Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Matukio katika Picha Bunge Maalumu la Katiba

$
0
0
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba. Mhe. Samuel Sitta akiongoza bunge hilo leo 22 Septemba, 2014 mjini Dodoma. Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Amon Mpanju akisoma Azimio la kupitisha marekebisho ya Kanuni za Bunge Maalum leo 22 Septemba, 2014 mjini Dodoma. Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ezekiel Olouch akichangia mada wakati wa usomaji wa Azimio la kupitisha

Tamasha la Serengeti Fiesta Laacha Gumzo Mkoani Morogoro

$
0
0
Baba Levo na Peter Msechu wakipagawisha jukwaani  kwenye tamasha la Fiesta ndani ya uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.  Mmoja wa mashabiki aliyekuwa kwenye Tamasha la Fiesta akishangilia huku akiwa amebebwa na mwenzake.   Umati uliyokuwa umefurika kwenye Tamasha la  Fiesta 2014, ukishangilia moja ya burudani zilizokuwa zikitolewa kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. 

Tunda Man akanusha kuwahi kuwa na uhusiano na Wema wala Nyota Ndogo

$
0
0
Msanii wa muziki, Khalid Ramadhani maarufu kama ‘Tunda Man’, amedai kuwa hajawahi kuonja penzi la Wema Sepetu na wala hana mpango huo. Akizungumza na Global TV, Tunda amesema haendani na Wema.   “Hamna kitu kama hicho, mimi kama kapteni wa Bongo FlAVA sijawahi kulionja hilo penzi. Ni mshikaji wangu tu, kweli kabisa ni mshikaji wangu tu ambaye ‘mambo poa’, ‘post hii picha’ napost. 

Kesi ya Emmanuel Mbasha yapigwa Kalenda tena mpaka October 17

$
0
0
Kesi ya mwimbaji wa nyimbo za Injili Emmanuel Mbasha imepigwa kalenda kwa mara nyingine tena kwa sababu Hakimu anayeendesha kesi hiyo alipata shughuli nyingine nje ya ofisi.    Mbasha alipanda kizimbani katika mahakama ya Wilaya ya Ilala kwa ajili ya kusikilizwa kwa kesi yake hiyo ambapo mwendesha mashtaka Kiyoja Catherine aliahirisha kesi hiyo kutokana na Hakimu Williberforce Luwhego

Askofu wa kanisa Katoliki aeleza njia mpya za kuzuia Katiba Mpya.....Asema kanisa limejipanga kupita kwa waumini kuwaeleza cha kufanya

$
0
0
MAKAMU wa Rais Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi, amesema maoni yaliyotolewa na Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF) juu ya Bunge Maalumu la Katiba, hayajatekelezwa na hivyo watapita kwa Watanzania na waumini wao kuwaeleza nini cha kufanya.   Jukwaa hilo lilikutana Agosti 27 hadi 28, mwaka huu na kujadili hatima ya Bunge hilo na kutoa mapendekezo sita, moja

CCM Mbeya Yavuna Vijana 79 wa CHADEMA

$
0
0
ZAIDI ya vijana 79 waliokuwa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kata ya Nzovwe, mkoani Mbeya, wamekihama chama hicho na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM).   Mbali ya kupewa kadi za CCM, vijana hao walidai kuchoshwa na sera za CHADEMA zinazohamasisha maandamano badala ya kuwajengea uwezo kiuchumi ili waweze kujikomboa kimaisha.   Vijana walipokelewa na Mjumbe wa

Wasira: Urais si Mama Mkwe wangu.....Sitaona AIBU Kutangaza NIA wakati ukifika

$
0
0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Steven Wasira amesema hana sababu ya kuona haya kutangaza kuutaka urais kwa kuwa urais si ukwe ila anasubiri wakati mwafaka.    Wasira alitoa kauli hiyo hivi karibuni alipokuwa akizungumza katika mahojiano maalumu na gazeti la  Mwananchi mjini Dodoma.   “Watakaposema ruksa, nitasema na wala kugombea urais si suala la kuonea haya. Ni

CHADEMA: Maandamano Simiyu ni Lazima

$
0
0
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mkoani Simiyu, kimeendelea na msimamo wa kufanya maandamano ambayo yamepangwa kufanyika leo wakipinga kuendelea kwa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma.   Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mwenyekiti wa chama hicho mkoani humo, Mshuda Wilson, alisema maandamano hayo yatakuwa ya amani akilitaka Jeshi la Polisi kutotumia nguvu

Naombeni Mnielewe : Sijawahi Kutoka Kimapenzi Na Ray- Johari

$
0
0
Msanii mkongwe wa filamu nchini, Johari Blandina Chagula, ambaye ni ‘business partner’ wa msanii mwenzake, Vicent Kigosi aka Ray, amefunguka na kuzungumzia mahusiano yake na Ray pamoja na mipango yake ya kuolewa. Akizungumza na Bongo5 , Johari amesema anashangazwa kuwaona watu wakivumisha kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Ray.   “Mimi na Ray cha kwanza ni mtu na swahiba wake, cha pili

Wafuasi wa CCM na CUF watwangana jijini Dar

$
0
0
Wafuasi wa CCM na CUF juzi walitwangana makonde wakigombea Uwanja wa Buguruni Chama ili kufanya mkutano wa hadhara.    Mvutano huo ulisababisha Polisi kuingilia kati na kuwatawanya wafuasi hao kisha kuwaruhusu CUF wafanye mkutano wao kwa kuwa ndiyo waliokuwa na kibali halali.   Kamanda wa Mkoa wa Ilala, Mary Nzuki alisema vurugu hizo zilidhibitiwa na

Video: Marekani yaanza mashambulizi ya anga Syria kuilenga ISI

$
0
0
Majeshi ya Marekani yameanza rasmi mashambulizi ya anga nchini Syria yakilenga kundi la kigaidi la ISIS (Islamic State of Iraq and Syria).   Makao Makuu ya Ulinzi ya Marekani yameeleza kuwa wanafanya mashambulizi ya mchanganyiko kwa kutumia mabomu, wapiganaji wa ardhini pamoja na majeshi ya Anga kutoka nchi za Mashariki ya Kati zinazowaunga mkono.   Lakini habari za mashambulizi

Utata watawala taarifa za kuuawa kiongozi wa Boko Haram

$
0
0
Taarifa zilizosambazwa na baadhi ya vyombo vya habari nchini Nigeria zinadai kuwa kiongozi wa kundi la kigaidi la Boko Haram, Abubakar Shekau ameuwa na majeshi ya Nigeria.   Tetesi hizo zilianza kusambaa Alhamisi iliyopita baada ya jeshi la Nigeria kutoa taarifa kupitia Twitter kuwa wamemjeruhi vibaya kiongozi wa ngazi za juu wa Boko Haram katika eneo la Konduga, Borno.   Wikendi

Ajabu: Anamkodisha mpenzi wake kwa yeyote apate pesa ya kununua iPhone 6

$
0
0
Mwanafunzi wa Chuo kikuu kimoja cha China ambaye jina lake halikutambulika kwa haraka ameamua kufanya ‘uchizi’ ili mradi tu aipate pesa ya kununua aina mpya ya iPhone iliyoingia sokoni, iPhone6.   Kijana huyo wa alionekana akiwa nje ya chuo kikuu cha Songijiang akiwa na bango kubwa lililoandikwa kwa kichina na kutafsiriwa ‘Girlfriend Sharing’.    Katika tangazo hilo kijana huyo

Bunge lapitisha upigaji kura kwa fax na email

$
0
0
Bunge la Katiba limeingia katika historia baada ya kupitisha kanuni zinazoruhusu wajumbe wake watakaokuwa nje ya nchi kupiga kura kwa njia ya nukushi (fax) na baruapepe (email).    Uamuzi huo ulifikiwa bungeni Mjini Dodoma, baada ya wajumbe wa Bunge hilo kupitisha azimio la kuzifanyia marekebisho kanuni ya 30, 36 na 38 za Bunge hilo za mwaka 2014.   Hata hivyo, wajumbe watatu kati ya

Pingamizi la Mwanasheria mkuu wa serikali dhidi ya Kubenea Latupwa

$
0
0
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, jana imetupilia mbali pingamizi la awali lililowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) dhidi ya kesi ya kikatiba inayohoji uhalali wa Bunge Maalumu la Katiba iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea.   Aidha, mahakama hiyo hiyo ilitupilia mbali pingamzi kama hilo lililowasilishwa na AG dhidi ya kesi ya kikatiba ya Chama cha

Wachungaji Watiwa Mbaroni kwa Kuwalawiti Watoto Kanisani

$
0
0
Watoto sita, wakiwemo wawili wa kiume wenye umri wa miaka 8 hadi 14 wameharibiwa vibaya sehemu zao za siri baada ya kubakwa kanisani na watu wanaodaiwa ni wachungaji. Wakiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru walikopelekwa kwa matibabu na kuangaliwa maambukizi ya magonjwa ya zinaa, watoto hao walidai kufanyiwa mchezo huo kwa nyakati tofauti  na wachungaji watatu wa kanisa

Mke Ambonda Hawara Gesti.....Alichukua line ya mumewe na kuiweka kwenye simu yake kisha akabadilisha sauti na kumpigia hawara

$
0
0
Mama mmoja almaarufu kwa jina la Mama la Mama anadaiwa kumbonda hawara wa mumewe baada ya kumwekea mtego wa fumanizi kwenye nyumba ya kulala wageni (gesti). Sekeseke hilo kubwa na la aina yake lililoshuhudiwa na wanahabari wetu lilijiri wikiendi iliyopita kwenye Gesti ya White Paris iliyopo eneo la Kimara-Kona jijini Dar na kusababisha umati (inzi) kujazana na kufunga mtaa.  

T.I ndiye msanii wa kimataifa atakayetumbuiza kwenye Fiesta ya Dar

$
0
0
Hatimaye msanii wa kimataifa anayetarajiwa kutumbuiza kwenye Fiesta ya Dar mwezi ujao ametajwa, ni rapper Clifford Joseph Harris, Jr aka T.I wa Marekani.   T.I atashare jukwaa na wasanii wa Bongo katika show ya mwisho ya msimu wa Serengeti Fiesta 2014, itakayofanyika kwenye viwanja vya Leaders October 18.   T.I kwa sasa anafanya vizuri na single yake mpya ‘No Mediocre’

Madee atoka nje kwa dhamana baada ya kuhusishwa na tukio la utekaji

$
0
0
Muimbaji wa Tip Top Connection, Madee hivi karibuni alijikuta katika wakati mgumu baada ya kuwekwa ndani katika kituo cha polisi cha Kigamboni kutokana na madai ya kuhusishwa na tukio la utekaji.   Kabla ya kuongea na meneja wa kundi hilo, Babu Tale, mtangazaji wa Clouds FM, Soudy Brown aliripoti kupitia ‘You Heard’ ya XXL kuwa Jumamosi iliyopita Madee aliporwa simu yake na watu wawili

Justin Bieber apanga kuishi nyumba moja na Selena Gomez

$
0
0
Justin Bieber anadaiwa kumuomba mpenzi wake Selena Gomez waishi pamoja na jibu alilopata ni ‘Ndio! Chanzo kimoja kimeuambia mtandao wa HollywoodLife.com: “Selena na Justin wapo pamoja kwa asilimia mia sasa, alimuomba ahamie kwake na Selena alifurahi kupita kiasi.”   “She’s still being cautious, she’s not going to give up her place, that way if anything goes wrong or if she decides
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images