Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

WOLPER NA HALIMA MDEE WANATARAJIWA KUTOANA MANUNDU USIKU WA MATUMAINI

$
0
0
MSANII wa filamu nchini Jacqueline Wolper ameenda kujichimbia Afrika Kusini akifanya mazoezi ili ajiweke katika nafasi ya kuzichapa na mbunge wa CHADEMA Halima Mdee, katika tamasha la Matumaini litakalofanyika Julai 7 mwaka huu. Wolper ambaye atapigana na Halima Mdee, alisema kuwa amejikita nchini humo kwa ajili ya kujiweka sawa ili aweze kumkabiri mbunge huyo. Alisema mbali ya

"POLISI WATAENDELEA KUWAPIGA WALETA VURUGU HAPA NCHINI NA NINASEMA WAWAPIGE ZAIDA NA ZAIDA"... WAZIRI MKUU

$
0
0
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema jeshi la polisi litaendelea kuwakabili na kuwadhibiti ikiwa ni pamoja na kupiga wale wote wanaokiuka amri halali inayotolewa katika kulinda amani ya nchi iliyopo ... Mhe Pinda amesema hayo bungeni mjini Dodoma wakati wa kipindi cha maswali kwa waziri mkuu akijibu swali aliloulizwa juu ya matukio ya polisi kudaiwa kupiga wananchi katika matukio ya hivi

BAADHI YA PICHA ZA MAZISHI YA WAHANGA WA MLIPUKO WA BOMU HUKO ARUSHA

$
0
0
  Picha za Mazishi ya mwenyekiti wa BAWACHA kata ya Sokoni I Judith William Moshi, aliye fariki kwa mlipuko wa bomu kwenye viwanja vya Soweto jijini Arusha siku ya kufunga kampeni za chaguzi ndogo tarehe 15.06.2013.. <!-- adsense -->

MWIGULU NAYE ADAI KUWA BOMU LILIRUSHWA NA CHADEMA...."KAMA SIO WAO, MCHUKUA VIDEO ALITAARIFIWA NA NANI KWAMBA BOMU LITARUSHWA???"

$
0
0
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Mwigulu Nchemba  amesema bungeni leo kwamba Chadema ilipanga kufanya shambulio la bomu kwenye mkutano wa Soweto jijini Arusha.Amesema hakuna jambo ambalo Chadema wamewahi kupanga wakashindwa.“Itakuaje mtu amechukua mkanda wa tukio la umwagaji wa damu bila kutikisika au mchukuaji kukimbia, haiwezekani- hiyo walipanga.“Inakuaje amechukua

HII NI KAULI YA FREEMAN MBOWE ALIPOJISALIMISHA POLISI LEO

$
0
0
Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na mandeleo Mh. Freeman Mbowe na mbunge wa jimbo la Arusha Godbless Lema wamejisalimisha kwa jeshi la polisi huku wakiendelea kusisitiza kuwa ushahidi walio nao hawatauwasilisha kwa jeshi la polisi mpaka pale rais Jakaya Kikwete atakapounda tume huru ya majaji ya uchunguzi<!-- adsense -->

"EDWARD LOWASSA ANAHUSIKA NA KUTEKWA KWANGU PAMOJA NI KIPIGO NILICHOPEWA"...NASSARI

$
0
0
Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari amemtuhumu Mbunge wa Monduli Edward Lowassa kwamba anahusika na kipigo alichokipata kutokana na chuki aliyonayo kwake. Aidha amemtuhumu Spika wa Bunge, Anne Makinda kwamba naye ni miongoni mwa watu wanaomchukia pamoja na viongozi wengine wa Bunge, kwa kuwa hakuna kati yao aliyempigia simu au kumtumia ujumbe wa kumjulia hali kutokana

RAIS MSTAAFU GEORGE BUSH ATATUA JIJINI DAR ES SALAAM MWEZI UJAO

$
0
0
Rais mstaafu wa Marekani, George W. Bush na mkewe, Laura, wanatarajiwa kuwasili nchini mwezi ujao ambapo watahutubia kongamano litakalojadili wajibu wa wake za marais katika kuinua wanawake duniani. Taasisi ya George Bush  ndiyo imeandaa kongamano  hilo litakalofanyika Dar es Salaam kuanzia Julai 2 hadi 3. Taarifa iliyotolewa jana na taasisi hiyo kwa vyombo vya habari, ilisema

MTOTO AFANYIWA UPASUAJI KUONDOA MIGUU MIWILI YA ZIADA

$
0
0
Mtoto wa miezi miwili wa kiume nchini Namibia amefanyiwa upasuaji wa aina yake baada ya kuwa amezaliwa akiwa na miguu minne.  Andrew Palismwe, anayetokea Caprivi, anaendelea vizuri na matibabu baada ya kufanyiwa upasuaji uliochukua masaa tisa kuondoa miguu miwili kwenye Hospitali ya watoto ya Red Cross War Memorial  iliyoko mjini Cape Town, Afrika Kusini. Mtoto huyo sasa anaendelea kupata

MWANAFUNZI APIGWA RISASI TUMBONI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM USIKU WA KUAMKIA LEO

$
0
0
Taarifa zilizotufikia zinaeleza kuwa wanafunzi wanne wa chuo kikuu cha Dar es salaam wamevamiwa na majambazi usiku wa kuamkia leo maeneo ya Yombo chuoni hapo.   Wanafunzi hao wanaosemekana kuwa ni wa mwaka wa nne na wa mwisho wa masomo walikuwa wanajisomea na kuandaa “Disertation” zao na kujikuta wakivamiwa na watu wanne na kuamuriwa watoe kompyuta zao na pochi za fedha. 

MABONDIA WANNE WA TANZANIA WAFUNGWA JELA MIAKA 15 BAADA YA KUNASWA NA MADAWA YA KULEVYA NCHINI MAURITIUS

$
0
0
Mabondia wanne wa Tanzania wafungwa miaka 15 jela nchini Mauritius kwa makosa ya kuingiza dawa za kulevya aina ya heroin. Mabondia hao ni Case Ramadhani Fills, Nathanael Elia Charles, Ally Rajabu Msengwa na Petro Charles Mtagwa.Wakati kesi hiyo ilipoanza kusikilizwa, wote walikiri makosa ya kuingiza mihadarati hiyo nchini Mauritius wakati walipokwenda kushiriki mashindano ya ndondi barani

SAKATA ZIMA LA KUPIGWA KWA MBUNGE WA KASULU ( MOSES MACHALI) AKIWA DODOMA JANA JIONI

$
0
0
Habari kutoka Dodoma zinasema Mbunge wa Kasulu Mjini kupitia chama cha NCCR-Mageuzi, Mhe. Moses Machali (pichani), amelazwa katika hospitali ya mkoa ya Dodoma kuuguza majeraha aliyoyapata baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana jana  jioni  mjini Dodoma. Tukio hilo lilitokea jana jioni  wakati Mh. Machalli akiendesha gari lake mita kadhaa kutoka ilipo nyumba anayoishi baada ya

WEMA SEPETU NA KAJALA MASANJA WAGEUKA "PAKA NA CHUI "....ZILE MILIONI 13 ZALETA BALAA ZITO

$
0
0
Utabiri wa wengi kuwa ushosti wa waigizaji masistaduu wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu na Kajala Masanja kutumbukia nyongo unadaiwa kutimia na sasa wametibuana,  Habari za ndani kutoka kwa mtu wa karibu (jina linahifadhiwa), mwanzoni baada ya Wema kumlipia Kajala faini ya Sh. milioni 13 na kumnusuru kutokwenda Segerea a.k.a Segedansi, wawili hao walikuwa marafiki kama pete na

MOTO WAMFANYA HOUSE GIRL ATAKE KUJIRUSHA CHINI TOKA GHOROFA YA PILI

$
0
0
HAUSIGELI ambaye jina lake halikupatikana mara moja, nusura ajirushe chini kutoka ghorofa ya pili kwa kile kilichodaiwa kuwa aliogopa moto mkubwa uliozuka katika jengo la jirani na ghorofa alilokuwemo. Tukio hilo lilijiri mapema asubuhi ya Juni 18, mwaka huu kwenye makutano ya Mtaa wa Nyamwezi na Mkunguni eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa majirani, baada ya kuona moto

MAKAMPUNI YA SIMU YATAPANDISHA GHARAMA ZA MAWASILIANO IFIKAPO TAREHE MOJA MWEZI WA SABA

$
0
0
Kufuatia kuongezwa kwa kodi katika huduma za simu za mkononi , gharama za huduma hizo zinatajiwa pia kuongezeka kuanzia Julai Mosi mwaka huu. Taarifa ya pamoja iliyotolewa jijini Dar es salaam na Umoja wa Makampuni ya Simu za Mkononi Tanzania – MOAT imesema pendekezo la serikali la kuweka kodi ya 14.5 kwenye huduma za simu za mkononi hazotoweza kukwepesha kupanda kwa gharama za simu

"SIKU YA MAZISHI YANGU WATAJAA WATOTO NA MASHOGA TU"....AUNT LULU

$
0
0
MSANII wa filamu Bongo, Lulu Mathias ‘Aunty Lulu’ amefunguka kuwa siku akifa anaamini mbali na watu wengine mazishi yake yatatawaliwa na mashoga pamoja na watoto. Akizungumza na mwandishi  wetu hivi karibuni, Aunty Lulu alisema kutokana na ukweli kwamba wengi wanaompenda na ambao wamemzoea ni watoto waliokuwa wakimsikiliza kwenye Kipindi cha Watoto Shoo kupitia Radio One na ITV na

ARNOLD SCHWARZENEGGER NDANI YA 'TERMINATOR' 5

$
0
0
Baada ya kukaa kimya kwa kipindi cha muda mrefu ,muigizaji mkongwe wa filamu maarufu za action Arnold Schwarzenegger, ameamua kurejea upya katika ulingo huo huku 'Terminator 5' ikitegemewa kurekodiwa mwezi January mwaka ujao.Hii itakuwa ni mara ya 4 kwa mcheza filamu huyo kushiriki katika movie hiyo baada ya kushindwa kushiriki katika Terminator 4 kutokana na majukumu ya u-Governor

VIDEO YA WANAWAKE WAWILI WALIOVULIWA NGUO NA KUTEMBEZWA UCHI KWA MADAI YA WIZI

$
0
0
Kulikuwa na kizaazaa katika eneo la transami huko embakasi hapa jijini baada ya wanawake wawili kuvuliwa nguo na kusazwa uchi wa mnyama.  Kisa na maana walikamatwa kwa madai ya walitaka kumuibia mwanamume mmoja, ambaye waliandamana naye nyumbani kwake jana usiku kwa starehe.  Inadaiwa walimtilia dawa- bwana huyo akalaa fofofo...aliamkia purukushani nyumbani kwake.makinika na

MSANII ATINGA UKUMBINI NA KIVAZI CHA NUSU UCHI HUKU NDANI AKIWA "MTUPU"

$
0
0
MSANII wa filamu aliyeibukia kwenye Shindano la Maisha Plus, Jack Dustan ‘Jack wa Maisha Plus’ hivi karibuni aliwashangaza watu baada ya kuvaa kigauni ambacho mara kadhaa alipopozi aliacha wazi sehemu zake nyeti.  Jack akiwa kaacha nje nyeti zake (sehemu iliyozibwa). Tukio hilo lilinaswa na mwandishi  wetu ndani ya Ukumbi wa Sun Ciro, Ubungo jijini Dar kulikokuwa na uzinduzi wa

VIDEO NZIMA YA MKUTANO WA CHADEMA AMBAYO ILIAHIDIWA KUWEKWA MTANDAONI

$
0
0
Video hii ya saa moja na nusu ya mkutano mzima wa CHADEMA uliofanyika katika viwanja vya Soweto mkoani Arusha uliofanyika siku ya Jumamosi tarehe 15 Juni 2013, siku ambayo palitokea mlipuko na shambulio jioni punde tu baada ya kuhitimishwa kwa hotuba za viongozi mbalimbali, imewekwa youtube na Jesse R.<!-- adsense -->

WEMA SEPETU APOTEZA MVUTO....MIKOROGO YAMUATHIRI....MICHIRIZI YAANZA KUPANDA USONI

$
0
0
Matumizi mabaya ya vipodozi yameanza kumuathiri  wema  Sepetu  ambaye  ni  miss Tanzania  2006.. Wema  ambaye umri wake bado  haujamtupa  , hivi  sasa  anakabiriwa na tatizo la  ngozi  kutokana  na michirizi  kusambaa  mwili mzima  hasa  mapajani....  Kamera  zetu  si  mara  ya  kwanza  kumshuhudia  Mrembo  huyu  akizingirwa  na  uzee  kwani  miezi  kadhaa  nyuma  tuliwahi andika 
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images