Tanzania.   Katika gazeti la mwanahabari toleo na 117 la tarehe 29/09/2014 katika ukurasa wake wa mbele iliandikwa "MKAKATI WA KUKIPA NGUVU CHAMA CHA KIPYA CHA ZITTO KABWE WAVUJA".   Act-Tanzania

Rais Kikwete ataja njia Saba zinazochukuliwa na Serikali Kupunguza Foleni za Magari Dar

0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametaja hatua saba ambazo Serikali yake imeanza kuzichukua ama inakusudia kuzichukua ili kukabiliana na msongamano wa magari katika Jiji la Dar Es Salaam.   Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa msongamano wa magari ni ishara ya ubora wa maisha ya wananchi na ustawi wa Watanzania kwa sababu miaka 20 ama hata 10

Tanzania ina idadi ndogo ya wazee duniani

0
0
Tanzania imetajwa kushika nafasi ya 92 katika orodha ya nchi zenye idadi kubwa ya wazee kati ya nchi 96 duniani huku takwimu za taasisi ya Helpage International zikionyesha kuwa ifikapo mwaka 2050 idadi ya wazee itakuwa sawa na ya watoto.   Akiongea jijini Dar es salaam wakati Tanzania imejumuika na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya wazee Mkurugenzi wa Taasisi ya Helpage

Kutukanwa Matusi Mazito ya Nguoni: Kajala kumshitaki mama yake Wema Sepetu......Team Wema, Team Kajala vitani tena

0
0
Habari ya mjini kwa sasa ni bethidei ya Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kutimiza miaka 26 tangu kuzaliwa, lakini ndani ya tukio hilo, mengine yameibuka! Miongoni mwa yaliyoibuka kwenye sherehe hiyo iliyofanyika Jumapili iliyopita nyumbani kwa Wema, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar es Salaam ni madai ya mama Wema, Mariam Sepetu kudaiwa kupewa nafasi ya kutoa ‘neno la hekima’

Bunge Lachafuka......Mwanasheria mkuu wa Zanzibar anusurika kupigwa

0
0
Licha ya Bunge Maalum la Katiba (BMK) kuunda Kamati ya Mashauriano ili kusaka theluthi mbili ya kura za upande wa Zanzibar, Bunge hilo jana lilichafuka baada ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othuman, baada ya kupiga kura ya wazi akikataa sura na ibara kadhaa za Rasimu inayopendekezwa. Hali hiyo ilisababisha vurugu na hasira kutoka kwa baadhi ya wajumbe wa bunge hilo, na

Radi yajeruhi wanafunzi 17 Mwanza

0
0
Wanafunzi 17 wa Shule ya Sekondari Kabuholo wilayani Ilemela jijini Mwanza, wamejeruhiwa na radi kufuatia mvua kubwa ilioyonyeshwa jijini humo kwa saa moja. Tukio hilo lilitokea jana saa 1.45 asubuhi wakati  radi hiyo ilipowapiga wanafunzi wa kidato cha nne 15, mmoja kidato cha tatu na mwingine kidato cha kwanza. Akizungumza na mwandishi wetu jana, Mwalimu wa mazingira wa shule hiyo

Samwel Sitta: Mnyika Kanitukana Matusi Mazito

0
0
MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta amelieleza Bunge hilo kuwa, Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema), aliamua kumtukana yeye na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Andrew Chenge.    “Bwana mmoja Mnyika ameamua kututukana mimi na Chenge…ametuita maharamia mbele ya mkutano wa hadhara huko Mwanza.   “Mimi kwake ni baba yake na kama hawezi kuniheshimu, basi aniheshimu kama

Matokeo yanaendelea kutangazwa Bungeni.....Theluthi mbili ya wajumbe toka Zanzibar wamepiga kura ya Ndio....Shangwe zatawala Bungeni

0
0
  Matokeo ya kura za wajumbe yanaendelea kutangazwa, 2/3 mpaka sasa inaongoza katika sura ambazo zimetajwa.   Theluthi  mbili  ya  wajumbe  toka  Zanzibar  na  Bara   wamepiga  kura  ya Ndio  kuafiki  Rasimu  Inayopendekezwa, lakini bado matokeo yanaendelea kutangazwa.    Shangwe na vigelegele zimezuka bungeni.Tazama kinachoendelea hivi sasa katika Bunge la Katiba   Video  hii 

Kijana Akacha shule kwa kunogewa penzi la nguruwe huko Sumbawanga.....Polisi wamuweka "mtu kati", akubali kutemana na nguruwe wake!

0
0
UNAWEZA kudhani ni Hekaya za Kusadikika! Lakini ni kisa cha kweli kwamba mama mzazi amemshitaki polisi mwanawe wa kiume, ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili mwenye umri wa miaka 16, kwa kile anachodai amechoshwa na tabia ya mwanawe ya kufanya mapenzi na nguruwe wao jike mara kwa mara na hata kujikuta akiacha shule.   Amelalamika akidai kuwa kijana huyo amenogewa `penzi’ la mnyama huyo

Sitta amchimba mkwara mkewe

0
0
  Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta jana alimchimba mkwara mkewe Margareth Sitta kuwa angepata tabu sana kama angekosea kupiga kura.    Mbali na Uenyekiti wa Bunge la Katiba, Sitta ni Mbunge wa Jimbo la Urambo Mashariki na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki na mkewe Margareth ni Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) na Mjumbe wa Bunge la Katiba.  

Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa yako ili uweze kwenda Raundi mbili na kuendelea??....Bofya hapa ukutane na JIKO

0
0
Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic  ni  wauzaji wa dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa  tunayo  dawa nzuri  ya  asili  inatibu na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.  Dawa  hii iitwayo  JIKO  ni  ya  asili  kabisa  (PURE HERBAL) na inaponyesha  na  kumaliza  kabisa  tatizo  la  nguvu  za kiume
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live


Latest Images